PART 1 PERFUME MTEGO WA SHETANI KWA WAKRISTO. USHUHUDA WA FELLY GRACE CONGO

  Рет қаралды 8,705

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@frankdanford8245
@frankdanford8245 8 ай бұрын
Mungu aniokowe ninauhitaji sana ufalme wake na nahitaji nguvu ya maombi
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 8 ай бұрын
Mungu ajibu hoja ya moyo wako
@frankdanford8245
@frankdanford8245 8 ай бұрын
@@lydiahnabwire128 Amen 🙏🏾
@maryandason1815
@maryandason1815 8 ай бұрын
Blessed my lovely sister❤..nlikumiss Sana my Dada .
@BarakaTele-c5l
@BarakaTele-c5l 8 ай бұрын
Amen be blessed
@giselemapendo-7427
@giselemapendo-7427 8 ай бұрын
Mungu akubariki ❤kwa kutufungulia ukwelii kuwajuwa watumishi wa ibilisi chetani
@susanilunda
@susanilunda 8 ай бұрын
Ni kweli hawàamini Mungu mwenyewe afunue macho ya rohoni
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 8 ай бұрын
Asante ,hakika Mungu anatupenda
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 8 ай бұрын
Alama ya mnyama ,au chapa ,ni chanjo za kulazimisha ,zinaondoa hiari na uhuru wa binadamu kuamua hatima yao
@MariaJuma-q2k
@MariaJuma-q2k 8 ай бұрын
Kama ndo hivo,mbona tumechanjwa yangu utoto?we huna chanjo,ulilazimishwa kwasababu ilikuwa hujitambui,Rudi uulize kwa Mungu Tena ,alama ya mnyama na chapa ya mnyama, ni mwaminifu atakufunulia,siku mkitambua nikwanini papa atashurutisha Dunia nzima kuabudu siku ya jumapili,utakuwa umejua Siri kubwa sana,hebu kamsome Daniel vizuri,mambo niyaleyale hayajabadilika,Imani lazima ipimwe ndipo uingie mbinguni
@GODSCHOSEN2004
@GODSCHOSEN2004 8 ай бұрын
La, alama ya 666 ni wenye watakataa kufanya kazi siku ambayo Mungu wetu alipumzika baada ya kumaliza uumbaji
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 8 ай бұрын
​@@GODSCHOSEN2004Hiyo ni bibilia gani weka hapa hiyo Bible verses please
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 8 ай бұрын
Kweli kabisa 666 ni kufanywa watumwa wa shetani na mwishowe wataingia kuzimu
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 8 ай бұрын
@@GODSCHOSEN2004 hapana sio hivyo hata YESU alifanya kazi siku ya sabato na ndio maana wayahudi walichukia na wakasena kwa sababu uliivunja sabato na kujiita mwana wa Mungu ,666 haijawahi kua ni siku ya mapumziko watu wakafanya kazi ,hizo ni taratibu za dini za watu na sii utaratibu wa kweli baada ya YESU KRISTO ,sabato inawahusu watu wanao ishi kwa kufuata Sheria na sii wanaofuata Neema ya Mungu kwani kwa Sheria haipasi hata waganga na wazinzi wawepo bila kuwapiga mawe na kuwa ua ,hapo Sheria imekamilika.
