PART II: BEN POL ATAJA SABABU KUU ILIYOVUNJA NDOA, ILIKUA WATU 10 TU "TUMEPATA TULICHOKITAKA"

  Рет қаралды 45,611

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@utamuwaleo1970
@utamuwaleo1970 Жыл бұрын
Bonge la interview, Millard u never disappoint.. Ben u'r a genius man.... Vijana tujifunze kwa hili...
@pellestianomasai1220
@pellestianomasai1220 Жыл бұрын
Ben Paul is very smart. He has a very high sense of understanding himself and the World around him.... For him to be Articulate as he is, provides a very good platform for his fans, youths and the World as a whole to learn from his life experiences.... Kudos to you Ben....
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Napenda Ben hakurupuki kujibu maswali which is very good ni akiba ya kesho 👍👌❤
@epiphaniaallute2726
@epiphaniaallute2726 Жыл бұрын
Dah.... interview ngumu sana hii. Hongera sana Ben Paul, umejikaza sana kiume kujibu maswali ambayo wengi naimani wamejifunza na kupata majibu waliyokuwa wanajiuliza. Big up @millardayo
@Raphael99
@Raphael99 Жыл бұрын
Ni goodluck gozbert uyoooo nipeni like zangu🤩🤩🤩🤩🤩
@joshuaedward275
@joshuaedward275 Жыл бұрын
Tunapenda Ko move na watu wote ....ndugu , marafiki .....wakti maamuzi ni yako...hiyo dogo nimeipenda sana
@Witnessvlog
@Witnessvlog 2 жыл бұрын
Migogoro ni kawaida Ben. Hata familia zetu zina migogoro kila siku. Baba na mtoto hawaelewani . Ndoa ni kazi na ni kazi kumpenda mtu hasa ukishajua madhaifu yake. Na hapo ndio watu hukataa tamaa. Ukisema uvunje ndoa kwakila mgogoro utavunja ndoa kila siku. Kumbuka ndoa ni watu 2 waliokutana ukubwani . Ko miaka 3 ya mwanzo ni ngumu kwasabab ni kuadjust na ku accomodate tabia za mtu. Kusema redflags kwenye mahusiano ukichunguza kila ndoa hata zilizo fanikiwa zipo ni vile hawachagua kuangalia vikwazo vilivyotokea kabla ya ndoa. Kiufupi ndoa ni ngumu ni kam tumbo kila siku kulilisha. so It's continued work. You work on yourself as well cos na patner wako ana grow as well. Kifo cha dada na covid it wasn't your faults. Huwez sema mliharakisha na sio bahati mbaya. Et kisa watu hawakuhudhulia😢😢 ndo maana mmeachana? kwani ndoa si watu 2 na mashaidi😢? Ben you should man up na ujue ndoa ni nini. Si wazazi walilidhia ni vile tu situation😢. Ni vizuri pis kuachukua breaks kabla ya taraka. Kupeana nafasi ya kujitakafari . Ndio kama sasa hiv unataka kumrudia lakin haiwezekani😢 I hope you get well soon❤ True love is beating the odds.
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 2 жыл бұрын
Umeongea kweli tu. Mm nimeachwa kwa madhaifu yangu hakuweza kujua km ni madhaifu alizani nafanya makusudi nahata km ilikuwa kusudi nilifanya kwa kumaanisha. Sasa amegundua mengi mazuri kwangu anataka arudi tuwe pamoja lkn nishaolewa. Amebaki anajuta na kujilaum. Kwakujiridhisha amekuwa yupo karibu sana na familia yangu lkn mm na yeye hatuna mawasiliano.
@Witnessvlog
@Witnessvlog 2 жыл бұрын
@@tamemahmad9902 pole na hongera sana. Yes hakuna mtu mkamilifu hata kidogo. Ndio maana ukisema uoe mkamilifu utaoa wake 10 kupata sifa zote unazozihitaji.
@afropatriot7769
@afropatriot7769 Жыл бұрын
Ukiona mwanaume anasema alishindwa unapaswa uelewe kashindwa ,Sisi wanaume hatukubali kushindwa kirahisi lakin ukisikia au ukiona mwanaume kakubari imeisha unapaswa uelewe, Matokeo ya kulazimisha watu kuishi eti IPO siku Mambo yatakua sawa unaweza kuja kuzika mtu na mwingine akaenda jela ,yametokea Sana ,hata hao ambao hawauani wengi utakuta presha na visukari kwa sababu ya kuutesa moyo kwenye mahusiano ambayo yameshashindikana, tufike muda waafrica tuelewe it is okey to divorce kama mambo yamekwama,ili kuruhusu health relationship ,hata kuachana ni kuboresha mahusiano ,this guy is healing inawezakuchukua muda llakin atapona tu
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
@@afropatriot7769 Umesema vyema kaka. Na na sapoti point yako kwa asilimia 100%. Sisapoti violence hata kidogo wala emotional abuse. Ukisikiliza maongezi ya ben Wana issue ya communication ambayo ni issue ngumu. Na nimeandika hiv kwasabab bado anamtaka anerlisa kwa ground. Afu huku anakuja kusema hakuenjoy
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Huyo anakua Mungu,sio uwezo wa kibinadamu Yaani Mungu ametupa Roho wake Ili kutujulisha,kutuongeza! Kwahiyo Ben alikuwa Mungu usiseme binadamu
@redemtamkemwa8222
@redemtamkemwa8222 2 жыл бұрын
I really appreciate BEN PAUL.MUNGU ATAKUVUSHA TUU ni heri kuishi na Amani kuliko kuishi na mateso
@samwelmakanzajr1194
@samwelmakanzajr1194 2 жыл бұрын
Godluck gozbert ametengeneza hyo ngoma
@siamakundi5362
@siamakundi5362 Жыл бұрын
Nmehisi
@Asmaa-nk4ef
@Asmaa-nk4ef Жыл бұрын
Ni kweli
@samuelseverua
@samuelseverua Жыл бұрын
[18:03] Huyo mwanamke mwanahabari anatamani sana kujua vitu personal. Bila mantiki ya uhusika wa tukio husika. Thats Un-proffesional...
@openmindtz
@openmindtz Жыл бұрын
Hapo mwishon umegusa maisha yangu... The woman i hv ni jeur na titi for tat
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 Жыл бұрын
Piga makofi😂😂😂
@fredchui1
@fredchui1 Жыл бұрын
Educative. Long live brother, Ben.
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 жыл бұрын
Allah nakuomba unijalie mume mwengu na baba mwema wa watoto wangu.
@sixbertantonmakoko6047
@sixbertantonmakoko6047 Жыл бұрын
Aombae hupewa
@Tizedicom
@Tizedicom Жыл бұрын
Nenda kwa mwamposa
@yusuphkilua3649
@yusuphkilua3649 2 жыл бұрын
"kuyapa maisha yangu maana" lazima nijifunze kitu katika kila interview ya ben pol this is a genius
@itspatricklucas
@itspatricklucas 2 жыл бұрын
Ben is so humble gadamn it, God bless this guy
@khadijakayuzi8471
@khadijakayuzi8471 Жыл бұрын
Hilo ndilo tatizo la kuzidiwa kipato na mwanamke, mwanamke mwenye pesa na hana lkn hijiamini na dio doa nyingi za mastaa zinateli hapo 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@antidiusegbert5562
@antidiusegbert5562 2 жыл бұрын
Ben is a humble and down to earth . Bottom line she took advantage of his innocence 👍🏾
@lee81721
@lee81721 2 жыл бұрын
Most Narcissists are always humble and innocent but deep down they are lethal. They will always make you look bad
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@FaniTyubu angeandika kwa kiswahili tu....
@leen2733
@leen2733 Жыл бұрын
What is he a baby? so that one can take advantage of his innocence?
@ashakufakunoga4904
@ashakufakunoga4904 2 жыл бұрын
Mafunzo kabla yandoa nimuhimu sana Ben nakuelewa sana
@anithastaford1564
@anithastaford1564 Жыл бұрын
Sijaona kibaya alichoongea, big up ben po, yo one of the kind guys
@tinamlongo3765
@tinamlongo3765 Жыл бұрын
Benpol unabusara sana in your talk
@inversedelcruise676
@inversedelcruise676 Жыл бұрын
Jamaa kaongea kiume sana ila nashangaa milard hajamuekea hata maji.. Dah sio poa kabisaaaaaaa
@frolencejovenary667
@frolencejovenary667 2 жыл бұрын
Pole Beni Paul
@mwalimuwakujitolea2030
@mwalimuwakujitolea2030 Жыл бұрын
Benpol anajibu massaging technically sana na kubakisha akiba ya kesho
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
nime mpenda ben pol
@adamwilliam07
@adamwilliam07 2 жыл бұрын
Tumejifunza mambo mengi sana . Thanx Bro
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Depression ni mbaya sana, Therapy ni muhimu sana.
