Mbn Vipande vinarukaruka alf part 4 na kuendelea mhaionekani
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Pole sana msimlizi kwa msiba
@ninabizimana68692 жыл бұрын
Wende kwa mwamposa kawe
@cyantess84232 жыл бұрын
asante yesu kwa kuokoa yusuf majini zishindwe kabsa kwa jina la yesu🙏 amen
@matiusmgisa72032 жыл бұрын
Bora ulitoka kwenye uislam maana hauruhusu mambo machafu
@cyantess84232 жыл бұрын
@@matiusmgisa7203 yusufu yuko sawa mnaabudu miungu ya kishetrani narudia asante yesu amen
@matiusmgisa72032 жыл бұрын
Sio ss waislam ila ni nyinyi wakristo mnamwabudu Mungu mwanadam si Mungu mkuu wa ulimwengu muumba wa viumbe vyote.ndio maana mnao manabii wanaopokea nguvu kutoka kuzima.Polen saana
@hamadimwinyi21462 жыл бұрын
Manabii wote wanaenda kumchukua nguvu kuzimuu Na yesu sio mungu ni nabiii muabudu m/mungu wa haki ni Allah
@Mwajumasaid-lv4xf Жыл бұрын
@@matiusmgisa7203nikweli kwao mitume manabii kama wote diniyao nikutafuta pesa sio mungu ndiomaana mitume kama wote 😂
@husseingabo54972 жыл бұрын
Pamoja sana the golden boy
@shepherd1x842 жыл бұрын
Yesu ndio.mbingwa..
@luckylucas21252 жыл бұрын
Story nzuri sana ila mwenye kuunganisha vipande ana lusha lusha mfano hatujui aliokoka okokaje pamelushwa
@bakari-si1pw2 жыл бұрын
Pole sana kijana
@sadiqmwafrica6759 Жыл бұрын
Golden boy, story inaruka ruka, vipande vingine hatujui ilikuwaje
@mamananga28492 жыл бұрын
Vijana wanapenda mtelemko mwisho wasiku famili zinateseka ebu jitumeni fanyenikaz
@jesusislord91902 жыл бұрын
kwanini..mtu akitoka uislam kwenda Ukristo watu huchukia??
@acimamalingano85562 жыл бұрын
Pamoja saana Mr golden boy 💪
@SaidChilaza10 ай бұрын
Kumaninaa😂😂😂 wangekuwaaa wew pumbavuu
@chingaboy69172 жыл бұрын
Stori za kutunga utazijua tu
@reisezone45742 жыл бұрын
shebi wewe mbona uulizi uliza swali hapo je yeye alijuaje kama walikuwa wanataka kumla nyama
@reisezone45742 жыл бұрын
hii stori mbona imeruka sasa haieleweki
@juniorjuma25622 жыл бұрын
msanii tuu stori hata haielewwekii hajui kuelezea yan mikato mikato tuuu ovyooo
@ismailmasoud60012 жыл бұрын
Hii stori haieleweki, host wa kipindi huulizi maswali ya msingi.....Huyo ndio chanzo ameleta mikosi kwenye familia Kwa kuwa na mahusiano na Majini, na Majini hawana mwisho mzuri, kubadili dini sio sababu ya kujificha......!...Yaani Bora wangekunyonya damu mwenyewe wakuchukue mwenyewe..!...ww ndio M'baya TAMAA MBELE MAUTI NYUMA...!
@mamananga28492 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
Nimeitafuta kutwa nzima hii pole kaka angu huyo anko wako ndio mbaya sana alie uza nyumba natamaa ya dunia hajali hata yatima
@jesusislord91902 жыл бұрын
mbona story imeruka alitokaje?? kwa huyo jini??
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
Shebby wee unatuletea utam kidg afuu tunanogewa mala unaukatisha
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Mwambie😀😀😀😀😀
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😀😀😀😀 Ayshaa wee
@jkkim38482 жыл бұрын
Waisilamu mbona mko na unyama hivyo.Mtu akiamua kubadilisha dini mnamtenga na kumchukia.Kweli Uisiilamu si dini ya upendo...ni dini ya chuki na unafiki
@husseingabo54972 жыл бұрын
Mwenyezimungu amesema hukumu ya mtu alioritad ni kuuawa Kwa hiyo lazima auawe au achukiwe hakuna salama yeyote Kwa mtu aliobadili din na kuwa kafiri
@janeongala66842 жыл бұрын
Mtoa ukumu ni mungu pekee na sio mwanadamu dini ya haki ni ukriisto
@jkkim38482 жыл бұрын
@@husseingabo5497 Hukumu inapaswa kutoka kwa binadamu au kwa Mungu?Hii dini ya Uisilamu inatokana na majini ndio maana wana chuki hivi.Ukristo ndio njia ya kuenda Mbinguni pekee.Yesu Kristo ndio njia pekee ya Ukweli.
@mamananga28492 жыл бұрын
Kama ulivyo mnafiki
@husseingabo54972 жыл бұрын
Kwa ushahid wa andiko gan kuwa ukristo ndio njia ya ukweli na wap na lini yesu kaingia kanisan ili huo ukristo wenu uwe dini ya kweli ila yesu kaabudu Kwa kusujuduna kufundisha misikitin Luka 4,16 sasa wewe unaenda Kwa kanisa Kwa mafundisho ya nani makafiri wakubwa nyie achen ukafiri muende mbinguni mnamuabuduje binadam kama nyiyni
@bintimrope2 жыл бұрын
Tuupoooo
@pilimusa32172 жыл бұрын
Haswaaaaa
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
@@pilimusa3217 Haswaaaaaaa
@husseingabo54972 жыл бұрын
Inabid ufunguliwe kanisa ili uwe tajiri kama wakina mwamposa kanisa linalipa lakin ujue hizo ni pesa za muda mfupi tu ila badae Cha moto utakiona hakuna salama yeyote Kwa aliokufa haliakuwa ni kafiri Kwa kumuabudu binadam mwenzio ambae ni yesu badala ya mungu kafiri mkubwa wee kafie mbele na ukafiri wako
@ericalexandre21662 жыл бұрын
Ww umepewa na nani mamlaka ya kuhukumu wanadamu wenzako na wapi kwenye Biblia umeona kumeandikwa kua Yesu ni Mungu
@husseingabo54972 жыл бұрын
@@ericalexandre2166 kasome Tito 2,13 andiko linasema yesu kristo mungu mkuu aliojitolea nafsi yake Kwa ajili ya dhambi zetu kasome unafikilia mi nabahatisha Mimi siwezi nikaacha kumuabudu mungu alioumba nikaenda kuabudu mtu kama Mimi et ndio nimfanye mungu wangu sinitakuwa na kichaa
@ericalexandre21662 жыл бұрын
@@husseingabo5497 Tito 2:13 Inasema, Tukilitazamia tumaini lenye baraka na madhihirisho ya Utukufu wa Mungu mkuu pamoja na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kwa English, Waiting for the blessed hope and the manifestation of the glory of the great God and of our Savior Jesus Christ. Sijui kama sasa utaelewa, Kwa kifupi hili andiko linamuongelea kwanza Mwenyezi Mungu kisha ndo anafata Yesu. Nafikiri haukua umeelewa vizuri japo si kosa lako maana kuna baadhi ya wa Kristo wanao sema kua Yesu ni mungu kutokana na kutokusoma Biblia ao kuto kuelewa maandiko kama ilivyo tokea kwako
@husseingabo54972 жыл бұрын
@@ericalexandre2166 ndio hiyo hiyo nimekosea maneno kidogo tu lakin maudhui ni Yale yale yakimaanisha yesu ndio mungu mkuu sasa ulikuwa unakataa nini
@ericalexandre21662 жыл бұрын
Tatizo unatumia ubishi na kutaka kila mtu aelewe kama ww ulivyo elewa tofauti na maandiko. Yesu alizaliwa na mwanadamu atakua je Mungu wakati Mungu ndo alie umba wanadamu
@tututz1002 жыл бұрын
J.BOYS.F.C.1999
@zahramohamed7993 Жыл бұрын
Mbn Vipande vinarukaruka alf part 4 na kuendelea mhaionekani
@zahramohamed7993 Жыл бұрын
Mbn Vipande vinarukaruka alf part 4 na kuendelea mhaionekani
@zahramohamed7993 Жыл бұрын
Mbn Vipande vinarukaruka alf part 4 na kuendelea mhaionekani