PART3:SIMADA MWANAUME TOKA MWANZA ALIEFANYA TENDO LA NDOA NA NYOKA KAMA SHARTI LA UTAJIRI

  Рет қаралды 6,788

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Nimempenda hii simulizi ya huyu kijana, yaani kwa kweli haya mambo yapo kabisa ,hii dunia ni kama imegawanywa mara mbili.
@swedially2227
@swedially2227 Жыл бұрын
Huyu jamaa anajua sana kusimulia story haboi.
@LoFi_120
@LoFi_120 Жыл бұрын
Jamaa ni story teller mzuri.
@micumass1989
@micumass1989 Жыл бұрын
Anajua sna kusimulia🎉
@linkreuben3108
@linkreuben3108 Жыл бұрын
Jamaa anaongea kama inspector haruni. Hatari!!!
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Walah nimecheka sana na hii story na mtoa story pamoja na utuli
@mensiyamacha961
@mensiyamacha961 Жыл бұрын
Nzuri sanaaa
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 11 ай бұрын
Jamaa anavo sumulia adi raha
@williammwambyale2015
@williammwambyale2015 Жыл бұрын
Duuuh mzee wa maokoto mengi
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Mbona simulizi nyingi nazisikia jini Akai na mimba miezi tisa uwa miezi yao mitatu tu 🙆‍♂️🇹🇿🇬🇷
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Msimlizi mzuri
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Davistar umesahau mtoto wa Anita alikua akikaa na wenzake anawala
@rosemarykipesha4242
@rosemarykipesha4242 Жыл бұрын
Story nzuri lkn cjaelewa kua ulisema majiran wanasikia sauti yamtoto lkn hawamuoni alafu ukasema nyumba yenu ilikua mbali nawatu wengine sasa kwa umbali huo uliosema walisikiaje sauti ya mtoto ndani ya nyumba yenu
@Oneofhiskind123
@Oneofhiskind123 Жыл бұрын
Like anavyo simulia mcheshi kweli
@catherinejames6714
@catherinejames6714 Жыл бұрын
Part 4 please
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Pamoja sana
@geofreyedgar4579
@geofreyedgar4579 Жыл бұрын
Chogo ajamaliza ,na aSinya ajamaliza Kila siku nikiingia online amzitumi
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 Жыл бұрын
Sinya alimaliza mpk akaandika mwisho ile episode ya mwisho
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Жыл бұрын
Sinya alimaliza
@danielgisemba1690
@danielgisemba1690 Жыл бұрын
Part 4 😢😢😢
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Жыл бұрын
Niko na Wachina hapa wanacheka kishenzi
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 Жыл бұрын
Mna watching kutoka nchigani wao wacheka kila simulizi kama simulizi ya yule wa nguruwe mie ndio nacheka kila siku kika kaax5😂
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Жыл бұрын
@@zulekhasaud483 tuko maeneo ya Manzese Tz
@nancolower_8032
@nancolower_8032 Жыл бұрын
Kulala mpaka udubu 😂😂
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi Жыл бұрын
✌️
@tututz100
@tututz100 Жыл бұрын
J.boys 1999
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Huyu jamaa nipo kucheka
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny Жыл бұрын
Jaman hiz pesa hiz
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny Жыл бұрын
Nlipoteza brain
@david4b88
@david4b88 Жыл бұрын
Sikuhizi hamalizii stor nyingi zinaishia hewan hasa za shebby alawi! Mtapoteza watu kwa kuishia hewan stori haziishi kuanza stor mpya kila siku sidhan kama n nzur
@amedeusmmanga8043
@amedeusmmanga8043 Жыл бұрын
Kuna mmoja ya mwizi wa mifugo kaipotezea kabisaaaa na hajatoa maelezo yoyote imefika sehemu ya 44 ina inaonyesha bado inaendelea inakera sana
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Жыл бұрын
Ile ya sinya ilikwisha bwana
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 53 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 11 МЛН
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:18
GOD doesn't answer BLACK people's prayers | Nathi Mankayi
3:26:03
King David Studio
Рет қаралды 1,1 МЛН
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:25
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН