Omg!Ona kilichofanyika Mombasa kwa mission ya kubreak the pot...Mama Shifuna & Mganga kwisha

  Рет қаралды 8,827

Thee Raf Show

Thee Raf Show

Күн бұрын

Пікірлер: 271
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un 2 ай бұрын
Ww mganga na mama shifuna mtashindwa kwa jina la yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Elizabethnzulavoma
@Elizabethnzulavoma 2 ай бұрын
Niko na Iman ya kwamba tutashinda hii vita coz yesu yuko kazini
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti 2 ай бұрын
Amen 🙏
@nzanzex7831
@nzanzex7831 2 ай бұрын
Amen
@bethmbatia8767
@bethmbatia8767 2 ай бұрын
Mama shifuna na mganga mushidwe kwa jina la jesu kristo.
@OchukaGerald-kc5ge
@OchukaGerald-kc5ge 2 ай бұрын
Mama shifuna na mganga hamtawahi kuwa na amani kwa maisha yenu,ewe mwenyezi mungu send fire upon these evil beings 🔥🔥🔥
@evalyneacheing-ow2ew
@evalyneacheing-ow2ew 2 ай бұрын
Naomba 🧎‍♀️🧎‍♀️ mama shifuna ukufe kama ubwa in jesus name
@charlesongoro4811
@charlesongoro4811 2 ай бұрын
Uwuongo raff hawezi kuwa wazimu😂😂😂😂
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe 2 ай бұрын
Tapelu tu Huyo Hana lolote
@lettingchepkemboi854
@lettingchepkemboi854 2 ай бұрын
Mama sifuna awe mwendawazimu mwenyewe ktk jina la Yesu kristo
@NancyWangui-y4x
@NancyWangui-y4x 2 ай бұрын
Mama chifuna wewe utakufa kama ubwa ma setani nyinyi mungu andiru na nyinyi mutanjua mungu akouhai hio mapepo yenu mungu Ako na ngufu kusinda hiyo mapepo yenu kasia nyinyi msindwe hamutawapata wamezingiliwa na mungu 🙏🏻🙏🏻
@Kimi-wc3ip
@Kimi-wc3ip 2 ай бұрын
Omg muganga is even a Ugandan that song alone shows that God is powerful
@WinfredKawira-e6n
@WinfredKawira-e6n 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ngata ngata mwo mijinga musawi utafika mwicho mungu doo mukuu mama chifuna mbumbavu wewe usifo okoka uoni Christmas tunaomba mungu alie aii team raff wameshingiwa n damu j jesu.mungu shidi kupea pastor Joshua nguvu n team jke paka wakoplish the mission..nawashuti kuokoa watoto n wasio jiwesa amen
@charlesongoro4811
@charlesongoro4811 2 ай бұрын
Hakuna mtu muongo kama mganga😂😂😂
@leah5307
@leah5307 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@eunitakesio
@eunitakesio 2 ай бұрын
Mimi ni mganga alakini mie sio mwongo leta makojoo ya chui makucha ya simbamiguu ya nyoka pembe ya kuku uone kama sitakugangua😂😂😂😂
@cheroo11
@cheroo11 2 ай бұрын
​@@eunitakesio😂😂😂😂😂Shenfield
@evalyneacheing-ow2ew
@evalyneacheing-ow2ew 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Monica-ts5qj
@Monica-ts5qj 2 ай бұрын
Ukweli
@Zuuh107
@Zuuh107 2 ай бұрын
Mungu fanya wepes Aziz aje jaman hizi shetan wamiliki visima waone cha moto lkn niko na iman tutashinda hii vita☝️🤲🙏huna lolote mganga wew inahangaika tu hapo
@sarahngige1589
@sarahngige1589 2 ай бұрын
Labda za mkojo shetani muongo
@Zuuh107
@Zuuh107 2 ай бұрын
@sarahngige1589 sana hapo wanajikanga tuu hawana lolote ☝️
@EstherMarana
@EstherMarana 2 ай бұрын
Amen
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 2 ай бұрын
Ameen thuma Ameen yarabi
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti 2 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
