Da hii channel naikubli kwel 🫡 Tunajifunza mingi changamoto sio ajali bali ikianguka inuka kisha songa mbele
@smartboytz4724 Жыл бұрын
Ipo vizuri
@ezekielgeorge7389 Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@clarasimon7830 Жыл бұрын
Kausha tu..kama uliangalia kuna wengine awakuangalia
@AmbweneMwakisulu-vv1yl Жыл бұрын
Zote kali
@IanPhilipo-rj2hq Жыл бұрын
Mbona content zote unarudia mkuu
@kutokaughaibuni Жыл бұрын
Video zetu zilifutika account ilipohakiwa so kuna watu hawakupata bahati ya kuviona. Episodes mpya zinakuja
@MohamedAhmed-ns5mi Жыл бұрын
Olaaa kuna msela ule marasta ulimuhoji akiwa kijiweni mwamba flani post ile video yake
@stanastana3199 Жыл бұрын
Umekosa content nini,mbona unarudia hii
@kutokaughaibuni Жыл бұрын
Video zetu zilifutika account ilipohakiwa so kuna watu hawakupata bahati ya kuviona. Episodes mpya zinakuja
@stanastana3199 Жыл бұрын
@@kutokaughaibuni ok
@emanuelmgombele8789 Жыл бұрын
Familia ya ughaibuni muwe na amani, kama mjuavyo hii Akaunti video zote za zamani zilifutwa na hatimiliki yetu hivyo hakuna pa kuzipost kwingine hivyo basi tutakuwa tunachanganya content mpya na za zamani. So muwe na amani show zipo za kutosha tukitoka hapo tunaanzia tulipoishia
@kutokaughaibuni Жыл бұрын
Pamoja Daima🤝
@jennifersongani2734 Жыл бұрын
Pamoja sana,kuna wengine wageni walikuwa hawajaona hope wanataenjoy
@nikikerub39410 ай бұрын
Pa1 sana tunakupata br
@asigeleoswald7543 Жыл бұрын
Mtangazaji unaongea sana. Mwache jamaa a flow story