Seriously am Kenya but I love asley songs soo much. Big up my brother nice song twakualika Kenya tena 😘😘😘
@rainiwalter85706 жыл бұрын
All the way from kenya🔥 Likes zishuke
@deborahelias35036 жыл бұрын
Nice song,,, amazing video,,, wangapi tumekoshwa Na huu wimbo jaman???????
@petermungai10686 жыл бұрын
Usasema mrembo
@patrickmungai59486 жыл бұрын
Love it aslay +254 mko wapi na likes??
@NasakaAnn Жыл бұрын
I beg, u try to plan for coming to perform in Uganda, Aslay we always like ua songs and vibes
@ragamaedwin53742 жыл бұрын
Whenever I listen to this song to date it always sounds to be new, the rythm the vocals I tell you Aslay nakutambua Hadi waleo🇰🇪🇰🇪🇰🇪 One love brother
@hakeemjay11592 жыл бұрын
Lmm
@clovisntirenganya94252 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃f 😃f 🙏 you f 🙏 you 🙏🙏🙏 FFF fffffffffffff 😃 hormonaizz
@derrickmatenga48046 жыл бұрын
I can't get enough of this young talented humbled boy🔥🔥#dingiMtoto👊 Kama na wewe unamkubali #asley gonga like hapa👍
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Ww asley una balaa#roho yangu kwatu👌👌❤❤💃💃
@Its_posh6 жыл бұрын
Mtoto ana balaaa sana huyu gonga like kama unakubali huu mzigo
@maxymillarchemnanyi7256 жыл бұрын
Wagwan
@allihassan31886 жыл бұрын
Aslay juu sana
@danielmeshack32696 жыл бұрын
Mie naipenda ndo naidundisha apa iviii
@lazarombalingarichard69106 жыл бұрын
Real Life
@mzunguhassan21136 жыл бұрын
Big talent!
@mariakatua98216 жыл бұрын
''Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe, naskia una bonge la kesi la kuniteka mi.....waambie wajue mi kwako nishatia nanga''.....on replay with so much love from Nairobi.
@kim457346 жыл бұрын
Kam umeandka mwenyew na ni mkenya umetisha jirani....
@ruthwanjuiicon20414 жыл бұрын
My love for this boy is unconditional ❤️❤️❤️❤️Aslay all the time, even in the next life I just wanna listen to this blessed darling. Wapi likes za Aslay❤️❤️
@evalynangelica76773 жыл бұрын
Aslay I love your music
@jonahnyams3 жыл бұрын
@@evalynangelica7677 He is realy tallanted.ilove you aslay❤️❤️
@Micpiu6 жыл бұрын
Kama unaamini kwamba Aslay hashuki bali anapanda, like.
@officialtalenttv38826 жыл бұрын
Ngoma qalii sana @aslay keep it up⬆
@Infino1006 жыл бұрын
Kama unamkubali Aslay, gonga like hapa twende sawa.. 254
@salimaamir55616 жыл бұрын
Pamoja sana naona 2547 inawakilisha
@slysizb9466 жыл бұрын
Pamoja ndugu
@ochiewowycliffe40406 жыл бұрын
Nimekubali
@malikamtajir89356 жыл бұрын
Imenimaliza
@udsamabdh49656 жыл бұрын
😕😕√√
@officialvicky16726 жыл бұрын
Kama unamkubali Aslay gonga like hapo... tuhanze mchezo😊😊
@fabianjohn96085 жыл бұрын
Namkubali xan 2
@uhavreallytriedmtua15265 жыл бұрын
I really lv u aslay hpe uta2fail including me
@faridakisepo49085 жыл бұрын
gud
@sadamhoi61455 жыл бұрын
Hi official vicky
@mikidadikasim86495 жыл бұрын
Official Vicky anza namimi mchezo BC lkn cijui kama utaweza mchezo wangu
@ashajuma-mp6os3 ай бұрын
Pambe hili song linanikumbusha mbal sana
@Betterwithrose6 жыл бұрын
Aslay nimeona wengi sana wazuri sana ila kwako nimekwama sijateleza kukuchagua... na kaa hapa na wewe aslay sitoki kamwe
@nazfatyomary4106 жыл бұрын
penda san aslay uko good
@emmanuelmayunga69536 жыл бұрын
ndiyo
@chazzkisandya73515 жыл бұрын
ROSE MARY fff
@ashamedmedyz81255 жыл бұрын
ROSE MARY mwimbo bomba
@ruthwanjuiicon20414 жыл бұрын
Nisongee tukae hapa kwa Aslay, ❤️❤️❤️
@CollinsSakwa2546 жыл бұрын
Pita tu, hata mimi nasoma tu comments kama wewe...
