Jamaa amemtaja Mbarikiwa Mwakipesile; huyo ni Pastor mzuri sana toka Mbeya. Devista ungemtafuta ,interview itakuwa nzuri sana!!!
@ramadhangona90852 жыл бұрын
Pamoja bro
@mwajumafadhili92682 жыл бұрын
Napenda anavyosimulia
@tonywambua95052 жыл бұрын
Mr everything
@rosemarry20202 жыл бұрын
Sauti ya mziki nikubwa sana
@thegreat.98692 жыл бұрын
Sauti ipo standard bana...
@heritier51192 жыл бұрын
Hicho kiumbe kinaitwa baphomert au mungu mbuzi, mungu wa freemason, wa vidole viwili vile vya ishara ya kupiga simu
@mamananga28492 жыл бұрын
Duuh
@Patience.672 жыл бұрын
Yeah
@josephmaganga19312 жыл бұрын
Tunajifunza mengi kwa hizi story
@petermangale20302 жыл бұрын
tupo pamoja!!!
@rahaisacl99542 жыл бұрын
😘😘
@Mwajumaramadha Жыл бұрын
Nenda direct kweny story acha mbwembwe
@fatumakhamisi10022 жыл бұрын
Pamoja
@mkuluwaukae22212 жыл бұрын
Hizo angle 3 nimemkumbuka jamaa Tesla #369
@florencerose8592 жыл бұрын
Mali kutoka kwa mungu ndio Mali sahihi vijana munuteseka bure mukilala na majini jamani?
@bonnycostacosta73392 жыл бұрын
Tuko pamoja
@bakari-si1pw2 жыл бұрын
Tuko na wewe brother
@heritier51192 жыл бұрын
Sema watu awataki tu kutafuta maarifa, mbona hata utajiri bila shetani unapata tu ukifata kanuni za kufanikiwa
@foncetec2 жыл бұрын
Upo sahihi ila kiukweli inahitaji moyo sana, maana wapo ambao pesa zao sio za kichawi ila kuna udanganyifu kazini, serikarini au kwenye biashara wanayobifanya yani utajiri usio na makandokandonhadi yesu mwenyewe alisema panaugumu kwa tajiri kuingia mbinguni yani ujue utajiri unamengi sana
@danieljoseph16102 жыл бұрын
Unakunywaje viroba na huku unawaza utajiri? Mi nikiwa nawaza pesa hata demu simtaki!