Amen!Be blessed the servant of God,may the almighty Lord reveal more in you
@user-qd1pl5mf8p8 ай бұрын
Yesu tusaidie kuishi maisha matakatifu tutengeneze bwana
@jeremiavedasto980610 ай бұрын
Nimebarikiwa Mungu atukunzwe
@maryandason18159 ай бұрын
Amen blessed my lovely sister❤...cjakata tamaa at kma nmechelewa 😢. Nitajitaid kusikilza zote mpka Adam alivyokuja Arusha❤
@user-mk9ii7nf5u10 ай бұрын
Amen amen asante mungu tupe hekima na maarifa bila wewe hatuwezi🎉❤
@wilkinssimkoko792010 ай бұрын
Nabarikiwa tuu!! Mungu awainue na azidi kuwatumia.
@Neemakilimba10 ай бұрын
Amen Mungu tusaidie
@zakabonifas21449 ай бұрын
Amina
@user-fl9fe6ru4i10 ай бұрын
Mungu turehemu🎉
@user-fk2qh2yh9t4 ай бұрын
Bwana awabariki,inawezekana kutiya shuhuda hizi namna zinafwatana,ili msomaji ajuwe kama amemaliza shuhuda flani ili apate kuendelesha na nyingine,maana kwangu kuna ugumu kufuatilia shuhuda moja na kumalizisha
@beatricegerald725310 ай бұрын
Amen MUNGU atusaidie
@ktlm878710 ай бұрын
Am blessed
@rabangilbert275710 ай бұрын
Amen
@user-lx3bw1uk3e10 ай бұрын
Emen emen🙏🙏🙏🙏🙏
@njockjanes389710 ай бұрын
Aminaa🇰🇪
@user-ng5tu3io5h8 ай бұрын
nifanye nn ili niokolewe na zambi niwe mmoja wawale walio hulu na dunia nilopo simahala pangu ninapo tembea sio njia yangu wapedw katika bwana tuinuane kiloho
@MarkreidLimited5 ай бұрын
warumi 10.9
@abigaelmokandu89785 ай бұрын
Ndoa gani ambayo inafaa ? Kama mnaishi bila kufunga ndoa ni halali? Pengine hamna pesa ya kufunga ndoa plz naomba kujua
@MarkreidLimited5 ай бұрын
kufunga ndoa sii sherehe wala sii.pesa ni bure kutimiza neno la Mungu na kama umetembea na mke bila.ndoa umezini na kama umezini Tubu kisha acha usinzi hadi kufunga ndoa ndipo utaruhusiwa kulala mke au mume hata kama umelala na mke au.mume bila ndoa kisha ukafunga nae ndoa lazima utubia ule usinzi uliofanya nae kabla ya ndoa isipofanya hivyo hata unaishi nae na umeshafunga ndoa kitendo cha kuacha kutubia usinzi uliofanya nae kitakupeleka jehanamu
@abigaelmokandu89785 ай бұрын
@@MarkreidLimited na je Mimi harufunga ndoa na mume wangu we just met na tukaaza kuishi pamoja kama mke na mume ,je hiyo ni sawa ?? Na nini unastahili ufanye ili mwe mume funga ndoa yaani inastihili iweje jameni
@victorianchimbi8640Ай бұрын
Tubu kwa kuishi na mwanaume bila ndoa halafu nendeni kwa mchungaji mkafunge ndoa, ndoa si pesa hapana mnaweza mkawa hata watu 7 tu na ikawa ndoa takatifu@@abigaelmokandu8978