@rajahiv97236 жыл бұрын
Kama una mkubali aslay kwa nyimbo za mahaba gonga like hapa
@praxedadominic68926 жыл бұрын
😘😘😘
@danielnangu22556 жыл бұрын
TheLast Hboy Flavour nakukubali sana
@moranilesoile65806 жыл бұрын
Jamaa anajua
@mwajumamaulidi72876 жыл бұрын
Kichupaaa roho yangu kwatuu
@odolbidit8056 жыл бұрын
Suothsudan
@lizchuma4693 жыл бұрын
Woow inaniguxa mie congrct my bro
@fredrickngira58725 жыл бұрын
familia yangu IPO polisi yakutafuta wewe,daa huyu ndiye king wa bongo##aslay bigup
@djatm13196 жыл бұрын
Nipo Kenya lakini hakuna msanii nampenda kama Aslay....kazi nzuri
@peterfujokalogi78216 жыл бұрын
Kama unamkubali aslay gonga like nyingi
@eviepretty90066 жыл бұрын
nimejikuta tu gafla nipo India kwa huo mdundo na nyimbo nipo nacheza kwenye Mti najizungusha Kama nacheza kuch kuch #roho yang kwatu aseeee
@ibrahimmussa74786 жыл бұрын
Umetisha sana. Roho yako kwatu.^^
@fanuellychilya28316 жыл бұрын
We dogo ni noma nakpa mia kwa mia mola akujalie nipo kwenye boat nackiliza roho yangu kwatu
@eviepretty90066 жыл бұрын
Ibrahim mussa pmj
@eviepretty90066 жыл бұрын
Fanuelly Chilya huhu kabisa song linaindoa stress
@ibrahimmussa74786 жыл бұрын
Yani najikuta na mimi tupo wote india tunacheza kuch kuch otahe pamoja.lol ipo poa sana kila nikiisikiliza naona kama kaitoa sasaivi.
@euniceseverine33056 жыл бұрын
wanauliza maswali tuwajibu kwa vitendo I like it
@vincentbett8436 жыл бұрын
aslay you really killl it. If you support aslay as one of the best tanzanian artist strike the like ....
roho yangu kwatu ...family yangu iko police inakusaka kwakuniteka mm salute asly
@julianaamos79726 жыл бұрын
Nakukubalii sana aslay mungu akuangazie Nuru katika Kila njia uipitao
@Husseinmwanakombo0256 жыл бұрын
Nichochee nichochee kama moto nichochee.... Fully muzukaa.... 🔥 🔥
@Kenny-u9z6 жыл бұрын
Aslay forever my King! This boy has too much talent!!! Support as always from Poland!
@alkleintje60902 жыл бұрын
I love Aslay, his songs are on another level..love him from his song nitakusema kwa mama..by the way the beat kwa hii song
@KilembeAtuganile2 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana iiiiii jamani
@ayubujaphet7816 жыл бұрын
Ukiwa mbali mwili wote unapooza, nahisi kama nimekufa natayari nimeoza, chai sukari mpenzi hembu koleza, usije ukakurupuka ukajaniacha kwa jeneza, familia yangu iko polisi inakutafuta wewe, nasikia una bonge la kesi la kuniteka mimi ohooooh ohoooooh noh noh noh la kuniteka mimi .!! ..... kama unayakubali haya mashair ya aslay gonga like za kutosha..
