Huyu Dada nimempenda ni jasiri na anatabasamu nzuri hapo mwingine angeshuhudia akiwa anatoa machozi
@appleelia99652 жыл бұрын
Pole sana dada kwa mapito. Mungu alikua anakupitisha katika madarasa mbalimbali ili ikomae , siku akianza kukutumia uwe na uwezo wa kumsaidia mtu anayepitia changamoto kama ulizowahi kupitia.. Namtukuza Mungu sana kwa ajili yako dada! Umenigusa sana huu ushuhuda
@barakaisaac77972 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo Asifiwe. dada pole sana kwa mapito Mungu aliruhusu ili tuupate ushuhuda huu mkubwa zaidi ya yote wewe mshindi katika Jina la Yesu Kristo Amen.
@rehemasuleiman74692 жыл бұрын
Dada pole sana,hayo ni mapito ambayo yapo,yamenikuta na Mimi wakati nasoma,ushuhuda ni wa kweli kabisa, MUNGU wetu ni mwema sana
@nyimbozawokovusauti1182 жыл бұрын
Eh Mungu, kumbuka yatima wajane na wale walioachwa na ndugu na wazazi katika Jina la Yesu Kristo. Watiye nguvu na uwatosheleze. Ah! Storia yako ilinigusa Sana kweli Mungu azidi Ku kukumbuka mahali popote ulipo na akukumbatiye Kwa upendo wake siku zote.
@zuhuradjumaamani54412 жыл бұрын
Amen
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Mmmmmh hapa tumeelewana MAISHA bila KUWA na YESU MIOYONI mwetu Ni shida MAANA kukimbia SAA Saba na kuwasha ubani mmmmh kazi ya shetani Ni mbaya sana
@liesharehema51932 жыл бұрын
Mungu huyu ni kwaajili yetu sisi wenye maisha duniii Asante mhhh
@mwigarleysaid54062 жыл бұрын
Jamani pole Sana ndugu yangu lakini Ujue hatima kubwa ina majaribu makubwa Sana keep on doing my dear
@heritier51192 жыл бұрын
Mama mtumishi pole sana Mungu alikuwa na makusudi nawe ndio maana akakuacha hai hadi leo umtumikie, kwa maana Mungu kawafanya wengine wachawi majambazi mashoga vibaka makahaba Ili kesho waje wamtumikie tumeshuhudia leo kuna watumishi wake kina Katekela, Mussa chesaa, ant Asu nk leo wanamtumikia Mungu
@millicentnaliaka2 жыл бұрын
Asante sana kwa part 2 mwendelezo
@annkim26902 жыл бұрын
Beautiful soul licha ya magumu ulio pitia unaweza tabasam halafu hongera Kwa huyo mama aliweza kukuifadhi
@jossyayielo75762 жыл бұрын
Dada Mungu akubariki Sana umepitia mengi.......kwa kweli Yesu ni muweza yote......asante Jacktan kwa KAZI nzuri ubarikiwe ushuhuda huu unanijenga ki Imani🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@gracemutono50232 жыл бұрын
Pole sana MUNGU yuko pamoja nawe
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Watu wengi walioupata utajiri wao uwezi kujua nyuma ya pazia walioupata vipi utajiri
@marymbodzembodze27072 жыл бұрын
Pole kwa mtihani dear waa kunatisha jamani
@rmaryp62692 жыл бұрын
Pole kwa mapito
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Pole dada umepitia mengi,Bwana Yesu apewe sifa.
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Pole Sana na NOMEJIFUNZA kuombea WENYE shida duniani MAANA DUNIANI Ni maonezi TU nimejifunza kitu hapa YESU ALISEMA DUNIANI MNAYO DHIKI JIPENI MOYO YY AMEUSHINDA ULIMWENGU mmmh hatari sana
@rechomethod82882 жыл бұрын
Tulisubili kwa hamu
@Priscakihiyo43522 жыл бұрын
Pole sanaaaaaaa 😭😭😭😭😭
@happykajeli54532 жыл бұрын
Kweli duniani Kuna mambo matajiri waache na utajiri wao Wana mambo mengi pole na mapito magumu
@Mazoea2 жыл бұрын
Utajiri wa kishetani una mashart
@husseingabo54972 жыл бұрын
Wanawake mnatakiwa mjitasmin achen roho mbaya
@wesongamildred56182 жыл бұрын
Waaah God 🙏 Almighty very sad! Tanzania yarrabi kueni atlist na roho ya kiasi
@lydiajoseph25712 жыл бұрын
Dunia Na watu wa hii duniaaa mhhhhhh.
@husseingabo54972 жыл бұрын
Wanawake wajue na wasikie jinsi gani walivo na roho mbaya yaan wanawake hawafai kabisa wanajua kabisa ni mtoto yatima lakin Bado wanamtesa
@carolineosoro18172 жыл бұрын
Kwali...mm niko Saudi Arabia wasichana wa kazi wanatharauliwa sana 😢
@irenewilfred77672 жыл бұрын
Mungu akusaidie jmn maisha Aya yasikie tu
@Mazoea2 жыл бұрын
Mimi nimepitia mateso ila uyu Mama kapitia mengi sana na makubwa
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Pole sana dada
@annkim26902 жыл бұрын
Doh ati warabu wana roho chafu kumbe kuna wenzetu wamewazidi waarabu
@monicamafenyi83582 жыл бұрын
Eeh!!dada umeyapitia jamani,lakini ahimidiwe Mwenyezi Mungu kwa maana alikua pamoja nawewe kwa kila pito,pole saana.
@victoriaaman2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 pole sana dada
@gracelauzi97462 жыл бұрын
, AMEN AMEN God bless you
@coolwaveac76592 жыл бұрын
Pole Sana Kwa changamoto ulizo pitia Ila story yako haizidiani Sana hisitoria Yang 😢😢😢😢
@annkim26902 жыл бұрын
😭😭😭
@f.alovely64192 жыл бұрын
Mama unajua kujieleza
@gestinabunganiekuya63002 жыл бұрын
Mmmm heka nzima sh.3000? Kweli dunia haina huruma
@nyimbozawokovusauti1182 жыл бұрын
Naomba contact ya dada huyu tafadhali, promover tv nisaidieni
@salimajosephine16732 жыл бұрын
Hata mimi nahitaji namba yake
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Endelea kufuatilia atatoa katika sehemu ya mwisho
@husseingabo54972 жыл бұрын
Sasa na wewe Kwa nini ulivumilia SI ungeondoka tu anaetoka riziki ni mungu
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Matajili tuelewane hapa kutesa wafanyakazi wa ndani hii Ni NN tuacheni ukinga huu tabia za ajabu alafu tunaenda kusali na miskitini kufanyajee na ukinga huu kutesana TU NDO MAANA saizi hakuna wadada wa kazi MAANA seeee tukishatajilika tunakimokoa kutesa wenzetu MUNGU YUPO NA JEHANAMU YA MOTO IPO KWA WENYE DHAMBI TUACHENI KUTESA WATU ETI KISA SS NI MATAJILI