@sirteacher
@sirteacher 8 ай бұрын
Naomba thumbnail ziwe zinafanana ili kujua part 2 ni ipi inakuwa ni rahisi kujua ni video ipi ya mwendelezo
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 7 ай бұрын
Amina
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 8 ай бұрын
Amen
@happinesskitali164
@happinesskitali164 8 ай бұрын
Part two Iko wapi
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 8 ай бұрын
Ameen
@margretokuku8220
@margretokuku8220 8 ай бұрын
Asante
@toshalulinda1493
@toshalulinda1493 8 ай бұрын
Damu ya kristo itufunike
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc 8 ай бұрын
Mungu atusaidie sana,wakristo wengi hawaamini mambo haya
@gracenbarnes5254
@gracenbarnes5254 8 ай бұрын
Kuna onyo mtu hupewa na Roho Mtakatifu binafsi kwa wakati huo na Kuna Maonyo ya ju.mla yuko mtumishi aliemda kuhubiri Tz wenyeji wakamlipia chumba kizuri kwenye hotel ya kifahari ameingia chumbani Roho Mtakatifu akamkataza asilalie icho kitanda cha hotel kwa sababu Kuna roho chafu. Akatii alilala kwenye kochi siku zote mpk anaondoka tz swali je watumishi wasisafiri kuhubiri kwa sababu vitanda vya hiotel vote vina mapepo? Roho Mtakatifu atusaidie kujua ni katazo la wakati au katazo la jumla
@gracenbarnes5254
@gracenbarnes5254 8 ай бұрын
Shetani ni roho anaweza kukaa kwenye chochote iwe chakula, nguo, petfume, kiatu mkanda wa suruali nk.kuna mtumishi yuko arusha Tanzania aliwai nunua kiatu kumbe kina pepo, mwingine wa Dar es Salaam alizuia na Roho Mtakatifu asile korosho siku iyo na wakati alikuwa akila kila siku kwa sababu korosho za siku iyo.zilikua na pepo, mwalimu mwakasege akiwa ng'ambo kwenye mkutano wa kimataifa alizuiwa. na Roho Mtakatifu asichukue peni walizokuwa wanagaiwa kwenye huo mkutamo bure.je tusitumie kalamu,tusile kabisa ?nadhani wakristo tujifunze kuongozwa na Roho Mtakatifu
@BarakaTele-c5l
@BarakaTele-c5l 8 ай бұрын
Amua unavhoona kinafaa,hakuna anayekulazimisha
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 8 ай бұрын
Jamani muangalie msichanganye habari ,swala la kuonywa kutumia vitu Hilo lipo hata Kiroho pia ,mfano samsoni hakuruhusiwa hata kula zabibu lakini wazazi wake walikua wakulima ,ila ujue tuu kua kuongozwa na Roho Mtakatifu ni jambo jema na uhakika zaidi yapo mambo moja kwa moja hayafai na Roho anaonya kwa kua ni msingi wa dhambi au milango ya mapepo ,na mengine ni maonyo ya wakati kutokana na kile anacho kiona juu yako Mfn ukaambiwa na Roho usisafiri ikiwa ulitaka kusafiri hapo haimaanishi kua usisafiri Tena,nadhani Kila kitu kibaya na kisichofaa kipo ndani ya Neno la Mungu ,tatizo ni ufahamu (,mfano mdogo tuu,Neno tamaa linajumuisha ,kukataa kufanya jambo lolote ambalo wengine wanafanya bila kuruhusiwa na maandiko ,mfano mambo ya urembo kujifananisha na watu wa Dunia ukafanana na wasioijua Neno Wala kumwabudu Mungu wa kweli ,kujichubua ,ngozi kuvaa mawigu ,suruali kwa wanawake hizi ni tamaa baada ya kuona wengine wanafanya aidha ukaona au kuhisi kua wanapendeza nawe ukataman ukafanya hapo umeshakosana na Mbingu tayari,Sasa anapokuja mtu kukuonya kwa kua moyo wako umesha penda na kupata nguvu huwezi kuamini Wala kukubali kua ni machukizo kwa Mungu. Hebu soma WARUMI 8:1-17 NA GALATIA 5;17 -25, na GALATIA 5:4-5 maandiko mengine yenye maonyo lakini watu hawapendi kukubaliana nayo wakisubiri hukumu ni 2Timotheo 3:1-7 na 1TIMOTHEO 1:8-10 na 1PETRO 1:13-19 na 1PETRO 3 :1-6 Mungu awabariki ,kujitakasa Kila iitwapo Leo na kuishi maisha matakatifu humvuta Roho wa MUNGU kwetu na kua karibu na MUNGU alie hai Milele .
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 8 ай бұрын
Amen
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
USHUHUDA WA JOSIVAN WAKRISTO KUZIMU INATISHA
38:59
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 15 М.
PART 17 KUNENA KWA LUGHA USHUHUDA WA    ROBERT KENZO ATSUSH
41:53
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 10 М.
PART 19 VITA VYA KIROHO USHUHUDA WA ROBERT KENZO ATSUSH
55:59
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 7 М.
PART 4 MATESO YA KUZIMU  USHUHUDA WA EMMANUEL SENAYON
35:22
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 8 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17