@victormuriithi95606 жыл бұрын
The move at 2:40 watu wanguuu kenya tunasema ni "ngori sana"
@nashobigawa84126 жыл бұрын
victor muriithi
@gloirekotalamozwa78674 жыл бұрын
I'm so glad when i hear Aslay voice song big up brother
@silawsang25656 жыл бұрын
35th🔥🔥🔥🔥wakenya mnipatie ka'like
@ramadhanikhan60596 жыл бұрын
kumbe hii nyimbo Kali sana nilijua mbaya mwanzo inatoka duuh
@georgeyesaya18416 жыл бұрын
umeua mzazi good song even me roho yangu kwatu😍
@aishadaimu40256 жыл бұрын
Kwatuuuu jamani yani kuisikiliza hii nyimbo mie roho yangu kwatu kwatuuu kwatuuuuuuu😍😍😘😘😘 nampenda sana asly❤❤❤❤
@kevinokombo97306 жыл бұрын
aiyayayayaaaa....Aslay for life from +254
@catherinengali99796 жыл бұрын
"Uking'olewa meno Mwenzako navimba mdomo pia" The more I listen to this song the more I love it!! Keep up the good work!! Onwards and upwards!!
@lidyamassawe8586 жыл бұрын
kaaaaah jmn unajua kuimba mpk basi aslay good voice ....roho yangu kwat... ..da best song
@yobrammoja49146 жыл бұрын
Motoo!! 🔥🔥🔥 ashakuwa bazenga 254
@abdulqareem9536 жыл бұрын
Kama ulikuwa umemiss aslay gonga like 😂🤸
@ernestwanyonyi41316 жыл бұрын
keep up Aslay for the great job ..May God grant u more words waimba nyimbo nzuri.
@jeremiahcharles20306 жыл бұрын
Anaepinga hii ngoma Ajui mziki kabixa mzee aslay umetixh ila ujue cyo kila m2 atakubal wabak wachach wajing wasio jua mizik
@justinmbunda36075 жыл бұрын
Nampenda sana aslay
@dhahabu92196 жыл бұрын
Nikila korosho, kula karanga usimeze ooh! Waaaa ... naomba mtu anifafanulie - sielewi. Kazi bomba Aslay. Naku-admire sana
@angelaodero91355 жыл бұрын
Kenya ..Aslay you rock
@jofreyiposso91846 жыл бұрын
Nomaa sanaah huyu mwamba Kama umeipenda gonga Like apa
@ronix13016 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yessssssss aslay u're on track
@habarimpya71566 жыл бұрын
Kazi Nzuri sanaaaa wanaokubali gonga like hapa
@ijakaadickson48276 жыл бұрын
Wakiuliza maswali tunawa jibu kwa vitendo .tamu Sana kutoka kwa lone officer Aslay
hahahahaha kilichonifurahisa hasa kumuona CHIBA alivyoivumisha hiyo KWATU hahahahaha, safi Aslay mbebe huyo mjomba Chiba.... pamoja sana
@neojafar12306 жыл бұрын
King kivyako......kama unamkubali Aslay .......LIKE!!!!?
@florencewamil57226 жыл бұрын
Now this is talent...he has wise words.....thank Aslay 🔥🔥🔥 Plus his really cute.. Its a compliment btw ☺☺
@omarkhamis72775 жыл бұрын
mwimbo upo vizur sna hongera sana asley kwa kaz zko nzuri mungu akulinde na kila baya
@millicentanyango92496 жыл бұрын
Nampenda aslay kama msanii wangu congratulation bro
@mcmaloving87816 жыл бұрын
Ati nikila koshoro kula karanga usimeze!! duh! Hii ngoma taamu sana BIG UP sana Aslay...KWATU is now one of my Favorite songs...
@kaikai01266 жыл бұрын
Dah! I think aslay inakubidi mazoezi ya sauti uzingatie sana cos sauti imeanza mikwaruzo bro..
