MWAIPOPO YAMFIKA SASA JICHO KUTOLEWA
43:52
MWARABU AIBEBA KANDA YA ZIWA
48:31
14 күн бұрын
CHADEMA HALI TETE VIONGOZI KUGONGANA
38:39
MWAIPOPO NA PROFESSOR WAANZA KAZI
28:47
Пікірлер
@AGM19697
@AGM19697 23 минут бұрын
Mmmmh, Kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako ndio Neema kubwa Zaidi kwani itakufikisha Mbinguni siku moja
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 24 минут бұрын
Yesu alitabiri mahali papya pa kumwabudu Mungu Mahali hapo ni mbali na Yerusalemu Yesu Kristo alipoulizwa kuhusu mahali ambapo ibada inapaswa kuongozwa, alisema kwamba ibada itafanywa mahali pengine mbali na Yerusalemu. Kupitia ujumbe wa Uislamu kama ulivyowasilishwa na Mtume (saww), sehemu ya ibada ya Mwenyezi Mungu ilihamia Makka. “Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa wewe u nabii. Baba zetu waliabudu juu ya mlima huu, lakini ninyi mwasema kwamba kule Yerusalemu ni mahali ambapo watu wanapaswa kuabudu.” Yesu akamwambia, “Mwanamke, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala katika Yerusalemu” (Yohana 4:19-21). Ufalme wa Mungu utapewa watu wengine Kulingana na Yesu (SAW), jiwe la pembeni la ufalme wa Mungu litaondolewa na kupewa watu wengine. “Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko Matakatifu: ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi; hili lilifanywa na Bwana, nalo ni ajabu machoni petu’? Kwa hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wenye kuzaa matunda yake” (Mathayo 21:42-43). “Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi. Hili ni tendo la Bwana; ni ajabu machoni petu” (Zaburi 118:22-23). Jiwe la msingi la ufalme wa Mungu ni Njia yake iliyonyooka, Uislamu. Imetolewa kupitia kwa Mtume Muhammad (SAW) kwa Waislamu ambao leo wanawakilisha moja ya nne ya wakazi wa dunia. 
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 49 минут бұрын
Makka inaitwa Baka katika Biblia Jina Baka limetajwa hasa katika Biblia katika Sura ya themanini na nne ya Zaburi. Sura hii inatuambia kuhusu mahali patakatifu ambapo roho hutamani, mioyo na nyama huimba kwa furaha kwa Mungu aliye hai na sifa ya Mungu inaimbwa. Mahali hapa panaitwa "Bonde la Baca". Baca inaelezewa kama sehemu kavu ambayo ilifanywa kuwa mahali pa chemchemi karibu na mahema. Siku moja ni bora kuliko elfu mahali pengine. “Jinsi gani makao yako yapendeza, ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi? Nafsi yangu inazitamani, hata kuzimia, kwa ajili ya nyua za Bwana; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu aliye hai. Hata shomoro amepata nyumba, na mbayuwayu amejipatia kiota, mahali pa kuweka makinda yake, mahali karibu na madhabahu yako, Bwana wa majeshi, Mfalme wangu na Mungu wangu. Heri wakaao nyumbani mwako; huwa wanakusifia. Wamebarikiwa wale ambao nguvu zao ziko kwako, ambao nyoyo zao zimekaza kuhiji. Wapitapo katika Bonde la Baka, wanalifanya kuwa mahali pa chemchemi; mvua za vuli pia huifunika kwa mabwawa. Wanaendelea kutoka nguvu hata nguvu, hata kila mmoja anaonekana mbele za Mungu katika Sayuni. Usikie maombi yangu, ee Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi; nisikilize, Mungu wa Yakobo. Ee Mungu, utazame ngao yetu; umtazame kwa kibali mpakwa mafuta wako. Afadhali siku moja katika nyua zako kuliko siku elfu mahali pengine” (Zaburi 84:1-10). 