😂😂😂😂😂 dah ivo tu kuoga aahh Me wakwanz leo. Like zote ziwekwe hapa kama unawakubal ndaro na Steve mweusi 🎉🎉🎉
@patricknguliАй бұрын
Hawa kiboko
@Damagemweusi274Ай бұрын
Duuh kama unampenda stevemweusi na ndaro angusha like yako ya upendo
@AsiaHamisi-q4c24 күн бұрын
Asia hamisi
@nelsonbisi6499Ай бұрын
Ndaro we hii kazi unaiweza wala hutumii nguvu kuifanya. Nashangaaga Sana watu wanaokupambanisha na comediani viraka wengine.
@SylvainHabiАй бұрын
Fasta fasta nawapogueza
@SARIVE.LAME_123Ай бұрын
Dahh ndaro katoka Dubai na idea ya kuku kupata pesa😅😅😅
@eljonadovikumba-sm8egАй бұрын
Nyinyi wawili kiukweli munachekesha sana duuh 😆😆 ndaro na Steven mweusi
@ALIMOHD-bk9lrАй бұрын
Mwalimu alikuja anafundisha but mshahara hautoki mapema😂😂😂😂😂😂😂 asante kama hilo limewezekana pia😂😂😂
@mmemasssaimon6068Ай бұрын
Hii kaz mmetisha sanaa 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💥
@SethMsamaliАй бұрын
jeshi toa moja na mwakatobe 🎉🎉
@user-gt2sc9rp2hАй бұрын
Wapili mimi 🎉🎉🎉🎉🎉
@user-wi2td1lv6eАй бұрын
Nimefurahi sana bailamu kumuona na stive mweus na ndalo👍👍🫡
@ALIMOHD-bk9lrАй бұрын
Ila Steve na Ndaro nyinyi ni magenius kiukweli 😂😂😂😂😂😂 maana sio kwa vituko hivo kwa mfanga😂😂😂😂😂
@user-wl3wb7dk1iАй бұрын
From USA 🇺🇸 tuna fatilia na Nimekuwa wa kwanza naombeni like zangu
@samyjoseph2732Ай бұрын
Uko USA kote huko halafu una uboya wakutaka ma like yasiyo na issue bora ungebaki tuu mbagala huko
@JacksonMutinda-jw5qwАй бұрын
Nmekuona APA dar auko usa
@JacksonMutinda-jw5qwАй бұрын
Nmekuona APA dar auko usa
@JacksonMutinda-jw5qwАй бұрын
@@samyjoseph2732uyu ako pale dar,uogo mtupu tuu
@peterkimanthi5874Ай бұрын
@@JacksonMutinda-jw5qwala isele ati uiva we😂😂😂
@listonmashon9987Ай бұрын
Jaman mm mechelewa lkn naomba like plzz from USA 💞
@Gloriamu399Ай бұрын
From Canada nawafata bwana Ndaro na Steve
@saidmuhd611Ай бұрын
Huyu kuku siye mwenyewe 😂😂
@FrancoisBilaliАй бұрын
Ila bailam 😂😂
@DonrugiАй бұрын
kwahiyo kufahamiana kunahusiana vip na uganga 😂😂 jamaa kashindwa kujitetea
@DAVIDJR-y3oАй бұрын
Wakwanza Mimi nipeni like zangu Guys
@user-tb1ym2xq6uАй бұрын
From kigoma nataka like zangu
@Shadia544Ай бұрын
😂😂😂😂😂Kuku wa kafara 😂😂😂sema nini waganga wanakula sana kuku za watu unakuta mganga nyumbani kwake anafuga kuku wengi 😂
@ShuwarMduduАй бұрын
😢😢
@salomembovi6803Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂From Kenya 🇰🇪🇰🇪Kula tu kuku za watu kuoga aahh😂😂.Steve kweli mnatuvunja mbavu.Hii imeweza.Nipeni likes za mtoto wa Mkuranga na Ndaro jamani
@johnsilima1629Ай бұрын
Tunaanza kupigana sasa😂😂😂😂😂😂😂
@TUGENDEBONITavaiaАй бұрын
Wakwanza Léo nipeni likes zangu from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@samyjoseph2732Ай бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@samyjoseph2732Ай бұрын
tudo bēm
@NelsonbernardoDaleli-jn6lyАй бұрын
Bem e você
@kitungwabernardАй бұрын
😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤ kula tuh kuku za watu
@CharamKabulАй бұрын
Kula tu kuku za watu kuoga aaaaaaaaaaah
@user-tq9xo4nf5mАй бұрын
😂😂😂 cheti cha darasa la 7 ulifata
@NacymboyaMboyaАй бұрын
Sitvu una nicheke shaga san wewe😂😂😂
@user-gc5zf2ql4uАй бұрын
Kida
@anointedpeter6113Ай бұрын
Dah,,,,,Nipeni za kwangu from +254
@tato8979Ай бұрын
Waganga wawizi tu wezi wengine 😂😂😂
@ZainaHalifaАй бұрын
Kazi nzuri timu Steve na ndaro 😂😂😂
@AlainAlain-st6ijАй бұрын
kazi nzuri kabisa
@maryglady2901Ай бұрын
Kumbe Ndaro alienda Dubai kwa Mganga 😅😅😅😅
@user-kk3lg7oj2bАй бұрын
❤ kazi chema
@SangoSafi-ud4boАй бұрын
Kula Kuku zawatu kuoga hoo
@user-wu4jj7ms2c19 күн бұрын
Da steve na ndaro ni bonge moja group kama Quavo na Takeoff jamani 😂😂😂😂
@hollyboyMW254Ай бұрын
Kazi nzuri mwalimu ndaroo❤❤
@Msanii1237Ай бұрын
Kumbe bai da *333# 💪🔥🔥🔥
@DylvaSonАй бұрын
Wa kwanza leo kama mnampenda harmonize gonga like apa 😂😂😂
@BalakaYohana-cw3diАй бұрын
Mganga2 kuongea aaaaaah wap like zangu jmn
@MWANAIDIRULIMBIYEАй бұрын
Steve na ndaro mbwa nyinyi😅😅😅😅
@LameckJackson-jf3iyАй бұрын
Mmetisha ndaro na steve
@user-tn8kw5jq7cАй бұрын
Like za bailam apa😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤
@majaliwaslayomajaliwaslayoАй бұрын
huyo kuku mbona hatujaona mchuzi wake mmeenda kununa vipaja kwenye banda la chipz hapo😂
@RuhuneKabose27 күн бұрын
Steve n'a daro munanifuraicha nakuchenkecha sana nawapamauwa🎉🎉🎉
@jalinachilala8465Ай бұрын
Alafu nyie mnanifanya majirani wanione chizi kwa kicheko😂😂😂❤❤❤
@ShuwarMduduАй бұрын
Uh!
@bennamush4616Ай бұрын
Hatari😂😂
@emmanueljeremiah5544Ай бұрын
😂ila harmonize
@user-ky3vl9on6eАй бұрын
Kula tuu kuoga aaaahg😂😂
@user-qq4zr3sk2gАй бұрын
Mganga alivyo serious sasa😂😂😂😂😂😂
@TellyKatishaАй бұрын
Tutaanza kupigana ndaro🤓🤓🤓🤓
@user-pt9xf7dy7o22 күн бұрын
😂😂😂 Safi sana Stive na Ndaro 😂❤
@fredyjonaa4053Ай бұрын
Steve mmezingua, kuku ulieenda nayo na mnaomla ni tofauti kabisa😂😂😂
@NacymboyaMboyaАй бұрын
Yule kie nyeji uyo wanao kula broila
@samwelmillinga7578Ай бұрын
@@NacymboyaMboya 😅😅😅
@user-bi9pl4eu2oАй бұрын
Haha 😂😂😂 asantaass bhailam kazi nzuri😂😂
@user-yp1dy9nb3rАй бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉hii bomba sana
@MubarakaashimАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 ff From kigoma but to me
@BasuleBasuleАй бұрын
Anaitwa Ndaro Or Mjeshi Kikofia Weka Like Kama Unamkubali Ndaro
@user-rz8zv5xq1cАй бұрын
Nimecheka kisengeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GodfreyolekidongoАй бұрын
😂😂😂 duuh!
@BujikuMashambaАй бұрын
9:52
@Irankundasadiki-yx1vfАй бұрын
Mutakuya 😂 kamata manyoya mizimu zinakulaka na mifupa😂😂
@user-qk5tr8dt7jАй бұрын
Ila ndaro daah noma thanaa
@MunahMisigaroАй бұрын
Me napita tu atasiongei Mana nawajua
@FrancoisRamazani-nx2seАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 okay 👍🏿😮😮
@SiajabuAbdallahАй бұрын
😂😂😂 stev na ndaro nawapnda mnanifurahish sana mungu Awatunze 😊❤
@theprincejr1417Ай бұрын
Usniite braza mimi ni mganga 😂😂
@_Wayiva_mukuta_jeanАй бұрын
😂😂😂 mizimu ina njaa😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@minahsamwelАй бұрын
😂😂😂😂bailam wamekuharibia aiseee😂😂😂😂
@maureenmmboga4464Ай бұрын
😂😂😂aki steve
@maggiefrankluck7309Ай бұрын
Embu tuache sisi ni wacheshi watu wa utani utani 😂😂😂nini😂😅
@SalaiKisota-gl1hiАй бұрын
Ndoro na stivu mweusu nawapenda sana mmetufundisha mambo mzuri sana asandeeni
@dogoazizi6269Ай бұрын
Safi sana familia mnafunika kwenye platform ya comedy, Nasaha yangu ingependeza zaidi next time wanyama tuwe tuna wa handle vizuri ❤@Ndaro Tz 3:17
@thebeenyukiАй бұрын
Ndaro kwema...tumekumiss sana... watching from Kenya 🇰🇪
@patricktegea1430Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂cna neno
@mikeotwani8974Ай бұрын
😅😅😅 kali ya mwaka
@maggiefrankluck7309Ай бұрын
Ulifata cheti chako cha darasa la saba 😂💔💔💔
@maggiefrankluck7309Ай бұрын
Huko mwishoni mmenimaliza 😂💔
@stanleyandrea5153Ай бұрын
Steve na ndaro kazi zenu ni nzurii lakini video ya leo nimecheka sanaaaa😂😂😂😂😂😂😄😄, nipeni like namm Hawa watu nawapenda sanaaaaa dah
@user-xz1xl9ui4eАй бұрын
😂😂😂😂 bhailam kapatkana
@RamadhaniMshana-gk6vmАй бұрын
Nzur sana
@consoponsiano97Ай бұрын
😂😂😂😂😂jamn ivo vibao mmemtesa bailam wa watu
@user-yi6xp4my6wАй бұрын
yani Steve unanifanya nacheka 😂😂😂 ati kuku ameweka kando
@KisholongakisalyaАй бұрын
Wazee nmechelew nlikuw duaran team mweusi 2juane all the way from somalia
@user-bo1ff1rp4tАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@maggiefrankluck7309Ай бұрын
Tuache kuku afu tufate mifupa 😂💔
@atupokilealson7108Ай бұрын
Eti vyaouwongo😂😂😂😂
@AlexOkumu-xp2wxАй бұрын
Huyu si mganga Mkuu ni classmates wanajuana😂😂😂😂😂😂😂😂 Steve anatania watu
@user-lr9un4ge7gАй бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-do6ch1ti8bАй бұрын
Duuh make me happy😂😂😂
@StephenMunyoki-by2jhАй бұрын
Naombeni likes team mweusi
@rojabinho3215Ай бұрын
Hahahahaha
@rojabinho3215Ай бұрын
Daaah kwel ndaro na steve wanatisha nimecheka saana
@paulinanduku2748Ай бұрын
Tuache kuku alafu baadae tufuate mifupa😂😂🇰🇪
@Newtone-tb9lfАй бұрын
😂😂choko mchokoe pwezaa sisi hatutatuweza
@djsniper25flo19Ай бұрын
Amakweli hapa bundles haijaenda bure 😅😅😅😂😂😂😂😂 nimefwatilia hawa machizi watatu Kwa mda ilaa hii ya Leo mwamba aiseii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@edwardmugendi-hb1tjАй бұрын
jifunze kushika kuku vizuri asee kuku hashikwi hivyo unamuumiza
@tanacksheyo7380Ай бұрын
Steve can't stand alone in natural but ndaro is main supporter
@chunaabdullah1333Ай бұрын
Ss Kuku wa pesa mumemmla mtapata pesa wapi😂😂
@shamimlinda6849Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 classmates
@JanethLyaryАй бұрын
Nawakubali sanafamily
@maggiefrankluck7309Ай бұрын
We huogopi 😂😅
@mckipenziofficial2168Ай бұрын
Steve nikama huwa mjinga wa kikweli wallahi juu sioni niaje anacheza na mganga