@sara-fx3wp
@sara-fx3wp 2 ай бұрын
Yes glory to God, msiba wa kujitakia hauna kilio mama shivuna umeajia nani pesa pia wakasema kilicho na mwanzo lazima kiwee na mwisho manze,
@charlesongoro4811
@charlesongoro4811 2 ай бұрын
Sio raff anakushinda. Ni Mungu tu😂😂
@eunitakesio
@eunitakesio 2 ай бұрын
Hawa wajinga wanasumbua mwala sana sijui aliwakulia nini na watashindwa Kwa kina la yesu
@wilykisternasimiyu7643
@wilykisternasimiyu7643 2 ай бұрын
NGADANGADA NGWAA,naroga kichina with mama mfupi mpumbavu mnono you're doomed in the name of Jesus 🙏🙏
@LydiaLydia-iw6qt
@LydiaLydia-iw6qt 2 ай бұрын
Mjinga sana
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti 2 ай бұрын
Amen 🙏
@MaryMuthoni-rf2qu
@MaryMuthoni-rf2qu 2 ай бұрын
Huyu mama nikazi alikosa kazi ni kushinda kwa mganga ... Ushindwe katika jina la Yesu na huyo mganga wako fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@everlineeverlinewamalwa243
@everlineeverlinewamalwa243 2 ай бұрын
Thank you Jesus 🙏 we are happy you are at work, thank you baba,🙏🙏🙏🧎🧎🧎🙏🙏
@rachel0073
@rachel0073 2 ай бұрын
Mtakufa vibaya nyinyi ma shifuna na mganga wako.mrudieni Mungu mtapona
@ReemaM-i5t
@ReemaM-i5t 2 ай бұрын
Niliiongojea sana hii episode ykusikia mmashifuna n muganga kwisha I hope kuna mazuri yamama shifunaa n miunguyake kutuondokea kwahili dunia tumechioka n hizo drama zao walahi😢😢
@BrettaAmos
@BrettaAmos 2 ай бұрын
Raf mtoto mjinga mfumbavu mfupii masikini😂😂pst mfumbavu na Eric mrefu mweusi 😂😂 aki uyu mganga ana mambo😂😂
@Maggykiongo224
@Maggykiongo224 2 ай бұрын
We win before muanze hii ni kazi bure ata mugaga mwenyewe haamini amecdwa
@mwariwaweru-wl4de
@mwariwaweru-wl4de 2 ай бұрын
Mama mpumbavu wanafanya hii kazi yote ili aue watoto wa mwenyewe may she never no peace
@ChemutaiBrenda-c8u
@ChemutaiBrenda-c8u 2 ай бұрын
Mungu ni nani,,, mungu halali jameni,, thank you Jesus 🙏🙏🙏
@davidkariuki7951
@davidkariuki7951 2 ай бұрын
May our Father , Lord and God Almighty ashame you in Jesus Mighty name 🙏🙏
@sellyraps2057
@sellyraps2057 2 ай бұрын
Holy ghost fire 🔥 mama Shifuna una shida kubwa watu hutamani watoto na ww unataka kuua mtoto wako..chisaka mtoto mjinga.😂😂😂.mshindwe katika jina la Yesu kristo
@AshaMaria-tx8qm
@AshaMaria-tx8qm 2 ай бұрын
Naomba Mwenyezi Mungu awateketeze nyote Na mwiungu zenu,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥in the name of Jesus Christ 🙏🙏🙏
@LucyNdunge-yy4nb
@LucyNdunge-yy4nb 2 ай бұрын
Wewe mujinga hii unajita munganga siurudie mungu uwe unamuimbia munganga mujinga sana n'a mama mujinga
@MariamNakoa
@MariamNakoa 2 ай бұрын
God take control pasua iyo nyungu Ehh Mungu mwenye uwezooi
@Wambui-pf8up
@Wambui-pf8up 2 ай бұрын
Huyu mganga kwanza kichwa itenganishwe na mwili
@BraniceAmbogo
@BraniceAmbogo 2 ай бұрын
Mungu wetu halali,mama shifuna huu mwaka hautaisha before ukufe ww shetàni mkubwa
@periswanjiru9476
@periswanjiru9476 2 ай бұрын
😂😂😂 huyu Babu ana vituko Ako na new song sasa
@evalyneacheing-ow2ew
@evalyneacheing-ow2ew 2 ай бұрын
Umeona😂😂😂😂😂😂
@shalomkind4575
@shalomkind4575 2 ай бұрын
Mumeshindwa katika JINA LA YESU .MNAMILIKI KIFO TU SIO VISIMA .
