Papii Kocha - Waambie (Official Video)

  Рет қаралды 1,259,805

Papii Kocha

Papii Kocha

Күн бұрын

Papii Kocha - Waambie (Official Video)
Written by Natasha (THT)
Audio Production: Ema The Boy
Video Directed: Destro / Wanene Film
DOP: Aanand Lonkar

Пікірлер: 1 600
@kadekade___cor
@kadekade___cor 4 ай бұрын
kila siku ni zawad hakuna heshima inayozid uhai, 2024 plz gonga like
@nyimbozawatoto
@nyimbozawatoto Ай бұрын
30 August 2024
@AllyMwazoa
@AllyMwazoa 2 күн бұрын
Baada ya wimbo huu papii Akapotea kabisa.Hali uwezo bado upo
@motishatv3273
@motishatv3273 6 жыл бұрын
Wimbo huu, UNA nguvu ya Mungu, kuna mkono wa Mungu katika ngoma hii! Kama unaguswa na Ngoma hii gong like
@joharisalehei9596
@joharisalehei9596 4 жыл бұрын
Yap......wimbo mkali sana huu....mungu waambie ni ww tu uliesababisha leo imefika
@sammmwalongo4586
@sammmwalongo4586 4 жыл бұрын
Kall🙏
@godlivingmosha1044
@godlivingmosha1044 3 жыл бұрын
Natamani watu wangefaham nini maana ya huu wimbo coz umebeba maana kubwa sana katika maisha tunayopitia katika dunia tunayoishi sasa
@jadielmarvin6725
@jadielmarvin6725 3 жыл бұрын
I guess I am pretty off topic but does anyone know of a good website to stream new tv shows online ?
@nmkandawile
@nmkandawile Жыл бұрын
Sana
@yusuphsamwel7949
@yusuphsamwel7949 6 жыл бұрын
Hakuna heshima inayozid uhai, Mungu wambie
@beatriceshadrack9995
@beatriceshadrack9995 6 жыл бұрын
kama na wewe umejifunza kitu kupitia wimbo huu, plz tupia like yako hapa😭😭😭
@johnmbegu1554
@johnmbegu1554 5 жыл бұрын
Nimejifunza mengi mno.
@mfaumeally644
@mfaumeally644 5 жыл бұрын
Hivi nyimbo naipenda melody yake hatari hata kama hujui maana yake
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Hakuna heshima inayozidi uhai hivyo inatupasa tuwe na subira kwani Mungu ni mjuzi wa kila kitu
@michaelmasusu8364
@michaelmasusu8364 4 жыл бұрын
H
@priscaseverin4967
@priscaseverin4967 7 ай бұрын
Hakika
@issackmush6602
@issackmush6602 6 жыл бұрын
Kama umeikubal ngoma ya papi like hapo chin
@charlesthomas2056
@charlesthomas2056 5 жыл бұрын
Nashukuru kwa kumpa bro moyo #1 pamoja sana
@mariadotto2294
@mariadotto2294 4 жыл бұрын
Hii ngoma naikubali hatari
@kashindiaishakamila4713
@kashindiaishakamila4713 3 жыл бұрын
Naipenda sana iyi nyimbo inanifaridji sana
@ishekellyfredy9714
@ishekellyfredy9714 Ай бұрын
Wimbo huu umebeba ujumbe wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu kutufundiaha kitu sisi wanadamu♥️
@bakarisalim3313
@bakarisalim3313 6 жыл бұрын
Wengine wameshindwa kucomment kwakuwa walikuwa wakitokwa na machozi na wengine wamejitahidi kucomment hali ya kuwa machozi yakiwatoka. Ahsante Papii🤧
@beatricewanjiru5019
@beatricewanjiru5019 4 жыл бұрын
in love with this song...kama umetoka kenya gonga like tukisonga
@magrethkawa4841
@magrethkawa4841 6 жыл бұрын
Alikuona ukiomba na alikuskia.. Hakuna heshima inyozidi uhai... I love you mooooore!!!! Gonga like kama umebarikiwa na gizani imengaa mwanga mkali!!!! Waambie.. ni fire 🔥...
