The most shocking thing kuona mama anakana mtoto wake. Si heri ungekana mzee but si watoto wako nkt
@doreenshii5632 күн бұрын
Huyo mtoto ameaga ataishi Kum torment milele
@dolphinemouya3813Күн бұрын
Imagine 😢
@marywanjikukaranja1439Күн бұрын
Waah!this is a shocker..mama kukataa watoto..na hata kusikia mtoto amekufa na hajanguswa..please kujeni tustuke pamoja hapa...
@faithnasimiyu7455Күн бұрын
Maneno ya loice
@Bettybioz3 күн бұрын
Yani MTOTO ameteseka hati amekufa na bado unamkana aki😢😢😢😢😢 eee Mungu saidia watoto wote wenye wako kwa MATESO I beg you 🙏🙏🙏 Huyo mtoto akuonekanie KILA pahali Mather
@LillyRichards2 күн бұрын
This woman is cursed. How can you feel nothing and your firstborn child is dead. Jamani, how heartless can people be?
@phanicemulongo70982 күн бұрын
Hata iweje siwezi kana watoto afadhali nikuje nao🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤l love my kids so much love
@SalomeTumbo3 күн бұрын
Au alidanganya mume anaenda gulf kumbe anaenda kuolewa
@joycekungu45572 күн бұрын
Ni sister ya Irene
@chunaabdullah13332 күн бұрын
Angekua yuko na 8au 7yrs sahii toka aolewe lakini yy yuko na 4yrs na odero hii 4yrs alikua wapi?
@dolphinemouya3813Күн бұрын
Ukweli kama Hyline alidanganya Frank
@GeoffreyMukofu2 күн бұрын
😢😢😢woyee Kevin Kwanini mungu anawapa wanawake Kama hawa watoto Mimi sina😢😢😢
@PurityMusyoka-h5z3 күн бұрын
😅😅😅mzee kijana hataki kuitwa mzee jamani😅😅😅😅
@LilianKanana-r5o3 күн бұрын
Ata ukiqngalia huyu mama,, facial expressions tells it all,,ata veins zimetokea kwa uso😂😂😂,kumbaff zake
@johnorina59523 күн бұрын
Ako +ve angalia uso chake
@LilianKanana-r5o3 күн бұрын
@johnorina5952 😂😂😂niue sasa
@sheilagg15033 күн бұрын
As a woman ,I wouldn't choose a man instead of my child no way
@AkibaCharo2 күн бұрын
🙆🙆🙏🙏
@zainabmakokha3 күн бұрын
Hii dunia inaenda wp jaman😢😢😢 na huu uchungu wa Labour mbona uyu Martha asi fell huo uchungu💔💔💔😭😭😭😭😭
@leeedayuo60803 күн бұрын
Tunataka wife wa huyu mzee Odero on set coz we know very well huyu mzee ako na familia yake,we don't want peace,always problems 😮😮😮
@phanicemulongo70982 күн бұрын
Bibi odero alikufa 😂😂😂😂😂😂
@BarongBeatrice2 күн бұрын
Tena ni jamii ya nyawando
@taleanyahya36872 күн бұрын
Stano 😂😂😂ss kama nko single u mean i can't get gifts for Christmas 😢😢😅😅
@EjikuAntonet3 күн бұрын
Mimi siezi kanaaa watoto wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@carolkasavuli85833 күн бұрын
Tunataka Bibi ya Mzee maybe Pia yeye alitupwa ushago.
@phanicemulongo70982 күн бұрын
Aliaka dunia 😂😂😂😂😂
@annaachola88662 күн бұрын
Bibi alikufa
@Sharin-e5f2 күн бұрын
Kimzee kama hiki nan ataenda kumclaim.
