Barakah The Prince, Alikiba - Nisamehe

  Рет қаралды 2,839,645

BarakahxAlikibaVEVO

BarakahxAlikibaVEVO

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@janenyakinyua789
@janenyakinyua789 6 ай бұрын
I have been looking for this song ... someone to please like my comment..2024 hapa
@rabioabdala2222
@rabioabdala2222 10 ай бұрын
Hakuna wimbo mwengine zaidi ya huuuuu kwa Baraka
@Joel-ll9ui
@Joel-ll9ui Ай бұрын
Unaijua Acha niende ww
@jobkofficial1591
@jobkofficial1591 8 ай бұрын
08.02.2024 still listening to this jam , kwani iko Nini??
@kevinmwita9140
@kevinmwita9140 8 ай бұрын
😅😅😅 it's cool
@isaackhaled4987
@isaackhaled4987 4 жыл бұрын
Barakah alijidanganya kutoka rockstar 4000 angebaki angekuwa mbali sahv. Like back watu wa mzik mzr.
@BarakaMakisio
@BarakaMakisio 6 ай бұрын
2024 bado tunaskiliza na tunaikubali
@GeraldKonder
@GeraldKonder 5 ай бұрын
Hakuna km hiii nyimbo🔥🔥nlkosana na wife nkamuandkia hii mstari saii amerudi
@FevkoCan
@FevkoCan 9 ай бұрын
Ali ndio kila kitu hata ukimchukia yeye hana time Ali ni mtu mzuri sana
@kagiimpoet9444
@kagiimpoet9444 3 ай бұрын
The beginning of mwezi wa saba nani hapa anipe like zake hivi ndo tunauanza mwezi
@ramseyrmsy3366
@ramseyrmsy3366 6 жыл бұрын
Ukiacha ushabiki na ukaiskiliza huu wimbo vizur utajua Baraka humu alikua kimziki pia kaka ake alimsimamia vyema nakutoa kitu kizur ila ukikalia majungu na uzuzu hutaelewa mpaka unakufa.
@saidndaki9783
@saidndaki9783 2 жыл бұрын
Kabisa
@gracemsunza5046
@gracemsunza5046 2 жыл бұрын
Uhakika
@bernardoduor2784
@bernardoduor2784 Жыл бұрын
yaaani nimetranslate ndo nielewe enyewe kiswahili sanifu ni ngumu😂
@muyemuye1325
@muyemuye1325 Жыл бұрын
Sijui Kwa nn baraka haku hit.huyu jamaa song zake pka kesho mm nazikubali.kuliko mafala wengine.kelele tu na vipuli Kila mahali
@abuubakar8855
@abuubakar8855 Жыл бұрын
Iko hivo
@palmerdesouza5861
@palmerdesouza5861 5 жыл бұрын
Naipendaa hii nyimboo mpka sijielewii tena part ya Ally kiba yani acha tuu maana ni noma
@marysidi6037
@marysidi6037 Жыл бұрын
2023 alikiba jamani😢😢the voice
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana, kila nikiusikia unanikumbusha mbali hadi ctamani kupenda tena mpaka leo hii jamani yani Ni sheeeeeeeeeeedah!
@ibrahimchunda5930
@ibrahimchunda5930 5 ай бұрын
Saumuhassan
@daudijmayanga
@daudijmayanga Жыл бұрын
Tunaotazama Ngoma Hii 2023 Gonga Like
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 4 жыл бұрын
Kama bado mnampenda Baraka dar prince na kumsiliza 2020 gonga like 50 tu 🎺🎷🎼🎻🎸🎶🔊🎙🎹🎚🎤🥁🎵🇹🇿👍😍😘 .
