MH LEMA KAMA NI HOTUBA BORA ZA NCHI YETU :: HII NAIWEKA SEHEMU SAHIHI ...MAANA UMEJPNGA ..UMETULIA UMEJIPAMBANUA KWA KINA SANA !! UMEONGEA KWA UTULIVU NA HISIA KALI SANA ...nitoshe kusema tu HAYA YOTE MUNGU ANAYAONA YA MWANGANI NA HATA GIZANI eeh Mungu tufungulie njia ..NAA UWA AIBISHE NA KUWAADHIBU WAOVU 😭😭... TUNAAMINI MUNGU UTATENDA JAMBO ILI IWE FUNDISHO KWA WOTE WANAO LIUMIZA TAIFA KWA MIDGONGO YA VYEO VYAO!!😢😭😭
@joycengoda6567Ай бұрын
True
@MACHOYATAI-jk6fuАй бұрын
MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI amwondoe samia madarakani
@peterjr8073Ай бұрын
Mh
@RosinaSenzotaАй бұрын
Wanaotukana kwenye mazungumzo haya ya Godbless Lema,ni mawakala wa lusifa Mungu awasamehe bure hamjui msemalo.
@clouartmichael7296Ай бұрын
Hawa pia wanamtumika na LGBT ndugu yangu Iko waxi na huyu alishahojiw akazungukzunguk kuongea kuwa Yeye si shoga kweny media lakini hawa yakitokea machafuko wanapo pakukimbilia msitetee tu hat Kam serikali inaharibu ,tunapaswa kumuomb Mungu awasamehe na kulisaidia taifa maana vibaraka wa shetani watatumika kutetea Haki lakin wanampango wa kuliangamiza taifa maana hata wao wanauchu wa madaraka .Neno la Mungu linasema .2 Wakorintho 11:14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
@dassustephen731Ай бұрын
Kwa hivyo Ngoja tuone Kati ya nguvu ya Mungu na Uovu.Mungu hajawahi kushindwa.
@GodwinIssackАй бұрын
Amen Amen Amen ❤️ a
@francisjohanes3027Ай бұрын
Ya kweli hayo @@liberatusjackson5045
@mangiclausАй бұрын
Inaongelewa taratibu lakini ina nguvu kuliko kuliko kombora la nuclear
@Rogathe-RogatheАй бұрын
Mnoooo mnooo
@R10_RajabАй бұрын
FAMASIHARA NINI MAMA ASHAKASIRIKA LAZIMA AWE MPOLE
@PriscaPangaАй бұрын
umenifanya nicheke wakati ninamachoz
@PaskaliCharles-pz8dsАй бұрын
Ulinzi wa mungu uwe juu yako mh Lema
@GodwinIssackАй бұрын
Amen Amen Amen ❤️
@abelmbilinyi1262Ай бұрын
Amen 🙏
@methodsilver8445Ай бұрын
) , ::v @@abelmbilinyi1262
@MichaelMushi-xh3fc20 күн бұрын
0:19 0:19 0:22 @@GodwinIssack
@GodfreySospeter-f7rАй бұрын
Mimi sina ulevi na vyama. Naipenda Tanzania, napenda viongozi wazalendo. Hata ndani ya ccm wamo viongozi wengi tu wazuri. Ila kutokana na majambazi walioiteka ccm, hawawezi kutupa hao viongozi wazuri. Wanaweka wao wanaowataka. Ni kama zari tu kutupa Magufuri, baada ya kuona anawabana kakamwondoa wao wenyewe. Acheni kushadadia vyama, wananchi tusimame kama taifa, hii nchi haina amani, mnadanganywa. Unganeni pamoja kuitafuta amani na demokrasia ya haki.
@abelluhende1422Ай бұрын
Inasikitisha na kuumiza sana. Kifupi huyu mama hana uwezo wa kuiongoza nchi amejidhihirisha kwenye hotuba mbovu ambayo imewakwaza watanzania wote ilyowafaa ni polisi peke yao tena hata polisi ni wale tu mambwila wasio na utu.
