Maashallah,, Wallah sheikh Othmani Allah akuhifadhi duniani na Akhera nasah zako nzuri na huu Ni muujiza kutoka kwa mannan
@mohmgonda3 ай бұрын
Mashaallah Allah ubarik sheikh
@mwasitibakari38054 жыл бұрын
Mashaallah shukran sana shekh. Hata mm ilinitokea wallah familia nzima walikataa kisa ni masikini. Ila nilikomaa mpaka nikafungishwa ndoa NA sasa nipo NA mme wng mwaka wa saba sasa alhamndulillah. Nawanamkubali tena sana sasa hivi.
@kasumbi_Jr4 жыл бұрын
HAAHH...KOMA MAMA
@sulemohd48124 жыл бұрын
Huyu mama kakosea au hajasoma dini kusema haliyachini nimaskini halafu sio kabila lao
@farhatrashid20634 жыл бұрын
Mashallah Allah akubarik ktk ndoa yenu
@achaacha40203 жыл бұрын
Mbona huturushii namba zacm shekh tukihitaji mawasiliano tukufuwate wapi masha allah tunajifunza kutokana na suhulu zako shekh Jazaka allahu lkher.
@mhamadaldo733811 ай бұрын
Mashallah sheikh nasahaa yako imenisaidia pia allahamdullah
@faizanvlog59104 жыл бұрын
May Allah give you afya sheikh you are incredible job that has no price
@hamidaayoub7444 жыл бұрын
Daah subhnallah huu ubaguz wa makabila sijui utaisha lini na mtume wetu kalikemea,shekh Allah akulipe kwa juhud zako
@busta_malik59714 жыл бұрын
😭😭
@rashidihamadi19974 жыл бұрын
Mashallah shekh Allah akupe kilalakher akupe mwisho mwema
@majaliwamussa92684 жыл бұрын
Nchi za kiarabu wanaowana kwa makabila ispokuwa asilimia ndogo sana
@munaido79244 жыл бұрын
@@rashidihamadi1997 a
@shakilakhamis21094 жыл бұрын
subhnallah mtihani kweli
@swaumupaji36234 жыл бұрын
Maa shaa Allaah TabarakaAllaah wallah hata Mimi nimejifunza mengi kupitia nasaha hizi ..... nilitaka kuingia kichwa kichwa tu,,, Sheikh wetu kipenzi Allaah akujaalie pepo ya firdaus
@ruqayyahmohammed31884 жыл бұрын
Subhanallah!!! YAALLAH NINUSURU NAHUU MTIHAN Hapo sawa binti atakubal lakn moyon bado anafundo mwishoe akajiulie kwahuyo mlie mchakugulia pesa zinaisha naupendo wakuforce hua haudum
@ibumajaamillah31954 жыл бұрын
Alhamndulillah 🤲🤲Kuna kitu nimejifunza sana kwenye hii nasaha wallah..Sheikh wangu Allah akujlie kila lenye kheir kwako..~~Ahsnt sana kwa darasah lenye mafunzo ndani yake 🙏🙏🙏
@yussufkiria72274 жыл бұрын
shekhe counselling Mzuri Sana Maa Shaa Allah.walakin nilazima kumwuliza bint waakiislamu maswali la faragha kwa mtandao kweli.waweza kupeana mashauri Mzuri bado bila kumwanika binti mtandaoni na swali nzito.
@salhasaid96674 жыл бұрын
Shukraniii sheikh... Allah atuondolee hy mambo y ukabilaa n Umasikn
@HalimaJira Жыл бұрын
Mashallah mashallah Allahu Akubbar Allahu Akubbar
@faizanassor63364 жыл бұрын
Subhanallah shukrain shekhe wetu allah akujalie afya njema mashallah kwakazi unayoifanya inshaallah allah atakulipa kwa kheri unazozi fanya mashallah
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Mana huyu sheikh km anayajua yaliyo ndani ya nafs yangu ya kumueleza huyo m'ke.
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n524 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h2GWpmaFq9J7rsk
@aliidrisahmad25484 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi l
@sofiaadamugi16506 ай бұрын
ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR,que ALLAH recompense o sheikh OTHUMAN com a vida longa.Aprendo muito através dos seus conselhos, Al'hamdulillah.
