Asante sana Mstaafu. Hakika wewe ni mfano mzuri sana wa kuigwa. Mungu Akutangulie.
@malimadaniel3224Ай бұрын
Kuna kitu umeniongezea Mkuu,Mwenyezi Mungu akujalie maisha yenye heri.
@AmisamauridNgagadaАй бұрын
Ayo Tv pongezi kwenu huwa mnatuhabarisha mambo mazuri na yenye kujenga nchi🔥🔥
@KitilaMndemeАй бұрын
Hongera Sana Engineer kwa kujituma,Sisi wanakorogwe tunakusifu kwa juhudi zako za ujenzi wa madarasa umefanya vizuri Sana Mungu akubariki
@oswaldmtei38Ай бұрын
Thanks God! Ndani ya kipindi kifupi nilipata fursa ya kuwa karibu na huyu Mheshimiwa Engineer Gabriel nilipokuwa Mhandis wa Halmashauri ya Mji Geita. Hakika nilijifunza mengi kutoka kwake. Nimefanya nae kazi na nimejifunza mambo mengi na mazuri kutoka kwake tangu akiwa Mkuu wa Mkoa wa Geita. Hakika ni kiongozi mzuri sana.
@mathiasswai7006Ай бұрын
Nice umeongea vizuri sana,nimejifunza kitu mhe🎉🎉❤❤
@joelyngomuo7441Ай бұрын
Hongera sana nimempenda sana huyu kamanda Mungu akutunze akuepushe na kila lililo baya
@saidndimbo2738Ай бұрын
One of the best political leader in Tanzania, keep it up, there is a day you gonna be public leader somewhere.
@deogratiashaule895826 күн бұрын
Namwelewa sanaaaa!!! Very potential resource kwa nchi hii.Mungu amtangulie.
@AndrewAndrew-q5qАй бұрын
Mteja wangu sna uyu na mke Wake blessings kwao
@babazungu3180Ай бұрын
Mtu mstaarabu utamjuwa tu, mungu akuongoze kiongoz wangu
@jimmychengs1338Ай бұрын
Legend sana Huyu Mheshimiwa na Mhandisi absolutely amazing interview!
@MwakaismsocietyАй бұрын
So positive, hongera mheshimiwa.vingi vyakujifunza hapo.mungu akusimamie.
@abdalaalmas2535Ай бұрын
Huyu ni muadilifu sana,Mungu akuzidishie katika utafutaji wako.
@geofreymkoko2567Ай бұрын
Mheshimiwa mstaafu nikupe pongezi kwa ufahamu ambao wengi hawajajaliwa Mungu akubariki sana sana sana.
@kubwayoshomaryАй бұрын
Robert Gabriel nimekuona ukiwa mkuu wa mkoa Geita kazi yako nimeipenda sana. Mungu akufungulie milango ubarikiwe sana.
@kadaskarim5081Ай бұрын
Mzee nikiwa rais mtu wa kwanza kukupa kaz ni wew huwa nakupenda sana mzee wangu naitwa kadas ipo sku utapata kaz tena
@alexoxo100Ай бұрын
Hata mimi, huyu jamaa anajua sanaa sema ndo ivo nchi yetu ukiwa unajua sana lazima upigwe zengwe
@marthagodson44475 күн бұрын
Mkuuu bora sana mwenye hofu ya munguu Mungu atakuinuaaaa
@OmbewaJeremiahАй бұрын
Mimi naona kiongozi shupavu mwenyekuthubutu, mnyenyekevu - keep it up wewe ni mfano kwangu ipo siku nikipata nafasi nitakuja kusalimiana nawe- you are a mentor to me.
@libe9036Ай бұрын
Jamaa alikuwa jembe straightforward mbunifu mnyenyekevu mchapa kazi mfuatiliaji wa miradi hapendi majungu anapenda professionalism
@Juliusmganga4734Ай бұрын
Hongera sana Engineer Gabriel. Mungu azidi kukuongoza na kukupigania, uzidi kufanikiwa kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
@SilasJacob-z6vАй бұрын
Nimependa sana unajitambua hongera sana wengine kweli wakistafu wanaanza kuilalamikia serikali ifike mda watanzania ni wengi sio lazima ufie kazini
@mossessawe5928Ай бұрын
Moja ya maojiano bora mwaka huu kwa kiongozi mstaaafu kuna mengi ya kujifunza wewe bado hazina kubwa kwa taifa hill natumaini kukuona tena kwenye mapambano ya siasa🎉🎉❤❤
@herrymathayo1159Ай бұрын
Nilikuwa namkubali Toka mda yupo madarakani.nakutia nguvu omba mungu endelea kupambana.mungu hakuonyeshe njia
@magrethsomi4318Ай бұрын
Mungu azidi kukusimamia mtumishi wa Mungu.Kusudi la Mungu juu yako liko pale pale hakuna wa kulizuia ni majira na wakati tu.Mungu azidi kukubariki sana sana wewe na familia yako yote.
