BEN KAFUNGUKA MASTAA KUSUSIA MSIBA WA BABA YAKE ASHANGAZWA NA ALIYELAUMU KULA MAKANDE "KUKOSA UTU"

  Рет қаралды 18,874

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@wahapahapa3279
@wahapahapa3279 Жыл бұрын
I really like ben pol ni mtu sana Sema watu hawawezi muelewa
@emmanuelmanase9333
@emmanuelmanase9333 Жыл бұрын
Interview imetulia inautulivu maswali yanaulizwa kiuweledi wauliza maswali wanaheshimiana inshot wanapeana nafasi, ♥️
@jacksonmadulanga7121
@jacksonmadulanga7121 Жыл бұрын
Imani ni Bora kuliko dini nimekuelewa benpol
@khalidkamanda8154
@khalidkamanda8154 Жыл бұрын
Masha Allah, Mola ajaalie na wengne wajue dini ya haki
@simbascdailysimbasctanzani2835
@simbascdailysimbasctanzani2835 Жыл бұрын
Wapumbavu sana nyie😃
@azamazam3279
@azamazam3279 Жыл бұрын
Ben jamani pole sana nakuhurumia haukosawa
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Жыл бұрын
Huyu Jamaa hayuko sawa anahitaji maombi Ya Hali ya juuu Me personal nilikuwa nasubiria hilo Swali Kwa hamu sana nijue kuwa Jamaa Ame stand upande upi lkn mpaka yeye mwenyewe mpaka leo hajielewi Anaonekana ni mtu wa kupelekeshwa hana maamuzi yake mwenyewe as a MAN .. Anahitaji msaada for real Ni mbaya sana binadamu ukawa HUJIELEWI Mungu akakusimamie bro
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Ben wewe ni Mkristo (Mungu wetu ni mwema) Amerudi ukristo.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Ben You need Jesus Christ alone Njoo Kwa Yesu! Na damu ya Yesu itakusaidia kutoka kwenye hiko kifungo/covenant
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate Жыл бұрын
Millard msidieni Ben hayuko sawa
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
Huyu kijana ana depression sana
@reneeisaya733
@reneeisaya733 Жыл бұрын
Millard,Frida na Vido ,mkimaliza hiyo interview mpelekeni ben kwa mwana saikolojia akili zake haziko sawa huyu😢.Kweli mapenzi yanaua
@sharmilaoman6389
@sharmilaoman6389 Жыл бұрын
Aseee kuna muda nilifikiria hivyo maana nimemsikiliza mwanzo mwisho akili haiko pw kabisaa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Watanzania ni watu wapuuzi sana yani mtu anaenda kwenye msiba kuangalia chakula daah ina sikitisha sana 😭😭 huyo ni mchawi
@RUCKY_
@RUCKY_ Жыл бұрын
Ben nimuwazi sana nimempenda huyu kaka ni mkweli
@dax_tz
@dax_tz Жыл бұрын
Naisubili Kwa hamu sana
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate Жыл бұрын
Huyu alimpenda sana mwanamke naona akili yake imevurugika
@Manswabu
@Manswabu Жыл бұрын
Huyu jamaa ni anaakili sna
@giselaaloyce5631
@giselaaloyce5631 Жыл бұрын
Huko sawa
@saadamoshi1478
@saadamoshi1478 Жыл бұрын
Wamtoe
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Depression mbaya sana
@seiphomary834
@seiphomary834 Жыл бұрын
Akifa je tumzike kwa iman ipi # ben
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Pole sana Ben kwa kumpoteza babaako offcourse we are the same R.I.P mzee wetu!
@lakylebeauty6501
@lakylebeauty6501 Жыл бұрын
Mmh huyo bint hayuko vizuri kwa interview
@yusuphkilua3649
@yusuphkilua3649 Жыл бұрын
The guy is avoiding to be judged, vido brother you are being judgemental...
@djmofaya9327
@djmofaya9327 Жыл бұрын
Kwa ninavyoelewa msibani chakula ni chakula hapaswi kulalamikia chakula..Hatuendi kula msibani ishu ya kula ni emergency tuu..Tena misiba ya kijijin hata hainaga mambo ya diko..Kikubwa ni kumsitiri tuu Mzee na mambo mengine tuwaachie wanaojua kuongea..Kuna jamii ukianza show off za kitajiri bro unatengwa na wanandugu maana wataanza zile za ufreemason..Mara umemuua Mzee. Mara unawalisha kafara..Tena hata mm ikitokea bahat mbaya nimepata msiba my love sinunui ata chumvi kitakachoandaliwa na kamati ya msiba ndo kitaliwa.
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Жыл бұрын
Vido kiboko 😃 ana kaba kwelikweli 😃
@nurupaje9041
@nurupaje9041 Жыл бұрын
Ben ungeangusha ngombe jamani 😂😂 Baba no mkubwa
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Жыл бұрын
HUYU JAMAA ana IQ KUBWA SANA, SIJUI MAMBO YA NDOA YAKOJE!
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
kuiyongoza shughul siyo mchezo inatakiwa umakin iko nikipaji kingine kuongoza shughul kipaji kingine
@justinebupumula2086
@justinebupumula2086 Жыл бұрын
Iko shida kwanza kama ww kaka mtu hata hujuw ndogo wko unasali au la kwel tayz tyr hlo nazan ulibadl kwa muhemko ya ndoa tu
@zuhuramuyinga5953
@zuhuramuyinga5953 Жыл бұрын
Wanasema kua uyaone ya waja.
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 Жыл бұрын
Napenda interview zenye maswali matamu kama haya tuletee hata msanii mwngne asee
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 Жыл бұрын
Hip hop
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Жыл бұрын
Huyu poti wangu kwenye hili la dini, ameniangusha sana japo kila mtu ana haki ya kufanya anavyoona inafaa.
@ramadhanisalum3548
@ramadhanisalum3548 Жыл бұрын
Wewe shda yko nn yeye kafata haki kaacha batili
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Жыл бұрын
@@ramadhanisalum3548 Soma vizuri nilichoandika
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@ramadhanisalum3548 haki gani acha ufala ww
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Жыл бұрын
@@ramadhanisalum3548 Mbona hayuko muwazi bas anaogopa nini kusema yupo upande upi ?? Kwa ufupi Jamaa hajielewi
@antipascann2797
@antipascann2797 Жыл бұрын
Huyu jamaa hayupo sawa😔
@khalidkamanda8154
@khalidkamanda8154 Жыл бұрын
Labda ww
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Жыл бұрын
Uyu ben akili zaki aziko vizur ndomana simfatiliagi mi sema millad nichama langu ndomana nimejikuta nafungua hi kituko
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Lkn umeview fresh👍
@sizaadolph2287
@sizaadolph2287 Жыл бұрын
Watu huwez shndana nao maan kila mtu atasem lake,ila huwez fata ya mtu mwngn
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Жыл бұрын
@@sizaadolph2287 Nikweli
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Жыл бұрын
@@mrsinia3064 yahhp✌🏻
@calvinjoseph
@calvinjoseph Жыл бұрын
BenPol, alipona kwamba ndoa yake imeghairishwa sana na Padri. Ikabidi amumue kubadili dini chapu ili ndoa isiote manyoya na kupeperuka. Hiyo ndio sababu kuu ya yeye kubadili dini.
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
The worst interview ever Ben pol hajielewi bado yule mwanmke amemteka
@munjy11tutorials
@munjy11tutorials Жыл бұрын
Huyu mwamba kishamalizana na Berry White kwa kutumia wimbo wake bila ruhusa wala makubaliano?
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Kapewa mshiko/bahasha.... huyu mtu anapitia magumu
@dismasmsanganzila95
@dismasmsanganzila95 Жыл бұрын
Anakwepaninihuyo wengi wanabadiri kwaajili ya wanawake ni tamaatu
@ramadhanisalum3548
@ramadhanisalum3548 Жыл бұрын
Acheni malalamiko ya kipuuzi yy kafata haki kaacha batili nyie chukieni Hadi mpasuke pasuke
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@ramadhanisalum3548 matangazo ya nini..au kila anayebadili dini ajitangaze..watachapwa bakora.. kuna mungu anatetewa/kupiginiwa na binadamu,lakini yupo Mungu katika yote, alfa na omega
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@ramadhanisalum3548 haki gani au kujilipuwa ndio haki
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
@@dismasmsanganzila95 ukwer bro mim nachojua mwanamke ndie anaebadili dini kumfata mumewe
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
KWENDAAAA. .! HUKUMTENDEA HAKI BABAAKO NILIKUWEPO KWENYE MAZISHI
@goodlucky8532
@goodlucky8532 Жыл бұрын
😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Kivipi mbona ume kasirika
@jajomc6445
@jajomc6445 Жыл бұрын
Hii ndio sababu vijana wengi wanabadili dini kzbin.info/www/bejne/q4aWl5lpgr18frc
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
YAANI WEWE MUNGU ANAKUONA, PAULO SIO WA KUTOKA BANDA LILE
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
NDIYO tulikula maharage
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Жыл бұрын
Ukiachana na mabaya aliyoyafanya kwenye msiba, pia inaonekana unamchukia mno
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
Mwongo ALIFUKUZA WAANDISHI, POLE KWA MDOGO WAKE ALIMSTIR MZEEE
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
HAKUTAKA WAJE ALIKATAA AIBU, ALIFUKUZA WAANDISHI KWA NGUMI
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
DUNIA (Ep 37)
22:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 353 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
JOHN MBAH OKORO FIRED BY CONSORTIUM
19:43
Capo Daniel
Рет қаралды 633
GB 64 APAGAWA NA USHINDI WA SIMBA, AHOUA AMEZALIWA KUFUNGA
13:13
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 81 М.