ONYO MWANAMKE HUTAKIWI KUWA MCHUNGAJI AU ASKOFU NI UDANGANYIFU WA SHETANI

  Рет қаралды 7,824

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

Күн бұрын

Пікірлер: 106
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Asante kwa kutuonya wanawake waliookoka kikwelii
@marykimasia2398
@marykimasia2398 2 жыл бұрын
Nimependa sana maufunuo unayo yapokea na kuileta kwetu ...kati ya wachugaji ambao Bwana amenijalia kuwafuatilia nimekupata wa kweli na unaye tumika na Roho mtakatifu.... ubarikiwe
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Nakubaliana na Neno kwamba nabii hafungui kanisa anakaa ndani ya kanisa. Hii ni sahihi. Nafurahi kuthibitisha hili la nabii. Ubarikiwe sana mchungaji.
@maryjoviny6991
@maryjoviny6991 2 жыл бұрын
Asante pasta kwa kufunua Siri hii nimekuerewa ubarkiwe,
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
AMEN ANEN AMEN🙏BARIKIWA SANA MCHUNGAJI....HAKIKA UMETUFUNGUA MACHO ZAIDI KWA MAFUNDISHO HAYO MAZURI KUTOKA KATIKA KITABU KITAKATIFU CHA NENO LA MUNGU....KUNAYO TUMEYAONA AMBAYO YANAENDANA NA MAFUNDISHO YAKO KABISA YAKIENDELEA KWA MAKANISA....SIPENDI KUWATAJA HILA NIKIWAONA WANAWAKE WAKIHUBIRI MAKANISANI NA WAKITOA MAONO YA KUWA YESU ALIWATOKEA ALIWAAMBIA WAHUBIRI MIMI HUA NABAKIA NIKIJIULIZA INAWEZEKANAJE MUNGU AENDE KINYUME NA NENO LAKE ALILO LITOA KWETU SISI ILI TULIFUATE TUSIJE TUKAANGAMIA,...NA WANAWAKE WANAO MILIKI MAKANISA YALIYO KUA YAKIONGIZWA NA BWANA ZAO....WATATOA HESABU MBELE ZA MUNGU ONE DAY.....BARIKIWA SANA MCHUNGAJI...🙏
@NamwitaIbrahimu
@NamwitaIbrahimu 8 ай бұрын
Amen amen San umesema ukwel ubarikiwe
@mageselusambagula4258
@mageselusambagula4258 10 ай бұрын
mungu hakuchagua ni Nani atakaye mtumikia hata Kama kumtumikia mungu kwa namna yoyote ile but hakuchagua mwanamke au mwanaume na hakubagua ktk kazi yake amen mungu atusaidie
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji wa Mungu wetu yesu kristo
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 жыл бұрын
Amen mtumishi Mungu ,nikweli sio mwenye unasema hivio niwatu wengi wamesha sema vile
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
amina barikiwa sana
@OmAn-jw4jt
@OmAn-jw4jt Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@barakaelias1116
@barakaelias1116 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@chumbachaneemaccnonlinetv6271
@chumbachaneemaccnonlinetv6271 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mch umeeleweka
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
It's powerful but alot of people ignore this
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 жыл бұрын
Inatisha kwa kweli.cjui tunaenda wap kanisa.Asante Sana barikiwa mtumishi
@Esthermordecai
@Esthermordecai 8 ай бұрын
Kanisa ambalo ni wanawake watupu na hamna mwanaume,nani atahubiri, Mwenyezi Mungu atusamehe sana.
@ABDULKARIM-sx1tb
@ABDULKARIM-sx1tb 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu acha kupotosha watu wa Mungu maana utalipwa wakornto ni watu watu gani na na kulikua nini mpaka wazuiliwe
@imaranoah10
@imaranoah10 20 күн бұрын
ukisema mtumishi anapotosha kumbe wewe haujaelewa tu maandiko vizuri... ukisema Korintho kulikua na tatizo, Biblia ilishindwa kabisa kuandika kwamba kulikua na tatizo? pia unaposema hili neno limeandikiwa Wakorintho, basi sasa hatuna cha kufanya maana Biblia yenyewe ni ya wayaudi( Israel)... neno litabaki pale pale.
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi hii ni kweli kabisa
@gracekinyaki2376
@gracekinyaki2376 2 жыл бұрын
Barikiwa na unayofundisha ni kweli kabisa usiogope kusema ukweli .
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 2 жыл бұрын
Wislamu wanawake hawaruhusiwi kuongea au kusimamua misikitini au kwa kanisa lolote, ila sisi wachristo wanawake wanachunga wanaubiri ambapo biblia imekataza, eeh Mungu tusaidie ili tuweze kulifata neno sio neno litufate sisi, Amina 🤲🙏
@beatricenjau9124
@beatricenjau9124 2 жыл бұрын
yesu atusaidie hakika neno la mungu ndio taa ya miguu yetu
@nellydeborah943
@nellydeborah943 2 жыл бұрын
Amen amen
@priscamhonzwa932
@priscamhonzwa932 2 жыл бұрын
Amina sana mtumishi wa mungu.
@PAULMTITO
@PAULMTITO 10 ай бұрын
Hio ni kweli lakini watu wengi hawataki injili ya kweli
@NeemaRaymond-hw6dj
@NeemaRaymond-hw6dj 4 ай бұрын
Jamani kuzimu ni yesu tu ndie aliefika. 14:53
@mosesmponeja6854
@mosesmponeja6854 2 жыл бұрын
Amen
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k Жыл бұрын
Mchungaji piga ibilisi msumari wa moto, injili ni moto pinga uchomeke,neno la Mungu ni mpanga ukatao kuwili
@petrohermani5721
@petrohermani5721 2 жыл бұрын
mtumishi ubarikiwe naomb mawasiriano yako
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
0673081038
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Hakika hakuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke. Haikubaliki.
@gracemwangosi9017
@gracemwangosi9017 2 жыл бұрын
Hii ni kweli barikiwa
@bellingtonlyimo6467
@bellingtonlyimo6467 2 ай бұрын
Hii ni kawaida tangu mwanzo pale ukweli wa maandiko matakatifu unapowekwa wazi upinzani unakuwepo dhidi ya ukweli huo na kibaya zaidi hata maandiko matakatifu yanatumiwa kupingana na ukweli huo: MWANAUME NI MFANO WA YESU KRISTO NA MWANAMKE NI MFANO WA KANISA: Huu ndio msingi wa ukweli wa maandiko matakatifu. Hii haimaanishi kuwa wanawake hawaruhusiwi kutumika: Hapa suala ni USIMAMIZI WA KANISA. Kanisa ni kama familia ilivyo: Kiongozi au mkuu wa familiya ni mwanaume. Hii dhana inayokubaliana na mwanamke kuwa mchungaji wa kanisa haina misingi ya maandiko matakatifu. Dhana hii ni baadhi ya mapotofu mengi ambayo yameingizwa katika kanisa.
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 жыл бұрын
Amen, Asante kwa Somo
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
amina barikiwa sana
@endlessloveofchristlovewor9991
@endlessloveofchristlovewor9991 2 жыл бұрын
Powerful
@emmanuelmtui4076
@emmanuelmtui4076 2 жыл бұрын
UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU...
@bibliakweliyaduniayote1137
@bibliakweliyaduniayote1137 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 💖💖💖
@elizabethhaule5474
@elizabethhaule5474 2 жыл бұрын
Kweli kabisa haitakiwi
@ABDULKARIM-sx1tb
@ABDULKARIM-sx1tb 3 ай бұрын
Naludia tena acha kupotosha watu hii Timotheo walikuwa wanaandikiwa watu gan Kulikua na nini Beba fundisho na siyo andiko Alikuwa anatatua mgogoro gani
@anthonmosama7747
@anthonmosama7747 Жыл бұрын
Luka 2:36 kutoka 15:20 acheni story paulo mwenyewe anasema pia kitabu cha matendo ya mitume 2:16-18 soma ,pia waamuzi 4:4
@stephanomaduhu5426
@stephanomaduhu5426 Жыл бұрын
Mafungu yote ulioyatoa yanawapa wanawake unabii na kujawa Roho mtakatifu sio kuwa mchungaji au kuhani
@diananchangwa6153
@diananchangwa6153 2 жыл бұрын
Baba Uko na mungu aliye hai Mimi mwanamke lakini siwezi kuwa mchungaji
@emmanulmbembati
@emmanulmbembati Жыл бұрын
Bwana atuokoe na uongo huu maana wengi ni wachungaji Hawa Wana wake
@edithajohn4563
@edithajohn4563 2 жыл бұрын
Aliyeenda kuzimu ni Bwana Yesu tu ndiyo alieenda kumnyang'anya shetani funguo za kuzimu hao wengine wanaota ndoto za mchana.