@dvjskinnyofficial24736 жыл бұрын
wengiiii hawajui manaa ya mzikii ilaa wachachee wana juaa hii maaana. kwa msaniii ku spend kwenye game bilaa kushuka kila nyimbo akitoa #TREND ASLAY ana wezaa kua katii ya hawoo WACHACHEE. i like that
@asiabakari43746 жыл бұрын
Da napenda nyuimbo zauyu mtoto jaman natamani nimuone ata laivu nimuambiy anafanya vizuri da mungu akujaliy mwanangu
@betylevic91036 жыл бұрын
hongera yako maana babaangu anakupenda coz huvai kihuni km wengine keep it up
@barakajpilly69006 жыл бұрын
Ili jamaa linajua mpk linaboa hahahah like kwa aslay isyaka
@dominicbett5100 Жыл бұрын
Simple, hardworking and humble artist ever seen before in TZ
@willymagooge21136 жыл бұрын
Hakika kaka unajua unacho fanya bg up may borther mungu you na we kaka love u song sema kweli usipo achiaga vitu vikali huwa naumia sana ila kwa hill zigo hahahahahaha🙏🙏🙏🙏
@willymagooge21136 жыл бұрын
Kama unamkubali huyu dogo gonga like twende zetu acha mawivu kitu kinaita chenyewe
@TheMukate6 жыл бұрын
Aslay endelea kuturoga roga Humu 🇺🇸twakupenda❣️
@mamafadila78066 жыл бұрын
Nakukubali sana mdgo angu...mungu akukuzie zaidi kipaji chako
@jobndombi78496 жыл бұрын
First comment team Kenya gonga like
@mros21856 жыл бұрын
Team kenya .saluit kwa Aslay
@T.A26 жыл бұрын
still we are rocking
@emmakyalo86526 жыл бұрын
Job Ndombi good song,,,soooo sweet mwaaaah mwaaaaah
@rickyarun83096 жыл бұрын
Daaaah!!! nani ameipenda *kwatu kama mimi....
@neylathmoses71796 жыл бұрын
ricky arun ujanizidi me roho yangu kwatuuu
@halimawaziri76776 жыл бұрын
Roho yangu kwatu
@KhadijaKhadija-mk6jf6 жыл бұрын
me pia
@frankmrenga87586 жыл бұрын
This is a real talent, keep going!!
@ashabakari29206 жыл бұрын
Baba Moza cna la kusema kwakweli, uko vzr
@ashaissa94686 жыл бұрын
Nikishka kiuno unishike bega hapo tu kazi nzuri sana aslay
@valentinerobinah7825 жыл бұрын
Anyone from Kenya 2019 listening this song with me,aslay i love 😘😘😘😘😘ur song is very interested
@dastankayaya99386 жыл бұрын
Hicho kipens nimekielewa aslay kwatu ngoma qaliii sana mwana hukosei
@novatishirima6225 жыл бұрын
Good sana aslay upo vizur napenda nyimbo zako Sana'a a
@bongomagazine65466 жыл бұрын
Kama Una sikiliza huu wimbo uku unasoma comment gonga like
@musasiame27766 жыл бұрын
good
@bongomagazine65466 жыл бұрын
Pamoko mkali
@dorrnemushi8171 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@NginaSamuel-g4d Жыл бұрын
❤
@ricoroyalthedjkenya69766 жыл бұрын
kipawa cha kuandika nyimbo zuri ni king aslay
@stephanombamba21686 жыл бұрын
Heshima kwako producer wa hi ngoma gud music🎼🎵🎶
@zenahnyale35516 жыл бұрын
Baba mozah Mungu kakupa sauti na wajuwa kuitumia kuturidhisha masikio yetu Mungu akubariki...
@sabdi73384 жыл бұрын
Sauti maashaallah
@ndayishimiyezene63074 жыл бұрын
@@sabdi7338 , ok
@bihijahmbwana84626 жыл бұрын
Big up brother umeweza mashallah
@moniquewahu8636 жыл бұрын
Am from Kenya ...am in love with you aslay ...kudos
@abdallahmmbwana69065 жыл бұрын
Monique Wahu mmbo
@rukiandula69593 жыл бұрын
Even slay come from Tana river place called Hola
@lalilamaingu94265 жыл бұрын
yaani napenda wimbo, mashairi yake, muimbaji, uchezaji hadi mavazi...roho yangu kwatuuuuuu