Hapa nimewaelewa Sana. Mwenyezi Mungu awabariki Sana na mkadumu katika kumtumikia. Hakika hatawaacha wala hatawapungukia.
@joshuatorokaa54514 ай бұрын
Nimeipenda sans MUNGU awabaliki
@GidawasAmos2 ай бұрын
Nyimbo hizi za kimila za kigogo ni nzuri
@HappyYohana-r6i2 ай бұрын
Mwene Nye chigogo chiswanu nkuuu 2:06
@mamachris68113 жыл бұрын
Cholo mota hambe ku wulanga Chitume zono zinojeye Tutashangili hata mbinguni Tutende yapasayo 👏👏👏
@galachagalacha18082 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana ndugu zangu wa mima galacha kutoka pande za dodoma wiraya chamwino kata ya ikowa kwa Alfa mungu awe nanyi
@RehemaMpasuko5 ай бұрын
napenda sanaaaa
@lovenesskaziyao8181 Жыл бұрын
Wimbo ukwinjila mbaka na munhumbula
@tembamkwawiАй бұрын
Mima kigoji
@AkaniLazaro28 күн бұрын
Akani hapa naupenda wimbo huu hee hee natikisa kichwa taratibu mpaka raha
@BahatiMwl Жыл бұрын
Safi sana yo asili yetu ai
@UbayaugwelaАй бұрын
Nihatar sana nakumbuka mbali sana
@ranveelkamsanga74511 ай бұрын
sijui wanachoimba ila nimeona yesu kristo wakati wanateswa ila kiukweli huwa nawapenda sana hawa ndugu wanavyocheza yani hata kama hujui ila utachezesha tyu kichwa au mguu au hata kidole hongereni sana wagogo mungu awabaliki ingawa sijui wanachokiimbq