@BeatriceAnyango-bi6bz2 күн бұрын
When will this name called beb changed coz hata vitu zenye havifai vinaitwa beb.😂😂😂😂
@CyphroseRobertКүн бұрын
Martha ni Mchawi mia kwa mia.😢
@JacklineNyabokeOsiango2 күн бұрын
Hii nayo imekuwa too much wanawake,ujue mama kama uyo mtoto n wako atakusumbua maisha Yako yote akuna kulala ata cku Moja ukitembea kwa Barabara atakuwa n wewe,mungu akurehemu dada
@hannahmwangi27913 күн бұрын
Jesus Christ some women are wicked how can u disown your own kid na ni wewe ulimwaga damu 😢😢
@adilightwemali3 күн бұрын
Lakni ata ivyo martha ako shocked vile ameambiwa story ya mtoto nikujikaza to na ujinga ming mwanamke mjinga sanaa
@pamelamudogo55512 күн бұрын
Naweza kana mtoto wangu kweli tunaelekea wapi aki
@millicentmukoya12923 күн бұрын
yenyewe maturity and wisdom doesn't mean age aki mungu atuhurumie aki
@leahwanjiku35663 күн бұрын
Kabisaaaaaa
@kadetenyar65973 күн бұрын
Mungu wangu,, hii Dunia inaelekea wapi,, ni wapi tutajificha😭😭😭😭😭
@Semi5393 күн бұрын
Wasichana na wababaz mambo n hii iii
@kadetenyar65973 күн бұрын
So bad,😭😭😭@@Semi539
@Josephkaunda23 күн бұрын
Hio courage Iko na huyo mama!weeeeee.saitan
@WinfredZakayo-k9o3 күн бұрын
This is too much for the two men to handle 😢😢😢... Maybe mzee ajui kaa mkewe alikuwa married before ad they had already sired kids
@ChristneTina3 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭 ni uchungu sana, mwanamke anakataa kwenda kuzika mtoto wake.
@GladysMisango3 күн бұрын
Ataki mzee ajuwe akona watoto.🙆♀️
@GraceHangaya-d6i3 күн бұрын
Tangu nimepata akili sijawah ona mwanamke wa aina hii😢
@GraceKwamboka-po1cn3 күн бұрын
Mbona watu wengi wakipata pesa wanageuka doa zao😂😂
@HellenAnyangaКүн бұрын
Zinaitwa chrismas gifts😂😂hii chrismas lazma ndoa zi tii
@rachaelosiche1212 күн бұрын
May God remember this baby daddy and open ways for him the pain is too much to bear waaaah hii Kenya inaelekea wapi?
@agneskhakali20693 күн бұрын
Shetani ashindwe kwampigo, huyu nwanamke ni wa wapi kweli whaaaaa ,siku yake itafika maana spirit ya Kevin is not in peace
@suleimankipyego51433 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭wallahi
@RoseKanini-hx5re3 күн бұрын
How can a mother disown her own kids, sheitani ya mwanamke
@WinfredZakayo-k9o3 күн бұрын
Money has power
@ndadudosh3 күн бұрын
Stano wacha vako aty mzee ama babako😂😂
@WinfredZakayo-k9o3 күн бұрын
Na kwan uso ya martha umefanya nn?? 😢😢
@CyphroseRobertКүн бұрын
Martha ni mchawi
@gladysmweti7053Күн бұрын
Ooh my God ... have mercy to this man aki ..comfort him and give him strength at this hard times
@rachaelosiche1212 күн бұрын
Stanoh unachoma unaita beb wa wenyewe babake🤣🤣🤣🤣
@HellenAnyangaКүн бұрын
Huyu ni sister ya irene 😂😂
@charitynyandika72313 күн бұрын
Stano hata mimi nataka Christmas gift
@RobbinSamwel-q7f3 күн бұрын
How I wish nikuwe hapo mzee ungeona ...mchawi mkubwa😅😅😅
@teresianjeri27223 күн бұрын
God have mercy on your innocent people....wewe mama kitakuramba vibaya sana kama huezi zika mtoto wako...may the dead child haunt you forever...may he haunt you to your grave...you left an innocent man broke for your own interests....karma is real
@marggiekarikamaina21872 күн бұрын
Mmhhh ametenza sauti kumita mzee kijana 😂😂
@consolatambula-qz9il2 күн бұрын
