Blessd my lovely sister ❤..japonmechelewa na cm mamaa .saah nmerud ten kundin.narudia tena zote za nyuma❤
@dickson18202 ай бұрын
Mungu ni Roho na wamwabuduo umwabudu katika roho na kweli. Basis, mwili huwezi kuokoka na roho bado na roho ndio ubadilisha mwili. Ukiwa mtakatifu rohoni na mwili nao itakuwa mtakatifu,amen.
@maureenmgeni2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atusaidie tuweze kuyashinda yote haya katika Jina la Yesu Kristo. AMINAA Amina
@AfirenAfiren2 ай бұрын
Amen, kwa ukweli nimejifunza, mbarikiwe
@trophywilson72112 ай бұрын
Huwezi Kuokoka Rohoni ukatenda dhambi jamani ,Hapo Sikubali,kwa sababu Moyo na Roho ndiko chemchemi iliko
@jorambranchofmud62992 ай бұрын
Nafuatilia
@Nenolamaarifa2 ай бұрын
Amen
@leontinebinlydi94592 ай бұрын
Amina
@trophywilson72112 ай бұрын
Basilisheni Kichwa cha Habari Hapo Mnataka Kusema Waliookoka Hawako Rohoni maana Yake