Beroya Mission Choir ipo Katoro mkoani Geita Tafadhari subscribe like comment and share.
Пікірлер: 107
@rademaadema7595 Жыл бұрын
Asanteni sana wana Beroya kwa nyimbo zenu zote tamu sana mungu azidi kuwatumia sana kwa hiyo huduma mshiriki wenu kutoka Canada
@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy11 ай бұрын
Barikiwa pia ndugu
@JohnIssa-d5q Жыл бұрын
hakika huu wibo unawangusa wote mana kiramutu anahukumu mwenzake arie Tunga huu wibo abarikiwe sana tena sanaa hakika mungu utukuzwe
@everlynekiberas51 Жыл бұрын
Kweli Yesu Kristoalililipa bei msalabani
@RudelphZabron8 ай бұрын
Neema na baraka ziwaendee nyote AMINA.
@zipporahkegwaro Жыл бұрын
Asante kwa wimbo tamu nimejifunza mengi mungu awajaze baraka
@RoseAnyega-wk7xqАй бұрын
Mungu awabariki kwa nyimbo tamu tamu amen.
@anadesouzaandrade24 күн бұрын
Deus abençoe os irmãos ❤❤❤ continue louvando o nosso Jesus ❤❤❤ que muitas e muitas bençãos sejam derramadas sobre suas vidas ❤❤❤
@carenkemei4657 Жыл бұрын
This is another soul touching
@stephanopierre6387 ай бұрын
tumesamehewa bure twahesabiwa haki bure MUNGU wa mbinguni awabaliki awatumie zaidi ni jambo la furaha wote siku ile akija wote majina yetu yawepo kwa watakao ulisi uzima wa milele amen 👏
@QueenLucas-x5n2 ай бұрын
Ninawaombea mfikishe kazi mpaka mwisho
@vedastusmarubi734615 күн бұрын
Heaven will be sweet. May we meet there to have this and more praises. 💖
@MarrynicksonMbwambo3 ай бұрын
Nabarkiwa sana ..🙏🙏🙏
@LucyEzekiel-g6m5 ай бұрын
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu jamn
@jonaskabonda741 Жыл бұрын
Nawapenda sana mnanibariki sana kwa uimbaji wenye kutukuka
@marrygicho40503 ай бұрын
Mahubiri ya ajabu kupitia kwenu MUNGU atukuzwe kupitia nyimbo zenu na awabariki saana. Kweli deni tumelipiwa ila sisi tunazidi kutenda dhambi MUNGU atuhurumie Amen.
@GRACENTAGALA5 ай бұрын
Amina sana, Mbarikiwe sana beroya,
@esthernyariki8213 Жыл бұрын
Amen! Nimebarikiwa sana
@AmosBalele-dy4jx Жыл бұрын
Ondoka umesamehewa🔥🔥
@bwmtechzone954 Жыл бұрын
Nakubal sana 🔥
@henrymuthoka10 ай бұрын
Nyimbo nzuri Sana.Mungu awabariki mnapo tubariki kwa nyimbo.🎉
@maregesijameslazaro3179 Жыл бұрын
Huku Kurasini huku Beroya Leo ni mibaraka juu ya Mibaraka
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
Aisee Hawa watu wanaimba sn , hapo awali ckuwafaham kabisa nlikuwa najiuliza Hawa ni wakenya au
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
MUNGU awabariki sn hii kwaya
@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy Жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu 🙏
@MadalenaGuibunda11 ай бұрын
Letra completa
@nancyclancy647110 ай бұрын
Amen!
@josephinematheka454111 ай бұрын
Nice song, barikiweni Sana The voices 👌
@ChumaSimataa-my9vh6 ай бұрын
God bless you choir.glory to God . being blessed down in 🇳🇦 Katima Mulilo.
@Christ8James7 ай бұрын
Alimwaga dam msalabani ili amwaminiye asipoteee apate uzima wa milele,,,,nice song indeed
@leokadiafelix Жыл бұрын
Mungu awatunze na mwimbien Mungu mpaka mzeeke
@cresensiafabian20785 ай бұрын
Mungu wa mbinguni awatumie kwa jinsi apendavyo,ninawaombea
@piusmhibo2347 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@NdegeTv100 Жыл бұрын
Barikiweni sana Sana,ama hakika mnabariki mno mno👋
@mpokienock-nh3zz Жыл бұрын
Hii beroya inapatikana wapi ndugu zangu?
@ChumaSimataa-my9vh6 ай бұрын
From 🇳🇦 be blessed choir may God be glorified.the melody is just soooo lovely
@julianambuti8038 Жыл бұрын
He paid the price 😊
@umukatv2136 Жыл бұрын
TETELESTAI Paid price total..
