Asante kwa mafunzo yako mazuri kwenye yutb asante sana
@hellenwafula-j2gАй бұрын
Kumbe kama haubarikiwi uombapo jichunguze Kwa matoleo kisha ubadilishe life style yako.Asante mungu Kwa ujumbe huu
@RoseKageha-kn1uh Жыл бұрын
Asante mtumish nenolako unafundisha vinzuri sana .Hakisikukuwa nimeokoka lakini kupitiya kwafuzo lako naona mkono wabwana ubarikiwe amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NatashaCharles-gv3qb6 ай бұрын
Nibadilishe YESU niwe mwaminifu kwako
@SarahRuhega-bf8zo Жыл бұрын
Ujumbe huu ni WA kwangu kabisaa nisamehe Mungu nibadilishe niwe MWAMINIFU kwakoo YESU 😭😭😭
@leonardobulalu Жыл бұрын
Najiunganisha na ibada ya leo ikatende maishani mwangu kwenda kukataa sauti zote za shetani maishani mwangu naenda kuruhusu sauti ya Roho mtakatifu na ya Mungu maskioni mwangu
@joyceshiyo7257 Жыл бұрын
Mungu naomba uingilie Katie yangu haya ninayopitia
@DebbieWilshire2 ай бұрын
Mwagalwa pacifique asente roho mtakatifu amen akuna mungu kama wewe❤❤❤
@DeboraHavila-iv6fy Жыл бұрын
Amen ubalikiwe Sana mtumishi🙏🙏🙏🙏 uwezo wa mungu uwe juu yako daima...Kuna muda tunaoishinao wanaweza kutuodoa au kutufanya tukawa mbali na uwepo wa mungu hivyo mungu atutengeneze upya na roho mtakatifu atusaidie Sana...amen
@safialuhizo4979 Жыл бұрын
Ahsante Kwa kuniwezesha ehhhh roho mtakatifu Kwa kukamilisha mfungo WA mwezi,,,kesho yangu yaja,,,naahid kutenda matendo ya Baba yangu aliye mbinguni,,,,,Aaamen
@saitafrank4945 Жыл бұрын
MUNGU wangu naomba unisamehe Mimi nimekuwa mtu waambaye sio mwaminifu
@catherinemalikita12 Жыл бұрын
Mtumishe ni kwel kabxa 🥺mungu ni mwema kabxa na ni muhimu katika maisha yetu
@gracehose8840 Жыл бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii niendelee kusimama na Adui Aneshindwa Kwa Jina la Yesu
@alicesidi-sq5yz Жыл бұрын
Eeee mungu wangu nisamehe hili neno limeniona Mimi Manisha yangu kwa kweli mtumishi hizi sauti huwa nyingi sana kwanu naomba mungu wangu nizishinde hizi sauti kwa jina la yesu
@Phillips_ki Жыл бұрын
Amen 🙏
@KabikaKajuwegeye-vr1ol Жыл бұрын
Mm nilikuwa siwez kufunga masaa 24 wala mwez hii ndo mala yang yakwanza tangu nizaliwe...asante Mungu kuna vitu vingi sana naviona ni vigen sana kwang..kimoja wapo funga yang ilikuwa ngum mwanzon ila ilifika hatua nikawa sisikii njaa kabisa nilisha fungua kwa kunywa maji tuu na nikafunga tena yaan nakuwa sina njaa kabisa had nashangaa n mm kwel Mungu mkubwa sna...mafungo ya masaa 24 yalifungua tumbo lang nilikuwa siwez kula chakula kilicho tengenezwa kw ngano ila nilipo funga masaa 24 nikaweza nakula vyakula vya ngano had nashangaa...nilikuwa sili ngano kwa zaid ya miaka 10.Mungu ni mwena na namuomba sana anijalie fungu la kumi.Amen
@diananaswa4842 Жыл бұрын
Hilineno ni langu kbsa ....Asante MUNGU umeniwezesha kumaliza mfungo salama
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kunikumbuka
@gracehose8840 Жыл бұрын
Naomba Roho mtakatifu nisaidie pale nilikofanya Kwa ulegevu nisamehe Baba naomba Rehema na Toba Nisamehe Baba
@ericaugustine80033 ай бұрын
MUNGU ni mwema, namshukuru kwa neema hii sio kila mtu anaipata.
@gracehose8840 Жыл бұрын
Nakushukuru Mungu kuniwezeshe kufikia siku ya 29/9/29 Haikuwa Rahisi lakini Kwa Neema nimefika leo
@Beaazul7 Жыл бұрын
Asante roho mtakatifu🙏🏾🙏🏾msaidizi wetu🙏🏾
@everlinenafula Жыл бұрын
Ee YESU wangu unapo suru wengine nami naomba pia usinipite
@HeritierMwengeGisele5 ай бұрын
❤oh yesu nikumbuke,nataka tena niimarike zaidi
@Marianamariana181 Жыл бұрын
Mungu nakataa maroho yanayoinuka katika maisha ndoyo za ngono na kurudi shule ndoto za kukimbia bila kujua nako ende eeeh mungu haya maroho nayakataa katika jina la yesu 🙏🙏🙏🙏🙏
@tusajigwe7491 Жыл бұрын
Same here Amen
@ellienjohn2753 Жыл бұрын
Amen amen umeniona Roho Mtakatifu na kunifanya nisikilize ujumbe huu umenigusa na mm. Asante MUNGU 🙏
@alicethobias932 Жыл бұрын
Napokea muujiza wangu kwa jina la Yesu
@leilasaimjomba4246 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu nisaidie katika boma langu
@furahamkonda51123 ай бұрын
Mungu nirehemu mim mwanao mkosaji 😢
@PrisidaMnyangali Жыл бұрын
Asante mtumishi huu ujumbe umeniimarisha Sana kiroho
@gracehose8840 Жыл бұрын
Mungu Wangu nakushukuru naomba nisimame ktk nafasi yangu wewe unionekanie
@bestinamaro7645 Жыл бұрын
Awa watu wa matangazo wanaboa 😐 yan kila saaa matangazo khaa
@Feldauc Жыл бұрын
Hakika ujumbe huu ni wangu,, niliweza siku tatu za mwanzo, baada ya hapo shetani akajiinua kwa nguvu isiyoeleweka,, mungu naomba nisamehe na kunitegemeza kwako
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Shetani mbaya Sana na neno lake la eti eee,,,,shindwa ndani yangu ktk jina la YESU
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
MUNGU nisaidie nikutolee zaidi
@gracehose8840 Жыл бұрын
Mungu nakiri kukusikilza maagizo Yako
@EsterMhulula Жыл бұрын
Nisamehe yesu nisamehe yesu,nisaidie kutembea katika njia yako, kwa ujumbe huu!!mahitaji rehema yako, nianze upya kusimama na kutembea na wewe yesu.
@eunicewangecieunicewangeci6359 Жыл бұрын
amen mungu nisaidie nikama hii ujumbe ni wakwangu
@AdrianaSepapha-fn8sy Жыл бұрын
Napatikana geita jaman mafundisho mazur kabisa yananihusu mimi mungu nisaidie
@ziadalumumba6238 Жыл бұрын
Najiungamanisha na ibada hii ya leo Mungu akanibadilishe
@VeronicaMagiri Жыл бұрын
Mungu nisamehe thumbing sangu .naunibariki .asant kwakunipeya nguvu ya kufunga na kuomba
@FelistaMartin Жыл бұрын
ameena hawahi na Wala hachelewi🙏🙏
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi wa BWANA
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Napokea baraka zangu in Jesus name Leo loe
@ProsperNgabirano-pn2xy Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe ibda ya Leo imenigusa sana sikuzote nikipanga kufanya kazi ya Mungu awa nishindwaga malanyingine nasikia mwiri kuchoka au usingizi malanyingine nasikia Roho inataka kunichomola Leo hiyi Mungu anitie nguvu niweze kushinda bila Mungu siwezi
@HakizimanaZabibu-c6dАй бұрын
Mungu nakala mabaya siku
@MwaduduFatma Жыл бұрын
Ameen Mungu atuongoze maan mtumishi unayosema nkwel kabsaa
@shukurusyriack3504 Жыл бұрын
Mungu naomba unisamehe kwakuwa mwiz wa fungu la kumi.nirehem Baba.
@juliuskalawa7860 Жыл бұрын
Roho mtakatifu kaa nami mimi na familia yangu uwe tegemeo letu,Amen
@suzzymussa89 Жыл бұрын
Baba yangu niponyee🙏🙏
@NaomiBahat-bz6ri7 ай бұрын
Eeee Mungu nisawa unikumbuke nami pia
@everlinenafula Жыл бұрын
Pastor MUNGU akupe maisha marefu,naasidi kuku angazia roho mtakatifu
@ziadalumumba6238 Жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi wa Mungu
@SUBIRASENGO-fp1kq Жыл бұрын
AMEEEN AMEEEN, mtumish ubarikiwe sanaa.
@jeskaniyimumpaye4170 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭 asate papa kwamahubiri yareo yamenigusa kweri papa unapo ombea wegine usinisahawu papa asate kwaneno rareo rimenigusa umeneneswa naroho wamungu kweri papa ubarikiwe Sana Sana mungu akupe guvu naujasiri wake am en amene papa ubarikiwe
@DebbieWilshire2 ай бұрын
Asente roho mtakatifu amen
@elizabethkhisa4755 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏nisaidie Mungu niwe karibu na weww
@imeldamussa4124 Жыл бұрын
Amina barikiwa umenitoa shimoni
@graceboke4346 Жыл бұрын
Amen pasta Mungu akubariki sana
@imeldaadam154 Жыл бұрын
Ameeen tubadilike watu wa mungu
@bugomasipola9075 Жыл бұрын
Hili Neno ni langu kabisa.Mungu nisamehe nimekuwa nikisikiliza sauti ya shetani na kuitii.
@JolleetNiazeАй бұрын
Ameeeeeeeeeeen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RahmaKidaly-nw6tn Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa mafunzo yako
@ziadalumumba6238 Жыл бұрын
Ujumbe huu ni wangu jaman 😢😢
@jizemadini5594 Жыл бұрын
From Kenya kilifi town naku pata loud and clear.
@Emerance-i9b Жыл бұрын
Yesu nisadiye 😢😢❤ nioneye uruma
@jacklinegatwiri635 Жыл бұрын
Balikiwa sana mtumishi wa Mungu Asante Yesu kwa kutupa mwalim wa neno lako
@FaidaWilly-du8ts Жыл бұрын
Amen amen amen,jina la yesu kristo liinuliwe.
@gracehose8840 Жыл бұрын
Mungu Baba nisaidie nikupende kwani wewe umenipenda zaidi nakushuku Baba yangu wa Mbinguni
@maseaJoe8676 Жыл бұрын
Asante Yesu Amen Amen Amen
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Oooh my God,,, Nisaidie nisikuweke pending
@feminakidiavai5849 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana
@shazzysymon6835 Жыл бұрын
MUNGU ASANTE KWA YOTE UNETENDA NA KWA YALE UTATENDA UMBALI HUU IMEKUGARIMU AM SOO GRATEFUL. THANK YOU LORD JESUS 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@edinamtemela9214 Жыл бұрын
Ameeeen ameeeen barikiwa sana
@gracehose8840 Жыл бұрын
Mungu Baba Naomba nikukaribie ili uniheshimishe Amina
@gracehose8840 Жыл бұрын
Napokea Baraka zako ktk maeneo yote ya maisha yangu Napokea Kwa Imani
@alicemwaka3762 Жыл бұрын
Tuko pamoja
@victorianjau8856 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa na maneno ya mungu ,mungu anisaidie nibadilike,pale ambapo sipo sawa na mungu,nienende sawa na kusudi lake mungu,barikiwa mtumishi
@PuritieAl2 ай бұрын
Aminaa mutumishi
@melisaawiti867 Жыл бұрын
Amen Man of God ur teachings has bn a blessing to me since day 1 of prayer & fasting. May God blss u abaundanty. U have bn a lyf saver to many souls.
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Amen baba
@felistawambua5615 Жыл бұрын
Amen amen amen.
@irenemlingi4603 Жыл бұрын
Mbona hampokei cm jamn nina shida muwe mnapokeaaaaaaaa
@gracehose8840 Жыл бұрын
Amina Amina Mtumishi Jina la Bwana lihimidiwe ubarikiwe na Mungu mtumishi wa Mungu
@jacklinegatwiri635 Жыл бұрын
Neno la Yesu Kristo nipewe sifa na utukufu Amen Amen 🙏🙏
@gladysnjeri282 Жыл бұрын
Shalom Shalom
@victoriaaman6628 Жыл бұрын
Amen Mtumishi 🙏 🙏
@shelyboyshely2928 Жыл бұрын
AMEN asante Mungu kwa kunijalia afya njema jina lako ritukuzwe milele Amen
@HeldaX8 ай бұрын
Toka niaza kukufutilia nabalikiwa sana
@agathemichelle238 Жыл бұрын
Shalom shalom
@LinetNanjala-ou3fp Жыл бұрын
Amen amen asante Sana Bwana Yesu kwa Neema Na ulinzi katika Maishani Mwangu, barikiwa Sana mtumishi kwa ujumbe Huu mzito .
@katherinasamwel3937 Жыл бұрын
Amen Amen mtumishi ubarikiwe kwa somo
@sophias3334 Жыл бұрын
Mungu wangu kutana na haja ya moyo wangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@BernadethaChigenda-pz5vn Жыл бұрын
Ameen 🙏
@suzzymussa89 Жыл бұрын
Yesu tusaidie sio kwa hakili yangu🙏🙏
@marykisiangani2470 Жыл бұрын
Amen amen,barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa hili neno la mungu