Watch part 2.mama shifuna alipewa pot kzbin.info/www/bejne/pJ23pGx8nbGWaJIsi=lxEZ-ogUDAlva35y
@luckiestmeckson22222 ай бұрын
Huyu mganga hafai kua hai lamlizake nizakichonganishi na kua yani kafara mtu kamahuyu hatakiwi kuishi kwavyovyote vile anatakiwa auliwe please team Riaga pote ulipo mtumishi wa mungu tusaidie katika hili please man of God . I beg you
@JacksonMutinda-jw5qw2 ай бұрын
Raf mtaeda mombasa Tena uyu mama akipewa nyugu igine
@ElmyMalkiah2 ай бұрын
Wale ambao tuko na mungu kujeni na juice Kwa kivuli pamoja na mkeka ... Na Kama unaamini Kwa kila chambo mungu amepanga binadamu yoyote hawezi kupangua gonga like tukisonga
@JacksonMutinda-jw5qw2 ай бұрын
Nlijua tu waomba likes,but aina shda kama uwa zakusaidia,mungu anakupeda
@davidkariuki79512 ай бұрын
I thank God 🙏🙏 for pastor Joshua's prayers,he said "wapigane wao Kwa wao" glory be to God 🙏🙏🙏🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jacquelinemalobawande71562 ай бұрын
Amen
@JocAnt-dn3ci2 ай бұрын
Amen 🙏
@RuthKibiriti2 ай бұрын
😂😂😂😂Amen 👍🏼👍🏼👍🏼🙏🙏🙏
@shikokim34372 ай бұрын
Amen Amen
@SrTerd2 ай бұрын
Amen
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
Hamuezi kumpata raff kamwe , raff ni mtumishi wa Mungu na amezingirwa na damu ya yesu aliiye juu mbinguni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@FfGg-bf6mf2 ай бұрын
Amen 🙏🏻🙏🏻
@MaryanneAmaizing2 ай бұрын
Mama shifuna kifo chako Kiko karibu saaana.
@Nancy-wy2zi2 ай бұрын
Mababu chukuwa huyu mama tumemupatia kwa mikono miwili 😂😂😂,thank you God for everything
@JocAnt-dn3ci2 ай бұрын
😂😂 tunamwongezea plus kinyambuzi kufa dereva kufa makanga Na abiria wote
@milicentkagasi42572 ай бұрын
Tena tunawapa bure kabisa
@fatnajuma18322 ай бұрын
😂😂😂nimecheka
@dorcaswairimu6972 ай бұрын
Hakuna jambomama shifuna atafanya lifaulu katika jina la yesu
@purityrotich17032 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 mama shifuna ametupa mzee chini.hizi ni nyakati za mwisho tunafaa kufunga na kuomba sana
@joycewafula9352 ай бұрын
Aki shetan ameshindwa kwa jina la yesu kristo 🔥🔥🔥
@lennahharrison88092 ай бұрын
Nasi huyu mwanamke Ako na Roho aki Mimi vile naboekanga haraka kuna vitu siezi aki... wuuuuuui 😅😅
@estherwainaina-dz3wb2 ай бұрын
Mungu wetu ni nani mmba wa Dunia hyu mama atamumalisa kabisaa let's just continue trusting God that huyu atakufa very soon
@janenjenga89062 ай бұрын
Kateni hio shingo asubuhi na mapema .....tutafanya celebration 🎉🎉 Power of darkness can't defeat almighty God power Tuwashindi..... halleluyah kanisa🙏🏾🙏🏾🙏🏾semeni lound Ameeeeeeeeen
@harrietajiambo2292 ай бұрын
Amen
@florencebosibori99612 ай бұрын
Mbona huyu mama yujiteza ivi kweli,kwa yesu hakuna sheria na masharti ya kimatezo
@سميرهكينيا2 ай бұрын
Bado mungu siufanye majabu mungu wetu nyoka hiyo imuuwe uyu mama wajawako wadogo wapumzike yarabi
@sylviaogwedhi5132 ай бұрын
Pesa za huyu mama anatengenezea nani jamani?? What an evil woman is shee, Ooh my God ! Mungu wa Raff ni mkuu. zaidi. ya hao mababu .