@husnaalhabsi4244
@husnaalhabsi4244 6 жыл бұрын
I see mungu ni mwema cku zote nimelia hii nyimbo na imenipa Iman kubwa ya maisha yangu
@nathanmakuchilo3182
@nathanmakuchilo3182 2 жыл бұрын
Hi
@himidhareed4784
@himidhareed4784 6 жыл бұрын
Wengi wanaichukulia kama nyimbo tu mm naichukulia ni maneno mazito ya nayoish daima kiukwel imenisisimua mno walah..... na inatufunza kutokata tamaa na inafundisha kuomba mungu na kuamin ipo siku mungu atajibu kilio chako
@agnestuniga5744
@agnestuniga5744 6 жыл бұрын
Hongera Papii a very inspirational song i,nagusa .
@AhmedIbrahim-ul5wb
@AhmedIbrahim-ul5wb 6 жыл бұрын
True
@alifarah6742
@alifarah6742 6 жыл бұрын
Nyimbo video zote kali mkuu jamaa wanajua hawa
@beautytravis8373
@beautytravis8373 6 жыл бұрын
Himid Hareed ata mm yn inanip nguv
@magrethonesmo9611
@magrethonesmo9611 6 жыл бұрын
Himid Hareed hakika IPO siku tuu!! Bado namngoja mungu IPO cku atanisikia tuu🙏
@saidibiyege416
@saidibiyege416 6 жыл бұрын
mungu waambie na cc ni binadamu kama wao wasituue bila hatia
@stevenpeter2260
@stevenpeter2260 6 жыл бұрын
Huu wimbo utadumu tena sana. A very nice song.
@papaj6795
@papaj6795 6 жыл бұрын
This is what we call music I'm sound engineer in uk ,and I would like to say some people are born with gift and this chap is one of them ,the producer new what he was doing the mixing and the arrangements of instrument is very good and vocals arrangements is very good too good plus the back up vocals I just wonder if he could produce one more song because I can hear a special voice from a female back up it is sweet I do believe she is special too get her out her voice is special . please she is gifted.
@kenbaroofficial
@kenbaroofficial 6 жыл бұрын
I noted the same bro..let's link up
@kenbaroofficial
@kenbaroofficial 6 жыл бұрын
+254703292171 WhatsApp
@merinanasan3343
@merinanasan3343 5 жыл бұрын
Yusef W ndena san
@MrSimbawanje
@MrSimbawanje 2 жыл бұрын
Papa J so so spot ...arranged in a meticulous way...and that female voice in the background is angelic...we need more of such music
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 жыл бұрын
She called Natasha she's the one who's wrote the song
@neemamasaoe2077
@neemamasaoe2077 6 жыл бұрын
hakika kila ajishushaye hukwezwa,Mungu azid kuwapigania.
@stephcisse2304
@stephcisse2304 6 жыл бұрын
The voice daaamnnnnn aisee hii sauti inaweza kukupa mkopo wa masharti nafuu🙌
@omarymchana6380
@omarymchana6380 6 жыл бұрын
Hii ngoma qali sana inatibu hasira mawazo na mengine mengi sharaut kwa papii x nguza💯✔
@tinamuller6942
@tinamuller6942 6 жыл бұрын
Thank you Lord kwa kurudisha matumaini ya waliokata tamaa kwa kupitia hawa watu, tusichoke kuomba Mungu anasikia ....MWAMBIE ANASIKIA
@jasminejustin1825
@jasminejustin1825 6 жыл бұрын
hii ndio pure Music. we missed you a lot. purity and maturity. kweli Mungu Husikia, Huona Na Hufika...
@talantap4966
@talantap4966 6 жыл бұрын
ya trrrruuueee
@africafunnyanimals
@africafunnyanimals 5 жыл бұрын
KAMA BADO HAIJAKUKINAI HII NGOMA GONGA LIKE
@radidootieno2703
@radidootieno2703 2 жыл бұрын
Nate dogg
@estherjoshua2250
@estherjoshua2250 6 жыл бұрын
Mungu Akutie Nguvu Kaka Angu! Mungu Akisema Ndiyo Hakuna Wakusema Hapana aijalishi itapita miaka mingapi? Nakuombea Mwanzo Mpya Wenye Ushindi Mkubwa!! Sahau yote Hatua zako zote Fanya Na Mungu Atakutetea katikati ya adui zako
@davidshemufufulu1400
@davidshemufufulu1400 5 жыл бұрын
Ulituria san hadi ukaimba nyimbo bor San upo vzr ten na ten wengine hawajuwi thamani ya wimbo huhu ila mm naijuwa ten san 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🎤
@sonohub
@sonohub 6 жыл бұрын
Kama umefurahi kurudi kwa Papii Kocha gonga like 🔥🔥🔥
@lazarocharles5085
@lazarocharles5085 6 жыл бұрын
Mambo ni motooooooo
@jimmymwandenuka8690
@jimmymwandenuka8690 6 жыл бұрын
hawa wabafiki nani akugongee like ss wimbo mmbovuuuu ka walivyowabovu wao
@mrsinteanta5394
@mrsinteanta5394 6 жыл бұрын
+Jimmy Mwandenuka fala we kweli kaimbe we tyuone kama utoimba k ya mama ako k ya mama ako
@jimmymwandenuka8690
@jimmymwandenuka8690 6 жыл бұрын
+H_Official H_Official we kuma la mamayako kaimba nini humu au walikufilana ww kwny wale wanafunzi waliotombwa na hawa wabakaji nyimbo gani huu unafilwa na baba yako ww
@mrsinteanta5394
@mrsinteanta5394 6 жыл бұрын
+Jimmy Mwandenuka?????