@SumaAlly-w8l
@SumaAlly-w8l 8 ай бұрын
Ni hatar
@joyceibrahim2020
@joyceibrahim2020 9 ай бұрын
2024 still 🔥🔥🔥
@maliamjuma9376
@maliamjuma9376 11 ай бұрын
Alikiba wenoma sanaase mungu awajalie wote vipenz mumeweza ngoma Kali sana nmeipenda buree
@samiahhussen1470
@samiahhussen1470 8 жыл бұрын
pongez kwako baraka👏👏👏👏 nyimbo nzuri video imetulia mnao sema nyimbo mbaya mnayenu sio bure mmekalia majungu tu wallah sichoki kuangalia hii video unajua
@RarineKennedy
@RarineKennedy Жыл бұрын
it is 2023 but i still like this song
@faridahabdul7446
@faridahabdul7446 5 жыл бұрын
It’s 2019 who still feels the vibe of this song #TeamKiba 🇰🇪 tunakukubali ❤️❤️
@djmoe5935
@djmoe5935 5 жыл бұрын
This hit is still on fire💥
@touchmc2098
@touchmc2098 5 жыл бұрын
#nisamehee# Mshumaaa 🔥
@mariamsaid2144
@mariamsaid2144 4 жыл бұрын
Is my hand 9
@chadwickouko4129
@chadwickouko4129 4 жыл бұрын
I still do feel it. It's so catchy
@samuellekakwar2033
@samuellekakwar2033 3 жыл бұрын
Kiba Still the same, I still love this g
@jamesmwangi8723
@jamesmwangi8723 3 жыл бұрын
When the king and prince work together you can only expect nothing short of perfection 🔥🔥
@kuluthummaulid1976
@kuluthummaulid1976 8 жыл бұрын
Video nzur sanaaa nimeikubali kingkiba akiwepo akuna kinachoharibika big up to them
@ShuuBwoy-wo7gw
@ShuuBwoy-wo7gw Жыл бұрын
2023 still one of the best song
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 8 жыл бұрын
Video n kali sanaa ni moja kati ya video tofauti kutokea bongo haifanan na video zingine ambazo izmewah kufanya, Safi sana Rock star4000
@eliudntagalinda8079
@eliudntagalinda8079 3 жыл бұрын
2021 still enjoying good music.. King murders it all as ever
@allymaftah259
@allymaftah259 2 жыл бұрын
L
@richardmweri8122
@richardmweri8122 5 жыл бұрын
Alikiba killed this one🔥🔥🔥
@Sesakwaukweli3
@Sesakwaukweli3 Ай бұрын
tunaotazama na kuskiliza hii ngoma 18/9/2024 tujuane
@ramlabaraka1045
@ramlabaraka1045 5 жыл бұрын
King Kiba nakukubali, umemnyanyua Baraka kwa fujo deeeeeeeeejay...!
@allidehunter3223
@allidehunter3223 6 ай бұрын
Dah! Nime kuja kuifuata hii leo tarh 26-4-2024- kwa feelings badi sanaa 😥😥.
@maulidkilongola1691
@maulidkilongola1691 8 жыл бұрын
siku zote huwa nakaa na kuskiza kila aina ya muziki ila mziki mzuri UPO HAPA kwa wawili hawa pamoja na ABDUL KIBA yaani bila figisu mnajua kwakweli
@florahisrael3887
@florahisrael3887 8 жыл бұрын
I want u back I'm sorry baby 🎼🎶🎤 king Kiba hatariiiii
@chipimbilimoffat3916
@chipimbilimoffat3916 4 жыл бұрын
I love king kiba
@upendomasala1632
@upendomasala1632 3 жыл бұрын
I love king kiba
@agnesmaingi8187
@agnesmaingi8187 8 ай бұрын
2024 still here for kiba
@happyclasic748
@happyclasic748 6 жыл бұрын
Da hii nyimbo inanikumbusha mpenzi wangu price alipokuja niomba turudiane aliponikosea akaniomba niuskilize uu wimbo da nikamsamehe but naumia kwa vile ametangulia mbele za haki kila nkiona uu wimbo namkumbuka Kaz nzuri Baraka and r. I. P my price pumzka kwa Amani
@clvrence
@clvrence 6 жыл бұрын
Happy Clasic sorry
@khadijarahimu2681
@khadijarahimu2681 3 жыл бұрын
Poleh
@cleodontina1
@cleodontina1 7 жыл бұрын
Prince and Alikiba what's a perfect combination. Your music is amazing. I can't understand a word but I love your vocals!!! Beautiful singing!