@Brave737127 күн бұрын
Pongezi kwako, wala usirudi tena kwenye utumishi wa uma ni utumwa, Bigup sana
@kuchenavhe0028Ай бұрын
Maneno ya msingi kwa usiye na muda wa kuangalia clip yote. "(kwa sasa) rafiki zangu ni mke wangu, watoto wangu, mjumbe wa nyumba kumi, uongozi wa chama wa kata na jamii. haya ndio maisha halisi"
@benson.msechuАй бұрын
Hongera Sana Engineer...uongozi kwa vitendo...
@elikanapeter1545Ай бұрын
Miongoni mwa viongozi bora huyu mzee ni mmoja wao ❤❤❤
@AlbinMsechuАй бұрын
"Mungu asipokulinda hata uwe na nguvu zipi, utakua na changamoto" - Barikiwa sana Engineer...viongozi waliopo sasa hv waige huu mfano
@klaussteiner9429 күн бұрын
Hiii ni Moja ya quotes ya Mh Engineer Gabriel, itaishi
@abdullatwifhamad4353Ай бұрын
High level Integrity ❤
@materujoackim7751Ай бұрын
Nakuombea sana kwa Mungu aendelee kukutunza uu mfano kwa wengi wanaopenda uadilify.
@kalundepius3161Ай бұрын
Mi ni shahidi katika kuwatembelea watu vijiweni, tumepisha mara kadhaa barabarani. Hongera sana mstaafu
@Yassin-z6oАй бұрын
Hakika mzee wetu,natamani hata ningekuwa naishi kwenye kijiji chako nijifunze japo hekima na busara ulizo nazo. Mungu akulinde ili jamii yako ifurahie kile ulichojaliwa. Inshaallah.
@noelngowitechnicalsolution6 күн бұрын
Kazi nzuri mhandisi
@edwinjhilbajojo2429Ай бұрын
Dah,,,hongera sn mheshimiwa,,, huu ndo uzalendo wa kweli
@marthagodson44475 күн бұрын
Nakumbuka korogwe jaman kila jumamosiiiii Mungu akutunze mtu wa Mungu
@deogratiusmasagaАй бұрын
Hongera Sana za siku nyingi Sana tuliishiwote Arusha pia nilifanya kazi nawewe za ufundi
@nicodemaslema9110Ай бұрын
Umeongea madini sana. Thank u
@georgenyamongo4622Ай бұрын
I really like this guy ..hongera sana mkubwa🎉
@ShabaniButangaАй бұрын
Mungu ni Mwema, Hakika atakubariki,sema amin, sema tena amina,
@mwitajoseph8315Ай бұрын
Big up sana mzee robert mteja wetu wa dhamani
@ednaMsuya-zu5khАй бұрын
Hongera sana Kiongozi, wewe ni mfano wa kuigwa, Mungu azidi kukufanikisha.
@LameckKashensheАй бұрын
Nashukuru alifanya kazi na sisi pale Korogwe wakati wa kufanya mradi wa umeme wa kijamii . Alikuja kuzindua pia 2017.
@Jackson-NovatАй бұрын
Hongera sana Kiongozi. Kupitia mazungumzo haya yapo mengi ya kujifunza.
@clemencekatobesi7737Ай бұрын
Amenikumbusha columnist mmoja mahiri miaka ya 1980s kwenye gazeti la Sunday News aliitwa Uledi Mwasakafyuka na article yake kuhusu maisha baada ya kustaafu mambo yanayostaafu ni pamoja na jina mzee, Baba n.k. mnaojiandaa kustaafu msikilizeni sana huyu kiongozi. Uliodhani ni marafiki zako wa karibu wote wanakukimbia , ofa ulizokuwa unazipata kutoka kwao na heshima zinastaafu.
@davidndyamukama3148Ай бұрын
All the best ex RC wangu
@justussebastian4779Ай бұрын
huyu mh ni Kichwa ,ahsante sana Mungu akukumbuke na kukuinua tena
@mbolikop6419Ай бұрын
Mhe. Umetupa Darasa Huku. Litawakomboa wengi kutoka kwenye msongo wa mawazo usio wa lazima. #Hakuna kidumucho. Yote ni ubatili, na ubatili mtupu. Tuishi na kumtumainia Mungu tu. Tuishi kawaida hata pale nafasi ama vitato vinapobadilika. Tusijikweze. Masomo ni Mengi mno ndani ya mahojiano haya.
@blessedbahati1437Ай бұрын
High level of wisdom
@swahilitheafricantongue7041Ай бұрын
Geita tumekumiss. Mama Samia akufikirie urud tena
@brysonmandari5694Ай бұрын
Big up mjomba wa Milad Ayo Mungu akutunze
@MfalmeKing1Ай бұрын
Very strategic interview
@FrankTufanyeniniАй бұрын
Kiongozi ameongea points sanaa kwenye uongozi na maisha ya kawaida.
@mashashpastory7467Ай бұрын
Tumemiss uongozi wako hapa GEITA Eng GABRIEL, mungu akulinde.
@kulwijilatogaАй бұрын
Hongera mkuu
@stephanonzingula3623Ай бұрын
Hongera sana Mhandisi umekuwa kiongozi mwadilifu sana
@edson2450Ай бұрын
Mimi ni shahidi kweli , kuna siku akiwa mkuu wa mkoa aliita boda akapanda ikampeleka hapo kwake hata boda aliye mpakia hakujua amempakia RC, Kuna life anaishi simple sana yan kukutana nae anatembea kwa mguu toka zamani ni kawaida. Hongera kwake na maisha marefu kwake.
@nelsonmgaya1490Ай бұрын
Ahsanteni sana Ayo kwa kutuletea mahojiano na huyu Mh.
@saysophyfarm1780Ай бұрын
Nimejifunza jambo kubwa sana, we need more of this kind of people to wave goodbye to poverty
@SalumuSeleman-k6lАй бұрын
Hongera Kiongozi, kuna kubwa sana la kujifunza kutoka kwako
@leandryMmassyАй бұрын
Maneno yako mkuu shule sana kwangu. Ubarikiwe.
@sir_ENOCKMACHAАй бұрын
Kwakweli mzee wangu Robert Gabriel,umeongea vyema sana na nimejifunza mengi sana,kikubwa nikwamba unafiki upo kila mahali,hebu ona mtu pengine anahisi akishirikiana kwa lolote naww hasa baada ya ww kutokuwa madarakani kwamba itamletea shida kwenye ofisi duh....Mungu akulinde mzee wangu,wewe ni mpambanaji hodari na nakutabiria hapa kuwa utarudi kwenye mfumo mda si mrefu....shikilia comment yangu
@solomonilukumai8856Ай бұрын
Very high level of integrity
@CelinTonnyАй бұрын
Namjua huyu baba ni mtu mzuri sana
@StephenRuta-u9oАй бұрын
Nakukubali Sana Mzee wangu Mzee wadini hata jumapili ulikuwa kazin tulizunguka Sana Mzee hapa korogwe ila ndy hivyo wazuri kudumu ningumu.
@nyamwizarwabigene4836Ай бұрын
Hongera sana baba mhandisi
@kayumboboykayumbo4260Ай бұрын
MKUU NAIMANI UTAKUJA KUITUMIKIA TENA NCHI HII NDANI YA SERIKALI......NAKUOMBEA KWA HILO, HUNA BAYA MZEE. TUKO PAMOJA MAANA TANGU UTUJENGEE SOKO LA DHAHABU NA ULIPO LIACHA HAKUNA WALICHOONGEZA.... ILA 🙏🙏🙏
@godwinkasaizi882Ай бұрын
Kazini hakuna marafiki kuna watu wa kufanya nao kazi. Marafiki ukiwa nacho/nazo ukiwa huna huto waona. Rafiki yako wa kweli ni wazazi wako na familia yako tu. Wengine ukiwaweka karibu ni wachumia tumbo na Machawa.