@halimaathumani3435
@halimaathumani3435 6 жыл бұрын
😭😭😭😭so sad dah! hakika Mungu ndie kl kitu.😍
@lilianleonard8106
@lilianleonard8106 6 жыл бұрын
Everything has a reason, only God knows that reason! Usichoke kuomba
@mgonasipapune1383
@mgonasipapune1383 4 жыл бұрын
Sanaaaaa
@brendanyambo9644
@brendanyambo9644 2 жыл бұрын
Mungu waambie uliona, nlipokuomba ulisikia na Ukaitika🙌🏽🥰
@beatricekihehe3733
@beatricekihehe3733 6 жыл бұрын
Ee Mungu wangu machozi yamenitoka kwa huu wimbo jamani.
@yusuphsalim6469
@yusuphsalim6469 6 жыл бұрын
Beatrice Kihehe dah!! Wallaah cjiwez na Leo kutwa nimeuskiza uu wimbo
@rhouzieferdienyomindi784
@rhouzieferdienyomindi784 6 жыл бұрын
kweli Leo imefika ni mungu tu 🙏🏾👏🏾👌🏾
@eugenepaull9513
@eugenepaull9513 6 жыл бұрын
Ni furaha kuona bado uwezo wa kupangilia mashairi wanao!!.
@HASASON
@HASASON 6 жыл бұрын
Yaani kwa mara ya kwanza wimbo unaniliza dah I can't resist tears aisee nashukuru Mungu you are back
@edsonsimon7041
@edsonsimon7041 6 жыл бұрын
Maaamaaaaaa Daaaaaaaaaaah,,,,!!!! Mwimbo mzuri sana na unatia moyo aseeeeh,,,,, mtatisha wazeeeeeeee ninyi jamoniiii👏👏👏👏👏👏👍👍👍👏👏👏👊👊👊👊
@dixonibra9966
@dixonibra9966 4 жыл бұрын
Dah nliisaka hii audio two month nlikuwa naikuta mwishoni ikipigwa kwa radio nkairecord sound
@ousmantaxi3724
@ousmantaxi3724 4 жыл бұрын
Sexi vidéos
@paschalnhigula6600
@paschalnhigula6600 6 жыл бұрын
Papii waambie wanao dislike wajue mungu yupo kazi nzur km hii mijitu inadislike akat still unashukuru Mungu na kwamba tujue Mungu yupo anatuskiliza maombi na kutujibu lkn wana dislike wanakera kinoma
@linajuma9141
@linajuma9141 4 жыл бұрын
paschal nhigula weng awajui kutofautisha best ata mm mwanzo nilikuwa nabonyeza tyu bila kueleeawa
@علیجعفری-ز1ك
@علیجعفری-ز1ك 4 жыл бұрын
فیلم سرت
@RomwardWM
@RomwardWM 6 жыл бұрын
Karibu sana Papii nimependa ngoma lako lkn linanifanya naumia kila nikiisikiliza kwa ujumbe uliomo
@aminminiofficial2381
@aminminiofficial2381 6 жыл бұрын
Jameni nilipo skia kweli kuna kitu kime ingia kwenye moyo daa bro big up.and you will never go down sapot kwa bro kutoka Holland
@masterfranxtemba
@masterfranxtemba 6 жыл бұрын
leave aside all the controversy surrounding him, all the politics, all the hearsay. leave alone the history, and every string that could possibly be attached to the artiste. this piece of art is pure glorification to the most high, the Almighty. its moving.
