ONA SIMBA SC WALIVYOTUA BONGO,SHABALALA,FADLU WAFUNGUKA MAZITO BAADA YA KIPIGO

  Рет қаралды 6,751

Toka zamani Tv

Toka zamani Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 6
@laizerJr-p8l
@laizerJr-p8l 2 күн бұрын
jaman tunaumia sisi mashabiki mechii mhimu kama hizi tunajifunga n aibuuu sanaa captain jaribu basii kuongea na wenzakoo kuhusu hili swala
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 2 күн бұрын
Shabalala mwambie Ahuwa aache utoto atambue anacheza timu kubwa, simba ni timu kubwa aache mtoto.
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 2 күн бұрын
Wachezaji mnalau walimu kila mara walimu wameona akosa nyinyi wachezaji hamkai pamoja kujikosoa uzembe wenu mkiwa uwanjani Moodewj weka panga kwa wachezaji wazembe uwanyani na wapuuzi wanaidhalilisha team kubwa hawajielewiiiii
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 2 күн бұрын
Kila siku mnafanya makosa ya kizenbe alafu mnasema mtajilekebisha lakini mara nyingi mnafanya makosa kama hayo tunaanza kumshinda alafu tunafungu na mbeki wetu mbona wanapenda kucheza au kurudisha mipira nyuma haswa che Maron na yule namba mbili haswa yule namba mbili ya jezi chamou kwanini anaipenda waache Kila mpira kurudisha nyuma na Mimi kwangu kocha simuamini sana tuone mwisho wake nampa nafasi bado
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 2 күн бұрын
Simba bado hajapata mfungaji mwenye kutumia mbinu hata team ikiwa na wakati mgum wajifunze kwa Fafana akiwa anakutana na Ronardo uwanjani nyasi zinapeperushwa pia ushamba wa kujifunga umejirudia kwa Simba team kubwa aibu mnoooo
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp Күн бұрын
Mlizalau mchezo kenge nyie
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 98 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 14 МЛН
KISUGU: NAWAOMBEA YANGA WAFUNGWE NA TP MAZEMBE GOLI 5
12:54
TOP 10 TV TZ
Рет қаралды 2,1 М.
UJUE MSIMAMO WA TUNDU LISSU KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA
7:08
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
AHMED ALLY ATAMBA NA ELIE MPANZU/ ISRAEL MWENDA KAPOTEA
10:37