Nimeitafuta sana hii nyimbo amini usiamini hii nyimbo ina nikumbusha sana maisha yangu ya chuo nikiwa na utafuta wokovu na leo ni zaidi ya miaka 12 sasa na leo nimeipata sasa itanirudisha katika wokovu
@ograwilbert30493 жыл бұрын
Barkiwa San mtu was mungu
@beatricemdoe28503 жыл бұрын
AMEN BARIKIWA sana Ujumbe mzuri kila kitu kizuri wow
@LameckSichimata-f8q9 ай бұрын
Kweli nimebalikiwa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@dianadavid21194 жыл бұрын
Uko vzr sana,,,,Mungu endelea kumtumia huyu mama
@restangimba38523 жыл бұрын
Mungu akubariki sana role model wangu❤
@ograwilbert30493 жыл бұрын
Wimbo unaotusogeza kwa mungu
@eliasluwela84988 жыл бұрын
Ama! kwa hakika Mungu anawhubiri wengi barikiwa sana ni ujumbe mzito sana nikumbuke Yesu unaporudi ...amen
@naimankimaro332910 жыл бұрын
kwa kweli ujumbe ni mzuri mnoo barikiea
@thadeimsoma72955 жыл бұрын
Kristo azaliwe ndani yako siku ya leo,na baraka za mungu zikae ndani yako milele amina,
@hauleluvanda36825 жыл бұрын
Hakika wimbo ni mzuri na umenibariki nimeona hadi machozi yakinitoka. Barikiwa sana
@SophiaZabron-f5w7 ай бұрын
Naupenda xana huu wimbo barikiwa mama yangu
@seckypanja19106 жыл бұрын
Hebu na ww jiulize ibada nayo haukosi tena navyo viti vya mbele ukose sherehe ya mbingu
Hakika ni wimbo unaogusa maisha yangu,ubarikiwe sana Namsifu
@samwelackley17115 жыл бұрын
aminaaa
@aminaelimbwambo48914 жыл бұрын
Nyimbo zinanibariki
@eppiemodest4 жыл бұрын
Wimbo huu unanipa matumaini ya kuacha dhambi na kuingia peponi. Ewe Mungu unisaidie. Mungu akubariki mwimbaji.
@alitigana1865 жыл бұрын
Mungu akubaliki Mama kwa wimbo unagusa Moyo wangu sana
@julianandaturu79545 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu Mungu azidi kukuinua uieneze injili kwa uimbaji
@KabulaElias-l5c2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mama💜❤️❤️
@hatungimanajmarrie3464 жыл бұрын
Amina
@laban25528 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mbaraka huu
@lucyelisha77454 жыл бұрын
Yuan ubarikiwe
@thadeimsoma72955 жыл бұрын
Mungu amekuchagua kuinjilisha kwa njia ya nyimbo hongera sana Dada yangu,
@padontuyishime29626 жыл бұрын
Sikia ombi langu mungu!
@musakiboya5875 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana kuomba, kufunga, kuimba,kupiga kinanda "niguse taji yako"
@lukwajamakenzi88319 жыл бұрын
I APPRECIATE THE WAY NAMSIFU MANAGED TO USE HER VOCAL
@mwitanyanchugu4 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana.
@lucasswila43047 жыл бұрын
Ubarikiwe mama nyimbo zako
@benjaminkundy1284 жыл бұрын
Shangaa kuna mtu ana dislike huu wimbo..hao w atakua wapinga Kristu Mungu wangu na awasamehe ..eeh Mungu uwasamehe hawajui watendalo.
@godwinprotace67495 жыл бұрын
All the way from Mzumbe University
@leahngugi59187 жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada yangu. Ninazipenda sana nyimbo zako. Ujumbu unaoipeleka roho yangu karibu na Mungu ambapo ninahisi kumwabudu zaidi
@leahngugi59187 жыл бұрын
Nilimaanisha ujumbe si ujumbu
@sandulucas56938 жыл бұрын
imekaa vizuri ubarikiwe
@beatricenmarwa97452 жыл бұрын
Asante dada. Bwana atuhurumie atupe nafasi ya kupaa nae
@casineobote99897 жыл бұрын
mungu nifundisheeeeeeee penzi lakoooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@kevsgaide64806 жыл бұрын
Heee this is song!!!!! It's the best song wooow may you be blessed sister in Christ
@peterleonard41047 жыл бұрын
Nimeupenda sana wim bo huu. Hongera sana
@ngarangamjinja28458 жыл бұрын
wimbo umenibariki Sana
@claramalle60497 жыл бұрын
amina nimebarikiwa
@elizsethpaul73108 жыл бұрын
Mungu akubarik dada kwa wimbo huu mzuri na wenye fundiso zuri
@minzajoyce8004 Жыл бұрын
I'm so blessed with this song,God bless you Namsifu Maduhu
@waryobayankami27299 жыл бұрын
May God bless you
@pilipilimanga88718 жыл бұрын
Jamani wimbo maridadi kabisa.Melodi nzuri .Ujumbe umepangwa vizuri.mzuki mtamu. Hongera sana Namsifu M Mwita,hakika umenibariki sana,umenisogeza hatua moja mbele kiimani. ubarikiwe sana Endee mbali. Amen!
@fredycrobi4758 жыл бұрын
Mpenzi wa Mungu ubarikiwe kwa hubiri lako
@evaqbenjamin53659 жыл бұрын
Be blessed sister. You made tears on my eyes I have been thinking deep about that day Jesus will come to harvest his people. Nihurumieeee eee Yesu nikumbuke unaporudi....Ameeeeeen
@rebecasabbath91037 жыл бұрын
Barikiwa mama nyimbo zako zinani bariki
@francisakula64097 жыл бұрын
Mungu akubarki da namsifu mwita
@wendemaridadi18083 ай бұрын
Wimbo mzuri
@rabanikisusi3865 жыл бұрын
All the way from geita (GGM)
@christinalukwaro4062 Жыл бұрын
😢Unikumbuke YesuAmina
@law_of_the_jungle11 жыл бұрын
UMEFANYA VEMA SANA KAKA GIBSON. NAOMBA KAMA INAWEZEKANA UPLOAD NYIMBO NYINGINE ZA DADA MWITA. NAOMBA YESU AMKUMBUKE SANA DADA NAMSIFU MWITA. ZAIDI, SOTE ATUKUMBUSHE HURUMA YAKE YESU NA KUTUFUNULIA WOKOVU ALIOTULETEA. AHSANTE. MAY THE HIGH GOD REMEMBER US ALL. AMEN.
@milembemagembe48767 жыл бұрын
ubarikiwe dada kwa huduma hiyo utoayo inawasogeza wengi msalabani
@ezekieliboniface43736 жыл бұрын
Amina huu wimbo ni wimbo ambao unaonyesha nini tukiitaji ..... Yesu tuhurumie
@jeffratemo11176 жыл бұрын
amen wimbo huu unaibariki roho yangu kila ujao ubarikiwe saaaana mama
@ginawedanashon797810 жыл бұрын
This is awesome, huu wimbo sichoki kuusikiliza
@agreymsalilwa7804 Жыл бұрын
Wonderful
@decotha80205 жыл бұрын
God bless you you have nice songs
@floraritha14546 жыл бұрын
Dada mpendwa ktk bwana,Mungu akubariki na akuinue kwa kiwango cha juu zaifi maana nabarikiwa sana ninaposikiliza nyimbo zako nahisi kama nimezamishwa uweponi mwa Bwana yesu
@paulineamimo7748 жыл бұрын
Amen! Stay blessed as I am blessed with this song forever and ever sister
@MaryBiyaki-t4y9 ай бұрын
Ubarikiwe dada
@williammagawa26019 жыл бұрын
ubarkiwe mtumish wimbo huu unanigusa sana ufike mbali
@presciousjames45275 жыл бұрын
Nimeopenda sana
@nyachirangimlengwa6 жыл бұрын
Yesuuuuu huu wimbo naupenda jamani...Mungu akubariki sana Namsifu sauti yako ni special
@mabulamakula95518 жыл бұрын
very nice song ,,be blessed
@philemonrono495710 жыл бұрын
GOD BLESS& UPLIFT YOUR MINISTRY
@christinalukwaro4062 Жыл бұрын
Amina❤
@joycemakalethobias22273 жыл бұрын
I love this song may God bless u
@judithokama63008 жыл бұрын
wimbo mzuri sana unafundisho kwetu ss binadamu.