@barakaalecnathaniel3716
@barakaalecnathaniel3716 6 жыл бұрын
franc temba sure say bro,so poignant
@gilbertpatrick9857
@gilbertpatrick9857 6 жыл бұрын
tuna kila sababu ya kumshukuru mungu
@hadijamcha7824
@hadijamcha7824 6 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana...nikisikiliza nahisi kulia...Mungu yupamoja nanyi awabariki sana.
@jennyjenner4625
@jennyjenner4625 2 жыл бұрын
Amina
@franciskilimo5322
@franciskilimo5322 6 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana na inaujumbe mzito, Maisha sio yakukata tamaa ipo siku Tu waambie MUNGU NI MWEMA
@williamkavuta8066
@williamkavuta8066 6 жыл бұрын
Francis Kilimo Labda nami Nitafanikiwa siku
@hamisasalma6334
@hamisasalma6334 6 жыл бұрын
Mungu mwema sana
@magrethkitandu7584
@magrethkitandu7584 6 жыл бұрын
Francis Kilimo
@agnesjohnson2393
@agnesjohnson2393 6 жыл бұрын
Amen 🙏 uhu wimbo umenifanya nilie kabisaa 😭😢😭 mungu awepe nguvu yaku tenda kazi
@sesielitha9744
@sesielitha9744 5 жыл бұрын
Sifa Avijawa hakika ninyimbo bor ndumian
@noeljohnkiboko4786
@noeljohnkiboko4786 6 жыл бұрын
Sipati pale papikocha huku christian bella kule kiba fundi. Hzo sauti doh noma
@newkhamza1339
@newkhamza1339 6 жыл бұрын
Noz Banx umeona eeeee safi sana
@khloealfan7924
@khloealfan7924 6 жыл бұрын
kunywa soda nakuja kulipa...mambo yatakuwa 👉🏻🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mwakisogocpiliano5713
@mwakisogocpiliano5713 6 жыл бұрын
Noumaaaa
@neemaedward4995
@neemaedward4995 6 жыл бұрын
Nakuunga mkono
@naimarama5741
@naimarama5741 6 жыл бұрын
fireeeeeee
@barbiemdoo6598
@barbiemdoo6598 6 жыл бұрын
wimbo umeutendea haki video pia haki imefanyika, hakika mungu amekutendea jambo kubwa lazima kumshukuru
@angelmisholy6478
@angelmisholy6478 6 жыл бұрын
Dah too emotional,nimeshindwa kuzuia machozi...Mungu yupo na anaishi hakika...akupeni mwanzo mpya na wa heshima kubwa😥
@theresiankoyi9418
@theresiankoyi9418 6 жыл бұрын
video haina mbwembwe na imekuwa bora zaid
@kitoijeremia5794
@kitoijeremia5794 6 жыл бұрын
Mungu hamwachi mja wakr..thanx papii kwa kuanza na huu wimbo wa shukrani kwa Mungu..Waambie wote wamjue yeye kuwa hashindwi.
@paulmoshi
@paulmoshi Жыл бұрын
Mtu mmoja tu nitamwandika kwa herufi kubwa tafadhalini watanzania na wote mnaoelewa mziki wa wa WA WA karma mlike hapa plz MAGUFULI
@abdulwakilranda5223
@abdulwakilranda5223 6 жыл бұрын
Good melody na ladha tofauti kabisa na miziki inayofanywa na wasanii wengine kwa sasa, wengi walijua ataimba rumba lkn amethibitisha yeye ni Musicians ...
@japharraychausa6138
@japharraychausa6138 3 жыл бұрын
Huu wimbo utadumu daima Papi kocha atabakia kua yeye kama yeye 🙏🙏🙏🙏
@lucianjr6807
@lucianjr6807 6 жыл бұрын
nyimbo inaujumbe mzito sana nimeipenda keep it up papiii
@ishekellyfredy9714
@ishekellyfredy9714 Ай бұрын
Mungu waambie "WASIACHE TUMAINI NDIO IMANI, WASIACHE KUKUAMINI NDIO AMANI" Mungu anaweza yote❤
@edwardkigoni5849
@edwardkigoni5849 6 жыл бұрын
Aisee.....kipaji hakipotei hata iweje, idea ni nzuri pia tena sana. Jela miaka 14 and still alive and healthy na mwaeza fanya mengi...Kweli Mungu wa maajabu yani.
@djstee2559
@djstee2559 6 жыл бұрын
Wenye music wamerudi #Respect my Brother Papii Kocha
@felixlukuna7957
@felixlukuna7957 6 жыл бұрын
Wimbo mzurii papiii ni Neema na rehema hatupaswi kukata tamaaa ....👏👏👏👏
@ngalungalu9561
@ngalungalu9561 6 жыл бұрын
Ikapotea tumain langu
@agnethaalkwin9896
@agnethaalkwin9896 6 жыл бұрын
Felix Lukuna
@tammysalum5475
@tammysalum5475 6 жыл бұрын
Nice song,hakuna kama Mungu,na kamwe ashindwi,wimbo unaleta matumaini na aman moyon.
@mctommytz2582
@mctommytz2582 6 жыл бұрын
Papii kocha, ama kweli wewe ni kocha wa Mizuki wa Tanzania na Africa kwa ujumla, mbali na kupenda muziki huu pia umenitia moyo juu ya magumu nayoyapitia na kuamini kuwa ipo cku Nami mungu atanijibu,
@RomwardWM
@RomwardWM 6 жыл бұрын
Daah nimependa sana ujumbe
@mctommytz2582
@mctommytz2582 6 жыл бұрын
😰😰😰😰😰😰
@motivationalvoice3862
@motivationalvoice3862 6 жыл бұрын
Tulimis nyimbo kama hzi kila rika linaweza kukaa na kusikiliza 😚😚😍😍😘😘😘
@wanenetv9672
@wanenetv9672 6 жыл бұрын
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: kzbin.info/aero/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7
@RamadhanAli
@RamadhanAli 3 жыл бұрын
Mungu waambiye ni wewe tu, uliyesababisha leo ikafika!!!
@bongonSee
@bongonSee 6 жыл бұрын
mungu anatuskia kila wakati kueeni radhi na maisha yenu mungu atubarik sotee ameeen
@ammymarwa-mh5sh
@ammymarwa-mh5sh Жыл бұрын
Mungu wambie ni wew tu uliyesababisha leo imefika🙏🏼😭
@nicky3025
@nicky3025 6 жыл бұрын
this is it.......very nice motivation song.......keep it up....when God says Yes nobody can say No
@vincenttambara2480
@vincenttambara2480 4 жыл бұрын
"Waambie kila siku ni zawadi, hakuna heshima inayozidi uhai" Amen to that.
@firstladyafrica8635
@firstladyafrica8635 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana ya kumtukuza Mungu baada ya yote mliyoyapitia.Hongera sana Papii Kocha na Nguza Viking
@veronicamchwemba972
@veronicamchwemba972 6 жыл бұрын
nawapenda sana wazazi mko vizuri kwenye soko zima la muziki mungu awabariki na awazidishie baraka kwa kla jambo mnalotaka kulifanya full respect
@christinatweve138
@christinatweve138 6 жыл бұрын
Super emotional, my current favorite song, I just love the chemistry between u guys, Mungu awabariki, Mungu bariki Tanzania. Proud to be Tanzanian
@josephkessy9841
@josephkessy9841 6 жыл бұрын
Nyimbo ina ujumbe mzito sanaaa.....Tumuache mungu aitwe mung.
@cutelove2686
@cutelove2686 6 жыл бұрын
Asanteni sana na karibuni tena muamshe mziki uliolala😍😍😍😍
@cellyjoseph9478
@cellyjoseph9478 6 жыл бұрын
Huu wimbo una ujumbe mzito sanaa ahsante papii
@ramadhanisalumu4984
@ramadhanisalumu4984 6 жыл бұрын
Fantastic...bravo papii,, ngoma moja na Bushoke pliizzz
@dagamgomela662
@dagamgomela662 6 жыл бұрын
sauti Kali ya hisia inayochoma soon ntafurahi sana papii ukipiga ngoma na linex#respect @hakuna heshima inayozidi uhai
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
kaz nzur san jamna dah kam umeirudia hii ngam zaid ya mar 1 gonga like yak hap
@ramadhanisalumu4984
@ramadhanisalumu4984 6 жыл бұрын
Justine Nunda mara ya tisa hapa naisikiliza
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
Ramadhani Salumu duh
@azaiyamagayane6955
@azaiyamagayane6955 5 жыл бұрын
Ww kweli nimnomasana
@romymjelwa5528
@romymjelwa5528 6 жыл бұрын
Hakika ni maamuzi mazuri sana kumtumikia Mungu. Hakika ni yeye aliesababisha sisi kufika hapa I Appreciate you brother
@laibonimario6235
@laibonimario6235 6 жыл бұрын
Kama ulitaka kumsikia BABU SEYA akiimba na hujasikia gonga like hapa
@fettieally1944
@fettieally1944 6 жыл бұрын
Laiboni mario 😂😂😂😂
@sangodadaudi5948
@sangodadaudi5948 5 жыл бұрын
Nawakubali vilivyo
@husnaally6998
@husnaally6998 3 жыл бұрын
Hahahahhaa
@mwinyimkuu2023
@mwinyimkuu2023 2 жыл бұрын
Fala sana wewe🤣🤣🤣🤣🤣
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw Жыл бұрын
🎉 KWELI WATUAMBIE ILI TUJUE HAUKO MBALI NASI.Asante kutukumbusha. Amina.
@ziadasaidi6792
@ziadasaidi6792 6 жыл бұрын
ciachi kuisikiza hii nyimbo iko vizuri ina maneno ya mungu ndani yake
@fainessmakungu225
@fainessmakungu225 4 жыл бұрын
tusiache kumuamini mungu muumba alie umba mbingu naichi bila nguzo na tumuoombesiku zote hatupasi kukata tamaa pap kocha
@markjason2035
@markjason2035 6 жыл бұрын
mziki ka baiskeli.... ukijua umejua tu
@jackgodgivenzihindula
@jackgodgivenzihindula Ай бұрын
Tuko pamoja toka Democratic Republic of Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💚 Bukavu Town ❤
@salashlily5518
@salashlily5518 6 жыл бұрын
The kind of gospel music i'll always love listening,,..Glory b to God AMEEN...
@pascalkana3103
@pascalkana3103 6 жыл бұрын
Na wakubali sana ndugu zangu na mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kazi yenu yote Amen.
@naseebyusuph9798
@naseebyusuph9798 3 жыл бұрын
Mutoto ya mfalme... Papii Kocha.. 2020 right here...
@adrianomtanzaniano6310
@adrianomtanzaniano6310 4 жыл бұрын
Nyimbo zangu Bora muda wote labda itokee ingine.. 1-Bushoke Dunia mapito 2-Waambie Ova
@avathermazanda280
@avathermazanda280 4 жыл бұрын
Papii kocha!I see a true story movie behind these good lyrics!!!
@miraclemasanja2789
@miraclemasanja2789 4 жыл бұрын
Hakuna heshima inayozidi uhai. Asante Mungu
@flashvideos2287
@flashvideos2287 6 жыл бұрын
KING WA MUSIC.. VIDEO ☑️ SONG ☑️ VOICE ☑️ BEAT ☑️ LOCATION ☑️ RELEVANCE TO NOWADAYS LIFE *100%* HAO 222 DISLIKERS NI WA SAYARI GANI ,WIMBO HUU UNAPIGWA DISCO HADI KANISA..
@dorothyobunde2931
@dorothyobunde2931 6 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana yaani wanajua kuimba tangu long time hlf papii handsome jaman 😘🙈
@aditifus8083
@aditifus8083 5 жыл бұрын
Real Inspiration Papiii....Mungu ni Wewe tu.
@joelgunje3732
@joelgunje3732 6 жыл бұрын
hakuna heshima inayozidi uhai.....nawapenda sana ..kweli haki ya mtu haipotei ila huchelewa tu
@emmanuelgidion2334
@emmanuelgidion2334 5 жыл бұрын
kama unaamin wimbo huu unamungu ndan yake Nile like apo
@charleskaijage4283
@charleskaijage4283 6 жыл бұрын
Da the legend is back like hapa tu show love kwa MTU wet wa nguvu
@officialhajjhassani9388
@officialhajjhassani9388 6 жыл бұрын
Mungu waambie ulinion nilipokuomb ukaniskia Dh hatar san
@joycekweka7945
@joycekweka7945 6 жыл бұрын
shida na matatizo huongeza maarfa ya mtu zaidi#papii kocha naamini Mungu alkuwa nawe pia kule gerezani...km unaamn gonga like hp,kweli heshima haizid uhai
@bernardmhagama3258
@bernardmhagama3258 6 жыл бұрын
Nyimbo nzur unaifeel mpka kwa heart
@giftkivuyo7609
@giftkivuyo7609 4 жыл бұрын
God as done something juu ya uzima wangu kupitia hii nyimbo
@vincenttambara2480
@vincenttambara2480 4 жыл бұрын
I was looking for the Sea and got me googling more about this guys, I was shocked to read what had happened. I didn't even know that walikua jela all those years. Hu wimbo umenigusa sana. "Mungu waambie ni wewe tu"
@shamilamct5442
@shamilamct5442 6 жыл бұрын
Jamani nyimbo nzuri sauti nzuri mashalla 😍👏👏👏✌✊✊nimependa
@ejkishosha
@ejkishosha 6 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu kwa kila amtumainiye...Great song Papii
@tinahtinahmashaka4278
@tinahtinahmashaka4278 4 жыл бұрын
Aliyerud 2020 gonga like tujuane,, hakuna hexhima inayozid uhai
@Mutayoba247
@Mutayoba247 6 жыл бұрын
Good music yaan ile kuanzia unaplay tuu unasema damnnnnnnn sooo guud!!!
@benjaminleonard5470
@benjaminleonard5470 6 жыл бұрын
Asanteni
@Mutayoba247
@Mutayoba247 6 жыл бұрын
Benjamin Leonard 👊👊
@edinaantony9086
@edinaantony9086 6 жыл бұрын
Partson Mutayoba vzjsiw
@hammerQ954
@hammerQ954 6 жыл бұрын
Brother brother saaaaafi umerudi vizuri nakulubali sana sanaaaaaa🔥🔥
@edwardosfrancos
@edwardosfrancos 6 жыл бұрын
Daaaah bonge la ngoma linagusa sana .big up
@evelynjanga4908
@evelynjanga4908 6 жыл бұрын
This song is more than perfect🤗 this song rocks for sure.Congrats Bro.
@mathiaswambua7643
@mathiaswambua7643 6 жыл бұрын
Unapo kosa Tumaini La Kuona Dunia imekuzonga Huu ndio wimbo wa kuusikiliza unatoa Matumaini kwa mtu Alie kata Tamaa Kuona Kwamba Hapa Duniani si mahala sahihi pa kuishi ila kupitia Huu wimbo utapata matumaini thabiti
@newkhamza1339
@newkhamza1339 6 жыл бұрын
Mathias Wambua kweli kabisa
@mathiaswambua7643
@mathiaswambua7643 6 жыл бұрын
New K Hamza Nyimbo Ambazo Zinaleta Inspiration Kubwa Katika Maisha Yetu ya Kila siku ......Conglts Papiiii kocha
@donaldmutegeki5031
@donaldmutegeki5031 6 жыл бұрын
Amen
@qutej3827
@qutej3827 6 жыл бұрын
Mathias Wambua amen
@amrybakary8009
@amrybakary8009 6 жыл бұрын
Mathias Wambua very nice song
@amanjohn8527
@amanjohn8527 6 жыл бұрын
mungu endelea kuwapigania, kazi nzuri nimeipendaaa
HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha
3:49
ANGALIA PAPII KOCHA ALIVYOTUZWA MAPESA KWENYE HARUSI YA RAFIKI YAKE
6:53
ABONIKE VISUAL ARTS
Рет қаралды 27 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 36 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 17 МЛН
Papa Wemba - Chacun pour soi (feat. Diamond Platnumz)
3:33
Papa Wemba Officiel
Рет қаралды 7 МЛН
Melody Mbassa  - Upepo Featuring Papii Kocha [ Music Video ]
4:53
Melody Mbassa
Рет қаралды 170 М.
Papi Kocha & Nguza - Seya Lyrics
6:11
Humphrey Moris
Рет қаралды 350 М.
Sanaipei Tande - Amina (Official Video) [Skiza: 8545083]
3:37
Sanaipei Tande
Рет қаралды 8 МЛН
Get Deep Sleep and Cure Your Insomnia Disease with Beautiful Quran ✦ NOOR
1:10:29
Nikumbushe (Cover song) - Nandy
5:05
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 16 МЛН
MwanaFA Feat G Nako  - Mfalme (Official Video)
4:05
MwanaFA
Рет қаралды 1,4 МЛН
Solomon Mkubwa   Mungu Mwenye Nguvu Official Video
7:33
Solomon Mkubwa
Рет қаралды 4,2 МЛН
Salima
6:46
Papii Kocha
Рет қаралды 18 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 36 МЛН