@stephanomaduhu5426
@stephanomaduhu5426 Жыл бұрын
Mwanamke kuwa mchungaji SIO mpango wa Mungu
@UpendoNdallamah
@UpendoNdallamah 8 ай бұрын
Nimetubu na nimeacha
@ABDULKARIM-sx1tb
@ABDULKARIM-sx1tb 3 ай бұрын
Mtumishi una unakulupuka tu na maandiko hakuna andiko lolote linalosema makanisa yanayo chungwa na wanawake wataenda jehanamu
@annstacianzilani5574
@annstacianzilani5574 2 жыл бұрын
Matendo ya mitume...,,,,2.......18,.......Naam, .na siku zile nitamwangia watumishi wangu,wanaume na wanawake...roho yangu..nao watatabiri...ni nyakati za mwisho Sasa.
@gracew7460
@gracew7460 Жыл бұрын
Tupatie neno kwa bibilia linalo zuia wanawake kuwa pastors. Si ya Paulo ill ya Mungu
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 11 ай бұрын
MUNGU huzungumza kupitia vinywa vya watu. Ulitaka Mungu aseme kupitia wapi? 1 Corinthians 14:37. Ni agizo la Bwana wala sio Paulo. Elewa hilo!!!!!
@edithajohn4563
@edithajohn4563 2 жыл бұрын
Na Deborah aliyewaongoza wanaume kwenda vitani ni nani?
@severinkinunda5269
@severinkinunda5269 Жыл бұрын
Deborah hakuwa kuhani: kuhani ni Padre,mchungaji, askofu,mitume
@susiehollo7434
@susiehollo7434 4 ай бұрын
Deborah alikuwa nabii sio mchungaji. Mbona hata hapo amesema kuhusu Deborah kuwa alikuwa nabii. Sikiliza vizuri
@nyangiboke
@nyangiboke 5 ай бұрын
Makanisa me ngi sasa ni wanawake hapo inakuaje
@humphreysilungwe873
@humphreysilungwe873 Жыл бұрын
Je ktk yoeli inaposema binti zenu na vijana wenu watatabiri siku za mwisho ilimaanisha nini?
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k Жыл бұрын
Kutabiri Na kuhubiri ni maneno mawili tofauti kabisa,biblia ipo wazi,huyo mchungaji anasema kweli isiyo pingika,ukipinga hayo unapinga Mungu mweza yote
@susiehollo7434
@susiehollo7434 4 ай бұрын
Watatabiri sio watachunga, wachungaji ndio kama makuhani wa nyakati hizo, sio manabii
@NeemaRaymond-hw6dj
@NeemaRaymond-hw6dj 4 ай бұрын
😂tuwe tuna soma maandiko naunga mkono hoja atamwaga roho wake juu ya wote wenye mwili. Huyo Paul ndie alie kataa cio Mungu,kwanini yeye adamu alikubali kula alipo pewa tunda. Alikula.na Mungu alitoa adhabu Kwa wote. Maana yake wote be wakikosa. Tuache kuhukumu Bado hatujafika 13:07
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
Amina
@mungurelava2195
@mungurelava2195 2 жыл бұрын
Mtume Paulo aliwakataza wanawake wa korinto kuhutubu ktk kanisa kutokana na mienendo yao,(ulikua ujumbe kwa wakorinto tu
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k Жыл бұрын
Ndugu au dada hiyo ni tafsiri Yako wewe binafsi,Ila ujue huu ujumbe ni kwa ajili ya wakristo wote,hivyo una ushahidi wa neno la Mungu linaloruhusu mwanamke kuhubiri au kufundisha?kuna hiyo ambao ilikataza wakristo,Na sio korintho ni wakristo wote
@AnetyMwesiga
@AnetyMwesiga 11 ай бұрын
Acha iyo habari kwahiyo wewe icho kitabu ukisomi cha wakorintho,basi kitoe katika biblia yako maana ni cha wakorintho
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Inapasa mifumo ya UFALME WA Mungu Kwa kabisa ifuatwe. No excuse!
@susiehollo7434
@susiehollo7434 4 ай бұрын
Tukisema hivyo basi tutajikuta Bible karibia yote si yetu, kwa maana Warumi itakuwa ya warumi, Wafilipi itakuwa ya wafilipi etc.... Tusiwe wabishi bora kuomba uelekezwe kama hujaelewa
@blessingsshams2287
@blessingsshams2287 Жыл бұрын
ENDA KWA magoti UULIZE Roho mtakatifu kwanza. Kuna wanawake WENYE wamechaguliwa na Roho mtakatifu kuwa na kanisa. Kama Mimi nikiwa mmoja WAO Roho mtakatifu ananiandaa KUFUNGUA kanisa but ALINIAMBIA nitulie ananiandaa.
