Hiii sauti ya maalim athuman haikeri kabisa kwenye maskio ywa waskilizaji kweli kabisaa kama mm ndo ameniathiri na mawaidha yake nikiskilza mwingine nahisi sielewi ! Na ile aman ya moyo naipata soma yke tu Quraan mm nalalaga usingizi wallah alllah ana nguvu ya ajabu amekupa kipawaa
@bentybenty23434 жыл бұрын
Shukran xana sheikh Othman,Allah akuzidishie umri na subra uzidi kutuelimisha..nakupenda kwa ajili ya Allah 🙏
@abdulkarimomar80104 жыл бұрын
Jazak kher
@hamidaaman15563 жыл бұрын
😘😘😘😘Baraka Allah
@dizzo-dv6nu4 жыл бұрын
Masha Allah
@mams18924 жыл бұрын
Jazzakallahu kheir
@mohamedriyamy2933 жыл бұрын
Bbu
@saumuabdullahi8863 жыл бұрын
Aslm aleikum ww shuquran
@asmahanali84404 жыл бұрын
Mashallah Allah akulipe kheir
@abdifatahnoor39394 жыл бұрын
Mashaa allah shk
@muridimukomwa93155 жыл бұрын
Masha allha sheikh othman maalim
@muridimukomwa93155 жыл бұрын
Mwenzagu akupe umri mrefu tu Zidi kupata historya nyingi katika uwislamu wetu insha allha
@jumasharif71464 жыл бұрын
Hongera sana mwalim wangu mpenz nakupenda sana , yaan unatuhadidhia historia utadhani ulikuwepo pamoja nao, ahsante sana .
@imraniqbal007654 жыл бұрын
Tunashukuru sanaaa kupata elimu ya dini yetu Allah akulipe janna Firdausi kwa rehma zake Allah Upande wa pili hawa wachukuaji Video wajitahidi hizi sauti na ngurumo zinanyima raha
@ramadhanihamisi10494 жыл бұрын
Huyu shekhe nanfananisha na swahabah flani vile
@hamza899454 жыл бұрын
Ramadhan Hamisi unazijua sifa za maswahaba?? Kitu cha kwanza walikua na vilemba na ndevu nyingi mno. Wakila jasho Lao na kuitangaza na kuilimisha dini kwa bure. Wakitoka fysabilillah kuitangaza dini....na mengi..