@mysalhasadala19854 жыл бұрын
Wallah sheikh othumani Allah atakulipa innshallah kesho yyaumar kiyma🙏🙏
@binaljabirmshihirzanzibar83694 жыл бұрын
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
@zaerajuma91594 жыл бұрын
Sadala
@bennymochiwa48004 жыл бұрын
Sheikh ushaur wako haujabalance umeegemea sana upande wa wazazi sana, jaribu kutumia busara na hekima zaidi, Mwenyezi Mungu unajua zaidi
@nahimanamayassa83054 жыл бұрын
SubhanaAllah😳mama anafunguka kabisa eti atanufaika moja mbili tatu😂duuh nacheka kma mazur Wallah,maisha anayapanga Allah jamani
@munaahamso76403 жыл бұрын
Alhamdulillaah sheikh. Napenda Sana naswaha zako, allah azidi kukupa elimu Zaid na akuajalie maish mrefu.
@safiam52854 жыл бұрын
Machozi yamenitoka alipozugumza mwisho huyo binti. Kuwa salama shkh Osman mashallah
@salimjuma94944 жыл бұрын
MashaaAllaaaah sheikh othman Allah in shaa Allah Allah akulinde na akupe umr mrefu kwa hakika c jambo rahis Allah amekujaalia kitu ambacho ni adim sana MashaaAllaaaah MashaaAllaaaah
@bintkijangwa43054 жыл бұрын
Sheikh pole sana kwa uzito wa mtihan unayopitia Allah akupe umri mrefu uzidi kusaidia jamii
@AishaMubaraka5 ай бұрын
Mashallah sheikh Michael Allah akupe kher inshallah
@samsungj7pro64gb54 жыл бұрын
MashaAllah binti mtulivu hasaa Allah amuongeze kunako stairii💕
@lailakibalu5924 жыл бұрын
Allah akibaru
@HabibaHared Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mola akuzidishiye elmu na iman akuhifathi
@zuhuraabdi89894 жыл бұрын
SubhanaAllah sheikh the end is beautiful kweli maneno ya Allah yanalainisha moyo. Jazakhallahu kheir
@jolierazia2432 Жыл бұрын
Sheikh Yuko na hikma sana MaashaAllah 🥰
@Ukhtyzuhura4 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Wallah Allah akulipe kila lenye kheri sheikh wetu Hakika kipindi hiki kina mafunzo makubwa sana
@aminamahamud93332 жыл бұрын
From Mombasa.. MashaAllah speech nzuri
@chimamyjey14794 жыл бұрын
Allah Akbar 😭😭😭Vedio hi na maneno yako shekhe wallah imenitoa machoziii..... Kuna funzoo kubwa mnoo... Allah akutangulie kwa hatua yako, Allah akulipe heri hapa duniani na akhera, Allah akupe umri uzidi kutueleimisha sie, Allah akujalie shahada kabla ya umauti, Allah akujalie mwisho mwema shekh wangu, Allah akujalie pepo ikawe makazii yako 😭wwe na wake zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ibrahimabdallah61594 жыл бұрын
Nimejifunza mengi Sana ndugu zangu!
@zenabali568 Жыл бұрын
Ameen,ameen,ameen inshaallah.
@abasukhairsikhairi1153 жыл бұрын
Alihamdulilih shekh Allah akuifadhi kwakilabaya inshallah
@thamratsaid85264 жыл бұрын
Allah akujaalie kila lakheri shekhe wetu, kwakweli mengi tunajifunza kupitia vipindi vyako Allah akuwafikishe Amiin
@fatmahaytham55253 жыл бұрын
Allah akulipe kila lililo jema nashidwa shehe nikufananishe na kitu gani mungu akuuweke miaka 100
@sumayyahally8662 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah tabarakanllah shukuran jaziran shehe wetu Allah akuzidishie kira rahery nimejifunza mengi hi school tosha
@ndabadugitsefuraha33424 жыл бұрын
Mambo ya kubaguwana haswa warabu ni mtihani wabaguana sana allah atuwekeye wepesi shekhe akupe mwisho mwema na kaulinjema
@mjukuuwakwetu3564 жыл бұрын
Assalamu alykum ustadh, kwa kweli mafunzo yamenigusa. Na namwomba Allah akujaze kheri na akutilie katika jazaa yako kwa yale mema unayoyatenda. Mfano mzuri sana wa kuigwa. Hapa kwetu Kenya sijapata kuyaona vikao mfano huu, na kama lipo basi sina ufahamu. Nimependezwa sana na huu mwelekeo. Shukran