@kevinmwita9140
@kevinmwita9140 8 ай бұрын
I love the song ❤️,2024,this guy angeinuliwa na kina platinumz, could be far
@victorguapo7827
@victorguapo7827 8 ай бұрын
Hana nidham ndio maana ata platnum hakumtka
@kobokombishi6386
@kobokombishi6386 6 жыл бұрын
Baraka hii kazi ulioteshwa home boy yani hii ngoma balaaa ujue
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips 4 ай бұрын
Baraka anajua sana daah 2024 tupo hapa kusikiliza mziki mzuri
@maliaannann1572
@maliaannann1572 4 жыл бұрын
Nyie Kiba ana sauti unique asee 2020 team kiba gonga like kwa ajili yake
@fridakimwanya1158
@fridakimwanya1158 Жыл бұрын
Sanaaaaa Yan namkubali mnoo
@JumaAdam-mt9wc
@JumaAdam-mt9wc 3 ай бұрын
hata mm kwenye huu wimbo napenda alikiba sana huy jamaa anasaut nzr mno
@MJ-rl7uo
@MJ-rl7uo 8 жыл бұрын
Watz tunajua kukosoa kishabiki san....hatujui kusema ukwel halisi wa kitu.Hii video ni nzur...ina quality nzur...stor pia sio mbaya sa.Kilichonifanya nikaweka comment yang hapa ni hii audio ilotumika kweny hii vdeo....wametumia demo yake....au km sio demo basi hii vdeo ilishutiwa kabla ya official audio kukamilika......vdeo ina audio mbaya mpk inaboa....yan imepoteza utam wa vdeo kabsaaaa...Rockstar 4000 mjipange vzr....vitu vdog km hivi ndo hushushaga thaman ya wasanii......Mbna ile ya commando jide mmeua balaaa.....hapa kwa baraka imekuwaje?...All in all big up.....kazen buti soon u gonna make it.
@laineedianawebb1050
@laineedianawebb1050 8 жыл бұрын
Hey there Ali. Kiba Cape Town loves you guys...👌🏽👌🏽💯💯💯💯💯💯💯
@maliaannann1572
@maliaannann1572 4 жыл бұрын
Welcome.... Malia from Tz
@clivemuhorondegwa1945
@clivemuhorondegwa1945 8 жыл бұрын
Hasira Hasara tuyaskia wahenga walishasema 🔥🔥🔥. Legend nakshi
@flowjowi8721
@flowjowi8721 5 жыл бұрын
Waah.. . This is Ali kiba! ... u r legend! 254 behind u boy.... we love you kiba. Boy aliyetuliza na mkenya wetu hana maneno mengi!
@alvinalfredy3696
@alvinalfredy3696 2 жыл бұрын
Alikiba brought me here every time when i misses his voice i would search and play all of his music from old to then
@RehemaSamwel-ki7ji
@RehemaSamwel-ki7ji Ай бұрын
Nakupenda Baraka pliiiZ rudi kwenye gem, niko sambamba nawe 2024 mpaka 2025😅
@sandboyke
@sandboyke 8 жыл бұрын
wasafi kwa sauti moja washaakubali,baraka,una baraka,moto mkali zaidi kuliko huu twahitaji toka kwako,,,,,
@hamidahassan5951
@hamidahassan5951 8 жыл бұрын
Love how kingkiba feeling the song.that free spirit...killing it my boys
@zakariakironwa5943
@zakariakironwa5943 8 жыл бұрын
Iko pow mbona
@alexthomas6796
@alexthomas6796 8 жыл бұрын
good song
@alfredycheyo8847
@alfredycheyo8847 5 жыл бұрын
Hamida Hassan
@MakoberoMariyam
@MakoberoMariyam 11 ай бұрын
Mziki nimuri nli upenda toka2017
@muhibuissa743
@muhibuissa743 8 жыл бұрын
Ngoma kali na video Kali hongera sana Baraka the prince na Kingkiba
@victormwampeta5720
@victormwampeta5720 8 жыл бұрын
Awesome
@furahamadina1665
@furahamadina1665 8 жыл бұрын
Big up sana, kwa sauti tu mnavutiyaaaa, Barak achana naule aliy kukashfuu kutokana n'a rangi yako Kaka ummpuuziy kabisaaaa, yani Uwe Kama mweny kumdhararuu......@@@@@@@ congratulation kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@fahadbabuy
@fahadbabuy 8 жыл бұрын
video iko poa.....wasiozowea vizuri vibaya vinawaita!! king x prince👑 #lit🔥🔥🔥
@chibaboy5803
@chibaboy5803 8 жыл бұрын
go go go go go Wana wache waonge wamezoea vdeo za malang lang iko poa xnaa vdeo big up