@haroldtarimo3115Ай бұрын
Ni kati ya hotuba mbovu ambayo rais amewahi kuitoa tangu aapishwe
@hamzakhamis1575Ай бұрын
@@abelluhende1422 hivi tuseme huyu mama hakuna jambo la maana alilolifanya tangia apishwe kuwa raisi wa Tz?.
@Fm-MornStar2014Ай бұрын
@@hamzakhamis1575uovu ufunika mema yote Hamza. Hasa kama unakosa huruma ya watu kupotea na kupoteza maisha. Hakuna kingine kizuri kitaonekana. Kiukweli hio hotuba ilikuwa baya kuliko zote.
@frankangira7909Ай бұрын
Punguza ukal wa maneno,,
@maryfranknamkumba9182Ай бұрын
Very sad Mwenye masikio na asikie 😭😭
@deborahmgedzi632Ай бұрын
Amina
@LeonardLukongolaАй бұрын
Amina
@jeanmusamba8448Ай бұрын
Lema na Heche ni vijana wenye akili nzuri sana wangepata muongozo wa Mungu wanafaa kutuongoza sana
@GodfreyBaritelemiАй бұрын
Shida heche siku hizi kapoa sana sijui kapewa hela
@tatizojoseph8702Ай бұрын
@@jeanmusamba8448 nakubaliana na wewe kabisa ndugu yangu!!!! Uko sahihi kabisa!! Vijana wa kuongoze wapo Nchi hii!!!
@jeanmusamba8448Ай бұрын
@@GodfreyBaritelemi hajapewa hela kaka Huyo Heche ni mtu makini sana he is meditating,
Dah ccm tuitoe madarakani kwa amani PEOPLES POWER ✌️✌️✌️
@Filbert-pe2xmАй бұрын
Hata chama tawala nchini zambia iliwatesa sana wapinzani mpaka kumfunga viongozi ambaye baadaye amekuja kuwa kiongozi mkuu wa nchi , wapinzani msikate tamaa maendeleo ya nchi duniani yameletwa na wapigania haki .one day yes
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Yes, Mungu hawatupi waja wake
@davidlyimo8079Ай бұрын
Mungu yu hai na anakusikia Mh.lema..Hatawapiga kwa upangaaaa
@geofreysimpepo9945Ай бұрын
Mwenye masikio na askie maneno mazito anenayo nabii lema akiwaonya watenda mabaya .😢😢
@GodwinIssackАй бұрын
Hatari mnoo aisee! 😢 Wenzetu wakiwa na ulinzi wa kidola wanajipa U-mungu na Haki ya Kuua! "Ee Jehovah Turehemu Watu Wako Tusio na Ulinzi Kama Wao." 🙏 🙏 🙏
@liberatusjackson5045Ай бұрын
Pore 🙏🙏🙏🙏
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
Lema uko sahihi kabisa ila ile hotuba ya rais ilikuwa hotuba mbovu na ya hovyo kabisa iliyokosa busara na hekima.Wanaoivuruga nchi hii ni chama tawala na viongozi walioko madarakani wasio na utu,uadilifu wala uzalendo.Hawapendi kujenga mifumo imara na inayotenda haki badala yake wanatengeneza mifumo mibovu na dhaifu ya dhuluma,wizi,ufisadi,ubadhirifu,ujsmbazi,ulaji rushwa,ukandamizaji,utekaji,uuaji.Mnaiba kura na kupora uchaguzi halafu nyinyi mnajiona watakatifu. Ww rais huwezi ukasema una maadili na una hofu ya Mungu na kwamba unaongoza nchi kwa kufuata katiba na sheria ya nchi nawakati urais wako uliupata baada ya kuiba kura na kupora uchaguzi wa 2019 na 2020.
@tatizojoseph8702Ай бұрын
Mathew May God bless you and your family!!!❤ 💖 Comment yako !!! You are the greatest thinker!!! Tanzania is so blessed to have you!!!! Maneno yako Mazuri na matamu na yakweli Kabisa!!! ❤❤ Mungu akulinde!!!
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
@@tatizojoseph8702 ahsante
@bahatielias6443Ай бұрын
Kabisa kaka
@GodwinIssackАй бұрын
Mwenyezi Mungu ni Mwema Sana. Very soon Atakuja na Majibu ya Haya Yote.
@josephmwita6012Ай бұрын
this is a prophetic words but god is the power
@UswegeJohn-ov3ymАй бұрын
God bless Lema,nimeiogopa sana hiyo speech yako,naamini Mungu mwenyewe hawezi kunyamaza!!
¹¹1¹¹1¹¹¹1¹¹¹¹¹1¹¹¹¹¹¹¹1¹¹¹1¹¹¹¹111111¹¹¹¹1¹¹¹¹11¹11¹.. C. C11qqq11qq11q1qqw 11
@esthermakelemo2864Ай бұрын
Amina,nakuelewa Lema,unaongea kwaunyenyekevu,Mungu tunaemtumainia Watanzania,hajafa na yupo hai,naimani,Atajibu kwa wakati tena Wala si mbali.
@jamillamarealle5821Ай бұрын
Amina mwanangu Lema,wewe ni shujaa.home sweet home pambana sana.Mambo yatabadilika tu.
@josephkessy5848Ай бұрын
Kweli mh.lema.umeongea.vizuri na kwa.utimilivu na kwa busara juu ya mambo mnayofanyiwa chadema.na kutekwa.
@StevelabaranSeverwaАй бұрын
Mheshimiwa Godbless Lema, tumechoka kunyanyaswa, unamwambia samia ukweli mtupuu, but n kujipanga MUNGU yupo atatulunda Na kututia nguvu CHADEMA kma watanzania
@JeniferPiter-wo3veАй бұрын
Kiukweli lema leo nimeliamachozi nakujiona sii chochote kwenye nnchi yangu daaaa Tanzania tunaenda wap
@MagrethMallya-we8uiАй бұрын
Brother Lema bado tunakumbuka maneno yenye busara uliyomwambia anko, na leo tunaona tena unamwambia mama!!! Looo!!!! ni masikitiko makubwa.
@wilsondavid9741Ай бұрын
Kama Mungu aishivyo Basi ktk hili Tunamuomba Mungu akapate kuonekana kamwe kwenye hili Taifa hatoishi Mtu mwenye kuzifanya Nafsi za wengine zihangaiko, Ninakushukuru ewe mwenyezi muweza wayote, Amen.
@christophermwenda1863Ай бұрын
Kwa kweli nchi inayomwaga damu ni laana kwa Mungu Mh Raisi chukua ujumbe huu ufanyie kazi wananchi hatupendezwi na hii hali tuvae viatu vya wanaoumizwa.
@saidisaidi4502Ай бұрын
Nenda kamwambie magufuli haya yote amkusema wakati mumewenu magufuli yupo
@@saidisaidi4502kumbe na wewe ni shoga sasa mambo mume umeyatoa wapi
@RutinikiGosbertАй бұрын
@@saidisaidi4502kumbe na wewe ni shoga sasa mambo mume umeyatoa wapi
@JosephIsanzu-g1rАй бұрын
Hakika kuna mungu ndani ya huyu mwanasiasa!!
@godfreymikmta5008Ай бұрын
Roho mtakatifu ndie alie kufunulia ayo
@datusonlinetv6099Ай бұрын
Kama pangekuwa na uwezekano wa watu kufufuka mungu angemfufua baba wa taifa ili ajionee taifa alilolipambania waalifu wanavyolivuruga.
@FrenkMushi-i7fАй бұрын
Lemaa mtu nwenye hekima sanaa kijana shupavuuuu km mapambano yaendeleee
@R10_RajabАй бұрын
Unamsikia anapokuwepo kwenye majukwaa huyo unaemwita Ana hekima?Now Mama amekasirika lazima awe mpole
@tatizojoseph8702Ай бұрын
Mh. Wazazi wako hakukoseya kukuita God bless Lema!! Nadhani nitakuwa sijakoseya Kabisa Jina lako halikutoka kwa wazazi wako ni Miujiza ilifanyika toka Kwa Mungu ukapewa jina hilo!!❤❤❤❤
@mwalimulossilamsuya1944Ай бұрын
Huna akili kabisa... Akili zako hazina akili
@Rogathe-RogatheАй бұрын
Umeandika vemaaaa ts really God bless
@TumbweneLwesyaАй бұрын
Ko kumbe duniani tunapita unaogopa nn Sasa wakati wakinanyerere wamekufa wakina mkapa magufuli sinnimipango yenu
@albethoildefonce9117Ай бұрын
Huna akili wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hajasema anaogopa kufa bali anaogopa kufa kwa kutekwa na kuuawa na vyombo vya dola@@TumbweneLwesya
@ifonlyiknew619Ай бұрын
@@mwalimulossilamsuya1944Bumunda Kwenye Ubora wenu😂😂
@Globalpeace123Ай бұрын
Samia ni katili sana samia ataondolewa kwa kura uchaguzi ujao.
@GodwinIssackАй бұрын
Hatari mnoo 😭
@ghalibhalfani4772Ай бұрын
Unajidanganya nano amuondoe labda Mungu apange ila sio binadamu lemon ameongea vizuri sana na kuongea kama kumkumbusha rais ili atengeneze njia kiwepesi ya kuingia tena 2025 na siku zote hotuba za lema huwa anampa njia raisi nini afanye ili aendelea kuwa rais
Amekufa medi juzi kwa kutekwa, yy ni mkirifito? Acha udini, tumia akili@@MACHOYATAI-jk6fu
@MagangaAbdallahАй бұрын
Watanzania karibu wote Tunaridhishwa Na Utendaji Mzuri wa Huyu Mama hususan kwenye ujenzi MIUNDOMBINU Vyombo husika vipo kazini kwa Uchunguzi. Tusubiri.
@MiriamAziz-z5tАй бұрын
BRAVO KOMREDI LEMA....MANENO MAZITO...KUSIKITISHA....LAKINI YA BUSARA NA HEKIMA KWA WATANZANIA WOTE....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.....KWA MH. RAIS SAMIA....MUOGOPE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....SOMA HISTORIA YA VIONGOZI MASHUHURI NA WENYE NGUVU WALIVYOANGAMIZWA NA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....MH. RAIS JIREKEBISHE NA UOMBE MSAMAHA KWA MOLA WAKO NA WATANZANIA WOTE.
@rehema971Ай бұрын
Mungu huwa anasikia naanaona
@FlaviosafariАй бұрын
Hatuwezi kujicompare kwa vifo, tunatakiwa kujicompare kwa maendeleo. 😢
@davidjoseph1143Ай бұрын
Bonge l hoja
@SylvesterKameoАй бұрын
Hakika!
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Wengine wanalinganisha na watu waliotekwa kwingineko. Two wrongs do not make it a right
@frankangira7909Ай бұрын
Rema mungu akuongoze kaka umeongea vizur sana mm sio chadema hata kidogo ila umeongea vizur sana na ni ujumbe mzuri sana kwa mh rais.Apo kwa katibu wake sasa umempatia ujumbe yeye aufanyie kazi mungu amuongoze rais wetu afanye maamuzi mazur na sio ya kudanganywa..
@nicolousjames818Ай бұрын
Lema mungu akupe maisha malefu
@maryamabdullah9169Ай бұрын
Sahihi kabisa maneno yako kiongozi lema Usichoke kusema Allah Atawalinda Inshaallah
@twalibulomy-cd4zdАй бұрын
Acha shobo, utatombwa kichwa Kama pumbu LA mbowe.
@robertrobert563Ай бұрын
Daah matusi tena😢😢😢
@nabimanyafesto5014Ай бұрын
Mungu sikia maombolezo hayo
@bennymochiwa4800Ай бұрын
Hiki kimama kina vaa ushungi lakini ndani ana roho ya mbwa mwitu
@ChartyCharzАй бұрын
Punguza maneno
@FilbertHabashi-zn1quАй бұрын
Kuwa huru kuongea
@mzeerajab9154Ай бұрын
Mbona hujaongea wanaotaka uovu vipi wawe huru?
@MagangaAbdallahАй бұрын
Changia Kwa Uhuru bila kuvuka Mipaka. Heshima haiuzwi.
@rafiurashid1021Ай бұрын
Unapo muita kimama ujue hata mama yako umemtukana, tumia akili acha kukoment vitu vya kijinga
@billgussy6099Ай бұрын
Mbaya zaid mzanzibari ana mwambia mbara ameota mkia kwa kurud kwenye ardhi yake ya asili.
@hassanjuma3114Ай бұрын
acha ubaguzi watu wanaungana kupinga ubaguzi wewe unataka kuwagawa
@KatemboSaidiАй бұрын
Jinga wew
@RutinikiGosbertАй бұрын
Acha tulibague nini hivi anafanya
@deborahmgedzi632Ай бұрын
Mungu Baba Mwenyezi tuepushie na mambo haya mabaya. Sote tumeumbwa na Mungu Mmoja na Anatupenda sote. Tupendane na kuonyana, Baba Kasemaa wapendeni Audi zetu na kuwaombea!!!
@gililwiseАй бұрын
Ee Yesu shuka .maana damu za watoto wako zinakulilia.naomba asibaki hata mmoja aliyeshiriki kumwaga damu .
@IlhamKhalid-mt3jpАй бұрын
Excellent, polite, and friendly approach ❤❤❤❤
@Macamp312Ай бұрын
OOH MY GOD BLESS MY COUNTRY AM FEEL DEEP PAIN ....MAMA ETU SAMIA KUNA VITU VYAA MAANA KWENYEE HIII SPEECH PLEASE 🙏 CALM DOWN AND na uisikilizee tenaaa inawezakukusaidia kwa namna moja ama nyinginee ,GOD BLESS TANZANIA MY FAVORITE COUNTRY
@SimulizitulivuuАй бұрын
😢😢😢😢😢kamanda Lema Mungu akubariki Sanaa
@sadotkyabuguta3700Ай бұрын
Mungu akulinde, uwa kinywa chako nakiogopa. Ukitamka uwa Mungu anatenda.
@rithersospeterkati3355Ай бұрын
Simama na Mungu Jehova. Tutauona mkono wa Mungu Jehova atavyotufanyia leo. AMEN AMEN.
@ThomasMwarukaKeyaАй бұрын
Great..! Mhe Godbless Lema Kasemea sehemu tu sehemu ya MAUMIVU Makubwa TULIYONAYO Wananchi Wengi wa Tanzania yetu..!
@nyembobea7285Ай бұрын
Sisi watanzania hatuna maumivu usitusemee tena wewe lema nyamaza ulijifanya umeoteshwa kifo cha magufuri na leo magufuri hatuko nae vipi lema unaweza kutuambia ile ndoto uliitoa wapi lini ulijutia ndoto wapi kifo cha magufuri hatujasahau leo kinywa chako kinatia huruma
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
Sema wewe auna MAUMIVU usitujumlishe watanzania wote
@jeitangogo-rf8ufАй бұрын
Kamanda inaleta uchungu sana 😂😂😂😂
@igayo_tvАй бұрын
Kudos kwako Lema
@RoseMkuuАй бұрын
Lema Asante umetumia busara ya hali ya juu Mungu akulinde pia akutunze,
@PeninaElia-v3nАй бұрын
Du! Umeongea Kwa machungu😭
@verdianabanabi2205Ай бұрын
Kweli maneno ya Lena yanaumiza sana sana.
@Rogathe-RogatheАй бұрын
Saanaaaaa sanaaa ameongea kwa uchungu mkubwa 😭😭😭😭😭
@saleemadhiyabalkhatri7800Ай бұрын
Ujue alivyoongea yametoka moyoni na raisi hana mwisho mwema akimaliza miaka miwili ashukuru mungu kama wanavyo uwawa raiya yatakuja kugeuka kama gwaride wambele akarudi nyuma na wanyuma akawambele roho imeniuma sana kwa maongezi yake mazito ishallah mungu atawaliinda❤
@aminatanzanya7475Ай бұрын
Dah! inaumiza sana.pole sana Lema pamoj na wanachadem wote Mungu atawalinda 🙏
@EmmanuelMashamba-z5hАй бұрын
Natamani kuwa Israel mtoa roho.....so painful speech!!!
@yahayaolomi1057Ай бұрын
Inaomboleza na kusikitisha sa kuhuzunisha sana hii hotuba japo hatuna uhakika kama mambo yote yaliyoongelewa ni kweli au si kweli lakn inauma
@salhaiddi-l3lАй бұрын
Allah atakuhifadhi kwa huruma zake ammina
@BahatiSimkondaАй бұрын
God kaka angu pole mungu atawashughurikia watesi wenu
@GeraldMbegaАй бұрын
Watawala wanasahau kuwa Mungu yupo.