@musatbobius54726 жыл бұрын
nikumbuke utakaporudi eee Yesu ,
@restmahimbo21789 жыл бұрын
barikiwa Dada namsifu, wimbo huu umegusa moyo wangu
@joycemwenura69085 жыл бұрын
Wimbo huu huwa unanigusa sana na sichoki kuusikiliza ubarikiwe sana dada NAMSIFU
@neemamirobo11769 жыл бұрын
let the world be sanctified by your voice that you were gifted
@johnmamenty94414 жыл бұрын
Very good
@kisimbapaschal88138 жыл бұрын
Dada kama umepungua sehemu yoyote kwa ajili ya kuandaa ujumbe huu mungu akuzidishie maradufu umeukonga moyo wangu yesu utukumbuke unaporudi ubarokiwe sana Dada pamoja na familia yako
@rebecasabbath91037 жыл бұрын
Mh Mungu ni ni fundishe na unibidishe.zaidi uni hurumieee
@kwizeraelly92617 жыл бұрын
Namsifu m.mwita wimbo wa unihurumie eh eh Yesu nikumbuke unaporudi Mungu akubariki sana!!!!
@georgemashauri46575 жыл бұрын
Huu wimbo unanigusa Nikumbuke unapo ludi yesu.
@lissahkaduma11245 жыл бұрын
Barikiweee sanaaa dada Mwita
@martharobert3696 жыл бұрын
nimempoteza baba yangu kipenzi siku 57 zilizopita ni wakati mgumu sana kwangu wimbo huu unanifariji sana na naamini Mungu amemkumbuka baba yangu katika maisha mapya ya mbinguni. huu wimbo ni baraka sana asante dada Namsifu.
@essieamonde62828 жыл бұрын
May the Lord bless u continually!
@benmakule88267 жыл бұрын
Mungu amekubariki mno yani... sauti yako nzuri sana mama## nimebarikiwa sana na uimbaji wako
@niyonzimajulienne88877 жыл бұрын
Mungu akubariki ombi rako Mungu alisikie .
@abssalomkakoyo63005 жыл бұрын
WIMBO UNABARIK SANA HUU
@swarehendomix15723 жыл бұрын
Nice Jusus song
@msafirimentors75188 жыл бұрын
be blessed mum
@shephardsinkamba87168 жыл бұрын
be blessed my sister namsifu,,
@emmanuelkemboi26477 жыл бұрын
GOD bless you so much Mum for the inspiring songs
@henrychris4233 жыл бұрын
Keep it up
@faidairadukunda86458 жыл бұрын
May God bless you and I wish you all the time to do so. I can't stop listening this songs from you. Be blessed.
@delvinbhoke24642 жыл бұрын
I love that song
@jerubetjoan206 жыл бұрын
Nihurumie Yesu unikumbuke unaporudi.
@whitepatrick340310 жыл бұрын
Glory to God
@petergodfrey19929 жыл бұрын
Be blessed abundantly Nc song !
@alexkabeho56098 жыл бұрын
be blessed sister, I can't stop listening to this inspiring song