wabongo tunaishi kimazoea. hii ngoma kali sana. deserves millions of views. ila tushazoea za kina flan.
@mrbrian1703 Жыл бұрын
Nafkiri ni issue ya Airtime! Mi nimeirudia sana
@godfreyzacharia8 ай бұрын
Kweli bro
@thabitdaudi98153 ай бұрын
Target market ya watu wanaowez ku vibe na hii ngoma ni ndogo sana bongo hii ngoma inataka uwe umeend shule kdogo kuielewa sasa wabongo wengi ndy hvyo tena
@philipdapash99513 жыл бұрын
Lunya mkali wao wapi likes zake
@petermeliara5774 ай бұрын
Nimerudi kuangalia tena 2024
@Onlynewupdates01Ай бұрын
Uongo na umbea 🔥✊🏼🫶🏼🫶🏼🫶🏼
@SELAH_ROBERT5 ай бұрын
Frome kenya been listening and watching this song for the 7 years Noma sana
@msafiblog Жыл бұрын
OMG ipo that's ma dream team chuo cha k rap bongo tusha hitimu 2023
@emmanuelmaige81067 жыл бұрын
na mtoto mkali ,kala cheppe brouse chini vans,,,(yea utawasikia)
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
Baraka the prince you kill it man🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@khadijaaleyna89162 жыл бұрын
Kuomba Mungu pia huwezi!!!! Get serious man
@RodgerstarkShija7 жыл бұрын
Kwanza, ngoma kali sana, Kila mtu ameua kwenye verse yake!! Pili, The fact that mmetumia location hiyo kwa ubunifu huo, sio mbaya. Mimi nasema ni nzuri. Very simple lakini haiboi. Asante!!
@itsecky7 жыл бұрын
kweli ndugu video ni kari sana
@superdupaproducer42947 жыл бұрын
Eh bwana dah, mimi niwapongeze tu mazee. Kazi ipo poa sana, bring some more good music and videos. Tupo pamoja
@kibukilakashindi31894 жыл бұрын
inakuwaje watu tukose kuisikiliza ngoma hii in 2020 kama tupo gonga like tuzidi kujuana 💪💪
@iytreddhjjhhgffxhubccmnvvx437 жыл бұрын
baraka kwenye chorus ni fire this is a hit song big up OMG
@mosamossile91134 жыл бұрын
Nawapata sanaa kipande cha South Africa cape Town wayneberg 2020 hii Ngoma uwa naielewa xanaaaaaa
@sophiamwita4342 ай бұрын
Ngoma kali sana hii naikubal❤
@benedictorlucas28757 жыл бұрын
wataoiponda hii ngoma ni waongo na wambeaa wambeaa.. #mmetishaa
@mudymussa67367 жыл бұрын
Baraka ame show ile hip hop colour... Ame polish hiii ngoma mbayaaa sana..
@christianangelo48323 жыл бұрын
Nipo Hapa 2021... Naona CON Boi ni conscious saaaana. TILL i die ~Anthem
@lazarolazaro55357 жыл бұрын
kuomba Mungu pia Huwezi ...
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Hahaha!!!
@lazarolazaro55357 жыл бұрын
Saumu Hassan haha Flow zao Kali sana
@danielmaleko49385 жыл бұрын
Kaz ngumu piah kwa omg na chorus killer baraka gonga like kama umeikubali
@lewiskombole29172 жыл бұрын
One of the most crucial chorus ever. Killer chorus prince
@harunayussuf68663 жыл бұрын
Con boi mkali sana huyu jamaaa💪💪💪👑👑.
@ibrahshowtz6 жыл бұрын
Real shit.. Nimependa sana verse anasema wanatoka kuburn CD nyumban hakuna CD player. Thats some real hustle.
@erickjustinkente57807 жыл бұрын
Eee banaeee safi sana OMG. Bonge moja la track. Yaani mmeflow kama mambele. Ni shiiiiiiidaaa huyo Baraka ni noma. Salute Omg
@jaymash33217 жыл бұрын
Number 1 in my daily playlist... ila hii video sio poa kiiivyo
@semanasitv83037 жыл бұрын
OMG mnatisha kinoma af baraka umekaza #uongo na umbea umbea"
@petrojacob11337 жыл бұрын
duuuh aisee hii ngoma Kali kinouma #@ beat Kama ya mbelee yani pongezi kwa producer wenu na nyinyi pia coz mmefanya mzikii mnene 👏👏👏
@eliudywillz94717 жыл бұрын
gooooog kaka bonge la ngoma anae hate ngoma hiii kiitikiooo kina muhusuuuu...hatuchek nae coz ya umbea wakee
@bensonfrank95787 жыл бұрын
Young Lunya!! ni noma sana yaan!!!
@DaveHumphrey25147 жыл бұрын
DADEKI ZAKO BARAKA DE PRINCE... That chorus is so much on point i cant even!!
@rodgerskimanza20717 жыл бұрын
mumeng'ang'ana sana ikue yta majuu madze na muko kenya hapa Mombasa ,ngoma kali clip,ndio iko shida mumerusha mikono saana bana ]
@andrewsaganda20047 жыл бұрын
Dope hiphop muzik #NewNoise #NewAfrica... Creative rap and flow...#youngLunya #kumuomba Mungu nao pia weh huezi..
@deewyzeeofficial35123 жыл бұрын
Lunyaaaaaaa kauwaaaaaaa💪💪💪💪
@byalebwabrobrown73097 жыл бұрын
Young lunya unachonishangaza hata kuomba mungu......
@maneshipaycash47297 жыл бұрын
Ipige vision nyingine kideo hata vikiwa vitatu tuta angaliiiiii.
@SINDANOALY21 күн бұрын
Roshinge family pamoja sana kwario husika kutengeneza kitu hiki
@ZZIKOLIAАй бұрын
GOOD VIBE
@goodyalphonse2687 жыл бұрын
Baraka Alikuwa hajajua Vizuri Vipaji Alivyonavyo. Sasa ameanza Kuelewa. Japo Collabo , Ni Fireeeee!!!! #TokomezaZero #UongoNaUmbea #Fire!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@reaganpatrick33233 жыл бұрын
Hit song big support from 🇿🇲 Zambia 🇿🇲
@brownie_dee8655 Жыл бұрын
Nmerudi 😋😋😋banger
@christianluvanga26737 жыл бұрын
way back.. guys nawakubali kinomaaaaaaa mazeee
@abbasboniphace54447 жыл бұрын
inhaaaa bongo Kama mberrrrreeeeh😂😂😂😂😂😂
@kevinmushitv37617 жыл бұрын
kumbe maniga tupo wengi yaani ktk ngoma za tzd hii ndo ngoma ya Kwanza kusikia ufundi wa ngoma asanteni omg kwa kunifanya nisikilize hiphop hap tz this is my song nigga
@kwibemlala68647 жыл бұрын
baraka da p penda style ya kuhimba kwako a lot
@freshgang25597 жыл бұрын
Bongo Trap Way Up....aminia Ma Niggaz....one day Yess
@ibrahimtwahirkilagwa6534 жыл бұрын
We need another Banger like this , Bars on bars . Beast Mode
@boyrobby56127 күн бұрын
ukiekeawa biti ukashindwa kuchana utazomewa sana woooooo🤣🤣🤣🤣🤣
@Bbwaoy7 жыл бұрын
Haha na mwanangu chuo ulikua huonekani kabisa mzee... keep moving
@itsecky7 жыл бұрын
hampo siliac guyz chupa ni kali saaaaaaaaaaaana na kuna kitu pale mwanzo kafanya khalfan nadhan hamjakiona zile za kuonyesha kila tukio linaloimbwa kwenye nyimbo zishapitwa na wakat big up kwake khalfan kafanya bonge la chupa bhana
@Reptilekenya7 жыл бұрын
baraka najua ulianza kama rapper thats why unapenda na kutambua hip hop
@mubatachi8357 Жыл бұрын
2023 bado ngoma yamoto
@adamtarimo77177 жыл бұрын
WILL BE IN MY HEAD FOR THE REST OF MY LIFE
@maleek11flacko2 жыл бұрын
2022 still missing THIS group baddest crew in Africa 🔥🥉🇰🇪🖤🖤
@LovingOutLoud7 жыл бұрын
254 in the building... 255 making EA craze
@M-double7 жыл бұрын
#greetings from Finland..this is a real vibe I really love it sana Kabisa 🤘✌👌
@officialdanwilafrika4 жыл бұрын
From Kenya bado nawasikiza...hiii traki motoo kweli
@missyessy59797 жыл бұрын
Am a new fan. never knew you guys, but now I love this track like nothing before!!! mbele sana....wonderful work guys. 👏👏👏👏 uongo na umbea 😎😎😎
@ziggyhendrixx74454 жыл бұрын
Where were u, under the rock
@ibrahimmzito3907 жыл бұрын
kufanya kama. mm uwezi kuimba nyimbo uwezi ukiambiwa kufanya kazi. unachagua kazi ngumu pia. uwe chakushangaza. zaid ata kumuomba mungu. pia uwezu.... yani iyo mistari naikubali sana. sana bit ya. nyimbo. ndio. usiseme.
@abdallahhamisi455 жыл бұрын
Hawa majamaa wapige hit song nyengine kama hii
@MashLeezo7 жыл бұрын
VIDEO MBAYA ILA INAANGALIKA LAKINI NYIMBO NZURI SANA, MMEBUGIII
@jaygabriel8006 Жыл бұрын
Sauti ya baraka the prince na lunya wamenipa vibe 🥾✌🏻
@homeboybeyondtheborders4935 Жыл бұрын
Verse amepiga Lunya 😂 ila Baraka amerudia kama ilivyo
@Kimba19997 жыл бұрын
Ameharibu kinyama sana barakah ila songs ipo fresh 🙏🙏
@fatmakiraga51737 жыл бұрын
Just love it hata kipofu akiskiza atajua waimbaji keep it barakah
@tinootinee58987 жыл бұрын
audio kali zaidi ya video.. video kali zaidi ilihitajika hapo wazeee
@imscometro11682 жыл бұрын
THIS SONG TU I KNEW CON BOI WAS A DIFFERENT GRAVY🔥🔥🔥🔥🔥🅿️
@barakachawe62417 жыл бұрын
Hiyo chorus noma sana aisee
@elizabethkirahi65827 жыл бұрын
Uwongo na umbea umbea 😆😆👌🏽👌🏽
@ostazclassic33707 жыл бұрын
omg yani hii ngoma kali sana jitaidi tuongee nipo marekani ila hii ngoma acha tu yani ni shida
@oswardemil40397 жыл бұрын
Hii ngoma ni fire aisee.... video hapana.
@watupipo7 жыл бұрын
OMG Mziki mkubwa @Khalingraph Jones you Hip Hop East Africans keep pushing this game to the top. All the best.
@felixlilumbi60897 жыл бұрын
This is Dope, We need a collabo with 254 Camp Mulla
@itsjerrold7 жыл бұрын
This is some fire mazee...lufah katisha kwenye beat as per usual
@ShadhilOthman_2557 жыл бұрын
Salmin Swaggz! I See You
@habibutowo75277 жыл бұрын
NIMECHELEWAAA KWA NN ETIII .DAAA UMBEAAA ASANTEEE BARAKA
@creedymikelivestream77944 жыл бұрын
Lunyaaaa🔥🔥🔥🔥
@napendamuzikiilovemusic58404 жыл бұрын
Gonga likes kwa chorus ya Baraka da Prince 🤴
@SelemaniRamazani.7 жыл бұрын
Courage les potes , bon travail les gars , c'est tres chaud . BON !!!
@Roy-ns2ly7 жыл бұрын
Dahhhhhhhhhh kali saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana...tisha sana
@stunnaedward7 жыл бұрын
I wish mngetoa hii ngoma wakat mna budget ya kutosha. The video is not bad but its below the level I see u guys. If u had pesa mkainvest kwenye video it cud be hotter than that. PS: video nzuri ila ni chini ya rank niliyowaweka mimi. U guys mmenifanya nifikirie kurudi kuwa fan wa rap ya bongo after a long time being listening to abroad music only. Omg, Nahreel mnatengeneza muzik wa fleva na quality nayopenda mimi. Big up 👍🏼
@mkemiakazini52637 жыл бұрын
OMG nyie ni hatareeee
@issackjoseph64362 жыл бұрын
Sababu ni moja tu,uongo na umbea,
@issackjoseph64362 жыл бұрын
Iii ngoma kwang kama mlo,lazima upite sikioni niga
@ahmedmwenye95644 жыл бұрын
2020...aminia young Lunya.
@ks-qv9xd7 жыл бұрын
Tz kabisa mnawakilisha kishenzi
@fatumaababy12817 жыл бұрын
Yani iko #Doro.iko love Baraka keep the fire burning.