Mchungaji Thomas Nestory Mwaipopo rejea Yesu atakufumania
@SadamSarita-t7z7 күн бұрын
Asante sana uyo anaejiita sharifu nimtoto muhuni hata uongeaji wake waovyo anasema et akachume majai ya mbaazi ndimu60 akamloge mfunga kilemba watemeke kwangu mimi masema hatowexa pia tumpe muda mungu atamdhalilisha akina maxinge nawengine waaibike
@HusseniMadebe6 күн бұрын
Yani mungu akutangulie shekhe, bora uwe na mtu mmoja ktk ukweli klk kuwa na kund ktk kuhubiri uwongo, Allah akubaariki inshalla
@Jerryrawlingschaula6 күн бұрын
KITIMA ni PADRI wa Hovyo sana
@elgringo85926 күн бұрын
Mwana wa mungu ni Mungu
@saidymbila577 күн бұрын
Hapo mwaipopo Huwa nakupenda SEMA kwel mzee
@OmmyJames-xn7ji6 күн бұрын
WAKATOLIKI NI WANASIASA PALE MASLAHI YAO YAKIGUSWA NDIO MAANA KAGAME AMEWAKANYAGA VIZURI
@saidymbila577 күн бұрын
Kitima mirija imekata bandarin Samia ooooonyeeee
@paul1985ization6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂. Daaa. Kila shehe ni mganga
@AbbasMwakichui-db9tn7 күн бұрын
Fact
@abdulhafidh77497 күн бұрын
Njaa mbaya sana
@hamisijuma32767 күн бұрын
Kitima ana Elimu kubwa, usijilinganishe kufanya naye mjadala, Kama kakosea afunguliwe mashitaka Mara moja kwà kosa husika
@NuruJuma-zv3yz6 күн бұрын
We mkwapua divai kanisani, jihurumie
@SalumKapona7 күн бұрын
Sheh Allah akulipi
@elizabethndunguru37607 күн бұрын
Shekh assalam alaykum naomba cku moja uzungumzie Hawa waliotekwa na kuawa akiwemo mzee Ally kibao
@silasmponeja6 күн бұрын
Hawezi anaogopa kutekwa
@Tupena-ov7xq6 күн бұрын
Kanisa katoliki haliwezi kuwajibu wala kuingia kwenye ujinga wenu wa kutukana viongozi wa dini mitandaoni. Kanisa katoliki wana mifumo ambayo serikali nyingi zimeiga, pia ni taasisi imekuwepo kwa zaidi ya miaka 2000, choose your battle vizuri usicheze na ukatoliki.
@hassanramadhan78466 күн бұрын
Katoliki ni taasisi au kitengo katika Matrix system ambacho kipo chini ya white pope, Sawa na taasisi kama mossad Jesuit ambavyo vipo chini ya black pope, na vingine vingi sana. Unapo taja ukatoliki hakuna utofauti na secret squirrel,skull and bone society, illuminati na vyama vingine vya Siri. Kajifunze kuhusu Matrix system na namna inavyo fanya kazi. Utaelewa vizuri. Katoliki ndio walio manipulate dini ya Mwenyezi Mungu na vitabu vya mwenyez Mungu Na kuwapoteza umati mkubwa wa watu duniani.soma Danieli 7:25 maneno waliyo shindwa kuyabadilisha. Tafuta ukweli utaupata
@saidymbila577 күн бұрын
Kitima ni chadema hafu nishonga hyo mzee
@AyoubAbdi-t2pКүн бұрын
Sheikh mwaipopo upo sahihi.
@SaluEddyКүн бұрын
Kweliii unaongea kweliii nkupenda mm nko pemba njoo ututembelee mwaipopo
@elgringo85926 күн бұрын
Waebrania 1:8-9 [8]Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili. [9]Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
@SamsiaKassaKangeta7 күн бұрын
Kutana naye umpe daawa! { وَإِنۡ أَحَدٞ مِّنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ٱسۡتَجَارَكَ فَأَجِرۡهُ حَتَّىٰ يَسۡمَعَ كَلَٰمَ ٱللَّهِ ثُمَّ أَبۡلِغۡهُ مَأۡمَنَهُۥۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ قَوۡمٞ لَّا يَعۡلَمُونَ } [Surah At-Tawbah: 6] Ali Muhsin Al-Barwani: Na ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe ulinzi apate kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu. Kisha mfikishe pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu.
@DesderiusHaule4 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo nimekusikia umesema Yesu sio Mungu hapo napata jibu kwamba huna elimu ya dini ya kikristo hiyo ni sawa ubaki na uganga wako wa jadi.
@jeanmusamba84486 күн бұрын
hubiri dini yako kaka Mwai,mbona una bifu sana na ukristo umekukosea nini?hahahahahha
@saidymbila577 күн бұрын
Kitima kachoka hyo hanalolote njaa ya kitima imepanda kichwan
@MohdJuma-w6l7 күн бұрын
Wanataka nchii ii iwe yao kikamilifu ndio mana wanaleta chuki binafsi ndani ya myo yao
@silasmponeja6 күн бұрын
Mbn wale wa uamsho Zanzibar walichoma makanisa kipindi kile?
@NuruJuma-zv3yz6 күн бұрын
Kanisa ni la nini nchi ya waislamu?
@GodfreyOsward6 күн бұрын
@@NuruJuma-zv3yz Ujinga sana, nchi Mungu aliwapa watu wote wenye mwili .
@ramadhanchenga46065 күн бұрын
Kitima kaenda shule p.h.d ww darasa la saba uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo ww ni mzuri sana kujenga majungu na umbea lakini huwezi kuongea fact
@dennisezakiel33806 күн бұрын
Wewe ushachanganyikiwa
@Tupena-ov7xq6 күн бұрын
Mbona na wewe ùnauza mafuta ya upako
@saidmajeba97916 күн бұрын
😂😂
@Frank-b2d6u6 күн бұрын
Huna akilii
@kijitamfyomi55987 күн бұрын
Umesema wanaoongoza kwa mauaji ni wakatoliki hii kauli yako iko sahihi?
@RBMBAKARI-bv6wn7 күн бұрын
We uoni SI umetajiwa nchi walizosababisha vita?
@emmanuelmlekwangano9991Күн бұрын
Kumbe mpo kwenye vita ya kibiashara usiwaponde wenzio na wewe tangaza biashara Yako ya kuuza mafuta ya upako
@saidymbila577 күн бұрын
Kitima ni mbwa tu
@GodfreyOsward6 күн бұрын
Mwanadamu akiwa mbwa wewe unajitoaje kua mbwa pia?
@mobutu38846 күн бұрын
Hivi mwaipopo huwa unajisikiaje kila siku unawasema mapadri, wachungaji, wakristo kwa ujumla ila wao wametulia tu hata hawakujibu? Inabidi ujue hili 1. Kwanza huna hadhi ya kujibiwa nao 2. Elimu yako ya kidini ni ndogo sana kulinganisha na wao 3. Njaa inakusumbua na hiyo ndio kazi yako inayoendesha familia yako 4. Mada zako za kichonganishi tu baina ya mtu na mtu na serikali na watu, chakula hakitafutwi hivyo😂 Kazi yako ni kujigamba na kujisifu halafu wenye uelewa zaidi yako wanakuona mbumbumbu tu 😂, tunajua huo ndio ugali wako so endelea kubwabwaja na kupayuka mpaka sauti ikate kabisa 😂 maana ishaisha ndio inamalizikia kwa kuongea pumba kila siku.
@SIMONZAVERY6 күн бұрын
Namaliza mb bure
@GodyMussa-sc9fj6 күн бұрын
Kuhusu elim ya kitima acha kuongea nilikuuliza swali la je mmama kuongoza inaswihi??? Umeshindwa kujib sasa
@NuruJuma-zv3yz6 күн бұрын
Hata mmama wako anaongoza kitengo fulani je inaswihi????
@FrankAloyce-ic6rq6 күн бұрын
Kwakweli mwaipopo mm siku elewagi unachokisemaga kwa sababu unamawazo mgando wa upande mmoja wa uzuri tu mwanadamu aanamakosa lazima aambiweee ili wajilekebisheee huna elimu mwaipopoooo huna uwezo wa elimu kabishane na wakina ndachaaa weeeeee
@silasmponeja6 күн бұрын
Ndacha hamwezi
@FrankAloyce-ic6rq6 күн бұрын
Amtafute ndacha afanye mjadara naye kama anataka kubishana mambo ya kidini tutaona kama unajuwa kwel Sio unajificha kwa watu ambao Sio wabishanaji wa dini kitima si ibishanaji wa midahalo ya kidini kama ww unataka wabishanaji wa din amtafute kina ndacha ,kina Daniel mwakemwa ,kina myahudi marekani kule mtafute mtu anaitwa jaysmith professor mzuri tu wa apologetics watafute hao ubishane nao dini kama utabaji salama ww na dini Yako ya muislamu utaumbuka ww mwaipopo.unataka kubishana na watu ambao si wabishanaji wa din ww umeona wap kitima anabishana katika midahalo kitima mwanasheria anazungumzia Sheria Sasa ww unataka majibizano yadin ujawaona wabishan wa dini?
