Brother lema big up sana pia pole kwa hayo yote.but leo nikipewa nafasi ya kushauli vyama pinzani leo tz naweza kuvishauli vyama vyote pinzan kujifuta katika vyama vya siasa tz kwani matatizo yote mnayo pitia chanzo ni kuto kuwa ccm na haita tokea hata siku moja muwe na aman kwani ninyi mtakuwa wahalifu wa nchi hadi kiyama kisimame cha msingi acheni hivo vyama tuludi chama kimoja maisha yata enda labda hiyo Hali inaweza kuwa na gharama ndogo kuliko hii ya leo
@111dudi2 ай бұрын
Hivi weee Lema ulilia, sema kweli. Shukuru kwa maisha uliyo nayo Tanzania, ni bora kuliko nchi nyingi acha Afrika hata ulimwemguni. Wewe na wenzaki kujitia ati mta uchunhu, waongo, mna udini tuu, ndilo linalo wasumbua. Mtakuja kuivunjia amani nchi yetu kwa tamaa ya vyeo
@reginas18322 ай бұрын
Amani gani tulio nayo?? Huwenda wewe ni mmoja wa wauwaji
@doscakemilembe61342 ай бұрын
Lema mama kaisha sema yeye ni bubu na kiziwi
@111dudi2 ай бұрын
@@reginas1832 tumia busara unapojibu. Leo majambazi ni historia, mabasi yanasafiri usiku. Kariakoo hakuna vibaka. Huoni? Hata upewe nini,hutadhirika
@seneu.21282 ай бұрын
Hichi ndio mnafundishwa mskitini kuwa mumtetee Samia maana ni muislamu mwenzeno. Mungu awasamehe
@MachageChacha-c8kАй бұрын
Uko sawa sana
@DicksonRubondo2 ай бұрын
Mhexhimiwa akika ww nakufananixha na mtaktifu sitefano ataupigwe mawe lakin ukwel unauxema na unajieleza waz xala yetu kwawote tunaoumizwa nakupita ktk mazingira tata tumuombe mungu awajibu. Ka farao wakat wake ulifkia kikomo xembuxe!!
@SalamaJuma-s8e2 ай бұрын
Nyie bwaaa mnao kubaliana na samia mungu Ana wana lema nyny komaeni na watanzania mungu yupo na nyny
@Zuwenamachela2 ай бұрын
Kaa kmy mbwaa wew familia yko iko ulaya half unatudanganya ss mbn hukukaa sasa utakufa mbwa
@KuruthumBilali2 ай бұрын
Subhana llah Alhamdulillah ALLAH AKBAR
@DeboraAmani-d7r2 ай бұрын
Mungu akutie nguvu 🙏🙏
@isaacksika35762 ай бұрын
Ndugu yangu mpendwa lema usilalamike sana. Bali ukisoma biblia kitabu cha Warumi 13:1--5. Utagundua kuwa kuwa mtii kwa wenye mamlaka ni jambo la kimungu. Ila pia tambua hekima niulinzi ukishauri kwa hekima au kukosoa utwala kwa hekima hakuna atae kufuatilia.
@reginas18322 ай бұрын
Mnachukulia maandiko vibaya. Mamlaka yanayoua hayajatoka kwa Mungu
@MzeeNdege2 ай бұрын
saw kaka lema
@aickatesha45422 ай бұрын
Alieskia uyo ndege wa mstuni kwny matunda mazur kaskazini analia nduru
@DittoSylvester2 ай бұрын
Huu ni unabii,tusiubeze!nchi inahitaji maombi .tunasikia kule odvai kuna unyayo unaothibitsha kua Tz ndo Aden!!na ndo sababu Mungu ametupa fumbo la imani akaweka siri kubwa Dunia nzima ya lulu(Tanzanite!)tunahitaji kua na unabii)tusishupaze shingo zetu.
@KuruthumBilali2 ай бұрын
Lailaha illa Allah ALLAH subhana kain kuntu minadhwalimiin.
Natamani hao wanaotetea uovu siku moja nao walie kwaajili ya ndugu zao
@SangadaudiАй бұрын
Kwakweli kwa usemi huu inavunja hamu hata kwenda kujiandikisha wasifikiri watu hawapendi
@KuruthumBilali2 ай бұрын
Lailaha illa Allah ALLAH AKBAR subhana kain kuntu minadhwalimiin.
@veronicanabina33802 ай бұрын
Yaani Mungu anawaona siku zao zitatimia tu mm nilimsikia
@janethpallangyo3855Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MwitaMarato-g4hАй бұрын
pole kaka
@KuruthumBilali2 ай бұрын
Subhana llah
@TandaligimaMatege2 ай бұрын
Nendeni..tu...umutuchafurie..inchi
@TheresiaMsuya-m5n2 ай бұрын
duuuu duniani kunavituko mungu tusaidie
@EstarmarwaАй бұрын
tatizo vilogozi watz wanatuogoza kibabe ila nafin zitaigea
@AkramIbrahim-m6x2 ай бұрын
Ime Kuwa Nongwa Hebu Muacheni Mtoto Wa Mwanamme Mwenzenu Hee Mmemkaa Rohoni
@SimonPaschalMathias2 ай бұрын
Hekima sana
@zakariaCharlseАй бұрын
Du.hatari
@ChrisantJohn-d3lАй бұрын
Sasa hapa anamwambia Raisi au ndugu mtazamaji ? Haya ndugu Raisi unae msikiliza mpe majibu naanza Mimi ... Wewe ungekuwa ndio Raisi ungemjibu nini ?
@starspreandprimaryschools30752 ай бұрын
Ingia kwenye maombi, Mungu anaweza yote
@abdulazizmkondo73502 ай бұрын
Nyie nje ya Tanzania tushawasahau sem hap mnavalishwa nep kila sku Hadith tu ndo n uongo uong
@ndakimanyakenda1519Ай бұрын
Kuwaskiliza hawa wapunbavu kaz
@JoshuaDan-e2dАй бұрын
🎉😢😢😢😢
@batwelimahenge78502 ай бұрын
Mmmmmmm 🙏✔️
@KuruthumBilali2 ай бұрын
ALLAH AKBAR
@PeterMahona-zd3oz2 ай бұрын
Samia anaumbwa wanao mlida pamoja nawelembwa wasiyo penda amani nautulivu wapenda vita umejipanga lakini unamwisho wako nawewe
@MariamuJuma-t8z2 ай бұрын
hii move inaitwaje badae niitfte nikimalza kazi😂😂😂
@gowekogoweko58032 ай бұрын
DUH KUOTA. MIKIA TENAAA?😮😮😮😮😮😮
@GermanaPaul2 ай бұрын
Hebu mwacheni mama yetu,Rais wetu
@AkramIbrahim-m6x2 ай бұрын
Kama Mlikimbia Nchini Kwenu Uy Akawarudisha Halafu Nyie Mlio Rudishwa Mnamfanyia Mambo Ambayo Hayashiki Kumfanyia Ndio Maana Amesema Nimewafanyia Wema Lakini Wao Wameota Mikia
@bornifacecharles22 ай бұрын
Kwaiyo mtu akikufanyia wema ukiona kunakitu hakiko sawa unyamaze tu au
@KostaJoseph2 сағат бұрын
TUNAPOWAAMBIA SAMIA MITANO TENA, TUNAMAANISHA AMAN, UPENDO, MSHIKAMANO, MAENDELEO KWA TAIFA ILA NYIE MNAJITOA FUSE SAMIA MITANO TEEENA
Na huyu asikaguliwe kuwa mbunge kabisa labda apewe uDC kwanza
@gracemairusya29502 ай бұрын
Mtaita maji mma.sasa mbona mnaongea vizuri sasa.mlikuwa mnamxhkoza mama.wachawi nyie chadema.acgeni siasa za uchochezi mlikuwa mnamuona mama mjinga.utasema muheshimiwa rais nyingi sana.
@neyjohn9232 ай бұрын
Nilitaka kucoment lakini nilipoangalia nikakuta sina mkia nimeamua kubaki na comment yangu
@Zuwenamachela2 ай бұрын
Kuwa naadab naviongozi wanaokuongoza hawa wahuni wa chadema saiz yao alikuwa magufuli ndoaliwaweza sasa huyu aliwapa uhuru wa kuongea kufanya siasa zao lkn bado wanamdharau mama anatakiwa awadhibiti Hawa wapumbav
@julianamwalongo60472 ай бұрын
@@Zuwenamachela sasa yuko wapi?
@JaliaBahat2 ай бұрын
Kama mnakosa adabu pumbafu
@leonardmallya79232 ай бұрын
Uchawa bwana
@MajutoElliasi2 ай бұрын
Daaa😂😂
@nurumohammed13102 ай бұрын
Binaadamu kumbeee anaota mkia
@ANGELUSLIJUJA2 ай бұрын
KAMA UNGEMPENDA MAMA YAKO SIUNGEKIMBIA NAE MBONA UKAKIMBIA NA MCHEPUKO WAKO MPUUZI WEWE MMEOTA MKIA PIA AMNASHUKULANI MBINUMNAZOTUMIA NI ZA ZAMANI SANA TENGENEZENI SIASA SAFI AZ CHENI KUTENGENEZA MATUKIO KISHA MNAKIMBILIA MAANDAMANO HUU NI HUUNI
@AkramIbrahim-m6x2 ай бұрын
Mama Sio Malaika Binaadam Kama Walivyo Binaadam Wengine Km Amekosea Mumsameh Kwani Wewe Ktk Dunia Hii Tangu Mpaka Hii Leo Hujamkwaza Mtu Hujamtukana Mtu Hujamfanyia Kitendo Cha Kumuudhi Mtu
@PeterMahona-zd3oz2 ай бұрын
Siwahi kumwita mama nasitomwita mama nasina mpango nimekoswa mamahatakama nitakoswa mama hiyo Bibi
@DorisNgimbwa2 ай бұрын
Cha ajabu tunaumizwa na watanzania wenzetu
@YonaMarco-bb6uq2 ай бұрын
Mheshimu talatibu za nchi. Hii nchi sio ya ccm Wala chadema . Shida yenu nyie chama Cha upinzani mnajiona mpo sawa Kila jambo .
@francisanania-hj3fd2 ай бұрын
Hovyo speech
@veronicaJohn-x4r2 ай бұрын
Kwanini hajafa
@abdulazizmkondo73502 ай бұрын
Hawajkusudia kkuua maan Hun llote na iy serikali hIjatak kuwafny chchte nyny n family zen half ayo umeyatak kima WWE kwan lazm ich unachfnya
@NeemaPaulo-wf3oz2 ай бұрын
Ninyi niwahuni jamaniiiiiii,tuachieni inch yetu na mama yetu
Yaan nyie mnapendwa wa kuuliw tu ww apo ulip sema serekali inawabmbelez unalt ushkj ktk kuvnj aman y Tanzania mumewatek wat kiakl half mnleta huruma dah
@gracemairusya29502 ай бұрын
Mbona una maneno machafu
@FadhiliDolla2 ай бұрын
Yafue na kleensoft yatakate
@ahmedalbalooshi85182 ай бұрын
Ni dharau kubwa
@robertbarnaba2 ай бұрын
Kweli sema ukweli
@AkramIbrahim-m6x2 ай бұрын
Wacheni Nongwan Za Kijinga Huo Ujinga Wivu Chuki Hasada Jicho Allah Akulinde Mama Akunusuru Na Mabaya Yote Kl Mwenye Lake Baya Limrudie Mwenyewe
@soudnassor29562 ай бұрын
Tushakucka wewe lema mlitaka huyu mama mumfanye kama tambara la deki amekaa kimya sana hatujakusikieni kusema Samia ni mtulivu leo mmeelezwa ukweli kidogo mnaanza kupayukwa wakati tukiweka clip zenu mlomsema Samia nyie ndio wabaya
@NeemaPaulo-wf3oz2 ай бұрын
Kwann mlikimbia kama mnaipenda tanzania
@GodyMussa-sc9fj2 ай бұрын
Ila nawewe ni makumbusho kweli
@Cultureupdates-w5r2 ай бұрын
Ingieni CCM mgombee kama wazalendo kwl
@ShabanBhudaga2 ай бұрын
TV
@NeemaPaulo-wf3oz2 ай бұрын
Tena ninyi wahumi tuuuu,chadema mnatafuta kulud kwenye chati mbwa nyie,
@samwelsimon73922 ай бұрын
shenzi wewe tamaa za madaraka
@aickatesha45422 ай бұрын
We ndo shez
@samwelsimon73922 ай бұрын
@@aickatesha4542 rudi shule nyangau wewe hata kuandika hujui kima kama kima wengine tu
@hepsonmboka67762 ай бұрын
Unaweza kukimbia teena bwana!!! Maana sasa mumeanza kuota mikia kuota mapembe na kumfundisha kazi nyie ni akina nanii?? Mnamuonea saana Raisi nyinyi msifundishe kaziii.
@corporatethugsent73802 ай бұрын
Acha mavi
@aickatesha45422 ай бұрын
Ccm usenge mtupu mnafanya umaskini unazidi
@StephenKudaka2 ай бұрын
𝚖𝚙𝚞𝚣𝚒 𝚠𝚠
@NixonJohnson-r4m2 ай бұрын
Nani raisi unanwita mpumbavu ...?? Chunga ulimi wako