Mimi siwezikana mtoto wangu hata ikue nini ... Huyu mama amelaaniwa... Shindwa mama hana akili huyu
@MaryMūriithi-v9fКүн бұрын
Baba kafue mwingine 😅😅😅😂😂
@faithnasimiyu7455Күн бұрын
Aki wajaluo wanaume aki mtu umezeeka ati hautaki kuitwa mzee
@mbarikiwashedykim2 күн бұрын
mzee kijana nani ameskia hio😂😂
@SoziSozi20203 күн бұрын
kwani wazee wemefikiwa. 😂😂😂 kila pahali wazee wakongowe naanakataa kuitwa mzee sasa mm nitakuita mukongowe utadu💁♀️
@faithimannkings59972 күн бұрын
Wazee ndio wako kwa fashion 😂😂😂😂
@millicentmukoya12923 күн бұрын
kuna kamzee flani huku nyayo estate anaitwa odero na anafanana na huyu hope sio yeye maybe watu hufanana🤣🤣🤣 juu weeeuh kama ni yeye huyo ako na watoto 5 tena wakubwa 😂😂😂😂😂😂
@jazshery10673 күн бұрын
Huyu ni mzee anafaa kuwa na mtoi wakubwa,labda ni yy unajua
@millicentmukoya12923 күн бұрын
@@jazshery1067imagine ni mzee wa kanisa sda...adi kuongea anaongea tu kama yeye aki jesus
@charlesongoro48113 күн бұрын
Hebu uliza huyu mzee kama hajawahi oa bibi mwingine😂
@paulinekungu67262 күн бұрын
Kwani tumefika wapi mpaka mama anakana watoto wake😢😢😢😢😢
@CyphroseRobertКүн бұрын
Kuishi na mke kwani ni kupata hasara.😢
@Mzalendo-l6b3 күн бұрын
Mzee anang'ang'ania na vijana na meno imeisha! Kumbe hakuvunja mifupa akiwa kijana?
@elizabethkosgei47313 күн бұрын
waluiya kawaida yao ni kukana kabisaa, coz ata anaweza kukuambia kuna matanga nyumbani na akuna 😂😂😂,
@rolinekathure30212 күн бұрын
Hii mwanamke ni tribe gani 😢😢😢
@marthawachuka91103 күн бұрын
We want the first wife ya Odero,she must come here
@phanicemulongo70982 күн бұрын
Alikufa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@annaachola88662 күн бұрын
Ayuko alikufa, Martha is in control of odero life😅😅😅
@Sakina-mg6gr3 күн бұрын
😢😢😢Anakana hadi maiti jamani kwanza mtoto wake wee Kuna Akina mama wana roho za paka 😢😢
@beatricebrownie3 күн бұрын
Kwa mafikiruo yangu huyu mzee akona familia And there is a possibility watoto wake wanateseka becoz amos Martha,,, But come back inaeza kuwa mbaya
@fatumjumaa55632 күн бұрын
Alifurahia kualikwq hajui nikuanikwa kumbqfu bibiyako na watoto watajua
@JacintaKathini2 күн бұрын
Yaani huyu mama anakana hadi maiti😢😢😢
@sylviaokoth-x8q3 күн бұрын
Soft life wewe . unafanya wamama wakane watoto😢😢😢😢
@gracekamere3 күн бұрын
Waa kwani kunaendanga aje kama ni mimi ningefaint
@CarolineVijedi-b6i3 күн бұрын
Mungu akutie nguvu uzike mtoto wako mama wa kukana damu yake hatari heri ukatae mzee
@BeatriceMuthoni-rh3gd3 күн бұрын
Ni mzee miaka but Kwa kugonga ni kijana😅😅
@AnneNjoki-k8l2 күн бұрын
Aki woiye mwanamke anakana watoto wake surely. Even eyes are betraying Martha simu ikiangaliwa
@dolphinemouya3813Күн бұрын
Haya maneno ni kama ya Frank na Hyline
@JacklineNyabokeOsiango2 күн бұрын
Next naona Sasa stano atakuwa anatafutia single wapenzi,,juu wee n kubaya
@winfredngomo3 күн бұрын
Wawawa it's about to go down,my kids my first priority no matter what
@EUNiCEMaish2 күн бұрын
This is too sad unakana watoto wako
@benakakai97872 күн бұрын
Am from Uganda Kampala
@lynnmwende75483 күн бұрын
Will she ever forgive herself about it in future.
@Mariam-v2i3 күн бұрын
Dunia iliisha kitambo sana 😢😢😢mtoto wako wako gaiii
@dinahmuhonjalagat54173 күн бұрын
Kwani Stano unadeal tu na wajaluo pekee,wah!
