Othman Masoud: Zanzibar haikuanza 1964 - Part 1

  Рет қаралды 14,043

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@zakiafaki7682
@zakiafaki7682 4 жыл бұрын
Ahsante kwa maelezo yako kuhusu Zanzibar kwa kweli unakumbukumbu kubwa. ALLA akubarik nauzidi kutueleza na mengineyo kwani tumepata kujua .
@salehali2380
@salehali2380 4 жыл бұрын
Mashallah. Huyu jamaa yuko vizuri sana. Ndio maana wakamueka bench. Nimemsikiliza vizuri maneno yake yana mantiki sana.
@taffgong7751
@taffgong7751 4 жыл бұрын
Wewe ni ginius, nakukubali sana Mh Othman.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
Makamu wa 1 wa rais wa Zanzibar. Aluta continua!
@salyali7807
@salyali7807 11 ай бұрын
Excellent OMO... you are the best
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 4 жыл бұрын
Safi kabisa, mwanasheriawangu mzalendo
@amoural-harthy7312
@amoural-harthy7312 4 жыл бұрын
Mbona sauti ndogo sana
@machanomachanokhamis8389
@machanomachanokhamis8389 4 жыл бұрын
Huyu jama noma Jana yani atabaki kua yeye hakuna
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 жыл бұрын
, ZANZIBAR ipo na itabaki kuwa Dola kamili.Kuungana hakubadilishi jina la watabaki kuwa WAZANZIBARI.
@husseinhajihaji2313
@husseinhajihaji2313 4 жыл бұрын
Saivi umebaki utawala wa wabongo
@muhsinkombo3736
@muhsinkombo3736 4 жыл бұрын
Uko makini, hufuati mawazo ya kimazoea, mbumbumbu atabaki kuwa mbumbumbu tu.
@amanmohd9435
@amanmohd9435 4 жыл бұрын
Othman tunakukubali
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 4 жыл бұрын
Sasa tangia miaka 400 iliyo pita. Zanzibar ilionekana kama kituo kidogo kidogo cha wavuvi na utumwa wa kibiashara. Ndio mana wareno, warabu , wazungu..hawakuthubutu katu kuijenga Zanzibar katika ustawi wa maisha Bora, wao walikuwa ni wapitaji tu na wazushi na walowezi wa kibiashara za samaki karafu na utumwa. Hatimaye waingeleza wakaja kuwaondoa warabu Kwa vita ya dakika 30, 😁 ili waendeze ishu zao, Ila Kwa mapinduzi ya zanzibari Kwa Abedi na Nyerere ndiyo ikajitahidi kuiweka kisiwa hicho katika ustawi walau kidogo kidogo. Hivyo Zanzibar ki uwalisia ilikuwa inaonekana kama kisiwa cha wavuvi na mabahalia wanao pita na watumwa ndio mana kiliachwa kama yatima. Kwa sasa Zanzibar ina jitambua na haya yote yana tokana na jitihada za hayati Abedi karume na Nyerere na chama cha mapinduzi ccm. Kwa sasa mtanza kukibesa ccm kama chama ambacho kina wakandamiza kumbe ni ulimbukeni wa kimawazo na kukosa kujua history ya nzanzibari. Ila kizazi hiki mnapaswa kuelimishana ukweli, sio kuneza propaganda za kichochezi eti kisa tu mnataka kujitawala,Natuna jua asili ya watu wa huko ni kutoka bara. Kwani wavuvi kutoka bagamoyo, tanga, daresalam, mafia, Mombasa, ndiyo walio anzisha maisha uko tangia enzi hizo za miaka 400 Muingiliano wa wageni na kujamiana, warabu hasahasa) na walatini, wagiliki, wareno, Wazungu, katika utumwa ndiyo zikaja asili za watu wa kipemba na shombe shombe Wewe umeona wapi mwarabu ni mweusi, au umeona wapi mzungu ni mweusi, umeona wapi mchina ni mweusi, wa Zanzibar asiliyao ni kutoka bara, ni mwiko nyie kutubeza sie wabara kwani Zanzibar nimoja ya maeneo tuliokuwa tunaishi katika kutafuta maisha
@ibnismail8831
@ibnismail8831 3 жыл бұрын
Kwhy ili iwejee yaan
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 3 жыл бұрын
@@ibnismail8831 iweje kuhusu nani ?