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 11 ай бұрын
Kama 1 Corinthians 14:33-37 1 Timothy 2:10-12 zimekataa soma pia Wagalatia 1:6-9. Injili ingine kinyume na ya Manabii na Mitume haitoki kwa MUNGU. Huyo aliyekutokea sio Roho Mtakatifu bali ni shetani aliyejigeuza na kuwa malaika wa nuru. Chunga mama. Kwanza kupinga maandiko ya Biblia ni kuwa na roho wa mpinga Kristo. Badilika!!!!
@AnetyMwesiga
@AnetyMwesiga 11 ай бұрын
Zijaribuni izo roho kama zimetokana na Mungu au la
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Endelea kutulia, kama umemlingana Mungu, Hajipingi. Mwanamke haruhusiwi kusimamia kabisa. Ujumbe huu upokee ukakusaidie, usikosee
@anthonmosama7747
@anthonmosama7747 Жыл бұрын
Kama unasema hivyo mbona mungu anazidi kuwatumia hao wanawake zaidi hata kukuzidi wewe unae wapinga ,nyinyi ndio wale wachungaji wakoloni
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k Жыл бұрын
Usome vizuri hapo,huyo mchungaji anasema kweli ya neno la Mungu:2 Wathesalonike 2 11 Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo; 12 ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.
@AnetyMwesiga
@AnetyMwesiga 11 ай бұрын
Mchungaji ni muongo,je neno linajipinga?
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Be careful
@susiehollo7434
@susiehollo7434 4 ай бұрын
Una uhakika wa huo gani wa huo utumishi wao mpaka kufikia kiasi cha kimuita mtumishi wa Mungu kuwa muongo?
@gordonomondi7161
@gordonomondi7161 2 жыл бұрын
WATU HAWAPENDI ukweli. Hata MAKANISANI. Hizi verses wachungaji wengi hukataa kusoma Kanisani.
@stephanomaduhu5426
@stephanomaduhu5426 Жыл бұрын
Wote Moto unawasubiri
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 11 ай бұрын
Hadi wanakosoa maandiko eti hayo ni ya Paulo sio ya kinywa Cha Mungu kana kwamba Mungu amewaambia. Moto unawangoja
@annaandrea2812
@annaandrea2812 2 жыл бұрын
Hapo umesema Paulo amesema halafu ukasema torati haikurusu kumbe ilikuwa Sheria ya kiyahudi hatuishi kwa Sheria za kiyahudi Ila tunaishi kwa neno la Yesu kristo aliye hai
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
Wapi Bwana Yesu kasema muwe wachungaji?
@elikaelika3934
@elikaelika3934 2 жыл бұрын
Kwa hivyo mwanamke Hana ruhusa ya kuhudumu,
@ummatchannel4300
@ummatchannel4300 2 жыл бұрын
@@elikaelika3934 Mwanamke ana jukumu kubwa na takatifu kuliko kuhudumu makanisani. Wao huzaa na kuwalea watakatifu. Ndio maana Maria amebarikiwa kuliko wanawake wote, kwa ajili ya uzao wake mtakatifu.
@AnetyMwesiga
@AnetyMwesiga 11 ай бұрын
Toa ufafanuzi ndugu
@mungurelava2195
@mungurelava2195 2 жыл бұрын
Umesema watu wote wanaiabudu ktk makanisa yanayosimamiwa na mchungaji mwanamke hawataingia mbinguni usitudanganye tiketi ya kuingia mbinguni ni kumwamin Yesu pekee
@gordonomondi7161
@gordonomondi7161 2 жыл бұрын
Kwa kweli hawataingia juu wamekubali kudanganywa.. wamekataa kusoma neno.
@saidimaliatabu9026
@saidimaliatabu9026 Жыл бұрын
Wewe Waite hao wachungaji uweke nao mjadala Huwa nafsnya Mambo mengi kwa akili zenu hamfuati biblia
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k Жыл бұрын
Kuamini yesu kristo ni kuhamini kile kilichoandikwa Na yesu kristo kupitia mitume,Na mitume wamesema "simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha"mchungaji mzuri sana huyo ametumwa Na Mungu
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 7 ай бұрын
Atamwaminije Yesu bila mitume??? Luka 10:16
@happinesskitali164
@happinesskitali164 7 ай бұрын
Mungu akusamehe
@williamokumu7846
@williamokumu7846 2 жыл бұрын
Nakuimba anawesa,nakusema Amin anawesa?mstari gani
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 11 ай бұрын
Kuimba na kuomba ni sawa kwa wote ila kutawalw na kufundisha ni kinyume kwa MUNGU. Elewa hilo agizo la Bwana.
