Huyu jamaa yuko vizuri sana. Anaipenda nchi yetu na anaitakia mema
@MashakaMagesa3 сағат бұрын
Viongozi waliopo hawalijui hilo
@ELIMBOTOREUBEN-sv5qm6 сағат бұрын
Ushauri mzuri sana ukifanyiwa kazi Tanzania inabadilika sana,maua kwako brother 🌹🌹🌹🌹🌹🌹👍👍👍💞💞
@SATZ-news9 сағат бұрын
Huyu jamaa ana akili sana ni kweli wakiondoa Kodi kwa mishahara midogo itarahisisha maisha ya mnyonge... ili aweze kumudu gharama za naisha ni magumu mno kwa raia. Big up sana kaka!! ❤❤❤❤❤❤
@njemamehuna98213 сағат бұрын
Kasoma shule nzurinSt Constantine
@paulremy828923 сағат бұрын
I think everybody in young age should watch this
@DamianUlaya-l7gКүн бұрын
Genius sana awa watu kwenye nchi wapo ila mamifumo mabovu
@visionstudios68046 сағат бұрын
😅😅😅
@hamishassan678410 сағат бұрын
Alhamdullilah kweli nchi ni yetu sote na hili linaonesha wazi kuwa Nchi sio ya wanasiasa bali ni ya wananchi very positive contribution, thax to Mama samia kutambua mchango wa private sector sasa Vision yetu ni maendeleo hatutaki tena mambo ya kisiasa chambilecho makonda( Brother chuga wao ni Mapenze kwa Mama na kutafuta fedha,) " Tanzania ya leo- uchumi mbele mengine tujadiliane mezani tu"Ahante sana Waziri kuwa muungwana kwenye kupokea maoni
@husseinbinde14018 сағат бұрын
Akilii nyingii sanaa
@shabanikililwamuller786819 сағат бұрын
Jamaa yuko vizuri aisee
@ericrukamba68028 сағат бұрын
Jamaa inabidi serikali imtumie kufanya kazi vizuli, very intelligent 👌
@abdulsaleh46408 сағат бұрын
Masha ALLAH fikra nzuri sana brother. You are like your grandfather Mzee Dharamsingh very intelligent and to the point brother liked your mchango.
@bongo3918 сағат бұрын
Mama mpe kiti atatusaidia sana nchi yetu na wahindi ni mahodari katika biashara
@kyaro594516 сағат бұрын
Mama atapigwa kila kona na wanaccm kuingiza makabila serikalini
@magorymara551512 сағат бұрын
Dunia hainaga hizo@@kyaro5945
@EliyaPaulo-uf6hh3 сағат бұрын
Bora aendelee na shughuli zake akipewa nafasi huko selikarini basi tena atanyamazishwa kama yule Mbunge wa Nzega saivi humsikii alivyokuwa anatoa madini kapigwa uwaziri saiv ni kila mara kashfa za upigaji
@joycewilliam289 сағат бұрын
Powerful 💪, ipokelewe na ifanyiwe kazi
@Mimi-wf7mb6 сағат бұрын
Huyubwana yuka vizuri hadi naumia. Akili nyingi sana. Tatizo hii serikali ya ccm haitaki watu wenye akili kama hawa. Itawa frustrate kama si kuwamaliza😢. Halafu amesoma St Constantine, na Birmingham University. Hiyo tu inatosha kumfanya awe hivyo❤❤❤❤
@kikalarashid90038 сағат бұрын
Nimekuelewa, watu wenye mshahara chini ya hata 700,000 wasikatwe kodi, walipe NSSF tu, uwaongezee spending power, kampuni nitaongeza uzalishaji na kazi pia zitaongezeka, serikali wanaweza hata kuongeza 1% pale VAT kama wakiona itakuwa ngumu, ila itasaidia sana , tena sana, sana. Ni wazo zuri sana aisee.
@MkungwaNgwarumbwa19 сағат бұрын
Jambo Tv tunataka mahojiano ana kwa ana na huyu Big brain.
@SATZ-news9 сағат бұрын
Mtafuteni tafadhali❤❤❤❤
@sketchbabu8 сағат бұрын
Kabisa kabisa, tena fasta.
@AlhajiIssa-jb9hr4 сағат бұрын
Tumepokea maombi yenu na tunalifanyia kazi.🎉
@kyaro594516 сағат бұрын
HansPaul you nailed it brother.
@PeterStephen-on4zz8 сағат бұрын
Respect Sana iyo message to the government 🙏🙏🙏🙏👍
@Piscesblair22 сағат бұрын
Thank for your contribution.
@innocentmushi303619 сағат бұрын
Hawa ndio watu wnatakiwa kuwa mawaziri.
@sketchbabu8 сағат бұрын
100%
@rugijofrey36858 сағат бұрын
Education system yetu inatuangusha sana, anaongea point sana
@carlosjames118520 сағат бұрын
🎉🎉🎉 Blessings to this fellow countryman
@Skomi-0nedayyes4 сағат бұрын
Powerful words 100% facts wasipo yachukua ayo maneno itakua serikali yenye full ile laana.
@RamaRama-r4h2 сағат бұрын
Huyu akili Zake, x100,mashallh,Allah amuongoze zaid kwny njia iloonyoka
@deohaule989 сағат бұрын
Well done, such amazing contributions. Serikali yetu imelala sana. Lack of visionary leadership. Pia Wanatakiwa kuweka government pension fund ya taifa kwa kila mwananchi.
@dominicmyumbilwa16578 сағат бұрын
Jamaa Yuko Deep Sana, Mawazo Yake Yasibezwe
@AndulHida-hs5py7 сағат бұрын
Safi sana good Advice, Government should take that advise for this man, thanks
@ibrahimjihadi923822 сағат бұрын
Respect sana ameongea facts sometime tupunguze siasa
@edwardasumwisye301011 сағат бұрын
My 20 minutes of listening to this Man worthy a lot.
@olivernyange2349Сағат бұрын
I too
@mashaurimvungi22322 сағат бұрын
Watu wenye huruma kama Hawa Wanatakiwa sana hebu lifanyieni kazi
@bongo3918 сағат бұрын
Huyo waziri hapo unamuelewesha anaona kama unampotezea mda na anajifanya kila kitu anajua
@OmerSuley-gl7go11 сағат бұрын
Ndio shida ya wasomi wetu wanajikuta sana
@joshuakimambo2765Сағат бұрын
Anyamaze jamaa aongee
@evodiusalex714922 сағат бұрын
On point Point Hanspaul.
@maheitumdintunya292820 сағат бұрын
nimempenda huyu jamaa anahitaji umsikilize vizuri
@michaelpatrick931723 сағат бұрын
Sawa kabisa wawakate wao kodi kwenye akaunti zao
@user-rl1vr1fd1r5 сағат бұрын
kasema vitu si vipya ila kwa uelewa mzuri sana mtu yeyote anaelewa
@HABIBUJUMAALI8 сағат бұрын
Thubuttuu!! linapigwa posho shughuli imeishia apo apo
@kiddyadamsСағат бұрын
Ur very right 😢Hapa ndio utajua secta muhimu wamepewa viazi kuongoza na kusimamia. Tunahitaji watu sahihi sehem sahihi na sio siasa kila mahala.
Hawa ndio wenye house ya Mungu,kwa kuwa na huruma na watu.
@OmbeniLuka12 сағат бұрын
Viongozi wengi wa Tanzania hawajielewi
@PoulinSimon22 сағат бұрын
Dah kiukweli waziri kazidiwa
@njemamehuna98213 сағат бұрын
Sidhani kama wanashindana hapo
@kunyaobelela406223 сағат бұрын
Mawazo kama haya wakubwa wayapokee, wenye mishahara mikubwa wachangie kodi, kufidia hapo, wabunge wapunguziwe posho na mishahara. Wakishindwa kwenye ubunge maana wanaostafu ni wachache, mafao yao walipwe kwa KIKOKOTOO km wafanyakazi wengine wa umma. Wasitunge sheria inayoumiza tabaka fulani tu halafu wao isiwahusu. Haki sawa hadi kwenye kulipwa mafao.
@MalaikaHome-b6r5 сағат бұрын
Arusha stend up🎉 nwamba kabisa
@maximillianchubwa21 сағат бұрын
Kitila ni Professor wa ajabu Sana baada ya kuingia kwenye siasa
@SGVBnewsSAMWEL23 сағат бұрын
Jembe jembe hans poul
@55goodmen2 сағат бұрын
I am amazed to hear that Hanspaul Grp boss ideas amazing ideas young new fresh ideas but my worry is the people is talking to.....i dont feel they match his league of mental sharpness of digital world. I really doubt...starting from their body language mmmmh but amazing ideas to catch so the country can grow.
@GilbertGombeye3 сағат бұрын
Viongozi wetu wa ngazi za juu wanapenda kujinufaisha wao wenyewe na familia zao na wajomba zao na mashangazi zao lo
@mutaji545419 сағат бұрын
Smart minds
@sixtomaduhu795210 сағат бұрын
Huu mwaka nmeanza vzuri kwa kutumia vzuri bandle langu,, haya madini n hatar sana
@amosigese57884 сағат бұрын
Huyu mtu ameeleza mambo kwa nia ya dhati kabisa kuwa anapenda kuiona nchi yetu ktk kiwango bora sana! AKILI KUBWA huyu mtu ikiwezekana apewe kipindi maalum chake awe anaelezea maono yake kwaajili ya nchi hii!
@josephmathayo513922 сағат бұрын
Ndugu umeongea jambo la Maana lakini viongozi wetu wa CCM ni familia ya Chura Kiziwi. Wanaona lkn hawasikii.
@hemedbamja319714 сағат бұрын
Japo kamsifia chura kiziwi kuwa ni brilliant.ana vision na kabadili narrative kwenye investment n business pull
@geeva994 сағат бұрын
Jamaa ana idea lakini anapiga mbizi sana, kwa kifupi serikali imezidisha njaa mindset kwenye mfumo wake wa kukusanya kodi kuliko kufocus na serikali kama unlimited business entity kuzalisha na kusupply within unlimited demand sio kukusanya kama kanisa
@geeva994 сағат бұрын
Chini ya million moja wasilipe kodi
@FintanMkeshi22 сағат бұрын
Yaan bila uagiz hyu anafaa kabisa mushauri wa uchum sema ss tnapeana nafas kwa majina
@SATZ-news9 сағат бұрын
Tatizo ni mifumo ya hawa wazee watamsikiliza na yataishia hapohapo mezani😢😢😢
@remigiuskyaruzi139621 сағат бұрын
Hii nchi ukiacha vyama na itikadi ilitakiwa iongozwe na wenye uwezo hata kama ni mwenye asili ya nchi nyingine kama huyu jamaa. Sasa uchama ndiyo shida
@shamimushittindi141817 сағат бұрын
Lema ataenda the hague
@KassimAlly-xp4dz15 сағат бұрын
CCM
@nyumbanituthegendaheka722212 сағат бұрын
Umesema kweli remigius
@Abuu_Muyassar12 сағат бұрын
Siasa na mpira tumeika mbele kuliko maisha ya watu ndo mana nasema ili uwe mbuge lazima uchaguliwe kwa kufanya mtihani sio kura ndo ukaona nchi yetu tuna viongozi hawajasoma
@gibbs132021 сағат бұрын
CHI CHIM OYEEEEEE MNIPE KURA ZENU MUENDELEE KUWA MASIKINI, MIMI SITAKI WATU WENYE AKILI KAMA HUYU MUHINDI, KAMA UNA JIJUA HAUNA AKILI NJOO NIKUPE KITENGO
@silasmarandu14856 сағат бұрын
Big brain 🧠💪 The man is very smart, ila mawazo ya maana kama haya yanatiwa kapuni yanafungiwa na kofuli kisha funguo zinatupwa mtoni na baadhi ya viongozi wetu
@Msoma5178 сағат бұрын
Tunaomba apewe time ya kuwapaelimu kweny mambo ya uchum
@AlbertSabo-hp3ss19 сағат бұрын
I wonder kama Mh anasikiliza maana anachezea simu tu wakati point za maana zinamwagwa.
@jacobmsigwa38318 сағат бұрын
Kukosa umakini
@OmbeniLuka12 сағат бұрын
Viongozi wetu hawana maono wanajinenepea tu
@MATIKO96409 сағат бұрын
Huyu jamaa anafaa kuwa kiongozi mkubwa wa nchi
@ombeninassary215110 сағат бұрын
Smart
@MariamDilla23 сағат бұрын
Mchangiaji unapiga nyundo mahali sahihi
@JacksonMbites22 сағат бұрын
Tanzania 🇹🇿 inahitaji washauri kama huyu kwa maswala ya uchumi
Prof Kitila Mkumbo tunaomba benki zote ziwakopeshe wafanyakazi wa sekta binafisi
@Macamp31212 сағат бұрын
Hii akili ya huyuu jamaaa inahitajikaa pahaliii kabisaa serikalin aisee ila sema wabongo sasa
@alextanzania11 сағат бұрын
Watamuambukiza uchawa aisee
@kaaakwakutuliaa517923 сағат бұрын
kenya wana 15% ya kodi ccm wana 18% hela inakosa thamani kabisa
@Mzaramo-f2l7 сағат бұрын
Hii ndio faida ya kutoka nje ya nchi hua unaona vt ambavyo sisi tuliokuwepo ndani hatuvioni mda sasa wa kuwapa diaspora nafasi zaidi kuja kushirikiana ili twende mbele, watu wakitoka kweli hawarudi kufanyike jitihada za kuwarudisha kwa faida ya taifa.
@KirumaJohn16 сағат бұрын
Kama ni mtanzania kabisa basi prof, kitila tunakupenda apewe nafasi
@TunauzaSimu-fn2ff11 сағат бұрын
Kimya! Pokeeni vitu hivyo mfanyie kazi. Msiache maelekezo yapite
@GilbertGombeye4 сағат бұрын
Mishahara wa chini ya laki Tano usikatwe Kodi pia na hizi benki ziondoe ukiritimba wa kuwakopesha sekta binafisi iache huoni ubaguzi
@MariamDilla23 сағат бұрын
Mchangiaji naweza Madai hii naweza kupata namba Yako
@MariamDilla23 сағат бұрын
NCHI hii tuna wasomi lkn hawapo kubadilisha TAIFA hili
@kunyaobelela406223 сағат бұрын
Wachumia tumbo tu
@kwisa489918 сағат бұрын
Watu wengi waliopo serikalini uwezo mdogo
@Leosaviour17 сағат бұрын
Tuna watu waliosoma ila hatuna walioelimika
@AlbertSabo-hp3ss15 сағат бұрын
@MariamDilla is the difference between Education and knowledge. God bless our country 🙏
@KaramaKiumbe2 сағат бұрын
Ongeeni kiswahili
@kwisa489918 сағат бұрын
Waziri anaona akiongea kingereza ndio atakua katoa hoja
@aminielmwasha39948 сағат бұрын
😂😂😂
@aminielmwasha39948 сағат бұрын
😂😂😂
@joyceKingu20 сағат бұрын
Ni kweli mfumo wa elimu uangsliwe upya.watoto wafundishwe finance and business education tangu primary. Halafu vyuoni wote wafundishwe entrepreneuship. We need hands on education Mfano ujerumani. Agtivucture vilevile tangu ptimary ns secondary. Yawe masomo compulsory .
@Leosaviour17 сағат бұрын
😂😂kaka unakili timamu kweli kwaio watu wasome uchumi tyu aisee we have no way to escape science uchumi its also about assumption but science is real german your talking about it developed due to science dvt
@SamElis-fl5ri10 сағат бұрын
well said sister
@juniorbonta83617 сағат бұрын
Akili kubwa
@HashimMuhombo7 сағат бұрын
Hii kichwa ina madini sana hii
@GilbertGombeye4 сағат бұрын
Na hii lugha ya kiswahiliswahili iondolewe mashuleni Haina faida youote
@kaaakwakutuliaa517923 сағат бұрын
wenye akili wapo njee ya viti 😂😂😂 ndo wapo kwenye viti
@OmbeniLuka12 сағат бұрын
Eliinu ya Tanzania. Haiwasaidii watanzania inwapoteza watoto wetu muda na ada bure
@fauzibinzoo65637 сағат бұрын
Hapo namuona waziri wa fedha anasonya kuhusu mshahara kwanzia laki7 usikatwe kodi😂
@KevoMushi9 сағат бұрын
Hapo kwenye mshahara wa laki 5 mtu anakatwa kodi nimeikubali
@careensamson21 сағат бұрын
Anae ambiwa kwanza aelewi huyu mkumbo hamna kitu
@rudiaissa7 сағат бұрын
Hadi raha kumsikiliza huyu mdau
@piuskusenge-jf2ob9 сағат бұрын
Wazungu wamejua jinsi ya kuwatumia hawa viumbe
@SATZ-news9 сағат бұрын
Mundelezo tafadhali. Hii ilitakiwa uwe mkutano na mawaziri wa inchi😢
@kaaakwakutuliaa517923 сағат бұрын
wengine sijui wanatokea wapi, wananchi wote walipe kodi sema kodi inatakiwa ishushwee tena ishuke 10%watu wafanye biasharaa kodi isiwe hindering factor
@noelyhaule569521 сағат бұрын
jamaa anafanya alio kaanao ni vilaza😂😂😂
@mutaji545419 сағат бұрын
😂😂😂
@JK-uq1tv10 сағат бұрын
Huyu jamaa angepewa hata kuwa mshauri wa Rais Ikulu ktk maswala ya uchumi wa Nchi
@DamianUlaya-l7gКүн бұрын
Elimu yetu imetufanya maskin inauma sana
@vumbaboyjr9 сағат бұрын
Sio kosa lako kaka. Ni mifumo ilisha andaliwa iyo tangu ujukalikani.
@AlotfTripleage11 сағат бұрын
Apewe medali ya uamsho....
@OscarSwai-uz7qr3 сағат бұрын
🧠🤝
@HajiMgwami7 сағат бұрын
KUNA WATU HAPA WANAISHABULIA SERIKALI KWA MAONI YA HUYU JAMAA, WAKATI SERIKALI NDIO IMEANDAA MDAHALO HUO ILI KUPATA HAYO MAONI YA WAFANYA BIASHARA BINAFSI ILI KUYAFANYIA KAZI..