Tunajua SANA hicho ndicho wanachopenda sana *KUONEKANA MAHAKANI* Ili WAHURUMIWE, Wamekazana na Kwenda Mahakamani badala ya kumwaga sera ili tuwapigie KURA, kila siku wao ni kwenda MAHAKANI au kuzungumzia risasi za Lisu. Kwa hilo CHADEMA hatufiki MBALI.
@aminaosman3315Күн бұрын
🎉,time ya haki one tanga watu wsnazulimmiwa kupitia mahakama na taasisi ya dini yaliislam mjane na yatima wake watano wanatamba kila kitu kimo mifukoni mwao wanyonge tusiokuwa pesa tunakosa haki zetu hivohivo
@frankmakyao7657Күн бұрын
Nimeanza kutowapenda. Mapepo MLIWAONACWAPI
@ShukuTete-wb1fpКүн бұрын
Mlizalau mchezo kenge nyie
@KosovoNaiiem2 күн бұрын
Kila siku mnafanya makosa ya kizenbe alafu mnasema mtajilekebisha lakini mara nyingi mnafanya makosa kama hayo tunaanza kumshinda alafu tunafungu na mbeki wetu mbona wanapenda kucheza au kurudisha mipira nyuma haswa che Maron na yule namba mbili haswa yule namba mbili ya jezi chamou kwanini anaipenda waache Kila mpira kurudisha nyuma na Mimi kwangu kocha simuamini sana tuone mwisho wake nampa nafasi bado
@laizerJr-p8l2 күн бұрын
jaman tunaumia sisi mashabiki mechii mhimu kama hizi tunajifunga n aibuuu sanaa captain jaribu basii kuongea na wenzakoo kuhusu hili swala
@YohanaJumanne-v3v2 күн бұрын
Wachezaji mnalau walimu kila mara walimu wameona akosa nyinyi wachezaji hamkai pamoja kujikosoa uzembe wenu mkiwa uwanjani Moodewj weka panga kwa wachezaji wazembe uwanyani na wapuuzi wanaidhalilisha team kubwa hawajielewiiiii
@YohanaJumanne-v3v2 күн бұрын
Simba bado hajapata mfungaji mwenye kutumia mbinu hata team ikiwa na wakati mgum wajifunze kwa Fafana akiwa anakutana na Ronardo uwanjani nyasi zinapeperushwa pia ushamba wa kujifunga umejirudia kwa Simba team kubwa aibu mnoooo
@anthonymilinga86962 күн бұрын
Shabalala mwambie Ahuwa aache utoto atambue anacheza timu kubwa, simba ni timu kubwa aache mtoto.
Ndugu Mzaina, nauliza, Dr wako wa Tanga kakutibu ili tuwe na ushuhuda,??????
@SuleimanNgware5 күн бұрын
Makwambaaa
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps5 күн бұрын
Lisu hutapata acha kabisa utagalagazwa labda mbowe akuachie
@YahyaNuru-v7d5 күн бұрын
Yanga tunataka kitendo sio maneno
@YahyaNuru-v7d5 күн бұрын
Ahs Shekhan Zaina
@michaelchombo89566 күн бұрын
Huyu ni chawa ndo maana anaisifia ccm
@philojia27446 күн бұрын
Waziri wa maji Aweso aje Wilaya ya Newala aone miradi hewa ya muda mrefu.
@josephwilliammnyune54646 күн бұрын
Mzee Malecela lini aliwahi kusema kuwa ccm ina mspungufu?
@begumisachristopher46976 күн бұрын
Serikali iamue kuanzisha mradi kwa kila mtanzania kuwa na kadi ya chama cha mapinduzi
@HAMADIKULANGWA6 күн бұрын
Oppo pp
@taddeykomba1377 күн бұрын
Ongela sana kWa sisi wafugaji tunashukuru sana tunapata pumba vizuri bila shida❤
@aminattai26767 күн бұрын
Hili suala SGR litasumbua sana kama serekali haikuwa macho na wapinga maendeleo ambao ni mipango ya chama cha upinzani ili kuwepo na mikwano nchi ionekane hakuna ilichofanya,tujifunze kwa yaliyotokea kwenye utawala wa kikwete kulikuwa na matukio kama hayo,mabomu kuripuliwa migomo ya madktari na mengine mengi,indapo atakamatwa mtu yoyote mfanyieni uchunguzi wa hali juu mutajua ametumwa na nani,kama michezo ya kuteka watu inavofanywa
@SuleimanNgware7 күн бұрын
Makwamba tena!!?,??
@daudkondo40697 күн бұрын
Mzee warioba hebu wanyooshee kidole wale wanaokamatwa na kura feki
@ahmed-shakirmwamba49927 күн бұрын
Vipi tena Shekh mbona Talimo badala ya Tarimo. Kuwa makini sana usiwaige hawa jamaa.
@paulmagembe-nv9ro7 күн бұрын
Sawa kabisa
@ZainaRashid-t3m8 күн бұрын
Asalaam aleikum nakupata vizuri
@bongo398 күн бұрын
Mashaallah hongera mama hao wanafik wezi waliokuwa wanapiga kelele dp world mama kauza bandari haya neema hiyo mika 100 hamja wahi kukusanya pesa kiasi hicho
@DaudSendeu8 күн бұрын
Ushauri matangazo yapungue tunakuwa na bando kidogo bando linaishia KWENYE.matangazo
@FANUELFRANKNKYALU9 күн бұрын
Tafuta namna nyingine ya kuyaweka matangazo ya biashara, ni upotevu wa muda na bando za watu.
@ahmed-shakirmwamba49929 күн бұрын
Watekaji wa Nondo ni maelekezo ya CCM kama ilivyokuwa mara ya kwanza.
@adelinelyaruu30369 күн бұрын
Polisi wanafanya kazi kubwa. Kina Soka warudishwe uraiani
@Anonymous-u7r9 күн бұрын
Ngonjera kuhusu dr wako unapoteza muda. Spare those that want to be treated at hospitals.kizuri cha jiuza......
@fulgencemaiba-bu5ht9 күн бұрын
Tunahitaji upandishe mtandaoni haya magazeti mapema nahayo matangazo yanakula mb zetu muondoe au mpunguze
@petermaqway54339 күн бұрын
Mnachelewa sana wandugu japo huduma ni nzuri
@YahyaNuru-v7d10 күн бұрын
Tunakosa pa kukimbilia wizi wa mtandao
@brycesonmathias611210 күн бұрын
TCRA Mbona tunadanganywa? Uhalifu ws mtandao!! Ni Mbaya zaidi
@justinmwenda744911 күн бұрын
🎉🎉🎉
@JumaAlfani-z8e11 күн бұрын
s
@Anonymous-u7r11 күн бұрын
Please tone down your rhetoric on this dubious doctor of yours.
@IssaWaziri-vx5yo12 күн бұрын
Acheni kulala mika kilasiku mnaibiwa mbona wajinyie
@martinkisha630712 күн бұрын
Katibu wa ccm makala asijisifu kwa kile alicho kifanya kwa wizi wa kula