@mercymaina6640
@mercymaina6640 2 жыл бұрын
The best thing we are serving under the grace. Tujielewe!!!!!
@saidimaliatabu9026
@saidimaliatabu9026 Жыл бұрын
Wenyewe nyie wachungaji mmeshindwa kuwaeleza ukweli mnadanganya Sana kwanini msiwafundishe kwanza kuvaa nguo za stara ?
@mercymaina6640
@mercymaina6640 Жыл бұрын
@@saidimaliatabu9026 sasa nguo zimetoka wapi hapa? Uvae za stara na roho nyeusi kama shetani ni bure tuu! Nguo za stara wivu chuki na masengenyo bure kabisaaaaaaa... Kaa ndani ya Yesu atakufundisha kila kitu. Anaye ongozwa na Roho Mtakatifu huvaa kiheshima na pia mienendo yake, tabia, maneno yote yako Sawa kulingana na Roho wa Mungu.
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Grace inakupelekea KUFANYA mapenzi ya MUNGU TU ndugu YANGU. Nyenyekea Kwa BWANA. HIYO statement yako imepotosha wengi. Toka kati Yao, ukatengwe nao
@edithajohn4563
@edithajohn4563 2 жыл бұрын
Sisi hatuko chini ya torati,awe myahudi au myunani, mtu mkem au mtu mume madamu yuko ndani ya Kristo,nyie mpasuke tu injiri tutahubiri.
@michaelsavuro4359
@michaelsavuro4359 2 жыл бұрын
AMENI mtumishi ni kweli kabisa hata kunena kwa lugha wanawake hawaruhusiwi hongera babs
@PAULMTITO
@PAULMTITO 10 ай бұрын
Hio si kweli, bado torati iko.Yesu hakuja kuondoa torati.Luke 16,11
@shalomkubali4884
@shalomkubali4884 2 жыл бұрын
Soma matendo ya mitume 2:7 bibilia halibagui
@ernesttomas85
@ernesttomas85 2 жыл бұрын
Kunena kwa lugha sio kuhubiri
@pastorjoymwangiofficial7674
@pastorjoymwangiofficial7674 2 жыл бұрын
Kwani Kuna Roho ya wanaume na wanawake soma bible vizuri tafadhari hapo umedanganya kabisa binguni Ni Utakatifu na Usafi na kuogopa mungu sio kuchunga kanisa we are in the last days mafundisho nimengi mapotovu
@michaelmwalimu6057
@michaelmwalimu6057 2 жыл бұрын
Pasta umenichekesha kweli Huyu bwana anapotosha, hakuna Roho ya kiume na ya kike
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k
@MsokaselemaniMkelelwa-y1k Жыл бұрын
Huyo mchungaji ametumwa Na Mungu wa kweli,utakatifu ni kutii Na kuishi neno la Mungu,Na hivyo asemavyo mchungaji ndiyo neno la Mungu,ondokeni katika kanisa ambazo wachungaji ni wanawake
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 2 жыл бұрын
Amen Amen
MWANAMKE HARUHUSIWI KUWA MCHUNGAJI AU ASKOFU AU KUHUBIRI KANISANI.NI NENO LA MUNGU.
30:25
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 6 М.
NILIKUTANA NA YESU USO KWA USO NIKAAMBIWA.
37:53
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 6 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,8 МЛН
PART 1 ALIYE KUWA FREEMASON AOKOKA USHUHUDA WA JONATHAN
58:02
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 14 М.
ALIONYESHWA MWANAMKE HARUHUSIWI KUWA ASKOFU, MCHUNGAJI AU KUHUBIRI KANISANI.Share.
8:14
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 3,6 М.
ROHO ITENDAYO DHAMBI NDIO ITAKAYO KUFA BY BISHOP FJ KATUNZI
23:21
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 4,5 М.
MNAOPENDA KUNYWA ENERGY DRINKS ,COCACOLA, SIKILIZENI USHUHUDA HUU.share ujumbe huu.
11:10
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 30 М.