@hamidaalhabsi85684 жыл бұрын
Yaallah wasitiri watoto wote wakiislam nahaya mambo ya dunia yaarabi 🙏🙏🙏🙏🙏
@faridamohamedally44594 жыл бұрын
Allahumma amiin amiin
@mamymdogomamy36704 жыл бұрын
Aamin yarrab aamin
@sulemohd48124 жыл бұрын
Mashallah binty anawazazi wazury.km wngu takbiir
@asmahassan75704 жыл бұрын
Allahumma ameen yarab
@mariamnshimirimana50872 жыл бұрын
Allahuma amin ya rabbal aalamin
@nihlayahya10673 жыл бұрын
Jamani tuangalie dini kwanza mengine yafate badae sheikh Allah akupe umri mrefu
@kadejahh40364 жыл бұрын
Wallha leo somo zuri sn mashallah nimejifunza mengi sn
@mwanaidially17054 жыл бұрын
Allah akulipe kheri inshaAllah Shekhe Othman Na akupe umri mrefu wenye kheri
@zaerajuma91594 жыл бұрын
Yapi nambie moja
@yasalaam5903 жыл бұрын
Amiin amiin amiin shukran ya sheykh allah akuzidishie imani yaarabbi amiin
@sabraabdilnasir88264 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah nimempenda huyu mama nimsema ukweli na mwepesi wakulainika
wallh shehe othumani nakuombea sana dua mungu akupe kila lenye kheri na wewe innshallh unatoa nadhaa nzuri sana
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Amiin yarabi ALLAH amjaalie umri mrefu
@zenabali568 Жыл бұрын
subuanallah,binadham tunasaau kuwa halo chini Allah anao uwezo wa kumpandisha kwa haraka,na halo juu pia vilevile hanao uwezo wa kumshusha sekude.kwaiyo tusimdharau mtu yoyote dhaifu,mashaallah shekh wetu hanajitaidhi kweli kufata haki na maadiko ya dini yetu ya kislam.Allah hakulipe leo na kesho khaera.kafata khekima kabisa before haongeleshe wazazi kamtoa bint kwa kuficha tamaa za wazazi wake😢.Allah hakuongoze shekh nasi vizazi vyetu haviongoze kwa mwenedo wako shekh
@naswidiaabdulkarim50054 жыл бұрын
Shekhe othman allah akuzdishie hekma na busara ktk kuwaongoza waumini maan hii kaz ni mzto sana na allah akuwekee malipo yako ktk mizani yako ya kher kesho akhera
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Amiin
@samsungj7pro64gb54 жыл бұрын
Amini
@oman77104 жыл бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Amiin
@tumahamza89724 жыл бұрын
Naswidia nakukumbusha najua unajua umepitikiwa tu. Jina la Allah andika kwa herufi kubwa. Hata likiwa katikati ya sentensi.
@JohariMussa-bj7ig Жыл бұрын
Shekhe Allah akulipe kwa darsa zako
@ashuramhando52854 жыл бұрын
Dini yetu na mashekh wetu Mashallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@aishaaboud44063 жыл бұрын
Ya Allah huu pia ni mitihani kupitea ni vigumu kwa wote kisheria za dini 😢😢😢 Mungu atupe stara sisi na wazazi wetu in shaa Allah Shukran sheikh Osman nimepata mafunzo shetani ashindwe kwa guvu zake Allah 🙏🙏🙏🙏🙏
Hakuna mbora kati ya muarabu na asie muarabu,mbora ni yule mwenye kumuogopa Allah...hatutakiwi kujifagharisha kutokana na makabila yetu,wala hatutakiwi kuowana lazima kwa makabila yetu bali tunatakiwa kuowana kwa Imani ya dini yetu,unaweza ukaolewa ni tajiri asiyekuwa na Imani ya dini ukaishi maisha ya dhiki na unaweza ukaolewa ni maskini mwenye Imani ya dini ukaishi maisha ya furaha
@nuria7223 Жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh jazakalahu kheir ushauri mzuri
@zainabibrahim41834 жыл бұрын
Mimi niliozeshwa na mtu sikumpenda sikukaa kwa raha miaka mitano kama kwenye moto.Wazazi hivyo hivyo kwa kung'ang'aniza mambo,huyo mume akajifanya mcha mungu haishi kutoka msikitini baba akaona ee MashaAllah huyu ndie mkwe.Kumbe alikuwa mdanganyifu tu anataka mke.Na wazee msome dini na kuielewa vizuri.