@Yuca8783 күн бұрын
Kwani mzee ulioa virgin ety hakuwai olewa😢😢😢😢Martha you will come to cry
@AnnahYullu3 күн бұрын
Anakana mtoi wake yet ameshtuka mpaka mishipa imetokea kwa kichwa..tunataka bibiake mzee on set
@marthakimanzi8123 күн бұрын
Wanawake tumejidharau vibaya sana...pesa haiwezi nunua kila kitu...I tell u
@rosendunge5793 күн бұрын
Bwanako ama babako😅😅stano wacha matharau😅😅😅
@eunicwambua61733 күн бұрын
😂😂😂😂
@Zuwena-rn2gx2 күн бұрын
Mi naumia kwa mtoto tu aliefariki nalia mimi jaman mwanamke wa aina gani huyu da mungu akuweke pema mtoto
@omanoman20443 күн бұрын
Et mzee kijan duuh kumbe yupo kwa bwan mungu wangu
@divinahmachuka18592 күн бұрын
Brother ya karioki😢😢😢😢😢😢😢😢
@NzulaElizabethn3 күн бұрын
Wanawake wanawake nyinyi ndio munasikia uchungu it is pain wallah
@dr.paulinengina42882 күн бұрын
Unaweza kujua matiti yenye imenyonyesha mara nne (4 times). Hapo inaonekana vizuri.
@AnnmaryWawira2 күн бұрын
Mzee kijana got me😅😅😅😅😅😅😅
@gracekamere3 күн бұрын
Mzee amerogwa evidence kwa simu na bado anamsuport
@CharityWachira-zw9cf3 күн бұрын
Odero alipelekwa kwa wazazi wengine.kitakuramba tu
@CyphroseRobertКүн бұрын
Martha,umeaibisha jina lako kibiblia😭 Utajuta katika hii Dunia
@CONSOLATANECHESA3 күн бұрын
Mungu uyo mtoto amekufa plz hiyo spirit acha izunguke qwa wale watoto wa huyo mzee na huyo mama wajuwe hawajuwi nkt Yani mtu anakana mtoto wake aki mm nijikute wee love my son
@Hadija-z6y2 күн бұрын
Yani mama ukatae watoto wako
@monicasaumu67073 күн бұрын
Siwezi kana mtoto wangu never
@sylviaokoth-x8q3 күн бұрын
Bt wewe mzae uko sure huna bibi
@CharlesMuthui-q3t3 күн бұрын
Ni nn hizi ziko kwa uso unakaa vibaya mama
@makumimwenje3 күн бұрын
Odero you have to learn to listen,wewe ni mjinga
@adhiambolaureen18983 күн бұрын
Huyu mwanamke ni umbwa sana...utakana aje watoto wako sually....hiyo spirit ya kijana imusumbue akose amani.....
@felistawambua56152 күн бұрын
Martha ile karma itaku pinga utashagaa huyo Mtoto unakana spirit yake haitakuacha.
@CONSOLATANECHESA3 күн бұрын
Stano tunataka mke wa huyo mzee mpumbavi akuje qwa set nidio kuchomeke Zaidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@CyphroseRobertКүн бұрын
Wamesema mke mkubwa wa Odero aliaga.
@TeresiahGitau-kp1gv3 күн бұрын
Pesa ya huyu mzee ndiyo martha hataki iende 😢
@urejeshoblessings46332 күн бұрын
Mwanangu siwezi mkana hata kwa dawa,heri mapenzi yakaee
@mercywakio66092 күн бұрын
Stano unafanya kazi nzuri
@ruthmuthuimwinja-official18032 күн бұрын
Hiyo kifo si ya kawaida.. huyu mwanamke anajua kiini cha hicho kifo
@PhiliceIsutse2 күн бұрын
Hawa wanawake wa majuu huwa wanachanganywa pesa na mapenzi 😂so sad😢
@CharityWachira-zw9cf3 күн бұрын
Huyu mzee ako sure alikua anapelekwa kwa akina martha?
@maggiekanorio49053 күн бұрын
Mwanamke huzuni imemjaa kwa uso na bado anakataa mtoo
@beatricegichia63343 күн бұрын
She felt the pain of loosing her own child but kiburi imemjaa na angetaka kwenda mazishi .she also afraid to loose Mzee pesa.
@trizertriz2 күн бұрын
Yaan unazaa mtoi wako na unamkana juu ya mwanaume ata kama ameaga what a wicked generation 😢😢