@Fikirichimela7 күн бұрын
Mim naomba shkh mwaipopo fuatilia vibali vya kisheria ili ufanye debate na mchungaji kitima ili dunia itambue haki,kuhusu suala la pesa na vifaa waislamu tutajitolea kwa hivyo wala usiogope na usiwe na shaka inshaallah,tunachotaka pia ningeomba ufanye na debate na askofu gwajima
@Tupena-ov7xq6 күн бұрын
Padri kitima ana PhD na shehe mwaipopo ana degree ngapi😅 hata cheti cha kuwa shehe sidhani kama anacho. Kanisa katoliki ni taasisi kubwa na ya miaka mingi kuliko hata uislam, sasa kanisa haliwezi kupoteza muda wake na kubishana na mwaipopo shehe wa mitandaoni anae hubiri ukristo tuu 😅
@Fikirichimela6 күн бұрын
@Tupena-ov7xq ndugu yangu punguza jazba na hasira jambo ni dogo tu,tunachotaka ni debate baina ya mwaipopo na kitima kuhusu uungu wa yesu,mimi nilidhani utakuja kusema:unaunga mkono kauli yangu ili wafanye debate kwa ajili ya kuifahamisha jamii katk masuala ya kiimani, Kama unajua askofu kitima anaelimu zaidi ktk bible na muhadhiri mwaipopo hana hiyo elimu jambo la kufanya:tunamtaka kiongozi adhibitishe elimu yake ktk uungu wa yesu kwa kufanya mjadala wa kielimu na muhadhiri mwaipopo. Ama mim nilidhani wewe utakuja kuunga mkono ushauri wangu kumbe anakimbia. Pili,usemma kuwa kitima ana PhD,ndio tunakubali kwa hilo lakin ktk upande wa mijadala hicho sio kigezo cha kutakataa kufanya debate na mtu amabaye hajafikia kiwango hicho cha elimu,lakin kigezo ni mada gani inayojadiliwa,inawezekana mtu akawa na elimu kubwa lakini ni mjinga kwa jambo fulani au anatambua ukweli wa jambo lakini lengo lake ni kuwapoteza wengine kwa maslahi yake binafsi au kwa maslahi ya taasisi fulani au kikundi cha watu fulani, pia inawezekana mtu akawa na elimu kubwa ya jambo fulani lakini watu waliomfundisha wamemficha uhalisia wa jambo. Tatu: umesema kwamb:kanisa katoliki ni taasisi kubwa pia lina muda mrefu, Hizo sio za kielimu hata kidogo ukubwa taasisi yeyote ile au umri mrefu wa taasisi haina maana kuwa hiyo taasisi ni bora sana au kila kitu wanachokisema ktk jamii ni sahihi,kwa mfano;mauaji ya kimbali nchini Burundi amabyo yaliongozwa na maaskofu wa kikakotilki Pia suala la viongozi wakubwa wa kikatoliki la kubariki na kuruhusu ndoa za jinsia moja yaani (USHOGA)ndani ya makanisani, Huoni hapo taasisi yako na viongozi wako wakubwa wa kidunia wanakosea Maamrisho ya Allah, Je jambo hili hina hitaji ya elimu ya PhD kufahamu kwamba viongozi wenu ni wachafu? Kwa jibu fupi halihitaja hata elimu ya chekechea. Hivyo hata suala kudhibitisha kuwa yesu ni mungu au si mungu,hali hitaji elimu ya degree au PhD, Tunachotaka sisi ni debate tu kwa kuzingatia vigezo vya kisheria vya nchi yetu ya amani chini ya uongozi wa mama yetu Rais Samiah Hasani,vizingatiwe
@chikuiddy99465 күн бұрын
@@Tupena-ov7xq Pamoja na iyo PHD yake Debate hatoiweza, utamkataa baba askofu
@marionoti57606 күн бұрын
We. kiwete, huna uwezo wa kuongea na padri kitime, Hata huyo padri akijibizana na wewe, atakuwa anajidhalilisha. wewe bishana na akina mwaposa, mzee wa upako, kakobe, kiboko ya wachawii, gwajima Sule na wanaofanana na hao. We mwizi wa mitandaoni baada ya Waislamu kukushitukia. Unaishi kwa kuandika vichwa vya habari vya uwongo ili upate followers. Eti shehe, mbona unajidhalilisha, na unaudhalilisha Ushehe? Hivi shehe anatakiwa kuwa mwongo na anahadaa watu wake?
@gabrielmzomkunda48817 күн бұрын
MWAIPOPO WEWE SIYO MDINI WALA MKABILA KWELI KABISA LAKINI WEWE 100% NI KADA WA CCM ...SIJAWAHI SIKIA UKIKOSOA SERIKALI HATA KAMA HAITENDI HAKI
@SadamSarita-t7z7 күн бұрын
Weee akili huna kwani anaongelea mambo ya vyama au?
@abdulhafidh77497 күн бұрын
Sijawah kumuona kukemea vijana kutekwa unafik mbaya sn