Sijui kama ni mimi tuuu au wapo kama mimi!!!!!?? Napenda interview bila ya sauti ya mziki ili nisikilize kwa utulivu. Kwasababu interview zako ni nzuri sana
@stevewanga9575 жыл бұрын
Hawa ndio wasanii wenye wamekomaa alafu Tajiri lkn hana show off kabisa...... AY interview zake 🔥 🔥 🔥watching from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
@fatmasayid91525 жыл бұрын
AY bro unajielewa Bdozen tunataka watu kama hawa good interview thanks next time bro Fa
@HOODONLINETV5 жыл бұрын
Marehemu Ruge ana mchango mkubwa kwa kila msanii tunaemuona anamafanikio ya kuonekana na yasiyoweza onekana kwa macho ya kawaida.
@monjeshaban11025 жыл бұрын
Bonge la star Ambwene yesaya unajitambua kaka nakuelewa sana
@victorianbenardnachenga68395 жыл бұрын
AY uko vzr sana mwana keep it up bro..!!!
@noelmarapachi18085 жыл бұрын
Asante kwa sauti nzuri leo, Asante kwa matumizi ya Lapels, ila muwe mna fanya balancing ya sauti, leo Dozen sauti yako iko juu kuliko ya Ambwene
@mabulathobias62375 жыл бұрын
The true legend of bongo music
@abubakarabuero51375 жыл бұрын
Nipeni likes za AY from 254 code 001
@mcmwamba81525 жыл бұрын
AY my home boy, I appreciate you
@gasperpatrick70235 жыл бұрын
Hiki kichwa ni moja ya wana hip hop Bongo ambao wameleta heshima kwenye industry ya music wetu. Pia nje music ni bonge la Businessman that's why always your shining
@markostar81755 жыл бұрын
kama unaamini dozen atatoboa kama miladiayo like chini hap
@maxkimaro47405 жыл бұрын
AY amefanya kubwa Tz,anastahili heshima kubwa,ila anakuoji ni kinega amekandamiza wasanii wengi,ila Mungu ni mwema clouds awapangi riski respect for Hip hop
@salumjumah48205 жыл бұрын
bonge la interview big up dozenselection
@bigboyben69325 жыл бұрын
First of all mmependeza.sec Bonge la interview,big up Hamis!third,maswali mazuri na muhimu kabisa and good enough mr Toyoyo mwenyewe kama kawaida anajibu as expected!Shout out to you all man.#dozenselectection is 🔥🔥
@yusuphmussa65895 жыл бұрын
Mazee naskia alufu ya ankraa ankraa Big up 👆 AY
@marygaspary1995 жыл бұрын
Yusuph Mussa :Siyo halufu ni harufu : kaka kiswahili ni Lulu
@MichaelMwakibolwa5 жыл бұрын
Likes Kwa Legendary AY, Tujuane apa🇹🇿+255
@emmamawasi90105 жыл бұрын
Nimemkubali sana kaka mkubwa Ay
@kingndinyo97645 жыл бұрын
My favorite Song All time Bongo Ni Yule 🔥🔥🔥🔥🔥
@tausisande92725 жыл бұрын
King Ndinyo
@fatmachambotanzania93795 жыл бұрын
AY na pesa zake lakin hajionyesho wala hana dharau kila la khery kwako bro
@ayanmilitiatmk1465 жыл бұрын
Sauti ya Ankara 💪💪💪 254 in da house.
@mayagillamussa94865 жыл бұрын
hongera sn b12 hujakata jina la dudu baya
@MRUMEMECOMMRCOILMRUMEMECOMMRCO5 жыл бұрын
B dozen nakukubali sana mzee baba piga kazi mkuu na mungu akubariki ufike mbali # mr umeme.com #mr coil SINGIDA TANZANIA
@samirnaty87745 жыл бұрын
Very nice
@festomapanga47205 жыл бұрын
Bonge moja la Interview salute Sana Bdozen
@j.nyembe38395 жыл бұрын
best interview 👍
@chapaboe33175 жыл бұрын
Sawaaa
@honestyerasto5 жыл бұрын
Bonge moja la interview.
@vanwizzy86585 жыл бұрын
Roll models @AY @ DOZEN
@adamringo96085 жыл бұрын
hajasema lakini! wameachana au bado wapo pamoja. napenda sana niskie kuwa wapo pamoja bado. itapendeza mnoo!
@leggiahennesey42035 жыл бұрын
Toa sauti ya mziki inakela maneno ayasikiki vzr
@afrotv39825 жыл бұрын
Legends
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
Pamoja sana.. interview yaKizazi sana...🙌🙌🙌🙌
@mussayukopoakogjlsultan38165 жыл бұрын
B Dozen Nakukubali Bro
@leilahhassan66215 жыл бұрын
Unakwama sauti tuu
@ayubukalinga94995 жыл бұрын
Nakbar
@gershomndume3085 жыл бұрын
Kaka mkubwa anaongea kistarabu Sana Yani uwezi hamini anacho ongea Ni kweli anamjengo wake uku🇺🇸
@gershomndume3085 жыл бұрын
Thanks 😘😘❤️
@lindatemu80405 жыл бұрын
Kwenye track Hii ya Hammy b Cheki moneymoney. Sharap kwako
@sakinaomar20905 жыл бұрын
Shikamooo AY
@Pedeshee015 жыл бұрын
Sakina Hivi unafanya na mahojiano na msanii,yaani wewe hiyo ni kazi yako boss wako kama hawezi kuleta hata chupa za maji tu kupooza koo,wewe mfanyakazi kwa nn usichangamkie fursa uingie mkataba na kampuni ya maji safi yoyote ya kunywa wakakulipa kila unapofanya mahojiano unaweka chupa japo mbili kwa mbele unatangaza pia biashara yao ehhh?,ni biashara pia hii au vipi kama siyo maji hata juice,dakika zoote nimetizama sikuona kinywaji chochote tuwe wabunifu jamani,huyu kama mfanyakazi wa redio kashindwa hilo je boss wake na yeye hakuliona,kama hakuliona boss au wameshindwa maelewano ya malipo basi jagi tu la kawaida la maji au juice🙏🙏🙏 fursa nyengine siyo tuziangalie.
@mohamedmustafa83365 жыл бұрын
Nakukubali mzee
@abdallashabaani45605 жыл бұрын
Big up Ay
@jofreyjulias37455 жыл бұрын
Wewe sijui naweza kukuzawadia nini Ila nakuombea kwamungu
@Remmy_Remmah5 жыл бұрын
Jamani usieke mziki maneno mengine mpaka nirudilie😐
@shubackmashinga35355 жыл бұрын
Baba ako
@barackshao34975 жыл бұрын
Umetisha bro...
@juliusnyambo43255 жыл бұрын
Sauti iko chini sana
@henryedmund10465 жыл бұрын
Dozen dizaini kama unaiogopa camera... 😃😃
@abdallashabaani45605 жыл бұрын
Nice show
@shubackmashinga35355 жыл бұрын
Baba ako please with
@edwiniedwin35305 жыл бұрын
Legendary #AY
@fidelismyovela28345 жыл бұрын
Interview zna viwango sanaaa B12
@CSWafrica5 жыл бұрын
zeeeee magnifical
@joshuaprincess21675 жыл бұрын
Dozen selection ni 🔥
@eliasakitasa71415 жыл бұрын
Show kali
@zephaniamayeye49025 жыл бұрын
IMEKAAAA VYEMAAAA
@markjuliusdaud80055 жыл бұрын
Bdozen utuoneshe choo jamani ujue nyumba ni choo.
@cashiermombasa27345 жыл бұрын
good stuff motivating and inspirational but also boring coz maswali ni yale yale nothing new
@cashiermombasa27345 жыл бұрын
@Nampenda Jonas when i talk about new question as in something we as fans hatujui coz stori za Ay tz kulala kwa container tunajua about the east coast akina mwana fa,Gk we all know that but we want to know more you feel me.If you have listened to ll Ommy the playlist you'll understand what i mean he does his home work well till you are surprised how he knew all that stuff about a celebrity same applies to Jonii joo wa know you know something new to ours ears that what we want
@cashiermombasa27345 жыл бұрын
@Nampenda Jonas kweli kabisa ila jamaa nimempa shavu mwanzo ndio nkamwambia it was boring just becoz vitu havikua vipya nway kukosolewa ni kati ya vitu muhimu anavyohitaji yeyote yule mwenye njaa ya mafanikio instead nimvishe mtu kilemba cha ukoka na ilihali najua wazi nampoteza.its my hope Mr.Dozen anapitia comments and if he does he is supposed to be happy if he doesnt go through the comments shame on him coz he will never grow meanwhile im a fan of his programme and i follow him alot and im hoping to see change ,peace up...bless up
@cashiermombasa27345 жыл бұрын
@Nampenda Jonas naiwe hivyo
@keagleeagle8215 жыл бұрын
Sauti ya muziki kubwa sana aisee. Inaboa
@nelsonnmwaipaja69805 жыл бұрын
machoni kama watu
@samgaya5 жыл бұрын
Madini ni mengi mnoo
@datikazumari5155 жыл бұрын
ya kizazi sana
@hellenimmaculate59535 жыл бұрын
Tuliozaliwa 1999 tunashangaa tu😂😂
@lykamlaki12185 жыл бұрын
😂
@clementchacha745 жыл бұрын
1997 alikua 15yrs. Na 1996 alikua high school?
@sijakibwana67455 жыл бұрын
Clement Chacha yaa kwa mahesabu ya haraka haraka alianza la kwanza anamiaka 6 akamaliza la saba na 13
@thommyocachu1655 жыл бұрын
Hata mimi amenichanganya hapo. Then 2004 alikua na miaka 22
@liliannyonela11855 жыл бұрын
a bit confusing kwakweli
@youngsunner27635 жыл бұрын
Interview nzur dozen sema next time uweke hata maji kwa ajl ya kulainisha koo,umeskika Mara nyng ukikohoa naamn yangekuwepo maj ingekuwa frsh
@burudanitv8745 жыл бұрын
young sunner maji lzma awe sponsor wa kipindi c uweke maji zeni usilipwe
@youngsunner27635 жыл бұрын
Yeah,,sema anaweza mimina maji akaweka kwenye glass alafu lile kopo la maj lisionekane
@joesimba5 жыл бұрын
24:14 Hahahah eti Kweli we mzee wa commercial
@Bayothomusic5 жыл бұрын
ona hii kzbin.info/www/bejne/b2rYZpiQhrJsd68
@APS7325 жыл бұрын
Ushauri kwa bro Dozen;-Kwanza hongera kwa bonge la kipindi mjini ushauri wangu ni kwa camera man wako ame stick sehem moja upper face tu na remember this is business kuna muda atuonyeshe viatu saa full body pia ukiwa uliza wametupia shingap kwenye kutupia ina waipress watu wa aina mbali mbali coz usifikiri mtu ana amua kuangalia coz ya kitu flan.......ivo yan for more issues 0689736873.
@jemakhalifa68075 жыл бұрын
Fanya interview na mwana falsafa ili na yeye tujifunze kupambana
@nasrakibonye22565 жыл бұрын
Uwe unazima redio unapomhoji mtu
@urunyaraurunyara82205 жыл бұрын
Umesema mwaka 1997 ulikuw na miaka 15 alfu tena apo apo ulkuw high school mmmmhh
@yohanabillges61315 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿AY 💪
@fatumaabdallah99725 жыл бұрын
Alikuwa form 2 ndo kipindi alichotumia ela yake ya matumizi ya shule kuandaa show
@samsilayo69235 жыл бұрын
Makin
@allydisi36565 жыл бұрын
Masauti ya kichoko hyo masound umeweka Dinqi sauzi zenu ni.maqood SNA next ukiweka hyo makelele na mm nakupiqia makelele dinq
@khalidikibakuli1325 жыл бұрын
imekaa pwh sana mmekutana wote vichwa vya shule
@henryedmund10465 жыл бұрын
Ya kiofsaa kabisa
@helenaalfred44135 жыл бұрын
Hiyooo beat Dozen itoee. Msikilizajiii asikilizee sautiiii tuu. Interview haisikiki vizuriiii. Plus maswali yakooo ni common
@ramadhanabdy97345 жыл бұрын
Sauti inakua chini sanaaa
@mandyfitnesstv67385 жыл бұрын
Ongeza volume..!!!
@hamisdaud38645 жыл бұрын
Ay fundi
@bigboyben69325 жыл бұрын
Ramadhan Ramadhan bob unaskizia nn?
@ramadhanabdy97345 жыл бұрын
@@bigboyben6932 sndio
@ramadhanabdy97345 жыл бұрын
@@mandyfitnesstv6738 nshaongezaaaa
@mnyakitz20075 жыл бұрын
Donen uwe unabadilisha studio na sio mbayaa ukiwa unataja kuwa utakuwa studio gani na msanii au mtu furani ...
@vanwizzy86585 жыл бұрын
Mnyaki Tz hawez kubadirisha studio wakati hapo ndo mahali pa kazi n nioffice yake anatakiwa kuibrand
@husseinmushi5 жыл бұрын
Van Wizzy Hapo no WANENE STUDIO
@zefamange72815 жыл бұрын
RUDI NYUMBANI TUKUYU UKAOE HUKO
@christopherjames36845 жыл бұрын
Bro dozen mtafute na bro KBC wa kwanza Unit uzungumze nae..
@hamiswawa58725 жыл бұрын
tajiri
@innocentmushi15505 жыл бұрын
bro kwa connection shikamoo
@smartmussadozen35355 жыл бұрын
zee ay rol modo
@odaxrichard98825 жыл бұрын
d huyu jamaa ana akili mingi sana
@urunyaraurunyara82205 жыл бұрын
Ayo mahojiano mbna km yana udanganyifu ndani yake,
@goodkafaya5025 жыл бұрын
Slunt jomba uko poa
@hassanmkuta50925 жыл бұрын
mzee interview kavu sana hata fursa ya kunywa maji hamna!