@mussaathuman5746
@mussaathuman5746 8 жыл бұрын
we umeongea point
@hamphumichael7194
@hamphumichael7194 4 ай бұрын
The best song always in my life
@angelnyange3403
@angelnyange3403 10 ай бұрын
Wale tunaangalia kwa sababu ya kiba gonga like ❤️2023
@Directamacs
@Directamacs 8 ай бұрын
umekosea
@dayanaamoit6951
@dayanaamoit6951 8 ай бұрын
​@@Directamacs Sana baraka 🔥
@jenahando2747
@jenahando2747 7 ай бұрын
Wewe hewa sana
@pavlotz8084
@pavlotz8084 4 ай бұрын
Kiba kafunikwa humu
@ThimoseoFrancis
@ThimoseoFrancis 3 ай бұрын
@SevelinKB
@SevelinKB Ай бұрын
Kwamtu Alie niumiza kimapenzi kiupande wangu ni ngumu sana kusamehe haya mapenzi sio kabisaaaaa
@Rastamuslim
@Rastamuslim 6 жыл бұрын
baraka hii kazi mlifanya kweli sijui kilitokea nini ila wee na kiba sauti zenu zina faa kundi moja hasa bro
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 23 сағат бұрын
King Ally salehe kiba umeniletea niusikilize huu wimbo mara 16❤❤❤❤❤❤❤❤❤🫅🫅🫅🫅🫅🫅🫅🫅🎉🎉🫅🎉🫅🫅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🫅🫅🫅🫅🫅🫅🫅
@chrisbabyyengo3817
@chrisbabyyengo3817 7 жыл бұрын
What a beautiful song sang with top artists in Dar.......... big up king kiba
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 7 жыл бұрын
hiki kichupa watu wapo kiasili zaid me penda Aliy kiba na barak saan god blessing in shaallah
@robertkalumba3349
@robertkalumba3349 8 жыл бұрын
beautiful songgggg...great fan of Alikiba...he has a knack of singing songs that have a fine balance btwn soulful and straight out club banger...here is another club banger!!!!
@robertjohn7242
@robertjohn7242 5 жыл бұрын
Alikiba hajui kuimba
@halimaamani4095
@halimaamani4095 Жыл бұрын
Yaaani huyu mtoto angekuwa mbali Sana, hii nyimbo hatsri llakini jeuri yske kwa king imemponza
@hajifuko9145
@hajifuko9145 8 жыл бұрын
pamoja Alikiba uko safi mungu akulinde katika game
@naominyanzilamachongo9642
@naominyanzilamachongo9642 4 ай бұрын
baraka ni international artist nidhamu
@Alikibainblood1994
@Alikibainblood1994 5 жыл бұрын
dah baada ya matatizo ya baraka nimejikuta nakuja kuitazama hii ngoma 2019
@zlfamz3540
@zlfamz3540 3 жыл бұрын
Nyimbo hii yaingia moyon jmn n tamu nilmukosea boy wangu namuomba anisamehe plz
@triplea4080
@triplea4080 6 жыл бұрын
Still listening from Kenya...for real mwanamke akipenda ujue amependa kweli 😘😘😘
@DurahRich
@DurahRich 4 жыл бұрын
bado ngoma bora kwangu kwa mda wote
@mbondehussein4621
@mbondehussein4621 8 жыл бұрын
Yaan n zaid ya ngoma kali,,,,, so nice 👑 en 👸
@MissDGordon
@MissDGordon 7 жыл бұрын
eeh kiboko, jamani hawa watu wawili wanasauti nzurii,a very lovely song.thank you guys
@clauselijah8262
@clauselijah8262 2 жыл бұрын
It’s 2022 and this one still hit the same way 🔥
@edmundmanyala5903
@edmundmanyala5903 Жыл бұрын
The song is still on fire 2023
@rich.kizza10
@rich.kizza10 Жыл бұрын
Baraka anamchukia Kiba siku hz😁
@soniazayumbazayumbasoniia6657
@soniazayumbazayumbasoniia6657 3 жыл бұрын
Nimerudia kutizma hii video mwanangu baraka rudi kwa kiba . 😍🥰🥰🥰 mr don care kiba
@shebydebery3382
@shebydebery3382 8 жыл бұрын
Watanzania kwa kuponda mnaonza ndo maana ha2endelei video iko poa ukiona mbaya katoe ya kwako
@amedeuskiwango8285
@amedeuskiwango8285 8 жыл бұрын
sisi ndo mashabikik tunajua video nzuri na mbaya kubali tyu hii video mbaya sanaaaa
@msaniimpyaBMW
@msaniimpyaBMW 8 жыл бұрын
Kabisa mwana!
@goodluckalike4157
@goodluckalike4157 8 жыл бұрын
+amedeus kiwango apanaa bro....sisi wote na iman hatuna professional ya kujaji vitu ka hivi ko tusifie vya kwetu bhna....
@perezwambi9878
@perezwambi9878 8 жыл бұрын
sheby debery
@simonngatia8900
@simonngatia8900 7 жыл бұрын
gai
@abukingz
@abukingz 8 жыл бұрын
kazi nzuri kiba, nlijionea hii weekend iliyopita mombasa.....penye sifa pasifiwe aiseeeee.....
@ayoubkonah8822
@ayoubkonah8822 8 жыл бұрын
I want back am sorry babiee Mstari Unaonikosha baraka amekaza and kiba pia hongeren Good job
@ashaisaack1642
@ashaisaack1642 4 жыл бұрын
I really love this song and the voice of baraka the prince and alikiba keep going
@muumaftah9254
@muumaftah9254 8 жыл бұрын
bakora msenge sana hii ni bonge langoma wango tusha zoeya ma edit mpaka kero baraka yuko really bhana bonge lakorabo baraka ft alikiba
@husseinpazi861
@husseinpazi861 7 жыл бұрын
Ila we kaka Baraka unajua sn yaani ata cjui nisemeje jinsi unavyo nimalizaga na nyimbo zako"I'm crazy!!!4this!!!
@purkansungwe5669
@purkansungwe5669 8 жыл бұрын
Asanteee sasaaa ali kiba na barakaa
@AzizAziz-vy6ik
@AzizAziz-vy6ik 5 жыл бұрын
Baraka upo vzr kak
@levythadon6387
@levythadon6387 7 жыл бұрын
Hii ngoma mbona nzuri na haija fanyiwa haki views kidogo kweli the song deserves 5m
@WisdomOfTheAges.
@WisdomOfTheAges. 8 жыл бұрын
Beautiful music beautiful video beautiful voices ....big ups!
@careenrema2758
@careenrema2758 8 жыл бұрын
sasa hapo anasamehe vp Prince club tena na wengine huku unataka kurudi ?i love video ipo kwenye uhalisia wa wanaume mnasema jambo huku mnatenda jingine.
@jildow4533
@jildow4533 8 жыл бұрын
Mungu akuongezee fikra nyingi😀😀😀😀😀😀
@salehehassan3665
@salehehassan3665 8 жыл бұрын
hatuaminiki hata kidogo😂😂😂😂😂
@dickmalove5544
@dickmalove5544 4 жыл бұрын
Yanii
@johnstilinski9021
@johnstilinski9021 2 жыл бұрын
love the beat ,its great ,the lyrics are on another level. Thanks for this masterpiece
@zlfamz3540
@zlfamz3540 3 жыл бұрын
Jmn hii nyimbo n nzuri sana sitaisahau milelel
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 8 жыл бұрын
Ikopoa sanaa ngoma hongereni mazee by team mziki mzuri cyojanjajanjaaa
@fungafungatv448
@fungafungatv448 5 жыл бұрын
Dogo kapotea kwenye ramani ya dunia kwa kumzalau aliyeibeba bongo fleva .....king of bongo fleva king Kiba
@selabitozymurad2635
@selabitozymurad2635 8 жыл бұрын
Favorite One ..Big Up Baraka Da Prince kijana wa Raj Taraj
@elizabethjohnson6230
@elizabethjohnson6230 8 жыл бұрын
yaani hiyo sauti yako baraka mpaka mapigo ya moyo yameongezeka,big up.
@farajiissa560
@farajiissa560 10 ай бұрын
Hua najikuta machoz yananilenga kwa izi saut bt well said is unstoppable
@rosjm1377
@rosjm1377 Жыл бұрын
This are the songs we want back ❤❤❤
@DaveHumphrey2514
@DaveHumphrey2514 7 жыл бұрын
YAANI... ILINIBIDI NIUSIKIE HUU WIMBO ZAIDI YA MARA 20 HIVI HADI NIKAUELEWA... BONGE MOJA LA JIMBO! this song is excellent in everyway and ALI KIBA was the best featuring.... ahsante baraka
@hidayaselemani3761
@hidayaselemani3761 8 жыл бұрын
video nzuri kazi nzuri namuomba mungu awasimamie inshaallah
@msaniimpyaBMW
@msaniimpyaBMW 8 жыл бұрын
AMIN
@kirrapampling3694
@kirrapampling3694 8 жыл бұрын
ɷɷ Heeeey Friendds I Havee Justt Wonnnn Brand New iPhonee From visittt : - t.co/LzM60uuKnC
@sibawayhisalum2707
@sibawayhisalum2707 8 жыл бұрын
Aamin
@sibawayhisalum2707
@sibawayhisalum2707 8 жыл бұрын
Aamin
@mpendulozulu6468
@mpendulozulu6468 8 жыл бұрын
asant king
@yuleboy2010
@yuleboy2010 3 жыл бұрын
Umefanya vizur xana umu kumxhilixha king kiba XO iyo ngoma miaka 💯 haita poa
@bakariomari7368
@bakariomari7368 8 жыл бұрын
bonge la video bonge za sauti saluti kwenu vijana🔥🔥🔥🔥🔥
@nindwakulwa139
@nindwakulwa139 5 жыл бұрын
Baada yakutoka kwa king kiba ukaisha shenzi wewe umekuwa kama mavoko alipokuwa peke alikuwa anaweza saiv hamna kama unabaria nahilo ndsu like hapo chini
@reenyranny7713
@reenyranny7713 8 жыл бұрын
alway b positive to others n wish them well instade ya kuponda na kuongea manegatives
@codenameimpact
@codenameimpact 8 жыл бұрын
ɷɷɷ Heeyy Friendsssss I Havee Justtt Wonnnn Branddd New iPhone 6 From visittttt : - t.co/fIxhIuPo9G
@joanwacira6464
@joanwacira6464 8 жыл бұрын
nmekuina swry ushapona
@sharonnekesa2247
@sharonnekesa2247 8 жыл бұрын
T
@zeylannoor8292
@zeylannoor8292 7 жыл бұрын
Reeny Ranny mop ni mop
@philemonalex8089
@philemonalex8089 Жыл бұрын
Baraka muombee bro msamaha atakusamehe mfanye kazi unaweza bro king 👑 naamini ana baya
@wanjirumwathi
@wanjirumwathi Жыл бұрын
Timeless creations
@Iam_Johcountry
@Iam_Johcountry 10 ай бұрын
Tuliorud kwajr ya kuomb msamaha kwa babe zetu kupitia huu wimbo tujuane😅❤
@alexthomas6796
@alexthomas6796 8 жыл бұрын
bro kiba Kiukwel anajua Sana
@ramsojuma7615
@ramsojuma7615 8 жыл бұрын
mimi sina utata na wimbo uhu umu wote wanajua kuimba kwanini kusingekuwa katka lebo moja
@prudencemusyoki2386
@prudencemusyoki2386 2 жыл бұрын
King kiba never disappoint
@faridasalim2698
@faridasalim2698 7 жыл бұрын
wallai I love this song ....kama sio kiba baraka singefagilia ngoma zako..nimekukubali
@mudarisuburhan7182
@mudarisuburhan7182 5 жыл бұрын
farida salim k
Baraka The Prince - Siwezi (Official Video) SMS SKIZA 7637224 to 811
4:24
Barakah The Prince
Рет қаралды 3,1 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 14 МЛН
Rj The Dj Ft Barakah The Prince - Bora Iwe (Official Music Video)
3:28
Mapenzi Run Dunia
4:35
Alikiba
Рет қаралды 516 М.
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video)
3:22
Alikiba
Рет қаралды 16 МЛН
OTILE BROWN ft BARAKAH THE PRINCE - NISEME NAWE (Official Video)
4:10
Otile Brown Official
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ommy Dimpoz & Alikiba - Kajiandae (Official Music Video)
3:42
MwanaFA Featuring Alikiba - Kiboko Yangu (Official Video)
3:50
Tommy Flavour ft Alikiba - OMUKWANO (Official Music Video)
3:02
Tommy Flavour
Рет қаралды 6 МЛН
Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Official Video
3:52
Chege Chigunda
Рет қаралды 29 МЛН
Bonge La Nyau Feat  Ali Kiba - Uaminifu Video   (Swahili Music)
4:02
BongeLaNyau
Рет қаралды 1,4 МЛН
Barakah The Prince  - Acha Niende (Official Music Video)
4:07
Barakah The Prince
Рет қаралды 762 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН