PART 2:MAAJABU YA PADRE MTEMBEA PEKU/NILIKANYAGA NYOKA HATARI NA NNGE/SIJAWAI KUTUMIA SIMU WALARADIO

  Рет қаралды 76,176

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 140
@georgechilipweli2056
@georgechilipweli2056 4 жыл бұрын
Father Ricardo Maria the founder of Alfagms secondary school Mungu akubariki sana... Wote tuliosoma Alfagms gonga like yako hapa
@buckeykiraba4645
@buckeykiraba4645 4 жыл бұрын
Me cjasom ila nagonga
@georgechilipweli2056
@georgechilipweli2056 4 жыл бұрын
Good 🙏🙏🙏
@berthandollo3227
@berthandollo3227 4 жыл бұрын
Moro wanamuita peku peku
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 4 жыл бұрын
Padre Recardo, Asante sana kwa zawadi ya maisha yako. Umewagusa wengi hasa kwa kuwapa elimu Bora ya dunia na Mungu Tena kwa upendo na gharama nafuu. Umebadidisha maisha ya watu. Mungu akusim amie. Asante sana. Zaburizi nasema, "Heri watakatifu walioko nchini, kukaa nao ndiyo furaha yangu" Jipe moyo.
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Yaani sanaaa
@TimotheoVitaliano-wf8up
@TimotheoVitaliano-wf8up 10 ай бұрын
Asante padre Kwa elimu
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni 4 жыл бұрын
Nimevutiwa sana na father ricardo roho wa Mungu akurinde na akuongoze ktk utume wako Mungu akubariki
@abrahamkasian7024
@abrahamkasian7024 4 жыл бұрын
Ukiwa na Mawasiliano Mengi na Watu utakosa mda wa kuwasiliana Na Mungu Hapo nimwkuelewa
@muslimgirl8053
@muslimgirl8053 4 жыл бұрын
shukrani Padre kwa kutusaidia wote tuliosoma hapo mungu akuongoze kwa kitu
@asiaseif7229
@asiaseif7229 4 жыл бұрын
Dear nasikia watu pale hufaulu wote?
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 жыл бұрын
Ni baraka kwako kutoa shukrani. 🙏
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Tunakupenda sana. Fr Ricardo MUNGU atakutetea kabsaa kwa kweli kazi yako SIO Bure MBELE ZA MUNGU
@perpetuamihayo5672
@perpetuamihayo5672 4 жыл бұрын
Asante Sana baba Padre kwa kuonyesha upendo mkubwa kwa Wana na viumbe wengine.pray for me father.
@mkudembeteni4075
@mkudembeteni4075 4 жыл бұрын
Hongera sana father RICARDO Kwa kweli Kwa Kila ulipo enda kuinjilisha waumini wengi wamevutiwa Na huduma ya Kiroho uliyo kuwa unaitoa Na popote utakapo kwenda naamini una kubalika sana Na ulitupatia huduma Bora sana hata katika Mkoa wa MOROGORO VIJIJINI MGETA Na hongera mtangazaji Kwa maswali mazuri.
@lellovenance5702
@lellovenance5702 4 ай бұрын
Ingekuwa hapa kuna mswahili na kiingereza cha ugoko, yes no ni nyingii ubarikiwe Sana Baba
@nasibumanji7538
@nasibumanji7538 4 жыл бұрын
Hakika ,Ndugu Ricardo, ninatamka kutoka moyoni,nimefanya naye kazi kama mwl,hapa shuleni.Ana uewezo mkubwa Sana wa Akili sijapata kuona maishani.kichwa hicho kimoja anaongoza Mambo mengi sana na yanafanikiwa kwa asilimia100/% Huyu father ana tunu Ya Mungu.Barikiwa Sana ndugu , Ricardo 🙏🙏🤝
@yusterngoye3282
@yusterngoye3282 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie Kila lenye heri
@zenassylvester125
@zenassylvester125 4 жыл бұрын
Ukisikiliza sauti bila kumuona unaweza sema jamaa ni mbongo ... Barikiwa kwa kazi ya Mungu
@mwajumahmkali9557
@mwajumahmkali9557 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na historia yako Farther, naamini kila mtu ana wito wake ubarikiwe Sana Farther
@estherjohn4238
@estherjohn4238 3 жыл бұрын
Mungu bado anawatu anaowatumia kutujulisha kua mungu yupo naukiamua kumtumikia mungu unamtumikia tyu🙏🙏
@gracerwega4236
@gracerwega4236 4 жыл бұрын
Khee FR. Recardo yupo aisee amezeeka sikuhizi doh since Nipo Seconddary Kigurunyembe🙏🏽 Barikiwa sana FR.
@fredichaki4868
@fredichaki4868 4 жыл бұрын
God bless you father recado actually l really appreciate your contribution aspecialy in education l was take my education in your school Alfa Gemes
@kotikashfelister1183
@kotikashfelister1183 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Fr Recardo from Kenya
@sariajeremiah4616
@sariajeremiah4616 4 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza kusikia habari za maisha ya Padre Ricardo, nimevutiwa sana, kumbe hata ukoo wake ni MwaKikoti, kweli aliipenda Tanzania. Maisha yake yote alimtegemea Mungu, hata katika mipango mikubwa ya Elimu, hakuwa na pesa, mikopo wa mfadhili.
@maragaretjannet8355
@maragaretjannet8355 4 жыл бұрын
MAY God Bless the work of.your hands Padre
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 4 жыл бұрын
MUNGU AKULINDEE SANA ...SALAM MARIA KUMI ZA BARAKA KWAKO BABA PADRE
@aliamin6998
@aliamin6998 4 жыл бұрын
Asante padre kwa utume mzuri mungu awe daima nawe
@petervasco6245
@petervasco6245 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba yetu
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 4 жыл бұрын
Wale tuliosoma St. Elizabeth, tunakushukuru sana Mungu akubariki Father!
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 4 жыл бұрын
Nilimaliza F 6, 2006
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, shule ilikuwa nzuri sana.... TUMEFAIDIKA. MUNGU AKULIPE!
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 4 жыл бұрын
"Tukiwa na nawasiliana mengi, tutashindwa kuwasiliana na Mungu" Falsafa Pana ndani yake, Nimekuelewa Baba!
@mdmavoice9253
@mdmavoice9253 4 жыл бұрын
Ip
@oscarboniface9690
@oscarboniface9690 4 жыл бұрын
Hongera sana baba Ricardo 🤝👏 Nimeguswa sana na historia ya maisha yako. Mungu azidi kukuangazia katika utume wako.
@florapeter6919
@florapeter6919 2 жыл бұрын
Mungu Ambariki Fr,Ricardo mwanangu alisoma hapo. Ada ilikuwa 500,000=kwa mwaka ni bording ela iyoiyo kula na kulala hapohapo ni sawa na bure.na huyo mwanangu kamaliza chuo kikuu UDSM.Sifa kw Yesu. M
@alicemdoe8222
@alicemdoe8222 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana fr.Ricado maria.mafanikio ya maisha yangu yanatokana na juhudi zako .Mungu akupe maisha marefu
@leonidaskalumuna8350
@leonidaskalumuna8350 4 жыл бұрын
Nimeguswa sana na jinsi alivyo na doto kubwa ya Kiswahili,Ongera Sana Baba.
@petermahimbo6703
@petermahimbo6703 4 жыл бұрын
Umebarikiwa
@cinterproductscinterproduc8606
@cinterproductscinterproduc8606 Жыл бұрын
Hongera kwa padre wetu akika anatupa neno nzur la Mungu
@matheihaule-tw8yt
@matheihaule-tw8yt Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@husnakinderu7421
@husnakinderu7421 4 жыл бұрын
Mwenyez mung akuweke teacher wang wa Bible father pekupeku
@subirajohn728
@subirajohn728 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Father Ricaldo!
