Ashe naleng' Enkai aang' itabolo olosho lemaa engonyek enye! Thank you so much these Maasai Ladies keep it up you are great job ❤❤❤❤
@samuellekato5084 Жыл бұрын
A beautiful song for Africa child day ..an Ambassador of the girl child. A hidden talent ..so inspiring
@EstherPeresian Жыл бұрын
Hongera sana watoto wetu wa maaa may God blessed you all
@jeremiahmollel163 Жыл бұрын
Imenigusa sana sana 😢😢😢watoto wetu wa Maa mungu awabariki sana
@ThomasKutes Жыл бұрын
ujumbe nzuri sana mungu awabariki❤
@PhilemonPetro2 ай бұрын
💞💜😢😢🤭🇹🇿 mungu awabariki watu wetu wa mungu #engikoo sidai oleng' taarmaasai lang'🚶🏃
@Elizabeth-hy4gr6 ай бұрын
Ujumbe nzuri sana mungu awapariki hawa watoto na hii nyimbo🙏🙏🙏❤❤
@MasaayKunguru Жыл бұрын
Hongeren Sana Tena Sana hutuna cha kuwalipa but good bless atawasadia wadog zetu
@TataLulunga Жыл бұрын
Very touching song 😢😢😢may Almighty father bless our maa children
@Generalininja Жыл бұрын
poleni xana mungu awabariki wamegusa❤❤❤❤
@KINGMASAI-el7bt9 ай бұрын
Mungu wabariki Hawa watoto wetu na pia utufungue macho sisi kama wazazi ili tuweze kuwaelewa watoto wetu wakitulilia kuhusu Elimu ❤❤❤
@ThomasLeposomollel-es7dj Жыл бұрын
Ujumbe nzuri sana 🙏🙏
@joshuajoshua9908 Жыл бұрын
Topuaa
@KamankoPatrick Жыл бұрын
Tumeguzwa sana
@ezekel-yx5cl Жыл бұрын
mungu wabari watoto wetu imenigusa🙏🙏🙏🙏
@ezekel-yx5cl Жыл бұрын
nyimbo imenigusa sana
@TomasSaruni-z6t Жыл бұрын
Hongereni sana watoto wetu wa maaa Mungu hawa bariki na awapee vipaji cha kuendeleza mbele
@isayalemberua9195 Жыл бұрын
jaman watoto wameimba mungu awabariki kweli
@johnbravian262 Жыл бұрын
A very touching song,atleast wazee tumepigwa fimbo ya ukweli hapo.
@AmanuLaizar Жыл бұрын
Imenigusa haswa,wazazi tujifunze afu tuepukane na ukatili wa watoto,tuwapeleke watoto wetu shule maana ndicho kilichobaki kama urithi wa kizazi tuliyonayo.nampongeza sana tena Kwa dhati sana mtunzi wa wimbo huu,mwanangu mungu akupe maisha marefu
@solomonkipi6638 Жыл бұрын
Wonderful message for the Maa community
@cmellengotila1803 Жыл бұрын
UMENIGUSA SANA, WAMASAI TUBADILIKE, TUWADHAMINI WATOTO WA KIKE TUWAPELEKE SHULE WASOME MPAKA MWISHO