Panua mpaka wako (extend your territory) - Askofu Dr Gwajima (full sermon)

  Рет қаралды 28,192

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@bejishful
@bejishful 4 жыл бұрын
Amen amen amen. Alama zote za kichawi mwilini mwangu zimefutika kwa Jina la Yesu! Amen.
@lilianemukupi8508
@lilianemukupi8508 5 жыл бұрын
Jambo Dr. Aksanti sana kwa neno l unalo tufumbuliya siri ya Mungu. Niki naomba Mungu ili siku moja ya maisha yangu niweze kukuona,kwa uso ili niweze pokeya neema sa Mungu wangu
@bernedettenuru4903
@bernedettenuru4903 3 жыл бұрын
Panua mpaka wako na panua kwa jina la Yesu Amen
@alicensabimana7293
@alicensabimana7293 4 жыл бұрын
Asante Mwamba wa Kuitwa n'a kuitika kwakuondowa Alama na capa zote kwa Jina la YESU Mungu akubariki
@sergekandu5424
@sergekandu5424 4 жыл бұрын
Pp
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 9 ай бұрын
Napanua mipaka yangu Kwa jina la YESU
@grace-oo1zl
@grace-oo1zl 2 жыл бұрын
MUNGU akubaliki mchungaji kaziyako ninjema sana
@marykibali7568
@marykibali7568 5 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu Bwana yesu akubariki sana
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 3 жыл бұрын
Nichuma kweli kweli
@sarahwawuda7638
@sarahwawuda7638 7 жыл бұрын
asante pastor...yote umeyahubiri yamenigusa sana nakunipa tumaini la kusonga mbele..ninapanua mpaka yangu na familia yangu kwa jina la Yesu.
@michaelelifasi995
@michaelelifasi995 6 жыл бұрын
Asante Yesu, askofu Gwajima ni shujaa sana katika imani ya ufalme wa MUNGU, zidi kuinuliwa
@hyasintarichard5978
@hyasintarichard5978 6 жыл бұрын
Amina Baba Mungu azidi kukuweka viwango vya juu zaidi
@alicensabimana7293
@alicensabimana7293 4 жыл бұрын
Hapo hakoooo Wapigweéeéeeeeeeeeeee
@alicensabimana7293
@alicensabimana7293 4 жыл бұрын
Imekwishaaa de Baba Localise me
@mirimwa
@mirimwa 8 жыл бұрын
Nimepanua mipaka yangu na ya familia kwa jina la Yesu barikiwa askofu
@patrickmwamakula1261
@patrickmwamakula1261 7 жыл бұрын
Asante Bishop Gwajima. hakika napanua mipaka yangu..............
@alicensabimana7293
@alicensabimana7293 4 жыл бұрын
Baba muumba reherma zako zinifufuwe nisaidiye kwenye sura n'a fufu waritiya
@esthermusoma2634
@esthermusoma2634 8 жыл бұрын
ahsante baba kwa somo Leo nmeelewa jinsi kupanua mipaka
@pauljames5704
@pauljames5704 5 жыл бұрын
Napokea chapa za yesu kiristo kwajina la yesu
@blessingsreen6399
@blessingsreen6399 7 жыл бұрын
nabarikiwa na mahubiri yako .mungu azidi kukuinua kwenye huduma .
@blessingsreen6399
@blessingsreen6399 7 жыл бұрын
nimepanua mipaka ya familia yangu Kwa Jina la yesu.Amen
@joephatkulaba697
@joephatkulaba697 5 жыл бұрын
Utukufu majeshi
@dianafocus4726
@dianafocus4726 8 жыл бұрын
Amen ! nimebarikiwa kwa somo hili!
@captionconfusion7865
@captionconfusion7865 8 жыл бұрын
Blessed Mr Bishop, I have now extended my territories in Jesus name.
@gracekusaya6992
@gracekusaya6992 8 жыл бұрын
Amen nimepanua mipaka yangu
@Janet_xd-rj5ec
@Janet_xd-rj5ec 8 жыл бұрын
napanua kwa jina la yesu be bless am in saudia Arabia but Mimi ni mkenya
@bishopeningapatient9263
@bishopeningapatient9263 6 жыл бұрын
Janet 2015_xd )
@agnesluhwavi5496
@agnesluhwavi5496 7 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako. Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu
@frenkmwilu6913
@frenkmwilu6913 8 жыл бұрын
barrikiwa paster hivi nimefunguliwa kwa somo hili la chapa za kichawi
@shohamuwokovuhalisi.2648
@shohamuwokovuhalisi.2648 8 жыл бұрын
Haaaa zengine zinachekesha. ..umepita,umepita unanusa unanusa haaaa hii kali haaa Baba Gwajima anajionea vituko duuu
@shohamuwokovuhalisi.2648
@shohamuwokovuhalisi.2648 8 жыл бұрын
Amina nimepanua mpaka wangu
@saimonmrema9783
@saimonmrema9783 5 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa bwana tunafunguliwa mno
@ngasarobert1064
@ngasarobert1064 4 жыл бұрын
Be blessed 🙏, huo wimbo unaoanza ni wa nan?
@jesusmwitila2215
@jesusmwitila2215 8 жыл бұрын
Be blessed
@peterkepha8800
@peterkepha8800 6 жыл бұрын
Nambie bro
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 6 ай бұрын
Fundi wa mitambo umeninyima kutosikia ushuhuda wa kijana Joffry anaongelea ndani
@neemambelle929
@neemambelle929 8 жыл бұрын
amen dady
@chrispinkundaeli1752
@chrispinkundaeli1752 8 жыл бұрын
barikiwa sana Askofu,nikama umepasua kichwa changu na kuliweka neno la Mungu na kukirudishia tena,barikiwa kwa maarifa ya kutosha
@Janet_xd-rj5ec
@Janet_xd-rj5ec 7 жыл бұрын
Amen
@الوردالورد-ز4غ
@الوردالورد-ز4غ 5 жыл бұрын
Kuna wale kitambo walisema huyu mtoto alifunzwa je na sahii mtasemaje
@pauljames5704
@pauljames5704 5 жыл бұрын
Ninafuta chapa niliyo wekewa ili nikiazisha kitu nisifanikiwe kwa jina la yesu
@kafugejoel4422
@kafugejoel4422 7 жыл бұрын
Amen
@teccoltdlulu7217
@teccoltdlulu7217 6 жыл бұрын
amen
@pauljames5704
@pauljames5704 5 жыл бұрын
Amen
@pauljames5704
@pauljames5704 5 жыл бұрын
AMEN
@pauljames5704
@pauljames5704 5 жыл бұрын
AMEN
@voiceofpraiseworshipcenter9703
@voiceofpraiseworshipcenter9703 2 жыл бұрын
Amen
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Kafara ya Damu - Askofu Dr Gwajima
3:07:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 34 М.
Ufalme wa Mbinguni Duniani -  Bishop Dr Gwajima (01/05/2016)
2:03:17
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 30 М.
KISASI JUU YA WATESI |BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA |  JUMATATU 13.12.2021
3:08:10
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 58 М.
Maombi ya Kufunga na kuomba na Pastor Josephat Gwajima. siku ya 1
1:04:20
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 139 М.
MICHORO YA UOVU: BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA: 03.11.2019
2:48:13
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 29 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН