Yesu anaweza tumfuate tuachane na giza asa kwa ndugu zetu waisilam.
@bintalmasi23932 жыл бұрын
We hope ndoa tayari huko Davistar tunashukuru kwamba hata kwa kipindi hiki muhimu sana kwako lakini bado unapiga kazi.
@donaldsassa75322 жыл бұрын
Mtangazaji Shalom, jitahidi kutumia KISWAHILI sanifu tafadhali sana siamini kuwa hujui kuwa matendo au tendo linalojirudia hutumia neno 'HUWA' na siyo (huaga) kwa mfano kwenye kwenye bashirafu umesema , 'kama ujuavyo YESU 'hutoaga' watu . . .' kumbe ulipaswa kusema ,' Kama ujuavyo YESU HUTOA/ HUWATOA watu kwa shetani/gizani na kuwaleta NURUNI' hakuna neno "majina yako " ila JINA LAKO NI NANI? AMA JITAMBULISHE JINA LAKO. MTANGAZAJI TUKIPENDE KISWAHILI NA TUDUMISHE USANIFU WA LUGHA TAFADHALI MTU WA MUNGU ALIYE HAI.
@nerisonmaima2 жыл бұрын
Hee watu kama hawa sasa ndio napenda sana kuwatch,
@wazomyakinifu23012 жыл бұрын
Msimuliaji huyu anarudia rudia kuelezea pointi ile ile hadi ana boa kumsikiliza. Mfano anasema nikawa hivyo , nikaendelea kuwa hivyo. Nikadumu kuwa hivyo. Nikawa hivyo hivyo tu😂😂😂😂
@yudaseleman8320 Жыл бұрын
Muulze alkohamia uyu jmaa namuonaga bwan
@renatusmtakyawa5942 жыл бұрын
Karibu sana
@dorahy15792 жыл бұрын
Davistar mbona sioni Pete, uliogopa mambo ya Kanyerere, natumaini tarehe 29/91/23 ndoa yako ilitimia.
@tututz1002 жыл бұрын
J.boys 1999
@othmanmulendelwa96222 жыл бұрын
Ina bidi usisitize ka xiku tuku changangie upate utulivu wa moyo
@theblackandrew41192 жыл бұрын
Ramli ya kutumia mnyaa nilishawahi kufanyiwa ila niliona kama kanipiga kamba tu
@othmanmulendelwa96222 жыл бұрын
Assallam aleikum davista mata mambo vp tuli ambiwa wiki iyi una fungandowa atujakusikia wewe mwenyewe kutu ambiya mcha kato una endeleaje?
@sophiaommy83432 жыл бұрын
Alishasema mchakato wanaujua waliomsapoti kwa michango
@erickezekia8045 Жыл бұрын
Ulichoka wewe
@othmanmulendelwa96222 жыл бұрын
Apo ndio una ni uzi kusema nguvu ya yesu sema nguvu ya mungu ukisema ivyo una kufuru angalia maneno yako ya kusema yusu ni mungu
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
Ndugu yetu ni sawa na mkristo umwambie Muhammad ni mtume wa Mungu ilivyo ngumu kuelewa ndio hivyo mkristo anavyo amini Yesu ni Mwana wa Mungu na ni Mungu huwezi mbadilisha. Hata wewe hakuna wa kukubadilisha kwamba Allah ndio Mungu pekee hivyo hakuna kufuru hapo mpaka utakapo bahatika kujua ukweli
@rubefabi83662 жыл бұрын
Othuman, jina Mungu halijawahi kumponya yeyote. Jina Yesu pekee ndilo lenye uwezo na mamlaka na jina hilo ndiyo jeuri ya wakristo duniani kote. Ukiliondoa hilo jina umeondoa ukristo. Litumie likunufaishe.
@hildpaul78232 жыл бұрын
na nyie mnatukwaza kusema Mohamed tukisema ni kufuru urajisikiaje kila mtu aishi na imani yake bila kukwazana maisha yaendelee
@sarahkeivaly33512 жыл бұрын
@Hild Paul maisha yaendelee vp na watu wapo gizani?!! inabidi tukazane kuwaambia juu ya ukweli ambao wanaukataa. Yesu ndiye Njia, Kweli na Uzima, mtu hawezi kufika Mbinguni bila kumwamini/kumkubali kwanza Yesu!! Yesu pekee ndiye wa kumwamini ktk imani zetu na kumfuata; Na si mwingine yoyote yule!! Matendo 4;12