ALLAH AKUHIFADHI SHEKH OTHMAN NA MASHEKHE WOOTE WANAO TUILIMISHA IN SHA ALLAH
@AliNzaphila6 ай бұрын
Allah akupe njiA nzuri ya kueneza dini yetu ya kislamu naomba Tu dua Mimi nilikua kila Aina ya uraibu lakini namshukuru mungu nimeacha kila kitu na sai naswali nikikosa swala hua naumia sana
@zamilmohammed2297Ай бұрын
Alhamdulilah
@zenaibrahim4373 ай бұрын
Jazaakallaah kheri shekh othman mashallah
@johnmoses2345 Жыл бұрын
Masomo na wasio mzuri, naenda, mola akupe maisha mrefu, uendelee kunufaisha umma wake mtume.
@zenazena24517 ай бұрын
Allwa akupe heri kumbwa pamoja na kizazi chako kiwe na ilimu
@Sarah-e1o9k11 күн бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@samiasalim8322 Жыл бұрын
Mashalla jaeak Alla million billion kheir
@Superwoman-n5j8 ай бұрын
InshaAllah mungu nijalie nikutane na shekhe othman
@josuzajsk398 Жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka arrahmaan sheikh Othman.... in shaa Allah Allah azidi kukujaalia ilmu na sisi tunufaike 😍
She Unasema Wanawake wana Tabia ya kutokupenda Kushirikiana haswa kweye kushirikiana Mwanaume kwamba mwananamke anapenda Mume wake mwenyewe na sio mume kuoa wake wengine. Je, Wanaume nao Mbona hawapendi kushirikiana Mke mmoja wanaume wawiwili? Kwanini Kwa Wanawake iwe Raihisi kushirikiana Mume Lakini kwa Mwanaume hataki kushirikiana na Mwanaume mwingine? Hapo ndio penye kasoro kubwa ya Mwanamke kukandamizwa na kumfanya Mwanaume kama Mungu wa Duniani
@ms.zeyana71758 ай бұрын
Hio ni sheria na imeekwa kwa mazingatio makubwa na aliamrishalo Allah basi limetolewa kwa mazingatio makubwa sana.. Sheria ni wanaume ndio waneruhusiwa ila wanawake sisi kwa maumbile yetu Allah ameona tunatosheka na mmoja na tukiwa na wengi basi athari kubwa anaweza kuipata mwanamke