Pedro Kamugisha Mimi ninafuatilia sana vipindi vyako .Mungu aliyehai akuongezee maisha marefu ,kwa hekima ,busara na fikra za mawazo pevu anazokupa na kutushirikisha ,hasa mimi mfuatiliaji
@geraldlikena1203 жыл бұрын
Pd Dr Kamugisha uko vizuri sana. Maneno yako yananifundisha sana . Asante Mungu kwa maisha ya Pd Dr Kamugisha.
@SelestinFrancis-g5o3 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako MUNGU akubariki.
@anordizdory6540 Жыл бұрын
Baba kupitia mafundisho yako tunazidi kung'ara ubarikiwe Sana
@florencerwegoshora29322 жыл бұрын
Nashukuru kwa tiba God bless you Rev.Kamugisha
@evodiastephano29262 жыл бұрын
Mungu awe pamoja nawe pàdre kamugisha Kwa mafundisho yako mazuri yanatujenga sana
@TeddyMusa-u4v Жыл бұрын
Ameen mtumishi wa mungu
@GgSaw-vi4mo Жыл бұрын
Amina leo ntalala usingizi
@michaelvincentmhagama3373 жыл бұрын
Asante sana Mungu kwa zawadi ya Padre Kamugisha kwenye imani na maisha yetu. Mjalie maisha marefu Ee Mungu mwenyezi. Amina
@BeatusChuwa-y6s12 күн бұрын
Amen
@zingiyedeo92113 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri sana.Mungu azidi kukufunulia zaidi
@cyriakanyoni83592 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kujitoa
@bettymungai97992 жыл бұрын
Great msg...God bless you mtumishi
@emmanuelyakani43683 жыл бұрын
Pdr Dkt Kamugisha, napenda mahubiri yako na nguvu yako. Kuangalia kutoka Australia
@christinanzali64733 жыл бұрын
Amina ubalikiwe kwa mafundisho
@rosegasper56282 жыл бұрын
Amina Baba🙏🙏🙏
@zephaniazacharia5193 жыл бұрын
Uyu padre ananibariki sana
@kayla65543 жыл бұрын
Mungu akusimamie ktk kazi yako ya utume unatusaidia wengi
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Amina baba padri sema tupone,tumjue Mungu inavyotakiwa,tutoke kwenye giza.
@cresensiamgao66303 жыл бұрын
Mungu akujalie afya njema fr
@cliniusishamula80403 жыл бұрын
Ubarikiwe Padre
@steveongaki37793 жыл бұрын
Mungu akubariki maradhufu Padri Faustin
@marthambwillo55643 жыл бұрын
Baba PADRE KAMUGISHA MUNGU AKUPE MIAKA MINGI YA KUISHI DUNIANI UNA MAFUNDISHO MAZURI SICHOKI KUKUSIKILIZA KILA SIKU.