Yaani huyu mama shifuna na huo mwili wote akili iko wapi 😢😮Kazi kufanyishwa mambo ya kishenzi na mapepo ,Kweli kwa Mungu kuna raha🙏🙏
@mwariwaweru-wl4de2 ай бұрын
Atolewe kafara kwani wenye yy hupeana c watu? may u never know peace
@winniekiarie25302 ай бұрын
Watakuja kwa njia moja na watatawanishwa kwa njia saba
@rachaelosiche1212 ай бұрын
@@winniekiarie2530 Amen Amen
@PhilesOngono2 ай бұрын
Na hawa mababu hawajui kuna mtu anarecord😂
@NofelaJaco2 ай бұрын
hapo sasa😂
@florahmbaka60072 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅... NI kama wamepofushwa na Mungu wasione ila Kwa MDA Tu... Wataangamia mile 🙏🙏🙏...@@NofelaJaco
@annciakarimi87152 ай бұрын
I think inakuanga hidden camera
@carendeborah56872 ай бұрын
Its hidden camera,huwa wanaelekezwa na mitume penye watakutana,them wanaenda kuset camera
@254frida2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂mungu ni nani
@AabbyAlima2 ай бұрын
Yaa maadui wetu watapigana wenyewe kwa wenyewe siku za mwisho, glory to God
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
🙏 na wamalizane kabla ya huu mwaka kuisha
@FAMOUS95-V2 ай бұрын
Alililiiii 🎉🎉🎉tuanze kuchanga pesa za kusherekea soon Raff ishini tu huko kwa pastor muombe wapigane wao kwa wao hiyo nyungu ipotee in Jesus mighty name
@damarismwaura14552 ай бұрын
Hii mashalti ni gumu njoo kwa Mungu tuko free😂
@FaridaKikiz2 ай бұрын
Mungu sio wakuchezea ww shifuna God have power more than human being .
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@harrietajiambo2292 ай бұрын
Huwa hawajui hio
@emilynyaboke95252 ай бұрын
Mama mkumbwa unamini waganga unasahau mungu waja kikulambe ndio utajua mungu yupo
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
Leo hamrogi tena kichina😂😂😂 sawa mm naona Mungu wangu anazidi kujidhihirisha
@nancymercy51182 ай бұрын
😂😂
@damarismwaura14552 ай бұрын
😅😅😅najaribingi hii sielewi naskianga tu kichana
@Betty-wk3eg2 ай бұрын
Mungu fanya tendo madui wajue kuna Mungu aliye mbinguni setani ana uwezo juu yako Mungu pigania akina Raff na Eric na chisaka mapepo hawawezi kuwapata ,Mungu maliza hawa wachawi kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏
@marionnanjala18062 ай бұрын
Mababu tumempea kwa mikono miwili hakna case hapo mchukue kabisa tuwaongozee kinyambizi kama bonus
@Hellengal2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂...kuna ady bonus
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 wamchukue kabisa
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
@Hellengal imagine na wkimaliza na wao, kuna chief tena,
@lavenderokunani2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅umesahau lilian
@betigeorge39672 ай бұрын