@samsungj7pro64gb54 жыл бұрын
Pole sanas
@zainabibrahim41834 жыл бұрын
@@samsungj7pro64gb5 😭😭😭Ahsante nishapoa ndio majaaliwa.Alhamdulillah.
@tatuomary67454 жыл бұрын
Pole
@happypa20274 жыл бұрын
Duuh pole yako
@fatmaotmna26962 жыл бұрын
mungu akulipe kila ujira ishallah wallah siwez kuvumilia moyo kila ninapo ona clip zako machoz hunitoka
@bintsalimalbimany53404 жыл бұрын
Lailahaillallah Allah akbar😢😢😢😢😢Mim najikita nalia tu jaman Huyu sheikh anahikma sana anajua kumtoa nyoka pangoni👐👐😢😢Sichoki kumsikiliza huyu Sheikh Allah azid kukuongoza mdogo wangu 😢😢😢😢 Ni mtoto mdogo sana Tuko sawa sawa kiumr Namim pia niko 24 years old Hongera sana mdogo wangu Mabrook alf mabrook kwa Allah kukulainisha Moyo wako👐👐Allah atuongoze sisi na watoto wetu na Inshaallah Na wewe mdogo wang Allah akupe mume mwenye kheir na wewe Allah akuhifadh na iwe funzo kwa wengine😢😢😢Wanawake tuwe na akili jaman tusihadaike na mapenz kwakuwaasi wazaz wetu 👐👐👐😢😢😢😢😢Ammin ammin kwa dua yangu na dua ya Sheikh Ammin ammin ammin ammin
@naimaally20404 жыл бұрын
Allahumma amiin kwasonte mpnz
@bintsalimalbimany53404 жыл бұрын
@@naimaally2040 Ammin Habibty😙😍😚
@jafaryjey4 жыл бұрын
Je Wewe hujaharibiwa?
@bintsalimalbimany53404 жыл бұрын
@@jafaryjey 😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩Hasbiyallah waniimalwakil ndio jibu langu👐👐👐
@jafaryjey4 жыл бұрын
@@bintsalimalbimany5340 👀
@khdijahalmudhairb21474 жыл бұрын
MashaaAllah shukran shekhe wetu kwa elimu nzurii tuloipataa
@ALIMOHD-bk9lr4 жыл бұрын
IT WAS TOUGH FOR SURE. GOD BLESS YOU SHEIKH OTHMAN MICHAEL IN DUNYA AND AKHERA.
Ety hali ya chini, baba ake amemtafutia wa hali ya juu hata mimi nitanufaika khaaa wee mama shungi lote ilo waongea ivo kwan riziki anatoa binaadam unajuwaje km huyo mnyonge kuna siku Allah atamuinua? Zipo sababu za kukataa wachumba wazee wetu lkn si za uwezo. No one knows tomorrow😢😭
@sakinakopwe2679 Жыл бұрын
Ndug Kuna mashungi mengne hayana Iman ni mishungi tu
@AzizaRajab-q7n Жыл бұрын
😂😂😂😂eti mishungi tu.hakika ndugu
@yusufuheri65249 ай бұрын
Inauma asikwambie mtu
@faudhiasaidi36692 жыл бұрын
Maa shaa Allah shekh apa nimejifunza mengi nimeshajigundua kuwa ninamakosa Naomba kujua jinsi ya kuswali sala ya Istiqara
@salimali19004 жыл бұрын
Subhanna Allah. Mama usiwe na tamaa hujui mja kikufaa, aweza ku olewa na mwenye pesa kawa na kibri hata zisikufae .
@abbasabdulkadir56204 жыл бұрын
Hakuwa na tamaaa..the lady was worried mtoto wake asitesekee and these a 2 different things! Plus if she really was greedy hangempigia shekhe simu so y’all stop blaming her
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Huyo mama anataka mwanae aolewe na tajiri ale bata sasa analeta mijizarau na kibri sifa ya ibilisi laana Allah atustri na kibri sifa ya ibilisi laana.
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
@@abbasabdulkadir5620 limfaalo mja ni amali yake sio tamaa wala sio mali ya mume wa mwanao wala si ukabila na kibri siosifa ya mja kibri sifa ya ibilisi laana
@mariamhamisi5984 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wang nashukur kwa nasah nzur sn Allah akuzidishie kila her akupe umri mrefu uzd kutoa nasah Nami nimejifunza san
@alirashid32394 жыл бұрын
A/alayka yaa ustaadh kwanza ninamuomba Allah akuzidishie na uzidi kutusaidia kwaajili ya Allah.pili ushauri wangu fanya maarofa upate spika au mike ili usisumbuke moja iwe ya kwako nyengine iwe ya wazungumzaji.Allah akupe wepesi aamin.
@mwanaidimwachitumbo91114 жыл бұрын
Subhanaallah...wallah sheikh Othman Allah akuoengeze elmu na busara zayd kw nasaha nimejifunza wallah....
@maryammarika41524 жыл бұрын
Masha Allah wallah twailimika sheikh allah akulipe kila la khery.Twaomba sheikh uje mombasa twataka muhadhara wako plz
@adellsefu24854 жыл бұрын
Sheikh Allah akudjaliye kilalaheri
@halimanasihu12004 жыл бұрын
Mashallah machozi yamenitoka hongera sana shekhe Othman
@mwanaharusidjumaine11684 жыл бұрын
Mama mzazi muogope Allah uwace ubaguzi anaweza kwenda kwa mwenye mali na asifaulu na kaolewa na masikini baadaye wakapata mali
@zuhurakhamismwinyi72904 жыл бұрын
Kwa hakika shekhe hili ni somo tosha mana haya mambo yapo
@jameelajamee87774 жыл бұрын
Sheikh @Othman Shukran Sanaaaaaa Allah akulipe yaliyo ya kher kwa nasaha zako na azidi kukuongezea elimu uzid kutuelimisha
@AlAl-sd9pl4 жыл бұрын
Mama umekufuru mungu mungu ndo mtoaje wa rizq yarab hakuna aombae umaskin katika dunia watu tu naangalia utu na si kitu
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Amenikera kweli yeye mbona kaachwa na huyo mwarabu🤨
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
@@latifamkulazi8378 ههههههههههههههههههههه ndio Alikua anatamaa ya mwanaume mwenye mali ww mama umetupa fuzo la kumuheshimu mtume wetu kwa hekima zake
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Sheikh zipoke hakiyako waombee dua tu
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 amepata hasara Sana. Ili uwe na raha kwenyendoa ukiolewa na uschana wako. Ukwel mimi nilipendana na kijana mpaka kuumwa tukipishana Ila alipotaka kunitoroshatu. Nikamwacha
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
@@latifamkulazi8378 Mm haijawahi nitokea nashukuru sikaliani sehemu moja hataakitokea mwanaume mbele yangu mm nasafari namrusu kunisubri au aowe atachagua mwenyewe Allah atustri wanawake na maasi namuombea huyu Dada kheri kwa Allah ampe mume mwema
@baimarrajahbuayan62374 жыл бұрын
Yan ostadh nilikuwa na machungu Wik mzima hii lkn kukusikiliza tu mawaidha yako nimejihis napata nguvu mpya, daaa kwel mapenz ukiyakurupukia unajua🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu akutunze wallay
@ashasudi88024 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllah,sheikh kazi unayo Allah azidishie umri mara duf.
@rehemajumapili5828 Жыл бұрын
Mashallah shekh nikweli kabisa mapenzi ayachagui umaskini wala utajiri bora maelewano namapenzi yathati yuaweza muozesha uyo muarabu nawasielewani tamaa tueke pembeni wazaizi mungu mwenyewe ndie anae toa baraka uezi jua wakioana ndio njia yakupata utajiri
@mwanaimaabdallah78254 жыл бұрын
Maneno mazuri sana Sheikh Othman kweli nimejifunza vitu vingi hapa
@Ossylb4 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh Othman unahikma na Allah akuzidishie Hikma yako
@zainabrajab96084 жыл бұрын
Inalillah wainalillah rajiun sijapenda huyu mama kwakweli Leo nmeamini yni dharau mbele ya Allah makubwa
@hadijamandanje61894 жыл бұрын
Mi amenikwaza Tena bila aibu eti hali yake duni
@aishahela17354 жыл бұрын
Du mm nimelia xn
@aishasaid67494 жыл бұрын
Mm ningaliona haya kusema hayo maneno kwa sheikh wallah ni aibuu akaaah 🙄
@hadijamandanje61894 жыл бұрын
@@aishasaid6749 kwa kiswahili tungesema anajimwamba fai kisa kabila kisa kipato anasahau kuwa mbora kwa Allah ni mcha Mungu tu bila kujali tangi yako
@zainabrajab96084 жыл бұрын
Hajui hilo hajui utu nikitu hajui aswaa
@nasraabdallah78684 жыл бұрын
,subuhanal.....Allah atnusuru na huo ubaguz wa makabila na umackin Mana ni mtihan mkubwa mbele ya Allah ..shekhe mungu akuzidishie hekima na basara inshallah
@ndabadugitsefuraha33424 жыл бұрын
Jamani ili somo lime nigusa sana sana wallahi yani hayo majanga kama yangu ushauri wako shekhe wallahi allah akulipe
@jeannetambwe69624 жыл бұрын
Nawewe ilishakukuta afu ukafanya aje
@MadinaSeif11 ай бұрын
Sbuhanallah 😢 Sheikh Allah Akuhafikie wallah 😭 Hawa wazazi Allah awaongoze kiimani apo akuna Imani
@musaabudi63184 жыл бұрын
Maa Shaa Allah msichana Amesema ya ukweli yaliyomo moyoni mwake kipendacho moyo ni Dawa
@saidsaid-if8wv4 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566. . . . . . . Keshaliwa huyo hana adabu nahuyo mchumba wake waozeshwe tu
@rashidmahuba30794 жыл бұрын
Ahsante sana sheikh kwa nasaha njema. shukran sana kwa kuutengeneza na kuusafisha umma. Allah akujaze kila la kheri.
@kanyangezafaraniddi65184 жыл бұрын
Mmh ni mazito ALLAH akuafikishe sheikh wetu uyamaluze salama kwa uadilif kma kawaida yako muheshimiwa
@zuuyahyahzuu48774 жыл бұрын
Usikimbilie ndoa mdgo wang, tulia kwanza swali istiqra mshirikishe allah ndo mjuzi wa nafsi zetu, kosea yote usikosee kuolewa au kuowa,
@JumaAMjaka4 жыл бұрын
maasha allah sheikh othman ALLAH akuzdshie barka kwa kusuluhisha vzur mada hii
@ZainabZainab-tv9ir4 жыл бұрын
Subhanallaah
@nooor11204 жыл бұрын
Hongera binti kwa kuwa chini ya wazee wako na hutojuta na utafurahia maisha biidhnillah
@mimaswit23534 жыл бұрын
Mashaa Allah Alhamdulillah
@zinabotnzani14924 жыл бұрын
Mashallah MASHALLAH mashallah sheikh ALLAH akupe maisha marefu nimejifuza kitu
Shukran shekhe Allah akupe. Maisha marefu auwezo mkubwa
@fatmakhalid7553 жыл бұрын
AMIN
@zainabomar91394 жыл бұрын
Mashallah shekh wet wallah nimefaidika sana kwanasaha zako allah akuzidushie na akuhifadh akuzidishie umri tuzudi kunufaika inshaAllah
@fatmamshangama98244 жыл бұрын
Mashallaah
@nurusaid4698 Жыл бұрын
Maasha Allah Shekh Mungu Akulipe Ujira Apa Duniani Na Kesho Akhera Insha Allah
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Shukran tumejifunza na sie pia allah akulipe kheri
@raheemaraheema54534 жыл бұрын
Amina
@rahmahrahmah66834 жыл бұрын
Alhamdulillahi
@rahmahrahmah66834 жыл бұрын
Alhamdulillahi
@yasmeennjoki23404 жыл бұрын
Mashallah sheikh wetu mola akuhifathi
@aminaaboud54614 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadh sheikh osman. Mpaka nimelia.. Takbri...
@mariamripiti21374 жыл бұрын
Allah Akbar
@lailahasan22004 жыл бұрын
Allah AKBAR
@ayshaayshaabdulrahman61434 жыл бұрын
ALLAHU Aqbar masha Allah subhanallah Alhamdhulilah. Asante kwa kazi nzuri sheikh nime furahi Sana imeni gusa Allah akuifadhi sheikh othman unastahili sifa
@AlAl-sd9pl4 жыл бұрын
Shekhe upo sahihi Sana lakin Hilo swali ulilo muliza mtt kuhusu kuzin shekhe mbele ya wazaz wake atajibu nini ukichukulia haswa mzazi wa kiume
@amillahqueeen55864 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@halimanasihu12004 жыл бұрын
Mashallah shekhe Allah atupe umri kwasote inshallah
@ruwaidashaaban72673 жыл бұрын
mashaallah shekh tumejifunza sn hata cc tulioko ktk ndoa allah akulipe kheri