PART 1 USO KWA USO NA YUDA KUZIMU ALIYE MSALITI BWANA YESU USHUHUDA WA EMMANUEL SENAYON

  Рет қаралды 15,324

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Amen BWANA YESU Asante kwa uvunuo huu ,na awabariki wanao Amina
@lilianmajana5032
@lilianmajana5032 Жыл бұрын
I like you voice sister thank you so much for the nice testimony God please forgive me and help us to make HEAVEN AMEN 🙏 🙏🙏🙏🙏
@elizathomas7442
@elizathomas7442 Жыл бұрын
Amen Jina la YESU linanguvu zaidi ya sana
@lucylumasho9317
@lucylumasho9317 Жыл бұрын
Asante na ubarikiwe sana Kwa ukweli,
@elizathomas7442
@elizathomas7442 Жыл бұрын
Ee MUNGU tulikuwa vipofu lkn sasa umetufanya tuone maana kumbe yote yapo kwenye Biblia ,sasa naona nitie nguvu nifike kwenye ufalme wake
@Akinyisafi
@Akinyisafi Жыл бұрын
Ee YESU naomba msaada wako maana bila wewe mimi c chochote nakuitaji ndani ya maisha yangu Amen Amen 🙏 🙌
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Жыл бұрын
Ukimpenda Amna Baba yake atakupenda nao watakuja Kwako na kufanya makao Milele Yohana 14:23 wakishakuja ndani yako watafanya yote bila hata kuomba na utashangaaa.
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Жыл бұрын
Ukimpenda Yesu utashika Neno lake na Baba yake atakupenda nao watakuja Kwako na kufanya makao Milele Yohana 14:23
@jacklinekhayechia4362
@jacklinekhayechia4362 Жыл бұрын
Eeh mungu atusaidie kama mtoto wa miaka 6 ako kuzimu inatubidii kila mara tuishi kwa toba
@ErastusMutua-hs9vt
@ErastusMutua-hs9vt Жыл бұрын
Mungu tuliemu bwana
@jacklinekhayechia4362
@jacklinekhayechia4362 Жыл бұрын
Kabisa hata kama zambi ni nyingi aturehemu kila mara
@dadaz4653
@dadaz4653 Жыл бұрын
Ee Mungu wangu tusaidie
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@StrongWomen-ob8yq
@StrongWomen-ob8yq Жыл бұрын
Mungu tafadhali tuokoe na turehemu mungu wetu hatuezi mbele zako
@namvurasikitu791
@namvurasikitu791 Жыл бұрын
Mungu atupemwishomuzuri. Amena
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu Жыл бұрын
Eeh Mungu nisaidie kuyafanya mapenzi yako,barikiwa mtu wa Mungu nmetiwa nguvu mpya
@UpendoBadi
@UpendoBadi 8 ай бұрын
Ee yesu tusaidie
@emmanulmbembati
@emmanulmbembati Жыл бұрын
Bwana yesu akufunike akutetee kwa kazi kubwa ya shuda hiz tunakuwa kiroho
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 Жыл бұрын
Wesema umeamua kutufundisha Neno lamungu hii habari ya kusema umeenda mbinguni,acheni kutudanganya,bana
@lukasemmanuel4614
@lukasemmanuel4614 Жыл бұрын
Kama wewe unasema unadanganywa kaa hivyo hivyo siku moja utaamini
@LilianSimtowe
@LilianSimtowe Жыл бұрын
Ee MUNGU tusaidie watoto wako, Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Jamn cku hiz nakosa vtu vngi vya mbinguni kwa ajil ya kuwa bz n mikaz YESU nisaidie dunia isinifanye nikusahau bal nikupendee milele.siku zote za maisha yngu😢
@babafranco3366
@babafranco3366 Жыл бұрын
Una maneno mengi sana
@bazurimwemdi9060
@bazurimwemdi9060 Жыл бұрын
Amena
@lucywilson5875
@lucywilson5875 Жыл бұрын
Ee Yesu wangu
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
MUNGU wetu naomba msaada wako niishi maisha matakatifu ya kuku pendeza.
@amandaangie4806
@amandaangie4806 Жыл бұрын
Amen 🙏
@samuelshikari3937
@samuelshikari3937 Жыл бұрын
Kweli Mungu yu mwema asante kwa ushuhuda
@IsayaModest-nx7kp
@IsayaModest-nx7kp Жыл бұрын
AMEN
@prospermatovu3334
@prospermatovu3334 Жыл бұрын
Huu ni uwongo wa wazi watu wanajitahidi kutafsiri biblia kwa kuruongopea walifika mbinfuni na kadhalika sasa kama hukumu alishIona sasa hukumu ipi hiyo ijayo??? Acheni uwongo.
@TabithaJimmy
@TabithaJimmy Ай бұрын
Ona hujui hata kuandika et mbinfuni acha ujinga
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Duu! Yuda! Shetan akamdanganya amsalti BWANA YESU sasa tena mateso yake ni makuu kwa sababu kukubali kwake kumsaliti BW.YESU ss tunaokoka! Ni km ya kuchekesha! ... Tulie tulie tulilie dunia BW.WETU Analia anatulilia pia hadi atakapolinyakua kanisa! Basi tulie naye
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Duu! Yuda! Shetan akamdanganya amsalti BWANA YESU sasa tena mateso yake ni makuu kwa sababu kukubali kwake kumsaliti BW.YESU ss tunaokoka! Ni km ya kuchekesha! ... Tulie tulie tulilie dunia BW.WETU Analia anatulilia pia hadi atakapolinyakua kanisa! Basi tulie naye
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 Жыл бұрын
Amen
@lukasemmanuel4614
@lukasemmanuel4614 Жыл бұрын
Amina Nzuri sana hii
@davidkitumbi6457
@davidkitumbi6457 Жыл бұрын
Wacha uwogo wako wewe unandaganya tu wale awajui, Mwalimu ni mmoja tu Zouloula 100 inaweza kusearch on KZbin ama u search imani mchimbwa, mtasaidika nyote.
@lwijisotweve1225
@lwijisotweve1225 Жыл бұрын
Kwan lazima uccoment ungeweza kukaa kimya ni busara pia
@davidkitumbi6457
@davidkitumbi6457 Жыл бұрын
@@lwijisotweve1225 ni vizuri kuabiwa wezako kuabia wezako kuna ambo hawana huo ufahamu na sio eti niwajiga
@VumiliaMwakamisa
@VumiliaMwakamisa Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@VumiliaMwakamisa
@VumiliaMwakamisa Жыл бұрын
Amina mtumishi
@NellyDeborah77
@NellyDeborah77 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
Kuna part 2 au itahishia tu hapo
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Part 2 ipo
@jesusmercytv2801
@jesusmercytv2801 Жыл бұрын
Duuuuuu Mungu atujalie kufika
@stevenkambindu5914
@stevenkambindu5914 Жыл бұрын
Aliyeninyonga ndiye Yuda Iscariot kitabu Cha Biblia ya kikatoliki kiliandikwa na Yuda Makabayo kama kitabu Cha historian ya mapambano yake aliyofanya dhidi ya Antiokasi Epifanisi alieiondoa serikali ya kiyahudi na kulinajisi Hekalu Kitabu hicho hakikupitishwa kwenye Kanuni ya maandiko matakatifu miaka 200 BC Wakatoliki walikichukua miaka mingi baada ya Kristo na kukifanya kuwa kitabu kimojawapo Cha vile 72 vinavyounda Biblia ya Wakatoliki
@didacenjungani5629
@didacenjungani5629 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na UJUMBE huu!!! Ubarikiwe.
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Жыл бұрын
Uongo wa Mwisho, Yuda hawezi kuwa kuzimu, alimwamini Kristo Yesu Kwa kiwango kikubwa mnoooo, Kama Yuda yuko kuzimu Basi Kristo Yesu hakufufuka na hakushuka kuzimu, lakini kama alishuka kuzimu aliwafungulia wote waliotekwa mateka na Mkuu wa Kuzimu tangu Adam na aliondoka nao Mbinguni.
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 Жыл бұрын
Nimewaza hivyo pia. Hii kidogo napatq shida
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 Жыл бұрын
Mungu sio mtu,hutimiza mapenzi yake yote kama apendavyo.hebu tujifunze kitu unapofanya dhambi mbele za Mungu Aliye hai ,bila kutubu anakuhukumu kwa haki .kumbuka hakuna mtu maarufu mbele za Mungu Mkuu.kumbuka utukufu aliopewa Lucifer,lakini Bwana wa Majeshi .kamlaani na kumtowesha Mbinguni akisubiri hukumu ya ziwa la moto.pia na malaika wengine walio kosa wamewekwa chini ya kifungo Hadi ije hukumu..kumbuka njia za Mungu sio njia za mwanadamu .
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Kifo cha Yuda alijinyonga baada ya kuona mambo yamekuwa ivyo je? Unazani mtu aliye jinyonga anaweza kuingia mbinguni?
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
mtu aliyejinyonga haingii mbinguni pia Yesu alishuka kuzimu kumnyang'anya shetani funguo ya mauti na kuzimu pia alienda kuwahamisha watakatifu waliokuwa wakikaa huko lkn hakwenda kuhubiri na neno linasema baada ya kifo n hukumu wala hakuna shaka andiko linajieleza Yuda yko kuzimu
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Жыл бұрын
Kristo Yesu ni Roho si mwili, unaweza kuwa ndani yake naye ndani yako yaani mkavaana, hakuna adhabu ya kifo Kwa wao waliomvaa Kristo, Yuda alinyonga mwili wake na siyo Roho yake, Roho ni Mungu Mwenyewe na Roho haiwezi kutenda dhambi Kwa maana haiko chini ya sheria kama mwili, ulitambua dhambi Kwa sababu sheria ilisema, wale wote waliomvaa Kristo Yesu hawako chini ya Sheria bali wako katika Amri ya Pendo sawa na Baba, Kwa maana Kristo ndio mwisho wa sheria na Torati yote, ndani ya Kristo hakuna dhambi ,hukumu Wala mauti bali UZIMA WA MILELE KATIKA YEYE na utahesabiwa Haki Kwa KUMWAMINI yeye tu, ukijitenga ukawa nje ya Kristo rafiki yangu Kuna sheria na Torati yote ya Musa ambayo unapaswa kuifuata yote Ili uhesabiwe Haki Kwa jitihada zako za matendo ya kuzitii sheria na Torati yote 633, usipofuata sheria hizi Musa mwenyewe anakushitaki Kwa Baba Yohana 5:45, Tena nawaambia wamelaaniwa wote wategemeao uzima Kwa jitihada za matendo Yao ya mwili huku wakiiacha Neema ya Mungu ambacho ni kipawa chake mwenyewe kiletacho wokovu, wametengwa na Kristo Yesu wote watakaokuhesabiwa Haki Kwa Sheria Wagalatia 5:4 Ndani ya Kristo huwezi kufanya Wala kutenda dhambi Kwa sababu hazipo. Kristo Yesu aliibeba dhambi ya ulimwengu ni mwanakondoo na sadaka iliyompendeza Baba kuondoa dhambi ya ulimwengu Yohana 1:29 na si kuifunika dhambi kama sadaka za mafahali zilivyofanya. Kristo Yesu ni Pendo na REHEMA ya Baba kufanya upya Agano na ulimwengu kutoka kuhesabiwa Haki ya uzima wa Milele Kwa matendo ya sheria na kufanya Agano jipya la kuhesabiwa Haki Kwa IMANI Kwa Yesu Kristo pekee. Baba Hana njia nyingine ya kuukomboa ulimwengu na kuwapa walimwengu uzima wa Milele nje ya IMANI Kwa Kristo Yesu. Yeye asiyeijua dhambi Baba alimfanya dhambi Ili ulimwengu wote uhesabiwe Haki ya Mungu Kwa IMANI 2:Wakorinto 5:21, wewe ndio Haki ya Mungu kupitia Kristo Yesu Wewe ni Mtoto wa pili wa Mungu kupitia Kristo Yesu.
@consolatamakonjo3271
@consolatamakonjo3271 Жыл бұрын
Jesus name is powerful 🙏🙏
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe hizi
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amen
@EsauBakari
@EsauBakari Жыл бұрын
ame andika pat 1
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 105 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 264 МЛН
PART 19 VITA VYA KIROHO USHUHUDA WA ROBERT KENZO ATSUSH
55:59
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 7 М.
Kuzimu ni halisi sio hadithi na majini yapo fatilia ushuhuda huu.
56:28
Huduma ya Madhabahu ya Kristo.
Рет қаралды 19 М.
PART 4 MATESO YA KUZIMU  USHUHUDA WA EMMANUEL SENAYON
35:22
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 8 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 105 МЛН