ONDOKA KWENYE KITI CHA ENZI - MCHUNGAJI PAUL SEMBA

  Рет қаралды 2,494

ORIONe TV

ORIONe TV

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@killionhezekiah3228
@killionhezekiah3228 Жыл бұрын
Bwana atutetee katika hili, hasa katika nyakati za changamoto tuungoje wokovu wake. Binafsi nimetiwa moyo sana kwa hili somo, Bwana akubariki mchungaji!
@letstalkhere6300
@letstalkhere6300 Жыл бұрын
Pastor kwakweli MUNGU akubariki tu na kalama yako idumu Hadi mwisho , Na usije ukajaeibiwa na mamruki wa ibilisi ukauacha ujumbe wako wa maonyo kutoka kwa MUNGU ukageukia injiri nyepesi. Yaani leo kanisa limekua na wachungaji kabisa anaweza akasimama tangu Mwanzo Mpaka mwisho wa hubiri lake na usimwelewe alikua anahubiri Nini . ✍️ Binafsi pastor, unanipaga ujuzi mwingi Sana kupitia ufundishaji wako wa neno la BWANA , nami nautumia ujuzi huo maishani naona mbaraka Waoooooh, "eti acha , acheni tu ninyi , tulieni mjue ya kua Mimi Ni MUNGU" Safi sana it is encouraging.
@buluguamos5747
@buluguamos5747 Жыл бұрын
Bwana atusaidie Sana kusimama imara katika kumtegemea yeye, kweli hofu Ni adui mkubwa Sana kwa wanadamu, tumuombe Mungu atupatie imani inayomuona Yesu hata katikati ya changamoto.
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
AMINA
@magorimagori9264
@magorimagori9264 Жыл бұрын
Katika kuugua kwangu..Hili somo nimelielewa sana
@JeremiaJohn-zf8og
@JeremiaJohn-zf8og Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na jumbe mbalimbali kutoka kwako
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
BARIKIWA PASTOR NAOMBA SIRI YA ORION
@stephanomuganga9872
@stephanomuganga9872 Жыл бұрын
Nakupongeza Kwa somo zuri, yasafu.....Rudi hapo ilipokuwa.......
@thomasjohn9877
@thomasjohn9877 Жыл бұрын
Amina
@denismugisha2
@denismugisha2 Жыл бұрын
Huwa napenda sana tafsir yako kwa neno la MUNGU na kupata nguvu, na mara kwa mara nazitumia tafsiri zako kufundisha familia yangu tunapomwabudu MUNGU kama familia
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
AMINA, MUNGU AZIDI KUBAIRKI FAMILIA YAKO
@stephanomuganga9872
@stephanomuganga9872 Жыл бұрын
Subiri maana yake Rudi magotini.......Asante sana Mlefi.
@jobmusic4027
@jobmusic4027 Жыл бұрын
Bwana azidi kuwa nawe pastor!
@petersulle1937
@petersulle1937 Жыл бұрын
Asante kwa somo , Mungu akubariki sana.
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
AMINA
@musajulius3364
@musajulius3364 Жыл бұрын
Aminaa, nakupata mubashara katika wasaa huu wa Sabato, barikiwa Pr
@pollenjile1299
@pollenjile1299 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@samwelndulu1628
@samwelndulu1628 Жыл бұрын
Mungu Atubariki San Pastor
@daud8785
@daud8785 Жыл бұрын
Mungu atusaidie kushinda hofu
@patrickkamau7754
@patrickkamau7754 Жыл бұрын
Amina Toka Kenya
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
BWANA AZIDI KUKUBARIKI
@nicholauspaul2589
@nicholauspaul2589 Жыл бұрын
Ingawa nimechelewa lakini Pastor Mungu ni mwema sana hatimaye livestreaming imekuwa vizuri sasa, Mungu akubariki sana pastor somo limenibariki sana nimejifunza jambo muhimu katika somo hili
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
AMINA, AHSANTE SANA KWA KUNIOMBEA
@toyidadi4821
@toyidadi4821 Жыл бұрын
Kusimama Imara!! Mungu nirehemu!!
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
AMINA
@amoskitiu3541
@amoskitiu3541 Жыл бұрын
Samahani sana kwa kuuliza. Hivi ni kwanini mtumishi umebadilisha Jina Chaneli Yoututbe kutoka Paul Semba kwenda IRION?
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
NI ORIONe TV, NITAKUELEZEA SIKU CHACHE ZIJAZO
@daud8785
@daud8785 Жыл бұрын
Nimeguswa na somo hili
@endtimeeventstv
@endtimeeventstv Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor @paulsemba
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
AMINA
@endtimeeventstv
@endtimeeventstv Жыл бұрын
Tuanze kazi sasa
@letstalkhere6300
@letstalkhere6300 Жыл бұрын
✍️Ndio maana hata kipindi Cha korona , kumbe tulikua tunashambuliwa , na siraha ya hofu na mataifa ya ugaibuni , na magufuli , akaijua hiyo , Leo nimegundua ule ulikua mkono wa MUNGU uliojidhihirisha kupitia kawake.
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV Жыл бұрын
BWANA ATUPATIE REHEMA YAKE KILA SIKU
@thomasjohn9877
@thomasjohn9877 Жыл бұрын
Amina
@neemamagati
@neemamagati Жыл бұрын
Amina
@stellaedward9953
@stellaedward9953 Жыл бұрын
Pr nashukuru kwa somo hili limegusa ninayopitia kwa sasa. Kweli hofu ni silaha ya shetani. Naomba Mungu atuongezee imani ili kushinda majaribu ya mwovu. Amina
KESHO YAKO JANA YA MUNGU #mp4
55:01
Northern Tanzania Union Conference
Рет қаралды 7 М.
KWIKWI ZA HAR-MAGEDONI - SEH. I: MCHUNGAJI PAUL SEMBA
1:38:56
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 30 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU?
39:33
Infinity Glory Tanzania
Рет қаралды 1,4 М.
BEWARE OF LEAVENS OF PHARISEES, SADDUCEES AND HEROD ( Series 3)
49:47
THE GOD'S DWELLING POWER ASSEMBLY INTL
Рет қаралды 2
#Live _Makambi mtaa wa Kwamrombo 2023 (Day 4) Pastor,Bosco Tungaraza
1:17:36
🔴 LIVE#MAUTI NA UFUFUO _ 5B: MCHUNGAJI PAUL SEMBA
43:10
🔴 LIVE#MAUTI NA UFUFUO _ 1: MCHUNGAJI PAUL SEMBA
50:04
ORIONe TV
Рет қаралды 381
GOD'S PERFECT PACKAGE
39:48
THE GOD'S DWELLING POWER ASSEMBLY INTL
Рет қаралды 10
🔴 LIVE#MAUTI NA UFUFUO _ 2: MCHUNGAJI PAUL SEMBA
49:30
ORIONe TV
Рет қаралды 465