@alexaudax-rm8szАй бұрын
Uyu always ni mtu wa maana sana tunampenda sana mtu poa anaga majigambo mchapakazi na ana roho nzuri sana
@kaitabacelestin7778Ай бұрын
Nimejifunza mengi mazuri sana, wazungu wanasema neno Humility....
@fatmaally7252Ай бұрын
Mungu akubariki sana baba nimepata darasa kubwa asante najiona mpyaaa
@alexoxo100Ай бұрын
Wewe ni icon kwangu mheshimiwa..nilikuelewa saaaaaana...hakuna mwananchi wa kawaida wa geita anaekuchukia hakika..uliibadilisha sanaa Geita Injinia
@elizalutiga6287Ай бұрын
Safiiiii saaaana👏👏👏
@jordanmushobozi8115Ай бұрын
Amazing sana ....🎉
@bilymanota9728Ай бұрын
Mheshimiwa robert kwangu mimi huna bayalolote,nakuamin sana,speech yako uliyoitoa nyamagana wakati wanaagwa wandishi wa habari ilinitoa machoz,siku ukirudi madarakan unikumbuke,watu kama wew ni wachache tanzania hii
@OmariSimba-i6oАй бұрын
Namkubali sana huyu mh nilikuwa nahiuliza yuko wapi
@gustavempemba9596Ай бұрын
gabrie nakuita mara 3 mungu azidi kukulinda geita hakukuwa rami uliweza kusimamia fedha za CSR toka mgodi wa geita ukajenga rami,na madaratukapata,ulikuta darasa linajengwa kwa 40milion,we ukajenga 20miln,
@MASHIRAMADHANАй бұрын
Binafsi nakukumbuka ndugu kwa msaada wako tulipo sumbuliwa na watu wa Secom , waliotaka kuchukuwa maeneo yetu ilhali hawana pesa
@mkuluwaukae2221Ай бұрын
Very humble guy
@abramimrisho6680Ай бұрын
Nimefanya naye kazi Korogwe nikiwa mkuu wa shule Lwengera Darajani. Niljifunza mengi na uvumilivu wakati wa ujenzi wa vyumba vya madarasa. Robert alikuwa mfuatiliaji wa kweli ambae hakunali muda
@JanuaryAwedaАй бұрын
Nimenda sanaaaah maisha yako
@devotaaugustino7240Ай бұрын
Jamani baba Maria amenile mzee huyo. Ana hekima sana
@stephanonzingula3623Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze
@claudia1500Ай бұрын
Ulikuwa kiongozi bora sana
@gracemariki4841Ай бұрын
Hongera sana Eng. Mimi nakusikia tuu ila nitakutembelea . Mama Elisante Masaki. Karibu sana Dodoma
@aairraahseif5648Ай бұрын
Nimfano wa kuigwa tena na viongozi!Mungu akutangulie Umekuwa mwenye kujua uongozi ni kama mgeni tu,ila makazi yako ni huku kwenye jamii!umebarikiwa na ubarikiwe zaidi,mkuu wa mkoa lkn uko kawaida sana huezi jua, lkn'hao wadogo sasa wanavyo tutetemesha maofisini nahata mitaani jamani!mmmh
@Omarjumanne-zm9zh26 күн бұрын
Mkuu wa mkoa hodali sana alinisaidia walipotaka kunidhurumu DIT ngozi sangu anasikiliza watu ni hodli sana
@jamesntobo1510Ай бұрын
Kiongozi wa kuigwa keep up kaka eng GABRIEL
@emmanuelademba7919Ай бұрын
HUYU MZEE NAMKUBALI SANA,ALICHOKIFANYA GEITA NIKILE NINACHOKIPENDA KUPANDA MITI ,MJI WA GEITA AMEUPANMBA KISAWASAWA KWA MITI.wamemsahau sijui kwa nini?!
@paul1985izationАй бұрын
Nimefarika sana haya maongezi ya huyu Kiongozi. Mungu azidi kumpa afya njema.
@yudachelango6824Ай бұрын
Hongera sana
@josephmakonga3201Ай бұрын
Kama kwa mwezi unauza kuku 5,000 Hapo ukiuza kwa 6,000 ni kama 30M kwa mwezi.Mzee nimechukua kitu kutoka kwako
@frankmganda2424Ай бұрын
Tuko pamoja mkuu mungu ni mwema
@HamisLeo24 күн бұрын
Taifa km tanzania halitambui watu watenda kazi kwa vtendo bali wanaozungumza sana wanatambuliwa