Wakati alikuwa anajinyonga kijana aliwambia alikufa ataenda Kwa shertani akuwe Bibi WA pili WA shertani
@RIZZYKENYA2 ай бұрын
Hata hamna la kufanya yote mnayo oanga hayatafaulu kwa jina la yesu🔥🔥🔥🔥🔥
@everlineeverlinewamalwa2432 ай бұрын
🤣🤣🤣💃💃🤼mungu wetu ni nani??? Yamemugeuga mama shifuna, asanteeeeeeeee yesuuuuuuu mungu wetu ni wa maajabu mwanadamu hayawezi💃🤼💃💃💃mi disco itaniuwa💃💃🤸🤣🤣🤣🙏🙏
@elizabethkosgei47312 ай бұрын
Mushindwe mama shifuna na mababu in Jesus Name 🙏, God is the winner always,
@DelphineWanjala2 ай бұрын
Hata Kama mababu watataka zaidi kunao plz-kinyambizi,wa malindi na muranga 😅😅😅
@JocAnt-dn3ci2 ай бұрын
Umesahau chief 😅
@abwaancalisey5052 ай бұрын
Raaf next time mukienda kupasua hiyo miungu plz muende na pastor Joshua
@alexsaidi39402 ай бұрын
UYu mwanamke amefungwa macho cz she needs to know raff amewatafuta for long still anafail.. Raff are protected by God for this mission..madm you will never win any battle
@LydiagathoniGithinji2 ай бұрын
Harakicheni mababu natuongezee Lilian na Nelly kama zawadi Kwa KAZI yenye mtafanya
@shinehusnah65722 ай бұрын
Raff na Eric fungeni nakuomba huyu atarudiwa na vitu zake ....chukueni hatua ya imani kila kitu kitakua sawa ...mungu watu sio kiziwi asiweze kusikia dua zetu ....amelaniwa amutegemeae mwanadamu...acha mungu ajidihishireee,,,tunapiganiwa hatupigani wenyewe
@LydiagathoniGithinji2 ай бұрын
Amen
@SheilaWandera-l4b2 ай бұрын
Yaa I wish wangebaki kwa church wafunge ata for 2days yote yatamrudia hiki kimama
@aboudijaaboudija2 ай бұрын
muuwen huyu mama na mganga wake 😢😢atamaliza watoto jamani kila kukicha anachinja
@GladysUchi2 ай бұрын
Yes that is how our God work n hamtampta Raff are Eric we cover them in the blood of Jesus
@gakyjaklin4502 ай бұрын
Wauwane wenyewe kwa wenyewe ,ww mama sifhuna mungu sio ndugu yenu mnachezea ,wamalizane wenyewe ,holy ghost fire 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥
@charlesongoro48112 ай бұрын
Huyu mama sifuna ni mjinga sana😢😢kuamini mganga kama mungu
@Bettybioz2 ай бұрын
Kujinja watoto ni rahis bt kushika babu wako nyoka n ngum? Utajua mungu yupo.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@eunicemwongeli90662 ай бұрын
No peace ✌️ 4 the wicked washindwe katika jina la yesu ak si amalizwe 2 jamani u cannot kneel down before God and end up in shame never mungu si mjomba wenu God 🙏 never disappoint
@JoanKinya-tw2gq2 ай бұрын
Shindwa kuyafuata hayo mashariti ya shetani! Wapigane wenyewe kwa wenyewe katika Jina la Yesu Kristo 🙏🙏
@jacquelinemalobawande71562 ай бұрын
Raff yaani REFAEL IS NOT A NAME TO JOKE WITH😅😅😅 HEHEEE... THE ARCHANGEL ""RAFAEL "" IS REALY HELPING AND PROTECTING HIS BOY 👦 WEE...