@mangofish9079
@mangofish9079 3 жыл бұрын
Vi taa 88 Typical mawazo pori kutoka kwa typical ccm kichwa maji. Nani aliokwambia znz ilikua yatima hao ccm wamejenga nini zaidi ya majumba ya makaazi, bwawani hotel, aman stadium yaliobakia mengi wamerithi hata zile skuli zote stone Town zilikua zipo tokea kabla ya mapinduzi mjinga mkubwa na hayo munayodanganyana eti muafrika hakuwa na haki mbona hasemi Mwinyi ktk kitabu chake alisoma kwa kiasi gani, Jumbe, Idriss a wote hawa mbona hawakuwahi kusema walilipia ada ya elimu kiasi gani? Acheni propaganda nyie na pia znz ilikuwepo kabla ya kenya, Uganda, Tanganyika, Malawi n.k tena vipi asili ya wa zanzibar watokee Tanganyika wakati hio Tanganyika imekuja kuvumbuliwa nchi huku zanzibar ishakuwa mpaka na mabalozi wa nchi zote kubwa duniani. Mume jitahidi kupotosha ukweli na memefanikiwa lkn aibu yetu iko siku itawasuta wanafiki wakubwa.
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Mbona wanasema ccm mapinduzi wamempindua mwarabu hili jambo kweli Mwanasheria
@111dudi
@111dudi 4 жыл бұрын
Basi tunawaomba muache kuwasakama waarabu kama walikuwa watu wabaya wakifanya utumwa. Mbona wa wereno na waingereza hamuyasemi? Au munawaogopa?
@abdullasuleiman4477
@abdullasuleiman4477 4 жыл бұрын
Wazabzibar wamelalaa tuwamshee baba
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 жыл бұрын
Tanganyika itabaki kuwa Tanganyika.
@kaykay9722
@kaykay9722 3 жыл бұрын
Waeleze wafahamu hao jamaa ila kua makini hawaaminiki hao
@allyabdallah1776
@allyabdallah1776 4 жыл бұрын
safi sana mzee
@hamadchande4164
@hamadchande4164 4 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU ATAKULINDA KWA JUHUDI ZAKO
@saidhamad7504
@saidhamad7504 4 жыл бұрын
Weyani channel ynu ina matatzo ya saut
@alihaji7201
@alihaji7201 4 жыл бұрын
Anafaaaa kuchkua kijiti Cha rais shein huyu simsikii Sana ccm ayeee
@nassorseif7907
@nassorseif7907 4 жыл бұрын
Huna lazima ya kusoma aya mh kama huzijui hio ni Quran
@rashidsaleh513
@rashidsaleh513 4 жыл бұрын
Kasoma kuliko weye uyo kw taarifa yko
@nassorseif7907
@nassorseif7907 4 жыл бұрын
@@rashidsaleh513 kwa sheria za dunia hana mpinzani namkubali sana lkn sio Quran husikii hizo aya alivoziaoma
@nassorseif7907
@nassorseif7907 4 жыл бұрын
@@rashidsaleh513 kwa sheria za dunia hana mpinzani namkubali sana lkn sio Quran husikii hizo aya alivoziaoma
@nassorseif7907
@nassorseif7907 4 жыл бұрын
@@rashidsaleh513 kwa sheria za dunia hana mpinzani namkubali sana lkn sio Quran husikii hizo aya alivoziaoma??
@princeganji2779
@princeganji2779 4 жыл бұрын
Tuliza kipira mzungu
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
MBOWE AMTOLEA LISSU UVIVU, AMLIPUA VIBAYAAAAAAAA
51:58
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 24 М.
Othman Masoud aelezea kilichomtowa bungeni
8:04
Weyani Tv
Рет қаралды 26 М.
ITAKUSHANGAZA! MAJINA YA MAENEO VISIWANI ZANZIBAR NA MAANA ZAKE
5:46
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,9 М.
MARAIS SABA WA ZANZIBAR MPAKA 2020
4:32
Spesho Kabwanga Online
Рет қаралды 24 М.
TUMETOKA WAPI!? UTAMADUNI WA MZANZIBARI - 1: BWELEO UNGUJA
6:23
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 2 М.
Kurdistan Explained: The State That Will Never Be a State - TLDR News
8:42