@edithmakwakwa9489
@edithmakwakwa9489 4 жыл бұрын
Barikiwa kwa elimu nzuri inayotolewa Alfagems
@antoniambogolo3628
@antoniambogolo3628 4 жыл бұрын
Amina Sana maana watu tuko bize nasimu kuliko kuws bize namungu
@amatsandhu5708
@amatsandhu5708 4 жыл бұрын
Ubarikiwe father 🙏🏾👏🏻👏🏻👏🏻amen🙏🏾🙏🏾👏🏻👏🏻kwa kazi unayoifanya 🙏🏾🙏🏾thank you father 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾amen🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@tedyjoseph5178
@tedyjoseph5178 4 жыл бұрын
Hongera sana baba Padre nimekupa bure naomba uwaombee wangu Glory na pio kwani nawapenda sana wafransinsico wa kapuchini.
@neolifeinternational8267
@neolifeinternational8267 4 жыл бұрын
Hongera sana kwako Father Pekupeku
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Father pekupeku Tumsifu YESU KRISTO Baba MUNGU aendelee kukutunza Baba
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Fr
@msolwasecondary1790
@msolwasecondary1790 2 жыл бұрын
Hongera kwa maisha hayo Mungu ni mwema
@mjoan1975
@mjoan1975 3 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu endelea kumlinda mtumishi wako. 🙏🏽
@petervasco6245
@petervasco6245 6 ай бұрын
Tumsifu yesu kristo Father naomba maombi kwenye familia yetu
@buckeykiraba4645
@buckeykiraba4645 4 жыл бұрын
Anajitoa sana mungu ambariki sana
@petermichael593
@petermichael593 4 жыл бұрын
Amina fother...
@emmanuelmwansoho6914
@emmanuelmwansoho6914 4 жыл бұрын
Nashukuru sana baba
@petermichael593
@petermichael593 4 жыл бұрын
Mungu akubariki baba...
@janecharlessy2435
@janecharlessy2435 4 жыл бұрын
Utume wao kwa Mara ya kwanza walipokuja Tanzania walifikia izazi badaa ya hapo ndiyo wakagawanyika mwingine pomelini mwingine morogoro mungu awape maisha marefu
@leahparasino9061
@leahparasino9061 4 жыл бұрын
Father rikado,nimekumic jamooon
@jescanzema2169
@jescanzema2169 4 жыл бұрын
Father Ricardo Maria😍
@marymnyanyi9221
@marymnyanyi9221 4 жыл бұрын
Oooh Mungu ni mwema nimependa saana kipindi na nimejifunza mambo kadha wa kadha na ku subscribe kabisa mbarikiwe sana
@anethchua4041
@anethchua4041 4 жыл бұрын
Nimependa maisha yako baba
@martinkalolo5796
@martinkalolo5796 4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kwahuyu baba, Mwenyezi mungu azidi kutulinda na akupe afya Njemaaa father
@witomwidisi1214
@witomwidisi1214 4 жыл бұрын
Asante sana Mwalimu wangu akutie nguvu
@witomwidisi1214
@witomwidisi1214 4 жыл бұрын
Umetusaidia sana wewe MUNGU akuongoze miaka Miaka mingi amuongeze
@michaellorunye7697
@michaellorunye7697 4 жыл бұрын
God blessings
@paschalkatwiga2887
@paschalkatwiga2887 4 жыл бұрын
Daaaaah nampata Sana pale nanenane
@Nancywill-998
@Nancywill-998 4 жыл бұрын
Father Ricardo...Padre wa kipekee... hakika ubarikiwe ni mie mwanakwaya ya Parokia yako
@leoaquilline4235
@leoaquilline4235 4 жыл бұрын
barikiwa sana father
@fabiankilato6649
@fabiankilato6649 4 жыл бұрын
Padre mjanja sana, nimempenda. Anajua kuprotect mind yake. Yaani mkurugenzi wa radio alafu hasikilizi radio. 😅😅😅
@mahogomahogo1044
@mahogomahogo1044 4 жыл бұрын
Asante Mungu Kwa Zawadi kubwa ya padre rikardo asante Baba
@valentinajoseph2430
@valentinajoseph2430 4 жыл бұрын
Hakikaa Mungu Awe Nawe Katika Utume Wako Fr.