@BerthaMwiko-te1ek Жыл бұрын
Nasikiliza Kila ck katam sana kanaongeza ck mbele
@juviriantkemuma149923 күн бұрын
Ondoka umesamehewa dhambi zako zote ..usitende dhambi tena ..ondoka uko huru
@kenyanews7286 Жыл бұрын
From jana newlife am blessed
@halimaphiniasibwire9688 Жыл бұрын
Mwende mbali
@SamwelKombo-pl5yf6 ай бұрын
Be blessed yaani
@christianneema72359 ай бұрын
Mungu awabariki kwa nyimbo tamu Kwa huruma zake tumesamehewa dhambi ;kwa bure
@JohnIssa-d5q Жыл бұрын
ammee hakika mubarikiwe sana by keti
@gittabaak3075 Жыл бұрын
Muy bien, el Cohro, estan singing con mucho Corazon
@AnipendaPetroАй бұрын
AMINA, 😢
@barackthomas8010 Жыл бұрын
Mungu akubarini sana
@eunicekalinga7174 Жыл бұрын
jmn mnaimba vzurii, utatoa hesabu.
@pepchallanga3626 Жыл бұрын
this is beyond blessings
@lilianmuriuki7871 Жыл бұрын
Wonderful Love the transpose. Yes Ondoka uko huru. 🎉🎉
@SimplyStacey. Жыл бұрын
Amen.. what a piece ! I am blessed
@pierreyeremian6060 Жыл бұрын
Merveilleux merci beaucoup pour ce chant
@mariamadalenaborgeslemos11 ай бұрын
Só nice.
@carolineomori10324 ай бұрын
The pianist is 👍 👍
@pinieljonas242 Жыл бұрын
Daaah!! Wimbo mtamu saaaaanaaa!!
@pascaldudu6793 Жыл бұрын
Kaka upo ni mda sanaaa aisee
@eunicenyandiko1389 Жыл бұрын
Hallelujah Amen 🙏 ❤❤❤🎉
@elmomontecerin173510 ай бұрын
Congratulation ..so far ,im very touched w your heavenly songs ..filled w Holy Spirit..from negros swquijor mission..dgte city.
@janetmbaheze4450 Жыл бұрын
So blessed, you make my day. Good message
@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy Жыл бұрын
Be blessed
@kanudabuluba963 Жыл бұрын
Asanteni kwa hubiri hili kwa kila mdhambi kama mimi. Tangazo kuu ni kuwa ONDOKA UMESAMEHEWA DHAMBI BURE. Mbarikiwe waimbaji
@ednaribeiro90978 ай бұрын
Lindo 🇧🇷🇧🇷❤️❤️amei
@ConsciousGunda Жыл бұрын
No wonder the pianist looked familiar, nimesali katoro central na nimeonana naye
@mariadejesusgomes69gomes3827 күн бұрын
Eu amo essa música
@ruthogutu2100 Жыл бұрын
Amen 🙏
@_testimonytime11 ай бұрын
Pianist did justice , , I heard this song last sabath am blessed
@RuthMaleya Жыл бұрын
i enjoy their songs
@IrisLiceaga Жыл бұрын
Beautiful 🤩
@bravoprecieuxfelicien52798 ай бұрын
I like you , you sing very well
@helenchegeni504710 ай бұрын
Bwana awabariki sana
@beatrizdelimasantos620311 ай бұрын
Olá boa 🌃🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷 que lindos adorei lindos Cantão bem❤😅
@helenchegeni504710 ай бұрын
Kwakweli tunabatikiwa
@teinnanulaitta262110 ай бұрын
Kejadian kejadian Kejadian kejadian
@Woolie. Жыл бұрын
Leaders on earth stop war , war is the ugliest sin ever. you shall not hate you shall not harm you shall love all people one earth
@faithnjoroge3333 Жыл бұрын
Sooo blessed by your songs... May God continue using you people ❤❤
@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy Жыл бұрын
Thanks
@pascaldudu6793 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@phiniasjosiahofficial Жыл бұрын
💓💓💓💓💓🔥🔥🔥🔥🔥
@eunicekalinga7174 Жыл бұрын
utatoa hesabu uko wapi huo wimbo
@pinieljonas242 Жыл бұрын
Nimejikuta nashare kwa magroup kibao
@pascaldudu6793 Жыл бұрын
Barikiwa sana kwa kujali bro🙏🙏
@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy Жыл бұрын
Barikiwa sana mpendwa
@lillianowuor1460 Жыл бұрын
Amina.
@AngelMathias-g8z Жыл бұрын
❤❤❤🎉🎉
@henryperez9605 Жыл бұрын
Queremos subtítulos en español, por favor
@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy11 ай бұрын
We will try saint
@thinkbig9541 Жыл бұрын
Nimewapenda sana, mnapatikana wapi
@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy Жыл бұрын
Katoro Geita ndugu
@thinkbig9541 Жыл бұрын
@@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy mbarikiwe sana nimetamani kuimba nanyi ila basi tuko mbali
@teinnanulaitta26219 ай бұрын
Alkitab Alkitab
@helenchegeni504710 ай бұрын
2:23
@teinnanulaitta26219 ай бұрын
Alkitab alkitab
@teinnanulaitta26219 ай бұрын
Alkitab gereja Alkitab gereja Alkitab gereja Alkitab gereja