Nimekaa kwa kutulia. Wa kwanza kabisaaaa mimi leo.🤣🤣🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@pilimusa7770 naonaga watu ad wa tatu wanasema et mimi wa kwanza leo. Namimi nimeona nijisogeze kwenye namba 1🤣🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@pilimusa7770 mara ingine nakuwaga bize kupika eshi.
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@linahmwende83973 жыл бұрын
I had to Google ndulele am from Kenya nikazijua zinaliwa n mbuzi🤣🤣🤣🤣
@credo78373 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@yolandakrier21753 жыл бұрын
nikiwa mdogo mombasa tulikua twaziita matunda ya nyoka hahaa
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Story nzuri sana ✨
@salumsamesame17413 жыл бұрын
HIYO NDULA NI DAWA NZURI SANA KAMA UNA JIPU AU UVIMBE WENYE USAHA.😁IKATE KATI THEN IFUNGE KATIKA JIPU AU UVIMBE , AFTER UTANITAFUTA NDUGU💪💪💪
@nellyrhn43493 жыл бұрын
Safi sana
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Karibu 💥💥💥mwingine
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@philipoluzege32003 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 🤣🤣🤣
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@philipoluzege3200 🤣🤣🤣🤣🤣
@saidali98433 жыл бұрын
Wazanzibari tunaita tunduja kaka davi
@djmtengwatz10993 жыл бұрын
Twende Kazi Mr. ....
@kahindiwanje903 жыл бұрын
Safi Sana broo
@fatumamohamed86453 жыл бұрын
Pamoja sanaaa👍👍❤
@salumsamesame17413 жыл бұрын
DAR TUNAIHITA NDULA😁😁😁. ULINIVURUGA SANA "NDULELE"
@lilianatieno50263 жыл бұрын
Ndulele in my mother's tongue is "ochok" from Kenya
@mainapatrick22953 жыл бұрын
Namba 001 safi mtu makini 🙏
@fatumamohamed86453 жыл бұрын
Kwa wakenya ndulele Tunaita Tondo ni zile ambazo watoto wanapenda kuchezea kama gololi zipo za Green naza yellow
@najimyahya79013 жыл бұрын
Ndulele kwa Wa Zanzibar wenzngu ni Tunguja
@pilimusa77703 жыл бұрын
Wa nyumbani
@zeuscus5013 жыл бұрын
Davista mata mtafute pascal Cassin ana nondo nzito sana
@bobkariz56633 жыл бұрын
Good work @ davistar
@mwajumaselemani53703 жыл бұрын
Mimi mwanaume wahivyo angenizibua kila siku yaani hata saa 7 usiku akirudi na nyama ipikwe 🤣🤣🤣🤣
@evedoris94693 жыл бұрын
Kabisaaa alikua mkolon
@mwajumaselemani53703 жыл бұрын
@@evedoris9469 yaani mm tusingewezana kabisa
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@mwajumaselemani5370 kabsa 😀😀
@fatumamohamed86453 жыл бұрын
Ndulele ni nini please 🙏
@rehemambito79893 жыл бұрын
Kenya ndio ninawasili
@jamalmohamed81953 жыл бұрын
Ndulele Ni Nin Jaman 🙆♂️Naomba Kupata Sample
@masoudahmad79283 жыл бұрын
Ni tula ila izo zikiw Chang zinakuw ivy zikikomaa zinakuw ni tula nazikiw tul uwez kul apo zikiw chng wat wanakul waxkia wat wakisema wazigua wanalula tula ndy ilo ndulele
@credo78373 жыл бұрын
Nimepitia koment kwanzaa naon ndulele wengine ndula 🤔🤔🤔
@djmtengwatz10993 жыл бұрын
Sasa Wewe Umasaje 😊
@reenesa3 жыл бұрын
Yaa! Ndulele wengine wanaita Tula, ni km nyanya chungu ila zenyewe ni round.
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
mr DM nmeiona vzr sna hyo camera yko iko vzr sn kumbe, cc huku tunaita matulatula/ maduladula
@pilimusa77703 жыл бұрын
Sie tunaita ndura🤣🤣🤣
@danielmwangi95063 жыл бұрын
Ndurere na kisapree hapa kenya inaitwa Mutongu ikikuingia kwa macho bro noma I say
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Wa mwisho Allihamdulillah 79🤩😍
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera 😘😘 w mwishoo n mie😥
@mwami_the_don_3 жыл бұрын
Mambo S
@d.rmediaonline31523 жыл бұрын
Safii
@marthamaligo4583 жыл бұрын
👂👂🔥🔥
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Tunguja kwa jina lengine kwa visiwani au mtunguja .
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Together Mr dm💪
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Ndulele....Tunguja ‘ Tulatula.....yaani ziko kama goroli....ngogwe au nyanya chungu inashabihiana na ndulele zinapokuwa changa kiumbo‘ Lkn zinapokuwa zinakuwa na umbo tofauti na ndulele...!..ndulele zina kuwa na shape ya goroli ‘ nyanya chungu zikikua zinabadilika zinakuwa na umbo kama puto..!
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Wa kwanza
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera wngu❤❤❤❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 za mdaa huu wngu❤❤❤❤❤
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Ndulele au ndula 🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
Sie tunaita ndula🤣🤣🤣
@ramadhangona90853 жыл бұрын
Ndulele...huku pwani ya kenya tunaita Tondo.....na hiyo nyengine tunaita Tunguja
@khalidjamadi60163 жыл бұрын
Davister Ndulele kwa Dar es salaam inaitwa Ndula.
@jacobjacksonjackson12343 жыл бұрын
Ndulele kwetu singida wanyiramba wanaziita ntula
@pilimusa77703 жыл бұрын
Sie tunaita ndula🤣🤣🤣
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😂😂😂😂😂😂
@masoudahmad79283 жыл бұрын
Dav bhna ndulele wengn wanait tula ila ilo ndulel wengine wanakul asa wazigua uko zikiw ndgongd izo ni tula ila izo ziko na mistar zikikomaa zinakuw nyekundu
@davieed14273 жыл бұрын
Hailiwi hiyo umefanisha na zipo zinaitwa matole kimuonekano zinafanana
@usowafedhatengeneza27153 жыл бұрын
Ndurere kwakishwahili inaitwa mturamturaa wengi wanajua kwa jina hilo
@barakanyunza63083 жыл бұрын
Davistar we ndo hujui hyo ndulele
@jotafungo46223 жыл бұрын
Tunaendelea kusikiliza
@karrolleschon39863 жыл бұрын
🎧🇸🇪🇰🇪
@erastonyonierastonyoni11933 жыл бұрын
Ndulel kwa wazaramo tunaita nyanya chungu
@credo78373 жыл бұрын
Nazipendaa nyanyachunguu
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
kumbe😀😀
@credo78373 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😂😂
@credo78373 жыл бұрын
Hicho kichw cha habari duuh🤔🤔
@mwajumaselemani53703 жыл бұрын
Kumbe upo huku nilikuwa nakutafuta
@credo78373 жыл бұрын
@@mwajumaselemani5370 nipoo
@credo78373 жыл бұрын
@@mwajumaselemani5370 kwel au
@naeemahassan80643 жыл бұрын
Sisi wazanzibar tunaita tunguja huw za kijani lkn zikiiva huwa za njano halfu mti wake huw una miba watoto hutumia km gololi
Mchawi akiingia ndani huwezi kuwa na nguvu! Wanakuaga na madawa!
@anitamageni34873 жыл бұрын
Ndulele kinyamwezi ni ntulantu
@zukheirabdalla70513 жыл бұрын
Hizo zinaitwa ndula
@Mpakauseme3 жыл бұрын
wewe wa dar es salaam ndio tunafahamu kwajina hilo ndula
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaaa
@zahirrajabumgonza11743 жыл бұрын
Hamna stor umuuu
@abdulbasitsalim61333 жыл бұрын
Tunguja Kwa huko znz
@hamadwaziri1213 жыл бұрын
8
@pilimusa77703 жыл бұрын
Mume
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 💃💃💃💃💃💃💃💃
@Peace.20183 жыл бұрын
Hiyo ndulele kwa jina jengine inaitwa tunguja kwa mujibu wa picha ninavyoiona
@aminabhitalio81433 жыл бұрын
Ngogwe ni nyanya chungu
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaa
@davidkizito69003 жыл бұрын
Ndulere ni Sodom apple kwa kingereza
@mwinyimbwana76352 жыл бұрын
Ndulelee kimommbo n SODOM APPLE
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Kwetu ndulele ni manini.
@rhodaodem43553 жыл бұрын
Ndulele ni( Sodom apple)
@veeinn79653 жыл бұрын
Ndulere ni nyanya pori or kwakingereza ni sodom Appel
@paulndoya58053 жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa anakutwa na kitu kinaitwa "astral projection " hii ni hali ya kawaida ambayo humtokea mtu ilihali akiwa usingizini,nafsi inatoka nje ya mwili halafu mwili unakua mzito unabaki kwenye 'semi-conscious state' unakua huwezi kufanya lolote ilihali unajitambua watu wengi wamewhi Kupata ndoto za namna hiyo wanaripoti kuwa mwili huhisi kama umepigwa ganzi na kunakua na mtu pembeni mwako kakusimamia mpaka pale nafsi itakapokuja kukurudia ndo unapata nguvu za kuamka na huyo mtu alikua amekusimamia(nafsi y'all) anapotea ghafula
@rosellaabraham132 жыл бұрын
Mm nmepata ile inaitwa sleep paralysis aisee ni inatosha sio poa...unaona mambo ya ajabu ajabu tu.