1)Hebu tuchambue mistari ya Zaburi hapo juu. “Nafsi yangu inazitamani nyua za Bwana na kuzimia; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu aliye hai.” “Mola wetu Mlezi, nimewaweka baadhi ya dhuria wangu katika bonde lisilo kulima karibu na Nyumba yako tukufu, Mola wetu Mlezi, ili washike Sala. Basi zifanye nyoyo miongoni mwa watu zielekee kwao na waruzuku kutokana na matunda ili wapate kushukuru” (Qur’ani 14:37 2) mbayuwayu kiota“: Makka ni sehemu ambayo ndege na wanyama wote wako salama kwa sababu kuwinda na kuua ni haramu. Yeyote anayewinda au kuua mnyama huko Makka hana budi kusamehewa dhamb 3) Heri wakaao nyumbani mwako; daima wanakusifia: Mamilioni ya Waislamu huenda Makka kila mwaka kwa ajili ya Umra na kuhiji. Wanatumia siku kadhaa wakichukua muda wao wote wakimsifu Mungu na kujitiisha Kwake kikamilifu. Wanabarikiwa kwa sababu wanajitolea pesa na kila kitu kutembelea na kukaa katika Nyumba ya Mungu. Waislamu daima wanamhimidi na kumtukuza Mungu katika sala zao, na dua. Pia wanaanza chochote kwa jina Lake. Wakati wa ziara zao kwenye nyumba Yake kwa ajili ya kuhiji wanaimba: Ee Bwana wangu, mimi hapa. Hapa sikushirikishi na Wewe. Hakika sifa njema zote ni Zako. Kila fadhila inatoka Kwako na Ufalme wote ni Wako. Huna mshirika. 4) Wamebarikiwa wale ambao nguvu zao ziko kwako, ambao nyoyo zao zimekaza kuhiji. Mahujaji wa Kiislamu wanaoishi katika Nyumba tukufu ya Mwenyezi Mungu huko Makka, muombe Mwenyezi Mungu msamaha. Wanaendesha nguvu zao kwa kumtegemea kikamilifu 5) Wanapopita katika Bonde la Baka“: Baka ni mojawapo ya majina mbalimbali ya Makka kama tunavyosoma katika Qur’an: “Hakika Nyumba [ya ibada] ya kwanza iliyoanzishwa kwa ajili ya watu ni ile iliyoko Baka - iliyobarikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu” (Qur’ani 3:96 6) Wanaifanya kuwa mahali pa chemchemi": Chemchemi ya "Zamzam" iko kando ya Ka'bah kwenye Msikiti Mtakatifu wa Makka. Chemchemi hii imekuwa ikitoa maji kwa maelfu ya miaka tangu enzi za Ibrahimu (PBUH). Imeigeuza Makka kuwa mahali pa kukaliwa na watu katika jangwa kame.
@emmanuelnganya9722
@emmanuelnganya9722 50 минут бұрын
Bangi mbaya sana😂😂
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Сағат бұрын
Ni mbowe ndo mtekaji
@AGM19697
@AGM19697 22 минут бұрын
Angeshashikwa siku nyingi sana
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 3 сағат бұрын
Inawezekana kwamba hao wanaofanya hivyo wanafanya kwa malengo yao.
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 4 сағат бұрын
WW NI MPUMBUVU. HUJITAMBUI
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 4 сағат бұрын
ONGEA KUHUSU KATIBA MPYA
@imranfundi6761
@imranfundi6761 4 сағат бұрын
Allah atakulipa pepo inshallah
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 сағат бұрын
WEWE NAWE AKILI HUNA SASA MZEE WA UPAKO NI MTU WA KUKAA UNAMJADILI? BIBLIA INASEMA YESU NI MUNGU. MZEE WA UPAKO SIO MSOMI NI FREE MASON TU WALA SIO MKRISTO
@IdrissaMillanzi
@IdrissaMillanzi 5 сағат бұрын
Nakupenda sana sheikh wangu nakutumia ela ukamjibu uyo yohana tapeli. Inshallah nifolo ukisema auna ela ya kula au shida yayote kama nina uwezo nita kupatia bila kuchelewa ata kidogo
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 6 сағат бұрын
Wewe ni maamuma kabisa,unamwambia mwenzio Yohana Omari amehama sababu ya njaa,na wewe kilichokutoa ukristo kwenda uislam ni nini? Wewe unaropoka sana na huna elimu ya kutosha ya dini ya uislam!! Nenda kwa sheikh Shafii kwanza akupe shule ndipo uje utuhubirie
@petermutuku1289
@petermutuku1289 7 сағат бұрын
Hapo dipo elimu unayojigaba umesoma imekufikisha? Kuimba kiarabu kuna ajabu gani? Iyo ni luga kama zingine tu, na tuna haki ya kuitumia. Mungu aliumba luga zote situmike kufikisha neno. Na usidhani ya kwamba waarabu hawaokoki.shame on you.
@FadhiliAhmad-x5v
@FadhiliAhmad-x5v 8 сағат бұрын
Ni kwl hakuna kulazimishana kwenye dini😭😭
@daudimichael7338
@daudimichael7338 9 сағат бұрын
Mzee wa mkutano mkubwa, hivi mkutano bado tu?
@mobutu3884
@mobutu3884 10 сағат бұрын
Waislamu yesu haepukiki mulitakiwa mjiulize kwa nini mohamad nafsi yake ipo mikononi mwa Yesu na wakati mnaamini Yesu ni binadamu tu kama nyie? Kwa nini isiwe mikononi mwa Mungu? Shida issa mnamchukulia poa ndio maana huwa tunawaambia nyie hamumfahamu Yesu hata chembe acheni kibri na jeuri nyie mnamgusia Yesu juujuu tu kwa dharau ila ukitulia ukamjua vizuri mtajua tu ni wapi mliingizwa chaka. Yani nyie mliaminishwa kuwa Yesu ni wa kawaida sana, mfano hapo mwisho eti Yesu atakuja kuvunja misalaba na kuua nguruwe 😀😂 ila point ya msingi mnaiacha kuwa nafsi ya mtume wenu ipo mikononi mwake na ndiye atahukumu ila mnatafuta vitu vya kijinga ndio mnadili navyo 😂 huku mnajua hatima ya Mtume wenu ipo mikononi mwa Yesu, sasa nyie mnadhani kama mohamad hatima yake ipo mkononi mwa Yesu sasa nyie mnamuepukaje hapo Yesu. Hebu ombeni mumjue Yesu acheni na stori zenu za kumchukulia poa bado mnamhitaji. Hivi hamjiulizi nyie hamjiulizi mnaaminishwa Yesu alitumwa Israel tu, ila hamhoji kwa nini atakuja kuhukumu ulimwengu mzima na sio waisrael tu? Shitukeni mnaingizwa chaka MUHAMMAD AMEKIRI KUWA NAFSI YAKE IPO MIKONONI MWA ISSA Imesimuliwa na Nabii wa Allah,"Muhammad amesema haya katika(Bukhari hadithi na 425,Juzuu 3)hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah S.a.w): Amesema naapa kwa ambaye nafsi yangu ipo mikononi mwake karibu atateremka kati yenu mwana wa Mariam atahukumu UTHIBITISHO WA PILI. Mkweli mwaminifu, juzuu3-4 ,uk.20,Hadithi na 753 "Haisimamii saa ya (Kiyama)mpaka akuteremkieni Nabii Isa Mwana wa Maryamu atahukumu(kwa sheria ya kiislamu) (na)Muadilifu,basi,atavunja misalaba(ya wakristo Makanisani) na ataua Nguruwe,na ataondosha fedheha au (aibu),na Mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali(ataikataa)mtu (kwa kuogopa kiyama) Soma pia katika sahihi Bukhar,vol.3,Hadithi na 425, na Al-lu'lu'war-Marjan,juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51.
@mobutu3884
@mobutu3884 10 сағат бұрын
Waislamu yesu haepukiki mulitakiwa mjiulize kwa nini mohamad nafsi yake ipo mikononi mwa Yesu na wakati mnaamini Yesu ni binadamu tu kama nyie? Kwa nini isiwe mikononi mwa Mungu? Shida issa mnamchukulia poa ndio maana huwa tunawaambia nyie hamumfahamu Yesu hata chembe acheni kibri na jeuri nyie mnamgusia Yesu juujuu tu kwa dharau ila ukitulia ukamjua vizuri mtajua tu ni wapi mliingizwa chaka. Yani nyie mliaminishwa kuwa Yesu ni wa kawaida sana, mfano hapo mwisho eti Yesu atakuja kuvunja misalaba na kuua nguruwe 😀😂 ila point ya msingi mnaiacha kuwa nafsi ya mtume wenu ipo mikononi mwake na ndiye atahukumu ila mnatafuta vitu vya kijinga ndio mnadili navyo 😂 huku mnajua hatima ya Mtume wenu ipo mikononi mwa Yesu, sasa nyie mnadhani kama mohamad hatima yake ipo mkononi mwa Yesu sasa nyie mnamuepukaje hapo Yesu. Hebu ombeni mumjue Yesu acheni na stori zenu za kumchukulia poa bado mnamhitaji. Hivi hamjiulizi nyie hamjiulizi mnaaminishwa Yesu alitumwa Israel tu, ila hamhoji kwa nini atakuja kuhukumu ulimwengu mzima na sio waisrael tu? Shitukeni mnaingizwa chaka. MUHAMMAD AMEKIRI KUWA NAFSI YAKE IPO MIKONONI MWA ISSA Imesimuliwa na Nabii wa Allah,"Muhammad amesema haya katika(Bukhari hadithi na 425,Juzuu 3)hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah S.a.w): Amesema naapa kwa ambaye nafsi yangu ipo mikononi mwake karibu atateremka kati yenu mwana wa Mariam atahukumu UTHIBITISHO WA PILI. Mkweli mwaminifu, juzuu3-4 ,uk.20,Hadithi na 753 "Haisimamii saa ya (Kiyama)mpaka akuteremkieni Nabii Isa Mwana wa Maryamu atahukumu(kwa sheria ya kiislamu) (na)Muadilifu,basi,atavunja misalaba(ya wakristo Makanisani) na ataua Nguruwe,na ataondosha fedheha au (aibu),na Mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali(ataikataa)mtu (kwa kuogopa kiyama) Soma pia katika sahihi Bukhar,vol.3,Hadithi na 425, na Al-lu'lu'war-Marjan,juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51. The Noble Qur'an uk.757 Sahih-al-Bukhari Book 34 Hadith 425.