@KilandeSylvia-kn2bx
@KilandeSylvia-kn2bx 2 ай бұрын
God father in heaven do a miracle to Raf team and you sent the holy spirit to save them thru Jesus christ Amen
@zwenaKhalayi
@zwenaKhalayi 2 ай бұрын
Confused elements zinaimba wimbo wa mungu
@rachel0073
@rachel0073 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 I was wondering too
@MildredInyanji-qu1fh
@MildredInyanji-qu1fh 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂hakuna kumiliki visima zitawamiliki wenyewe😅😅😅😂😂😂
@EjikuAntonet
@EjikuAntonet 2 ай бұрын
At least he knows there's heaven in his song
@SmilingGears-zg4yf
@SmilingGears-zg4yf 2 ай бұрын
Aki nakereka na Hawa watu,mungu tuma rati Yako ya moto imalise hizi kasia,mtakufa vibaya nyinyi.
@Marry-h1i
@Marry-h1i 2 ай бұрын
Chomeka katika jina la yesu kristo
@biadiali8097
@biadiali8097 2 ай бұрын
Mungu hatawashinda kila jambo munalolipanga insha'Allah 🙏
@rachel0073
@rachel0073 2 ай бұрын
Damu ya Yesu Kristo iwachanganye nyote in Jesus name.
@Marry-h1i
@Marry-h1i 2 ай бұрын
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lennyfrank
@lennyfrank 2 ай бұрын
Back to the sender by blood of Jesus uchawi kwenyu umefika mwisho
@zwenaKhalayi
@zwenaKhalayi 2 ай бұрын
Walai iyo wimbo niya mungu kwa kiganda
@JusterKarimi-v9i
@JusterKarimi-v9i 2 ай бұрын
Only our lord Jesus wins.waiting
@janejapan9363
@janejapan9363 2 ай бұрын
They will know who is the creator of heaven and the earth 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@OmusoloWinnie
@OmusoloWinnie 2 ай бұрын
Kwani Aziz alienda akiendanga pls Eric and Raff Aziz sii atokezee plus pastor mungu muumba wa bingu na inchi shuka sass fire fire fire fire fire
@NamutosiDianah-uh1pl
@NamutosiDianah-uh1pl 2 ай бұрын
His name is above all names
@rosenyambu7954
@rosenyambu7954 2 ай бұрын
We mungu tenda miujiza yako vile ulifungua tumbo ya mama mwenye kutoa ndamu miaka 12yr fanya kwa raff, paster, eric camera lady and the team Jesus Christ
@josephinekiranga1411
@josephinekiranga1411 2 ай бұрын
Shindwe katika jina la Yesu Kristo
@AminahMuhammad-e5q
@AminahMuhammad-e5q 2 ай бұрын
God provides for team RAF and Eric pastor Joshua Oh God don't let your people get ashamed of this mission
@janewaithes5183
@janewaithes5183 2 ай бұрын
Mama mnono,mpumbavu,endelea kuulia wanawake watoto,utaona,kuna Mungu Mbinguni
@wilykisternasimiyu7643
@wilykisternasimiyu7643 2 ай бұрын
Chilibera mwikuli gulibakusanyika buma,😅😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dorothyosoko4661
@dorothyosoko4661 2 ай бұрын
God protect Raff ,Eric , Chisaka and pastor Joshua and covered them with the blood of Jesus Christ Amen Amen Amen Amen 🙏
@eunitakesio
@eunitakesio 2 ай бұрын
Mganga ametoa wimbo ingine Kwa studio mpya mama mpumbavu mnono nguruwe mwizi
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 2 ай бұрын
Kunawakati waganga wanadanganya mukwishe mwaka huu hatuwataki 😅😅😅
@EstherMarana
@EstherMarana 2 ай бұрын
Nyinyi ndio mtabaki maskini mungu wetu sio maskini
@Morgan-k8q
@Morgan-k8q 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂kwani kunakuanga mbuzi wa miguu 3 ama mbuzi wa babu chale ndio atakua wa miguu 3 awe wa kwanza😅😅
@Zuuh107
@Zuuh107 2 ай бұрын
Kumbe we ndo ulikuwa unasumbua gari njiani kwan Mungu hayuko😢😢😢Mshindwe mama sifuna akili uliweka wapi jaman unapambana na watoto kweli wew acha uchawi kuuza watoto
@lucyngigi7720
@lucyngigi7720 2 ай бұрын
Mshindwe in Jesus name Raff protect by blood of Jesus..No weapon formed against Raff, chisaka, Pastor,Eric and camera lady shall prosper in Jesus name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@maureenkaranja654
@maureenkaranja654 2 ай бұрын
Fire 🔥🔥🔥🔥 in the mighty name of Jesus 🙌
@MeseKalinga
@MeseKalinga 2 ай бұрын
Hii sautiii mnazotumia kuimbia miungu ya bahali bora mngeenda church kumsifu Mungu wetu aliejuu
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti 2 ай бұрын
Aki adi ameimba wimbo mtamu kwa kiganda ila anaimbia miungu🤔🤔
@MeseKalinga
@MeseKalinga 2 ай бұрын
@RuthKibiriti duuh jmn
@zahramahammad916
@zahramahammad916 2 ай бұрын
Ekiribera mugulu kulibakusanyuka😂😂😂 gwe babu wamama shifuna olikaaba togenda kusanyuka hehe.
@rachel0073
@rachel0073 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 they are singing gospel song without knowing
@yasinyasalam3713
@yasinyasalam3713 2 ай бұрын
Kumbe mashetani wanakuangana songs 😂😂😂😂
@nzanzex7831
@nzanzex7831 2 ай бұрын
Mama mnono pumbavu rudia mungu wako alie kuumba
@leah5307
@leah5307 2 ай бұрын
Mama shifuna ushelewaaa 😂😂😂
@Kaninis3
@Kaninis3 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kifaa kufanyika kumaa kumaaa 😂😂😂😂 shindweni tunaambudu Mungu asiye shindwa
@JosephineKageha-qx7ut
@JosephineKageha-qx7ut 2 ай бұрын
Huyu mama ageweka tumaini lake kwa mungu agekua mbali but aliweka tumaini kwa waganga ona sasa haya maisha
@charitywangeci4846
@charitywangeci4846 2 ай бұрын
Ibilisi Pepo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 2 ай бұрын
Raf nakuonea huruma hii vita ni ngumu ila usichoke kua na Imani kua utashinda
@Famillebeine
@Famillebeine 2 ай бұрын
Aki nahurumia huyu mama laiti angalijua muda unayoyoma angalitumikia mungu huu wakati😢😢😢😢
@deborakadhengi5771
@deborakadhengi5771 2 ай бұрын
Hizo nyimbo walibadisha zakikristo wakaeka ujinga wao😂😂😂
@maulnejumba1128
@maulnejumba1128 2 ай бұрын
God will do it again He is a faithful God
@TabithaTabitha-t6s
@TabithaTabitha-t6s 2 ай бұрын
Mganga hauna nguvu Ata kidogo Kuna mungu mwenye term Eric wanambundu
@mercyshany6400
@mercyshany6400 2 ай бұрын
Nyinyi ndio wajinga wa kwanza na kumalizia mshindwe katika jina la yesu 🙏 team raff God is going to protect you in Jesus name 🙏 nothing will happen to you guys
@AnacyJohn-wg8zk
@AnacyJohn-wg8zk 2 ай бұрын
Amutaweza in Jesus name Amen
@charlesongoro4811
@charlesongoro4811 2 ай бұрын
Ati ulikuepo kabla dunia😢. Kubafu mganga😢
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 2 ай бұрын
Kumbafuzake mja alielaaniwa duniani na mbinguni shindwe pepo hii
@YESUNIBWANA-fp4ky
@YESUNIBWANA-fp4ky 2 ай бұрын
Kanajifanya Mungu,na tuniona kiyovu yake..kumaanisha alikua deni mwa tumbo ya mamake..devil is a lair tangu mwanzo
@janetamadi2685
@janetamadi2685 2 ай бұрын
Mama sifuma sasa kuma kuma niwimbo ngani hiyo 😂😂😂😂
@wanjiky372
@wanjiky372 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 2 ай бұрын
huyu mama mfupi mnono Mpumbavu ashindwe kbsa kwa jina la Yesu Kristo aliye hai
@lilianjerugut6510
@lilianjerugut6510 2 ай бұрын
Kwa kweli mganga ni mjinga mkondi mkumbafu kabisa na mamashifuna😂😂
@Dama-w8f
@Dama-w8f 2 ай бұрын
Mama shifuna chomeka namoto wajina la yesu hamtaweza raff juuu yeye nimtu wamungu
@StellahMgeni
@StellahMgeni 2 ай бұрын
This evolls a praising Lord,without knowing God will finish them.
@alexsaidi3940
@alexsaidi3940 2 ай бұрын
Ushaelewa heeee😂😂
@maggieshi690
@maggieshi690 2 ай бұрын
Blood of jesus Christ upon raff eric,na mtumishi wako na bibi yake oh God protect them by the blood of Jesus Christ 😮holy ghost 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@manisobblowi8894
@manisobblowi8894 2 ай бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu hawezi acha watoto wake wateseka ama kuteswa na pepi shindwe pepi chafu
@MaryamShabani-n2u
@MaryamShabani-n2u 2 ай бұрын
Uyu mshezi kaja mpaka kwetu tz duu😢😢😢
@MacyMacy-xb1ex
@MacyMacy-xb1ex 2 ай бұрын
Eeeei mungu tuma malaika tunakuitaji munguwetu
@jacquelinemalobawande7156
@jacquelinemalobawande7156 2 ай бұрын
Holy Ghost fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥 in the name of Jesus
@OmanJjs
@OmanJjs 2 ай бұрын
Shindwe fire 🔥 in Jesus name 🔥 fire 🔥 📛 in Jesus name Amen 🙏
@OmusoloWinnie
@OmusoloWinnie 2 ай бұрын
Bure kabisa unalinganishana mungu o lord send your Holly fire fire fire
@MildredInyanji-qu1fh
@MildredInyanji-qu1fh 2 ай бұрын
Hizo kugeuziana ni nyinyi wenyewe huko msituni shindwe🤣🤣🤣shetani mjinga mbumbavu shenzi nyinyi
@leah5307
@leah5307 2 ай бұрын
Mama munono mjinga mpumbavu 😂😂😂
@RuthKavithe-bz6pq
@RuthKavithe-bz6pq 2 ай бұрын
Uyu mama shifuna ajuangi kama Kuna mungu
@nagudizipola2992
@nagudizipola2992 2 ай бұрын
Even muganga is singing praise song of the church in luganda meaning what will be in heaven is only happiness,singing ,jumping and rejoicing. U can see how God changes waganga 😂 we serve the leaving God, raff ,erick chisaka and others God is your final fighter 🙏
@pamelamusanga-o5z
@pamelamusanga-o5z 2 ай бұрын
Kulivakusanyika mama ni ya church ama 😂😂😂
@lailalaila6297
@lailalaila6297 2 ай бұрын
😂😂😂😂kwan leo nyimbo mpya katuletea mganga😂😂😂
@zohramariga6678
@zohramariga6678 2 ай бұрын
Ya Allah wachome hawa pamoja namiuguyao🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@eunicecheruiyot8604
@eunicecheruiyot8604 2 ай бұрын
God take control over everything and cover Raff and the team with the blood of Jesus
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 2 ай бұрын
Mtashindwa in jesus name
@pamelamusanga-o5z
@pamelamusanga-o5z 2 ай бұрын
Hiyo ni kalongo 😂😂😂
@arieyajacqueline9980
@arieyajacqueline9980 2 ай бұрын
Mtajua kuna Mungu binguni
@EuniceChepkemoi-cy5ny
@EuniceChepkemoi-cy5ny 2 ай бұрын
Kweli nyinyi ni mjinga kabisa kuanzia lini pastor akakuwa mjinga
@josephinekiranga1411
@josephinekiranga1411 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in the name of Jesus
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Zelensky Announces Talks with Russia / End of Martial Law?
13:55
NEXTA Live
Рет қаралды 1,1 МЛН
Powerful message from Mtume Mkali about Mam a Raf & her whereabout
53:29
OMG!They have come for camera lady😭😭
1:00:44
Thee Raf Show
Рет қаралды 2,6 М.
Ulikuwa Na kaswende Na Hukuniambia
4:12
Radio Maisha
Рет қаралды 19 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН