Рет қаралды 239,217
#BDOZEN amefanya mahojiano EXCLUSIVE na #DogoJanja kuhusu ukweli wa NDOA yake na #IRENEUWOYA, ni kweli ilifungwa? na stori za kuachana zilikuwa na ukweli? Yote amezungumza kwenye Dozen Selection. Pia amegusia historia ya maisha yake tangu Arusha hadi kuingia DSM na kufanikiwa kimuziki. Karibu utazame.