Kwenye mazungumzo haya maalum na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, tunazungumzia mtazamo wake kuhusu uongozi, Muungano, na mustakabali wa Zanzibar.
Пікірлер: 17
@mbukumagiubukumagu40617 күн бұрын
Jamaa yupo vizuri sana nampenda sana kusimkiliza.
@salyali780720 күн бұрын
Mashaallah Mh Othman.. May Allah akuhifadhi ... utuvushie jahazi letu tufikie zanzibar kamili ... Allahumma ameen Allahumma ameen
@Bintkilabe19 күн бұрын
Thanks comrade.....that is an apostolic philosophy.....vivaaaa
@buchbeats533720 күн бұрын
Diaspora Zanzibar kutamu Ishllh ACT ichukue nchi
@Foodgrower11220 күн бұрын
Akili kubwa mno 🫡
@allyalially496318 күн бұрын
Unatufaa kuwa rais wetu
@w405820 күн бұрын
Hatuwezi kuwa na mapenzi makubwa kwa na kwetu mpaka mtukubalie raia pacha nyengine hamtaweza kututambuwa
@King_Of_Everything8 күн бұрын
👊✌️👍.
@theteacherchance675020 күн бұрын
Wa N'zambarau-Takao wan'kutana, ela vichwa vyao vin'jaa pomoni
@omarkb677517 күн бұрын
Mtu kma huyu anazaliwa kila baada ya miaka 50 heshima kwako fundi mkuu
@salyali780716 күн бұрын
OMO is an asset for zanzibarians lakini penye miti hakuna wajenzi
@w405820 күн бұрын
Tunaweka wazi ni siasa tu hakuna chengine wanajaza jamaa zao wenyewe uccm umekithiri
@AliAbdalla-lb8su16 күн бұрын
Huyu ni kiongozi wa mfano kabisa
@ZuenaSharifu17 күн бұрын
Rais wangu 2025
@mangofish907919 күн бұрын
Hii interview ni ya zamani kidogo sio mpya kama sikosei