@geraldlaurent7465
@geraldlaurent7465 4 жыл бұрын
Napenda Sana papa wa Mimi from 2013-2015
@leonardmwasambili38
@leonardmwasambili38 3 жыл бұрын
Ipo cku mungu akupe maisha malefu,utalii ninao fikilia kuufanya c wa mlima kilimanjaro bari ni kwa huyu mtu wa mungu nitajifunza mengi barkiwa sana baba
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 жыл бұрын
Namfahamu saana huyu .Am From Iringa Kihesa, Majembe ,Victoria pale
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 4 жыл бұрын
Nlisoma lugalo so ulivotaja hapo nmekumbuka
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 жыл бұрын
@@fahadfaraj1822 Yes mkuu home sweet home
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 4 жыл бұрын
@@alexlingwendu6780 sio kwetu iringa ila ni place nnyoipenda sana
@francomlasu8979
@francomlasu8979 4 жыл бұрын
kumbe ni mwenzake na shemasi paulo wa pomerin Iringa.asee mbarikiwe sana mnafanya kazi kubwa
@witomwidisi1214
@witomwidisi1214 4 жыл бұрын
Ndiooo
@restutakivamba88
@restutakivamba88 4 жыл бұрын
Alafu wanafanana sana
@chambapamba6785
@chambapamba6785 4 жыл бұрын
Hakika Mungu hakukuumba bure "Kwani umekuwa Role model wangu hasa falsafa yako ya Imani ikizidi na kushindwa kuiongoza inakuwa ni ushirikina" MUngu akubariki sana Padre.
@vailethmtemekele1347
@vailethmtemekele1347 4 жыл бұрын
Utume mwema father🙏
@prisilavallenci975
@prisilavallenci975 3 жыл бұрын
Mnyalu mwenzang karib iringa
@lilianawinoalara371
@lilianawinoalara371 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 4 жыл бұрын
Hahhhh hana Redio afu ni mkurugnz wa radio afu hapend kuskiliz radio mungu azidi kukupa afy
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 4 жыл бұрын
Yan nipo natabasam tu yan hyu padre yani mungu amefanya kitu kikubwa kwake
@marymango9766
@marymango9766 4 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristo Baba
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 4 жыл бұрын
Fluent swahili
@cyprianbernard907
@cyprianbernard907 4 жыл бұрын
😀😀😀😀father bhana
@mpwapwanewstv8204
@mpwapwanewstv8204 4 жыл бұрын
Nimemuelewa sana Fr Recardo
@mwarabuzedone2478
@mwarabuzedone2478 3 жыл бұрын
Namkumbuka sana huyu padre nimetumikia sana misa zake alipokuwa anakuja kanisa la mt kizito kiroka
@josephrobert9803
@josephrobert9803 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@angelalphonce9368
@angelalphonce9368 4 жыл бұрын
Ahaaa akina mwakikoti naona ukukwenyu uyoo
@bossadam2252
@bossadam2252 4 жыл бұрын
Nakujua nishawi kukuona sauzi
@zubeirkiserengo5989
@zubeirkiserengo5989 4 жыл бұрын
Faza RICADO, ALFA MOROGORO.
@josephinebiringanine7113
@josephinebiringanine7113 2 жыл бұрын
Ndio utume uhu . Wewe nimfano wakuigwa. Hasa hasa Napadri ...
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 8 ай бұрын
mwakikoti hahahahahha Fr bana,nilipokuwa nasoma seminari morogoro miaka 14 iliyopita nilikuwa nasikia sana mahubiri yake redio ukweli nadhani sijui bado ipo
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 4 жыл бұрын
Padre wa pekee jaman
@buturlion5384
@buturlion5384 3 жыл бұрын
Padre unakipawa unazungumza kiswahili kizuri.
@arsenimatemu5920
@arsenimatemu5920 4 жыл бұрын
Father, kama unafanyia tafsiri Biblia (ya kikatoliki bila shaka) mbona hutuwekei mtandaoni, maana huko zipo za kiingereza tu na zile za kiprotestanti. Tafadhali sana tuwekee huko.
@milikakinunda1383
@milikakinunda1383 4 жыл бұрын
Saf
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 4 жыл бұрын
Jamani fr.Amandus yuko wapi?ni capuchin
@nembristaiko1882
@nembristaiko1882 4 жыл бұрын
Uwii jamani Father anaanza kuzeeka Mungu ameibariki akili yake aisee
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Sio kwamba Kuna vitu ulivyofuata Tanzania ( Mimi Hawa watu ningumu Sana kuwaamini, Mungu tu ndo anajua
@MultiMbongo
@MultiMbongo 4 жыл бұрын
Mawazo mgando, huwaamini,kivipi,Simu unayotumia,internet ,nguo ulizovaa zinatoka kwa hao usiowaamini
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
@@MultiMbongo siwalikutengenezea mtaala wa Elimu wenye kukudidimiza, ili usiweze kutengeneza hivyo vitu mwenyewe ,lengo waje wakuajiri na pia uwe mteja wa bidhaa zao. Fikiri kabla ya kuwasifia.
@kelvinswai7599
@kelvinswai7599 4 жыл бұрын
Waulize wanufaika wa alfagems school, watu wamesoma hapo bure na leo hii wanaendelea na maisha yao mazuri2
@florapeter6919
@florapeter6919 2 жыл бұрын
Huyu ni padri katoliki kuna mshirika yamapadri bwanaoishi naishi maisha ya chini ili kuwasaidia wengine eanaitwa wafranzisco, wanafanya kazi kwaajili ya kuwapa wagonjwa , wazee, wajane,yatima wasio na kitu wapatekitu mfano mbrahati kuna wazee wanatunza,nawatoto, msimbazi namikoani pia wapo.
@florapeter6919
@florapeter6919 2 жыл бұрын
Mimi mwenyewe ni myaifika naiyo shule kwa mwanangu ada 2011 ilikuwa 500,000=boding kula na kulala kwa mwaka ni sawa na bure naamemaliza chuo kikuu cha UDSM.kipato changu kidogo lakini m wanangu kasoma huyo ni Yesu.wasaidieni wasio nacho.
@gbi380
@gbi380 4 жыл бұрын
Watu wa Mungu mnifundushe tafadhali, kuna uhusiano gani kati ya kutembea kwa miguu na kumtafuta Mungu? au jambo hili kwa mafundisho wa mitume wa Yesu limekaaje?
@lulumutayoba2063
@lulumutayoba2063 4 жыл бұрын
Fr.Ricardo amechagua maisha haya kuishi maisha ya kifukara kwa sababu yeye anasema watu wengi ni fukara na anapenda kushiriki ufukara na wasio na uwezo. Hata kulala halalii kitanda. Anasema pia ni toba kwake.
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 2 жыл бұрын
Fr nitumie kitabu cha zamani cha maisha ya watakatifu
@calisterbosibori151
@calisterbosibori151 4 жыл бұрын
Nkt....tumia viatu
@janecharlessy2435
@janecharlessy2435 4 жыл бұрын
Huyo mwamdemu katokea izazi jmbo la isimani kwa lukuvu ila yupo vizuri kwenye kumbukumbu
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Kwanza gharama mimi sipendi kuchezea pesa.
@seddamwaipungu6566
@seddamwaipungu6566 4 жыл бұрын
Mnyalukolooooo
@deogratiussaru2498
@deogratiussaru2498 2 жыл бұрын
Mimi sipendi kuchezea pesa sigara ni garama nimekuelewa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Eti mwakikoti jamaniiiii
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
84 nina miaka 3 kweli upo miaka mingi Tanzania
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 4 жыл бұрын
Sasa alitaka kuboom majengo ya serikali naomba msaada sijaelewa
@augustusmachumi9338
@augustusmachumi9338 4 жыл бұрын
Mwandishi hajui aina za uraia huyu. By birth by registration etc
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Kumbe lugha ni mapenzi fulani.
@emilianamnenuka1199
@emilianamnenuka1199 3 жыл бұрын
Email yake ni ip jaman naitaka plz
@janjahakimu3947
@janjahakimu3947 4 жыл бұрын
Peku pekuu
@kazimilkazimil8615
@kazimilkazimil8615 4 жыл бұрын
Father uko sawa
@shakilakennedy3114
@shakilakennedy3114 4 жыл бұрын
Pekupeku
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 3,6 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,8 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
BabaJoan
Рет қаралды 17 М.
MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE (muendelezo)
9:43
BabaJoan
Рет қаралды 1,7 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН