Рет қаралды 27,881
Karibu sana katika sehemu ya kwanza ya simulizi ya kweli ya ushuhuda wa Musa Chesa aliyekuwa jambazi sugu na kufanya matukio mengi ya uhalifu na ushirikina lakini baadae aliacha na kuokoka,kipi kilimpata tafadhali fatilia mpaka mwisho