@leomika8473
@leomika8473 10 сағат бұрын
Inachekesha kumbe wanajificha nyuma ya kihalabu ajatukana amewambia live nyie uwa nijaziba tu
@leomika8473
@leomika8473 11 сағат бұрын
Yesu ndo njia yakweri na uzima akuna mtu ataenda kwa mungu bila kupita kwa yesu
@tetritetrino693
@tetritetrino693 12 сағат бұрын
Weee mwaipopo acha uhuni wewe ndiyo mhuni,. Hapa tunachotaka ukanushe kuwa hayo aliyoyasema ni uwongo siyo ya kweli, na hayajaandikwa kwenye Quran? Mbona unatoa vitisho kwanini utoe vitisho? Kwani kwenye Quran sura ya 2 ukurasa wa 103 haisemi waislamu mnaposwali mnapulizwa matakoni? Au nayo hiyo sura umevaa miwani ya mbao? Haya Dr Sule amekiri kuwa waislamu mnafuga majini mbona hujamkoromea kama unavyomkoromea huyu bwana? Me nadhani ungesema hizo Aya si za kweli, halafu Quran hiyo hiyo inasema Alah ana mguu moja hakuna Aya hiyo? Acheni vitisho vyenu bwana Acha huyu mwamba afundishe ukweli watu waujue ukweli, mnatupiga na kiarabu chenu kwa kuwa mnajua hatukijui, sasa tumewapata wenye kututafsiria hapa ndo patamu sasa Mwaipopo 😂😂😂😂😂😂
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 13 сағат бұрын
Kwakila lugha na kabila injili itahubiriwa
@Afrobo-4
@Afrobo-4 13 сағат бұрын
Acha kupotosha watu,hata yesu anasema kwa habari ya siku iyo ya kiama hakuna aijuaye SAA wala siku hata Mimi yesu siijui hats malaika walioko mbinguni Ila baba tu)
@mathieuombeni4643
@mathieuombeni4643 13 сағат бұрын
❌👈🕋🕌👉❌😁😂😂
@mathieuombeni4643
@mathieuombeni4643 13 сағат бұрын
❌👈🕋🕌👉❌😁😂😂
@frankmateru1835
@frankmateru1835 15 сағат бұрын
Kiarabu ni lugha kama lugha nyingine acha kupotosha
@RajabJuma-qx6ry
@RajabJuma-qx6ry 15 сағат бұрын
Nyiwe waviristo mnajuwa misamiati? Kwani hamjamona aliekufa basi elewa na wewe utakifa tu kebehi zenu bure na hapo ndio mtaujuwa ukweli
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 15 сағат бұрын
Wakongo watatuibia sana Tz
@mjunikiobya
@mjunikiobya 15 сағат бұрын
Sheikh hizo kwaya originally ni za wakiristu waarabu, au hujui kuwa uarabuni nako kuna wakiristu na wanaimba kwaya zao makanisani kwa kiarabu?.
@RajabuMustapha-r6o
@RajabuMustapha-r6o 16 сағат бұрын
Hiyo dawa ya tezi Dume bei Gani sheikh
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 16 сағат бұрын
Wakristo wengi hawapendi mavazi mazuri kazi yao hupenda wanawake wao wavae vimini na suruali za kubana ili wapate kuona wanachotaka kikiona ili nyoyo zao ziburudike wanaiga wazungu
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 17 сағат бұрын
Naomba shekhe Mwaipopo ututafutie ile kwaya ya Zanzibar ipo hivyo hivyo na mavazi yapo kama hivyo
@dinakipingo1905
@dinakipingo1905 17 сағат бұрын
,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 17 сағат бұрын
Japo siyo wakristo wote lakini ndiyo mwanzo mwisho watakuwa wote
@paulmushi2428
@paulmushi2428 17 сағат бұрын
Maamuma Mwaipopo, Baada ya kuja YESU KRISTO ibada za kwenda hekaluni na wanyama zilikoma YOHANA 4: 21- 26
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 17 сағат бұрын
Kazimajungutu
@user-sf7lp1fs7d
@user-sf7lp1fs7d 17 сағат бұрын
Fadhakkir inna faati dhikra,atakae atawaidhika asotaka jahannam inamngojea,wanaadhubillah mindhaalika
@user-sf7lp1fs7d
@user-sf7lp1fs7d 17 сағат бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya uislam ❤❤❤❤❤Allah nifishe mimi na waislamu wote ktk uislamu ❤❤❤❤❤
@martinmkoba361
@martinmkoba361 17 сағат бұрын
Huyo Mungu muislamu ni mjomba wenu??mbona mnakufuru ninyi
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 17 сағат бұрын
Ahsante Sana mwalim said mwaipopo hakika wewe nimtu jasiri
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 17 сағат бұрын
Acha unafiki mwampo kwani wew umefika mbiguni ujue Dini inaingia motoni Na kiarabu ni kma lugha nyingine tu km kichak, kimasai
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 17 сағат бұрын
Allah mwenyewe kamswalia mtume,kuna dini hapo ugai gai tu😂
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 17 сағат бұрын
Utakuja kujua ukweli uko wapi siku hiyoo itakapo fika sema njaa mbaya nasisi hatuko tayari kuisilati dini ya kweli kwa njaa za dunia nahuyu jamaa hajui atendalo nawala hana hoja yenye mashiko nauko uliko enda pole tena pole nahuo ndio mwisho mbaya wenzako wanaomba mwisho mwema wew umeangukia pua
@kisingonelson5577
@kisingonelson5577 17 сағат бұрын
Eti bila waarabu watu hawataishi, wewe kazi yako ni kuwaabudu waarabu. Wewe ulikuwa mtumishi wa mungu ukaingia kwenye ubatili Mwisho wako wewe na waarabu wako n kunii za jehanamu.Tena sinagogi si msikiti ni jumba la dini ya uyahudi (Judaism) acheni uongo.
@MirajiHemedi
@MirajiHemedi 18 сағат бұрын
Huyo kaka jodevie anayezunguza hivyo ni mtoto mdogo tu kazaliwa juzi bibilia, ipo dahali nyingi huwezi kukikosoa kamwe, ukikosoa bibilia Quran si ndio utaitupa shimoni? Kwa kuwa Quran inazingumza maneno hayohayo yaliyomo ndani ya Bibilia.
@IranziSankara
@IranziSankara 18 сағат бұрын
Thanks lord Jesus christ
@nicolaskalunde
@nicolaskalunde 18 сағат бұрын
Umesha changanyikiwa you just 🐕‍🦺 like other 🐶🐩🐕 ushindwe na ulegee kbsa hunaga jipya yaani ukiamini ww ndio utake Kila m2 akufuate ww nani mi naona just a 🧸 😂😂 karoge ss..👺👺
@nicolaskalunde
@nicolaskalunde 18 сағат бұрын
Asa km ulisha silimu mbona unapenda sn kuongelea Imani za wengine. inakuuma sn Y.. Mbona Wenzio akina Mazinge wanausema vibaya Ukristo lkni huwakemei ww Stupid tu kwamtu km mm. Huna hoja kwa wenye akili. Wala hutobadili chochote ktk 🌍 hii kwendraaa...
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 18 сағат бұрын
Shehe usipaniki!! Sifa za dini yako ustahimilivu acha hasira na mihemuke ya hasira!! Uisilamu hauko hivo
@user-gr8sh5hl1m
@user-gr8sh5hl1m 19 сағат бұрын
Shehk tunashukuru kwa kutujuza juu ya makafili mm kama mm cjaona hoja hapo yesu mwenyewe pia hajui siku ya kiama ndio maana kwenye mikutano yao wanawahubilia kondoo tu weka mdahalo na waislam wenye dini yao njaa zitakupeleka motoni
@MirajiHemedi
@MirajiHemedi 19 сағат бұрын
Aa bado unamtamani Yesu jamani daa Yesu ni Mzuri Sana , Yesu ndiye anayependeza Sana akikaa Mioyoni mwetu,