@augustinekitulo
@augustinekitulo Жыл бұрын
great interview
@tusaradrusia9670
@tusaradrusia9670 2 жыл бұрын
Watu wemgi mna mlaumu benpol lakini izi issue ziko sana kwenye nyumba za watu aswa mwana mke akiwa nakipato cha juu
@jumaally8567
@jumaally8567 Жыл бұрын
Mwanaume wa ukweli ndio huwa hivyo Ben hongera sana na akwende akavimbie wengine huko🙌
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Depression is real, mficha maradhi kifo humuumbua, Bora uliamua kua mkweli
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 Жыл бұрын
Ben nakuelewa Sana,,Yan ben. Huyu dada atakuja kujua baadae kuwa amepoteza mpenz wa kwer
@hiuchionekwa9122
@hiuchionekwa9122 Жыл бұрын
Tulio pitia mtihani huu tumekuelewa
@haniphajerome1753
@haniphajerome1753 Жыл бұрын
Kwa haraka haraka tu kwa kinachoendelea mtandaoni inaonekana mwanamke ndo anamatatizo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Aisee tuwaombee kaka zetu, maana wanawake tunajua ku force sana
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 2 жыл бұрын
Ben pol anatia huruma but kitu ninachoona Padri aliyewafungisha ndoa alikuwa ana Mungu haswa na Uzi wa ndoa Yao ulikazwa haswa hivyo kujitengamanisha kwao ni mpaka waende Kwa huyo Padri awaombee rehema kwa Mungu awafungie yeye ndipo wanaweza achana kila mtu akaendelea na maisha yake Kwa amani According to part 2 hii ya interview Kaka atafute TU mwanamke mwingine aoe rasmi kwa taratibu za Mungu Ili hii laana ya( kuvunjika ndoa) isije jirudia Tena.
@sadasaid4408
@sadasaid4408 2 жыл бұрын
Ben kabadilika kawa na shavu
@peterlaurent5969
@peterlaurent5969 Жыл бұрын
umenenepa benard
@saygeorge970
@saygeorge970 Жыл бұрын
Iv uyo dada mtangazaji uko kuongea kama mchaga anaona swaaaga anatuboa bana ebu ongea kiswahili kinachoeleweka bana acha ukabila bana
@daud405
@daud405 2 жыл бұрын
vijana mjifunze na bado. mnapenda kulelewa .Ben bado unamlilia hela zake pumbavu . you think your handsome wil take u any where
@michellejones3823
@michellejones3823 Жыл бұрын
Anerlisa typing…
@dcmboy
@dcmboy Жыл бұрын
Kaka Ben lov
@tracyglory9804
@tracyglory9804 Жыл бұрын
Sio kila swali unatakiwa kujibu bro. Mengine mute
@mussamsella8560
@mussamsella8560 2 жыл бұрын
Kuna dini haziruhusu talaka na zipo zinazoruhusu talaka,Msingi wa dini kwa mwanadamu ni kukidhi mahitaji yake(mwanadamu) katika maisha yake ya kila siku. Ipo dini imeweka wazi sifa za muoaji na muolewaji .... Ukisikiriza hii stori unapata mambo kadhaa ya ya kujifunza.Kikubwa tuoe/tuolewe na watu wa aina yetu vinginevo utajikuta unaishi maisha yasiyo yako.
@baebaat6929
@baebaat6929 Жыл бұрын
22:59
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 2 жыл бұрын
Ulivyomuacha Ebitoke jee? Malipo hapa hapa Duniani
@MusaNgao
@MusaNgao 2 жыл бұрын
😂😂😂🙌
@joyce55727
@joyce55727 2 жыл бұрын
Alisha sahau😃😃😃
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 2 жыл бұрын
@@joyce55727 aliona Ebi cyo type yake akafata warembo wenye matako makubwa Mungu sasa kamlipia ningekuwa mm Ebi ningecheka kwa heruf kubwa😅
@jamilasalim7165
@jamilasalim7165 2 жыл бұрын
Sikwakunoni huko mnakula Nini jamani
@merianhalibunyoha2629
@merianhalibunyoha2629 Жыл бұрын
Numeejoy untevee akika
@christinajisena2634
@christinajisena2634 2 жыл бұрын
Ebitoke uko wapi ebu njoo na juisi ya miwa (bill kwangu) usikilize kakako anachoongea
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 2 жыл бұрын
Uliingia kwenye Ndoa kabla mahusiano hayajakubali??
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 Жыл бұрын
alivyomalizia mwishoni dongooo ila nimeipenda
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Vijana wa kiume waktz sikuiz mnapenda sana wadada tuwalee kipesa ndio maana hampat heshima ktk kwa wenza wenu, nitafute pesa y kukulisha n bado nikupe mahaba🤔🤔
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 2 жыл бұрын
Sasa hapo kuna ubaya gani? 😅
@daud405
@daud405 2 жыл бұрын
nyie ndo mnataka wanaume handsome .kwani mnalazimishwa na nani
@jastinpastore7003
@jastinpastore7003 2 жыл бұрын
Dada mim nawew nani anampa mwenzie mahaba, a m a man
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
@@jastinpastore7003 kamuulize beni
@shabanimarwa6174
@shabanimarwa6174 2 жыл бұрын
Very true... Ben aliangalia masilah saana kwa yule dada.. coz mdada mwenyew mbibi yule sasa alikua na mvuto gani wa kumshika Ben kama sio mwana aliwaza pesa tuu....
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 Жыл бұрын
Duuuu mtangazaji mashavu kamandimu
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Kwani Ben ni Muislam au Mkristo?
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ben Pol you have to set boundaries, setting boundaries is a form of self - care too, you don’t have to answer those personal questions about your divorce, bro don’t entertain foolishness. Radio and tv presenters in Tanzania should learn how to ask relevant questions when they interview an artist. Please ask Ben Pol about his music not about his divorce!
@lovenessstanley362
@lovenessstanley362 Жыл бұрын
They were both famous and their relationship was so public, you can not blame the hosts for asking those questions because it was ben and anne first who let the public in their everyday's life, so kama wameachana and we are seeing changes we have to ask. And ben being a celebrity doesn't mean we are only interested in his music, we love to hear and see how they live too. Na hao hosts wanafanya tu kazi yao, angekua ben uncomfortable about the questions asingejibu but he was, so take a chill pill n chill
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@lovenessstanley362 there is something which is called privacy you can’t talk about your divorce so openly in the public ! Why that kenyan woman doesn’t talk so openly about her divorce in the public, definitely she is smart and she knows the meaning of privacy
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Muachie mwenyewe, depression is real, itakuaje akiongea ni process ya healing
@lovenessmushendwa1230
@lovenessmushendwa1230 Жыл бұрын
WATANZANIA NINAJAMBO LANGU MUHIMU , NAWEZA PATA CONNECTION YA OFISI YA MILLARD AYO, NAMBA YA OFISI AU MMOJA WAO YOYOTE, MILLARD DM TOKA JULY HAJAFUNGUA HAJAONA
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
nilikuwa naitafuta
@chunanachu2529
@chunanachu2529 Жыл бұрын
Kuna mengi yakujifunza japo vinachekesha lakn sio rahisi kukaa kwenye mahusiano ambayo hayafai
@salimmachila5736
@salimmachila5736 Жыл бұрын
Kwa ufupi jamaa alichoka kukaliwa na mke tajiri mkikuyu... o
@tonygee5680
@tonygee5680 2 жыл бұрын
Kaka hukushikiwa bunduki wacha kuji dhalilisha move on kaka rudi kwa level yako ya kina Ebitoke
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Ben hana mvuto tena
@japhtv9858
@japhtv9858 2 жыл бұрын
Inaonesha BEN alimpenda huyo demu sema demu ni mjeur kwa sababu ya pesa zake
@Mastermind25491
@Mastermind25491 2 жыл бұрын
True,,Ben angempiga mimba tu
@tonygee5680
@tonygee5680 2 жыл бұрын
Umejuaje wewe? Tumsikize x wake upande wake kisha aamua
@levinaasenga2794
@levinaasenga2794 Жыл бұрын
Mbona amjampa ata maji
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Hajapoteza kitu yule bint ndo alipoteza pesa kumpeleka mwanaune madubai s mchezo, mgogo akajikuta Miami kila kukicha kwa pesa za mwenzie 😳
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kutwa kumtajataja x wake vp tena Jamaa inaelekea alikuwa mterezoo pale
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
@@kennethbenjamin275 yn had kero
@cholocaptain1623
@cholocaptain1623 2 жыл бұрын
Frida wa moto
@zabibuking8704
@zabibuking8704 2 жыл бұрын
33:13
@stevenkiswaga1064
@stevenkiswaga1064 Жыл бұрын
Ni mwamba da frida
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wanawake wa Kenya wako tofauti sana na wanawake wa Tanzania , wanawake wa Kenya hawajui kujishusha Labda uwe na uwezo mkubwa wa Kipesha kuliko wewe .
@salehabdalla7773
@salehabdalla7773 Жыл бұрын
Kumbe kwan ww ni mkenya au mtnzania
@michellemachiso4089
@michellemachiso4089 Жыл бұрын
Don't play with kikuyu women...u will end up in a septic tank
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@salehabdalla7773 mimi ni binadamu mkuu , soma hoja yangu mkuu wanawake wa Kenya uwa hawataki upumbavu na upuuzi
@hamismbekae3050
@hamismbekae3050 Жыл бұрын
Therapy kwa Mtanzania au mwa Africa Frida are you mad? Sis, Therapy does not work for Africans my stop kuiga vitu vya wazungu as for you Ben Pol stop kidding yourself ulikonda kwasbb mkwanja ulipunguwa na pia wazaramo walikucheka bro eti Therapy bro please acha uongo mchana mtupu 😏
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 жыл бұрын
Ben aende ampigie maiti Ebitoke akubali kurudiana naye. Baada ya kumtoa Bikra alisepa.
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 жыл бұрын
Ampigie magoti sorry
@saimarmuhsin9578
@saimarmuhsin9578 Жыл бұрын
Nyumba yenu ilikuwa mfano wa nyumba ya buibui hahahaa
@isihakaliyuma107
@isihakaliyuma107 Жыл бұрын
Ni ukweli m2pu aliyopitia mwamba mwanamke akiwa na kipato kwao hata familia Yao hukunyanyasa
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
Banaboyiiii🤣🤣🤣.yan janaume kila siku kuongelea dem huwa sipendi mxuu shobo tu hili jinga la Tz bado linamtaka dem .kwendraaa
@johnngongi4810
@johnngongi4810 2 жыл бұрын
Hicho kipindi kimerecordiwa siku moja sema kimepostiwa nusu nusu na kingine wabongo mnatabia ya kumwona mwanaume anae date na mwanamke mwenye pesa basi mnamsakama sasa unavyomnanga una hisi uko sawa!!
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
@@johnngongi4810 nipo sawa ndio nilishaachana na boya wa hivo akawa ananiongelea kutwa nzima alafu mm nipo kimya mbona amenyooka ameonekana mjinga nakufulia juu.🤭🤭🤭 kuna watu ukiwapenda wanahisi huwez kuwaacha 😂😂😂nilibwaga hakuamin
@Markhomestz
@Markhomestz 2 жыл бұрын
@@estermathias8354hujui lolote funga bakuli Kaoge ukue kiakiri
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
@@Markhomestz vichaa nao mnakoment humu we unaejua umefaidika nn ebu kwanza piga mswaki mxuu😂😂🤸🏽‍♂️🤸🏽‍♂️💃💃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@timoliiisaya3824
@timoliiisaya3824 2 жыл бұрын
@@estermathias8354 we Ni tahira
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Haka kadada mhhhh
@jan6703
@jan6703 Жыл бұрын
Naona kanatoa ulimi sijui maanake nini
@tonygee5680
@tonygee5680 2 жыл бұрын
Very very weak African man 😢looking for sympathy
DUNIA (Ep 37)
22:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 38 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Ben Pol - Nyumbani (Official Music Video)
5:18
Ben Pol
Рет қаралды 537 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН