PART TWO - Nilikaa Wiki mbili MAJINI bila Kula, Nilitoswa BAHARINI, Watatu Walikufa, Kuna PAPA wengi

  Рет қаралды 21,130

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 4 жыл бұрын
nilichojifunza vijana wingi.we use alot of energy to struggle life so as to succeessed but illegal...shortcut sio nzuri kwa mwenye kuelewa ata elewa.
@Inno-qz2ec
@Inno-qz2ec 3 жыл бұрын
Sio shortcut hizo harakat..uoni anatumia miaka mzee..upambanaji tyu..
@chidiadam1797
@chidiadam1797 4 жыл бұрын
Ally Mbukuzi baharia wa kitambo,salute Bro.
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 5 ай бұрын
Ridhika n ilochojaaliwa, isihatarishe maisha yako kwa pesa.
@francisrichard5033
@francisrichard5033 3 жыл бұрын
Unapitia maisha kama hayo alafu mpuuzi anakuja anakwambia "ntumie na ya kutolea"
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Hhhhhh, ww jamaa unazingua
@Inno-qz2ec
@Inno-qz2ec 3 жыл бұрын
Tupambane wadau..hakuna kukata tamaa.🙏🙏
@magrethbenjamin4969
@magrethbenjamin4969 3 жыл бұрын
Yan nilivo kuwa kuwa naipenda South Afrika jamn sisem😢😢😢lakin toka itokee lile tukio mwaka jana kwakwel sauth afrika maza faka 😖,,, yn Bara Afrika nilitaman kufika ni Sauth Afrika, botwasana, Rwanda
@sherin3171
@sherin3171 4 жыл бұрын
Kuna WATU wamepitia maisha kweli
@babujay8247
@babujay8247 3 жыл бұрын
Safi sana bahari sasa ugiriki ulikuwa unakaa wapi bahari Μπράβο βρε δυο εβδομάδες ελλαδα αλλα πιου μένεις; 🇬🇷
@asdxsa1008
@asdxsa1008 3 жыл бұрын
Babu j kasema perea huyu si Ally mbukuzi wana nyumba ya dada ake makuti dada zake wawili mmjo yuko germany mwingine yuko buruda
@babanurumbabe1716
@babanurumbabe1716 3 жыл бұрын
Kenya wanajielewa sana asa kwenye pesa
@nahishakieathumani5041
@nahishakieathumani5041 4 жыл бұрын
Shukurani brother izo ndio story nzuri sana ani zinakupa hamasa ya maisha
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 3 жыл бұрын
Ndugu atangazaji mbona hamupendi kuwauliza miaka yote hayo wako inje jee wamefanya nini nyumba kama vile wamejijengea nini kimaisha kama huyu ndugu yetu Ali anavyo sema amefanya kazi miaka mingi south africa
@saidjuma2605
@saidjuma2605 4 жыл бұрын
Salute Beach boy
@ibrahimhemedi9079
@ibrahimhemedi9079 4 жыл бұрын
Msela boat story teller, stay up homey,Tukutuku vichaa free ride peace.
@salomekamande2058
@salomekamande2058 4 жыл бұрын
Dah! Aisee haya maisha?Mungu tusaidie.🏊🇰🇪
@magrethmanintveld2486
@magrethmanintveld2486 4 жыл бұрын
Duh pole sana kaka
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 жыл бұрын
Mim shuda nime kubaliwa na pokelewa vizuri sana na serekali ya Kenya, na nani jihisi kweli niko nyumbani..... Baada ya tafash fulani toka nchi fulani.....🙏🙏🇰🇪...🇹🇿🇹🇿🇿 Nime kutana na ma store way .... kadha... hadithi zao nzito I say .
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 4 жыл бұрын
Duuuu pore sana kaka rakini mungu atakupa unacho kitafuta
@ilhamnoor9892
@ilhamnoor9892 4 жыл бұрын
Ameen🙏🏼
@abdullahsaidi8009
@abdullahsaidi8009 4 жыл бұрын
Salute baalia Ally
@sultanadam5529
@sultanadam5529 4 жыл бұрын
Kazi safi 🔥🇰🇪
@reganmbigili9406
@reganmbigili9406 3 жыл бұрын
Dah noma sana mzee
@viajarportanzania7433
@viajarportanzania7433 4 жыл бұрын
Shida asilimia kubwa ya mabahari huwa hawatoboagi maisha
@irenemina2059
@irenemina2059 4 жыл бұрын
Sana! Wanakuwa wala unga tu
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 4 жыл бұрын
Pyrotechnics 🧨 hizo sio KIBOMU hizo hutumika wakati wa dharura ili kisaidia kuonekana wakati wa Uokoaji Kwenye Life raft na Life boat 🚣‍♀️ unakuwa navyo hivyo pyrotechnics 🧨 orange smoke
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 4 жыл бұрын
Escoo jamaa yuwasimulia fureish ila yuwaonekana kapiga sana kiarusha
@amirimuhsin560
@amirimuhsin560 2 жыл бұрын
Oyaa eeeee tanga kumamake tumepinda haaaa
@suleimanali5677
@suleimanali5677 4 жыл бұрын
Doh hii kali mzee baba
@roi2553
@roi2553 4 жыл бұрын
Nilikuwa nasubiria kwa hamu sana hii ndude
@clemkiz2376
@clemkiz2376 3 жыл бұрын
Maoni: io "soundtrack" ni heri mngeiondoa maana inaumiza kichwa afu tunashindwa sikia baadhi ya vinavyosimuliwa.
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Saf xna mwaume kukata tamaa nizambi
@bobxaiitommez8145
@bobxaiitommez8145 4 жыл бұрын
Esko kiongozi wa mabaaria
@taswiramedia
@taswiramedia 4 жыл бұрын
MWALIMU MANENO PART 2 kzbin.info/www/bejne/lWOYpaemhrxghbM
@omarathman3827
@omarathman3827 3 жыл бұрын
Mbavu zangu jamani,yani navuta picha baharia anapiga kazi usiku gafla jamaa ametokea mweusi amejaa oil anaonekana meno tu.Anajaribu kutoroka bado anafuatwa.Duh,duru kama zote hapo aisee.
@MrTouch-rm4rh
@MrTouch-rm4rh 4 жыл бұрын
Maisha na safari msafiri kafiri tanal life funua funika
@hameesabdalah3780
@hameesabdalah3780 4 жыл бұрын
Mbukuzi sea sela tanga oyee
@hilarymungure8590
@hilarymungure8590 3 жыл бұрын
Ase jamaa kupambana
@abubakarsalim2424
@abubakarsalim2424 3 жыл бұрын
Kimsingi bwana Ally umeonyesha kama mpambanaji sana, ni kweli border zimefungwa, lakini ukitumia ndege utafika pasi na shaka kaka Ally,Cape town wa Tz wengi ni makontena kule, wanabeba unga Cape town to Jo'burg, kuwa mbali na hiyo kazi kaka Ally
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 жыл бұрын
Coloured
@babanurumbabe1716
@babanurumbabe1716 3 жыл бұрын
Sea man alikula dongo zuli kumbe ndan ya grece
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Kenya wajanja upande WA pesa😂🤣😀😅
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Napenda sana kipindi cha mabaharia kina zidi kuniongezea ujasiri
@nzaijambo3764
@nzaijambo3764 4 жыл бұрын
Pole ndo ki hasler hovyo
@beckooh
@beckooh 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
Poa sna
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 жыл бұрын
.
@bobxaiitommez8145
@bobxaiitommez8145 4 жыл бұрын
Unawajua mabaaria wewe
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 жыл бұрын
.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 81 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 4,1 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 37 МЛН
best naso ndani ya HERITAGE FULL
27:41
EVELINE CHADORA
Рет қаралды 9 М.
WATUMISHI WENGI HAWAPENDI KAZI ZAO ((2))
12:39
WACHOKONOZI
Рет қаралды 256
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 81 МЛН