@EmmanuelFissooАй бұрын
Mungu awalinde ndugu zetu.
@KassimHanga-xr7rbАй бұрын
Mungu ndiye Hakim wa haki na haki haipotei tutalipwa hapa hapa tujitahidi kufanyiana mema
@bosslevel4458Ай бұрын
Mungu toa haki uonefu umezidi tanzania
@MathiasSambayaАй бұрын
Me naungana na muheshimiwa Lema kama tumeota mkia tukiwalilia ndugu zetu acha uongezeke ila yupo Mungu wa Ibrahimu Isack na Yakobo,
@wendykomba2118Ай бұрын
Nabii!!!!! Mungu yupo na wewe.... Na MUNGU km hayupo basi na iwe hivi. Na kama Upo MUNGU basi tenda jema.
@lucasjames2102Ай бұрын
Dah jaman mungu aongee nasi masikioni mwetu kwakila mmoja nasili isiwez kusikika nawatu wa baya kua nin tufanya kwatunayo yaona nakuyaskia atupe namna tushinde turud kwenye amani inayo elekea kupotea
@DominickDebolahАй бұрын
MUNGU Baba angalia taifa letu kwa macho yenye hekima na busalla
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Mungu amejaa huruma na neema. Let's continue to keep faith and trust in Him
@MkonoZachariaАй бұрын
Interegencia ya mama nikuona mikutano ya chadema tu na sio wauwaji wa laia wake nihatari
@rahmaray3705Ай бұрын
😢😢daa inauma sanaa Ila Mungu ni mlinzi tosha 😢😢😢 pole kamandaa😢😢
@nyabahailani3169Ай бұрын
Uko sahihi kabisa lema ila mungu anawaona atawashugulikia hivi punde sio mbali "lema huwezi kufa watakufa wao
@alanusrespicius1796Ай бұрын
Kwa sababu wewe ndo unagawa uhai
@nyabahailani3169Ай бұрын
@@alanusrespicius1796 ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga pumbavu wewe
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
So painful 😢zaidi ya maumivu tu ila MUNGU ndo mkombozi wetu wa taifa la Tanzanian 🇹🇿
@NgajaNgaja-s4vАй бұрын
Lema tunamiombea ww na wenzako wate hukumu itatoka 2025 tunaamini kwamungu inawezekana kiukweli tumechoka na ccm😂😂😂😂
@brother_majestyАй бұрын
MUNGU HADHIHAKIWI........APANDACHO ATAVUNA akiona kwa macho yake
@festoluhwago9389Ай бұрын
Ila kwa vyovyote Mungu atafanya jambo kubwa Tanzania dunia haitaamini.Ila yamekusudiwa na Mungu mwenyewe waombaji waendelee kumwita Mungu.
@GodwinIssackАй бұрын
Amen Amen Amen ❤️
@Daniel-qs1qiАй бұрын
Mungu awalinde wote viongozi wa upinzani,kiukweli mnapitia wakati mgumu.mimi ni kiongozi ccm lakini hili sitaki kuja kudaiwa damu za watanzania wenzetu zilizodhulumiwa kwaajiri ya misimamo yao tena hipo kikatiba..tubuni hii dhambi nyinyi ndugu zangu mnaounga mkono mauaji na mateso ili tujenge Tanzania moja
@donaldbenedict5761Ай бұрын
Haya yote ya watu kukimbia nchi anajua yeye kwasababu alikuwa makamu wa rais kwa hiyo unyama uliokuwa unafanyika alikuawa anajua ndio maana anasema hivyo
@abdullahmasakata170Ай бұрын
Alie mrudisha huyo mkimbizi ni nani? Watu wanasahau walikotoka wanajitia ujinga na kumdharau wakidhani yeye ni mnyonge watampeleka watakavyo.
@SylvesterKameoАй бұрын
@@abdullahmasakata170Huyu si mkimbizi ni mtanzania, ana haki ya kuishi hapa hapa Tanzania ni nyumbani kwake.
@NzingulaSonda-lo1qcАй бұрын
Siukwendre kuko canada 😂
@rehemamwasomola4362Ай бұрын
YESU TUSAIDIE
@butungo1Ай бұрын
Nimeumizwa kiasi cha kutamani kulia! Pole sana mh Lema na wenzako wanaopitia madhila hayo kaa sababu ya siasa!
@adelinelyaruu3036Ай бұрын
Tunaombwa na waliotekwa warudi salama
@salummohamed2689Ай бұрын
Lemà, wacha wasisikie maneno yako, kuna siku watashanga tope la Hanang linaingia vyumbani mwao.kwa maana watekao mara nyingi huua!
@neemamarisamarisa-rd7cqАй бұрын
Kama Mungu aishivyo atalipwa.
@DausonShensherwaАй бұрын
Mungu twakuomba utusaidie hatua mtete katika mamlaka ulizotupatia badara Yake haohao ndo wanatuumiza na kutunyima haki zetu ivyo twakuomba ututetee uwashushie garika la Moto wao na vizazi vyao ili watambue ukuu wako mungu; Asante mungu unapokwenda kutenda:
@davidrweyemamu938Ай бұрын
Very touche speech! Aliyemwandikia hotuba hile ni mchonganishi mkubwa rais anatakiwa kumchukulia hatua.
@richardJanson-h7cКүн бұрын
Hongera lema umeonyesha ujasiri
@rambostalon2888Ай бұрын
Amini mungu akulinde
@kabangoamini8431Ай бұрын
@@rambostalon2888 asante sana nduguyangu mungu yopo nawapigania haki
@DoctorRengedaАй бұрын
Hii laana haitakuacha salama madam president inauma sna ipo siku moto utawaka hapa tz maana naona kama panafukuta Chini ya ardhi mdogo mdogo tafadhali chukua hatatua haya animaisha ya watu .....
@Bilioneabichwa331Ай бұрын
Yesu yu karibu kuja, tujiandae jamani
@bukurunestory3540Ай бұрын
Inasikitisha sana.Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Elia na Mungu wa Yakobo atulinde kwa mkono wake wenye Nguvu. Na Kwa Hakika Hatutakufa bali Tutaishi
@IbrahimMaduloАй бұрын
Ningekuwa mimi ni mheshimiwa rais Samia ningeandika history mbili kwenye hii nchi (1). Rais wa kwanza mwanamke tangu uhuru, (2). Rais wa kwanza kujiuzuru baada ya kushindwa kuwalinda raia wangu hii ingenijengea heshima na sifa sana ndani na nje ya nchi yetu, maana kama ni mapesa ninayo ya kutosha ya kula mpaka siku yangu ya kufa 😢
@ZuwenamachelaАй бұрын
Hujui unachoongea wewe kaa umetekwa akili nawapumbavu hawa wao wenyewe watekaji washajulikana wauwaji hao chadema zitto kabwe alikosa kuuawa kwa kupewa sumu
@ZuwenamachelaАй бұрын
Ebu kaa kmy wee lema acha kujifanya mnyenyekevu we ni mchochez ww syo mkiristo Bali ni kafiri mbwa ww
@vincentcharles4385Ай бұрын
@@ZuwenamachelaNilikuwa naangalia jina lako kabla ya kusoma kwanza
@lucyalto7320Ай бұрын
Wee nae ka jinga unakomenti maujinga TU huoni aibu comment zako ziko tofauti pekee yako unatetea nn sasa na unafurahia yanayoendelea@@Zuwenamachela
@ZakayoJohn-o7rАй бұрын
Jina zuwena lini akawa na akiri @@Zuwenamachela
@wilbmboma7613Ай бұрын
Mungu!,Mungu wewe wayaona haya!,na ijulikane Upo Mungu wangu ionekane Upo Mungu wetu,itoshe tu kusema hivyo!😔
@EmmanuelAmmyАй бұрын
Mungu akulindeee Mkuu
@saimonWambura-cd4tgАй бұрын
Kabisa bro huyu rais hatumuelewi
@joselinejonathan8818Ай бұрын
Ni kweri kiongozi, huyu Raisi aachie ngaxi, urais hauwezi analazimisha tuu kula hela za nchi
@hamzakhamis1575Ай бұрын
Unaonaje kama tutakupa wewe uo uraisi, maana wewe ni muelewa wa kila kitu na hutopenda kula pesa za nchi endapo tukikupa uraisi.
@abdullahmasakata170Ай бұрын
Huo ndio ujinga mnao jazana kila Siku badala ya kutangaza sera zenu mnatangaza uhuni na ushenzi.
@promisemwakalikamo8497Ай бұрын
Inauma sana siasa inageuzwa kuwa uwanja wa vita ..sio tena kushindana kwa hoja ili kujenga pamoja ...upande mwingne wanaumizwa na kuteswa Mungu tuokoe Tanzania😂😂😂
@NangaleKisendi-qz5trАй бұрын
Lema uko sahihi kabisa. Ila acha siasa za kutukana watu majuzi kati hapo umemtukana Makonda yeye hajakujibu. Usijefikili watanzania hawakusikii vilevile rais mnamtukana! Why? Lema. Mi naupenda upinzani tena sana ila kwenye kutukana mtu hapana. Viongozi wetu tuacheni mihemuko.
@MhindoMhandoАй бұрын
Ww ni msenge tu embu tulia ujui kinachoendelea
@JanePhilipo-mp3slАй бұрын
Nakuelewa sana mungu ndo anaehukumu kwa haki yeye halali Wala hasinzii
@jumaigoti7541Ай бұрын
Kweli kabisa .Samia pole sana .2025 kacheze na wajukuu wako .hufai kutuongoza .
@CharlesKimaro-m7vАй бұрын
Nimeguswaaa sanaa Na Hotuba Hii aisee Mungu awatie Nguvu hakikaa nyie ni Wazalendoo na Naaminii Mungu Anawapitisha kwenye Hili jamboo Ili siku mkishikaa Nchii isitokee Changamoto ya kuwateteleshaa
@khamisswaleheАй бұрын
huna lolote ww umekimbia kiongoz shupavu magufuli
@handenitakuru6696Ай бұрын
Kaliwe mande na baba tako huko
@khamisswaleheАй бұрын
@@handenitakuru6696 matusi ya nini unajua kwa siku ya kiama utakuja kunilipa
@rkcomercialenterprises3209Ай бұрын
Kwani magufuli yuko wapi,mbona hujamfuata huko?
@redemptajerry5446Ай бұрын
Daah...Lema mdogo wangu umesema yote...Mungu akulinde na atulinde wote
@ISACKSIMON-pn4vrАй бұрын
Tatizo ata mkipewa ninyi nchi yatakuwa kama hayahaya tunayoyaona leo kikubwa tuendelee kuwaombea viongozi walioko madarakani ili waongoze kwahofu ya mungu maana ninyi pia mko kisiasa zaidi
@SimonMayunga-e3yАй бұрын
Unahakika na usemacho
@muksinlutta5712Ай бұрын
Haya maneno ni sawa na kumfokea mh Rais,na ni kejeli.mwacheni mama Afanye kazi.that’s why Mh Magufuli hakutaka hata kuwaona
@hanswan1Ай бұрын
Nchi sio ya mtu mmoja alivyoongea Rais hakufoka ila akijibiwa ndo kafokewa??? Jichunguze kijana.
@rafiurashid1021Ай бұрын
Waambie muksnkutta, Hawa wenzettu wanachuki za kidini, hiyo ni michezo Yao wanaitengeneza
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Rais nikama Alipewa kiburi akajazwa monkali
@mtafya1977Ай бұрын
Mungu ni mkuu kuliko wakuu wote wa Dunia,na mungu ndiye aliyeshika roho za wote dunia,na mungu ni mpenda Amani,na mungu Anaweza kuangusha utawala usio faa,mungu hawezi kuruhusu mauti kwenye haki,Mungu huyu huyu ndiye aliye ruhusu tanzania kuwa na Amani Tunamuomba mungu aliangalie taifa hili,Tunamuomba mungu Atuondolee mafarao wenye nia ya kuliangusha Taifa la Amani hili.Wote wakafedheheshwe wapigwe kama GORIATI Wapotelee kuzimuni,watuachie taifa lenye Amani,EE MUNGU SIKIA WAOMBEAO TAIFA HILI.