@carolwaithaka22232 ай бұрын
Kwani uku ni kisii penye Riaga walisema huyu babu wa mama shifuna ni wa kisii na lazma wataenda uko kumbomoa madhabau ya kiuchawi
@adelaidemary55142 ай бұрын
Pastor joshwa alishatabiri kifo chake haezi enda mbali huyu😂😂😂😂😂😂😂😂😂Raff na Erick kaeni kwa pastor joshwa hadi mtume arudi,yy atamaliza jizi ghasia zote
@HappynessJose2 ай бұрын
Mungu angesaindia upepo ukaja kupitia hayo majina mama kifuna Ushindwe na mnganga wako uwezi pata raff
@AgnessNyaboke2 ай бұрын
Mungu si kiziwi hasisikie maombi yetu🙏🙏🙏🙏🙏Mama shifuna your days are numbered
@PhilesOngono2 ай бұрын
Huyu babu n kitombi anazunguka yako la. Mama shifuna 😂
@evalyneacheing-ow2ew2 ай бұрын
Kimurambeee kabisa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@WeddyKathambi-b6g2 ай бұрын
Nigerian movies are reality in Kenya
@MuslimahMusa2 ай бұрын
Hhh that's true
@ElsyMugambi2 ай бұрын
Mababu tumemsurreder,,pokeeni😂😂😂😂😂
@divinahmoraa88532 ай бұрын
Detronomy 28:7 Maadui zako watakuja kwa njia moja mbele yako naye mungu atawazambalatisha kwa njia saba mama shifuna 🔥 📛
@paulinemuonga67862 ай бұрын
Mama shifuna utajua mungu sio mwanadamu
@evalyneacheing-ow2ew2 ай бұрын
Nimeguduwa leo kumbee mama shifuna pia ana gopa kukufa vile anaouwa watoto wa wtu hmmmmm
@Ruthshauri2 ай бұрын
Aki uyu babu ni mkamba ,,,wakamba kujeni muchukuwe babu wenu😂😂😂😂😂
@leahpapa60162 ай бұрын
Ise ise iyemwonoooioo😅😅😅ngadangada namiliki kisima... Mkoraaaa hiiii shindwee la loi loi
@EzrahOpech-hx5sr2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mungu nae ni nani, avai kinyasa Wala longi mama shifuna haumjui mungu ni nani ww🤣🤣
@Zuuh1072 ай бұрын
Jamani furaha iliweje😂😂😂😂😂😂babu muongo huyu Raff kapona sasa mwadanganyana eti nn 😂😂😂😂😂👏👏
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
Wamekosa idea 😂😂😂wanadhani Mungu wetu anatumia makopo na kupiga kelele kama wao😅😅
@SmilingGears-zg4yf2 ай бұрын
Wachawi mtashindwa katika jina la yesu kristo mwana wa mungu.
@Chris.7112 ай бұрын
Mama shifuna sasa nikutafuta raff amupeleke kwa maombi pongezi watumishi wa Mungu
@carolineunguku91632 ай бұрын
Mama shifuna hiyo nyoka ikugeuke usiku ikuume ukufe umetuchosha sana sana Rip,Mungu sikia kilio chetu twondole huyu mwanamke
@MariaM-q4l6p2 ай бұрын
Hawatapata raf katika jina la Yesu
@CharityChao2 ай бұрын
Wacheni Mungu aitwe Mungu.we Mungu wetu n mweza wa yote amejibu maombi ya walio wengi
@rachaelosiche1212 ай бұрын
Kwa Yesu hakuna maajabu kama haya ubebe nyoka uende naye kwako uweke chini ya kitanda
@elizabethkinyuaelizabeth5342 ай бұрын
Lord thank you, show your self strong, never for her to manage with that pot, we Pray oh Lord, hear our prayer while you are in your Holy sanctuary. Amen
@JoanKinya-tw2gq2 ай бұрын
Ilishapit, ilishapita!!! Holy Ghost 🔥🔥🔥🔥
@jacquelinemalobawande71562 ай бұрын
😅😅😅After this mama SHIFUNA Nenda tu Moja kwa moja hadi church ya a very strong 💪 pastor wa Deliverance wakupee Deliverance moja kali na moto sana uokoke kabisaaa 😮 uachane na hii uchafu unajihusisha nayo upate Amani kwa life yako. Otherwise 😅😅😅 mambo ni ma will, UOKOKE, AMAUANGAMIE KAPSAÀA😅😅😅😅😅. REMEMBER NI KAA SIKU ZAKO ZA KUANGAMIA ZISHAA FIKA😅😅😅 NA ISHARA TAYARI UNAZIONA LIVE LIVE 😮 MWANZO ,ULITAKA KUJINYONGA😅😅😅 LEO HII WAZEE WAKO WAMEKUGEUKA😅😅 WANAKUTAKA WEWE MWENYEWE UFE KWA NJIA YA KUJITOA KAFARA KWAO😅😅😅 wee...😢😢utajua hujui😅😅😂😂😂
@MirriamCherotich-w1g2 ай бұрын
Raff atawin kwa jina la jesu amen🙏
@FfGg-bf6mf2 ай бұрын
Holy ghost fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ggfwtgg16522 ай бұрын
Huyu mma shifuna anaamini waganga sisi tuna amani mungu mungu wetu halali ipo siku atajibu maombi yetu
@annmwikali54392 ай бұрын
Huyu mmama c atakufia kwa uganga...kila tym...kwa mganga. Wazee nyoka ety mababu....mkufe
@CarolineKeme2 ай бұрын
Yani Babu naye walikosana lini na raff hiyo sio shida zake 😂😂😂Bora abate zake...lakini mama shifuna soon ata join team Jesus Christ 🤲
Uyu mama nyash anakufa lini really waiting uchawi wake hauna mamlaka
@rebecarael-t9i2 ай бұрын
Thank u lord,, ile kamba nmisukumo ya babu😂😂
@sara-fx3wp2 ай бұрын
Before 21 days ziihishe team raff plz akikisha mumeungana na team riaga na muue huyu mama na mganga once mpumzike manze
@MonkeyDLuffy-p4g2 ай бұрын
Hizi ni vitisho zao baridi hakuna kitu wanaeza
@lilianjerugut65102 ай бұрын
Mkanga ni wa Nigeria ama vipi ati esete naloi murenik😂😂😂😂😅
@Gracekarimimwonja2 ай бұрын
Amen Amen.. I thank God for that... Na mwishowe atakufa aache kuwasumbua
@charlesongoro48112 ай бұрын
Mababu chukueni mama sifuna roho safi
@luciamwikali36162 ай бұрын
Glory to God for His mighty deeds
@Zuuh1072 ай бұрын
Yaan huyu mama sifuna anaona nyoka anasema mababu 😂😂😂😂😂looohshindwe
@LinetMokeira-ro5uc2 ай бұрын
Glory to God 🙏🙏
@divinahmoraa88532 ай бұрын
Kwa yesu ni raha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mama shifuna tolewa kafara damu za watu umemwaga sikufwate😢
@esperanceharimenshi41812 ай бұрын
Jana nilisikiya uoga wa kuendeleya kuwatch live sasa leo ninafura asantebwana Yesu
@NellyBetty-pb2bp2 ай бұрын
Yaani masharti ya mganga 😂😂😂😂😂mm shifuna amerusha nyoka
@LucyNdunge-yy4nb2 ай бұрын
Uyu mama ajui hao mababu sio watu ni majini wa bahalini kama amos amekufa ata wewe utakufa
@wesleytonui97942 ай бұрын
Wiki mbili na cku saba..😂😂 your day has come mama devil..
@mercynjeri62752 ай бұрын
Mababu chukuweni huyu matako kubwa tumewapeya roho safi
@lavenderokunani2 ай бұрын
Mungu naye n nani,,watapigana wenyewe kwa wenyewe,,,siku yake imefika 😂😂😂😂😂
@charityngumbao2 ай бұрын
Mungu kweli halali na ni baba wa walioachwa 🙏🙏hivi ndivyo Mungu hujidhihirisha ya kuwa yu pamoja nasi na maombi yetu hayaendi bure,maadui watageukana na kuuwana wenyewe kwa wenyewe 🙏🙏🙏
@lilianmbeyu2 ай бұрын
😂😂😂hawa Nao wana matanga kweli hata kwa jamii hawahesabiwi😂😂😂,no nyama tu ya wachawi wenzao
@charityngumbao2 ай бұрын
@lilianmbeyu kwn toka apo hajazikwa 😂😂
@carendeborah56872 ай бұрын
Hope mmewatch pia,msikuwe mnaeka na hamwatch tafadhalini
@PamelaJuma-q1y2 ай бұрын
King raff na king Eric may God protect you guys
@MaldrnA2 ай бұрын
Mama shifuna anaenda kula mate ya nyoka, na akisahau Aende kula hotel, NAOMBA SANA ASAHAU