Part32_NILISHUHUDIA SHULE ZA SHETANI•WAKIFUNDISHA MBINU ZA KUWAANGAMIZA WATU•Ushuhuda wa Aston Mbaya

  Рет қаралды 18,531

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 35
@JAMESNORMAN-hd5bk
@JAMESNORMAN-hd5bk 8 ай бұрын
Kazi zuri endeleeni ivyo pr tv MUNGU awa bariki.🛐✝️🕊️🇰🇪.
@peterkarimu00
@peterkarimu00 Жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na Bwana Yesu kupitia Promover tv.
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 6 ай бұрын
nimeshukuru sana kwa shuhuda hizi napata maarifa yakimungu,mbarikiwe sana promover team
@lutherstephano6910
@lutherstephano6910 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana ee mtu wa Mungu 🙏🙏🙏 siku nyingi sijachati nawe,, usijali
@oscardosantos4202
@oscardosantos4202 Жыл бұрын
Barikiwa sana mt jacktan kwa hii huduma
@dorcasamina4551
@dorcasamina4551 Жыл бұрын
Napenda sana ushuhuda wenu unanijenga sana
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 Жыл бұрын
Ameeen Barikiwa.
@MaggieG276
@MaggieG276 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kazi njema.
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 Жыл бұрын
Barikiwa Sanaa mtumishi wa Mungu
@knowyourbible7704
@knowyourbible7704 Жыл бұрын
Thank you for this. Can I translate this video in English and share it with other people?
@Geofrey-Martin-Kaputa
@Geofrey-Martin-Kaputa Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@bintmwambapa7734
@bintmwambapa7734 Жыл бұрын
Eeeeeee YESU Kristo nipe kiu Cha kusoma Neno lako na kuomba na kukutafuta kwa bidiii, YESU azidi kuwabariki promover TV
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
watu wa mungu kuweni karibu na mungu dunia hii imejaa wachawi na hauwezi wajua wapo kimywa kimywa njia ni kuwa na yesu ktk roho yako.
@user-sk1pf7rb7i
@user-sk1pf7rb7i Жыл бұрын
Amina barikiwa promover n mebarikiwa kwa maarifa
@rebeccamaingu6683
@rebeccamaingu6683 Жыл бұрын
Bora ushuhuda umeendelea, ubarikiwe Jactan
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 Жыл бұрын
Be blessed man of God Mungu akulinde
@catherinemutindi5031
@catherinemutindi5031 Жыл бұрын
Tunaendelea kujengee ka Na mafundisho haya.lakin nakuliza huwa mnatoa cd au frash. disk.
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Жыл бұрын
Promover is great Chanel
@horimberepeace7376
@horimberepeace7376 Жыл бұрын
AMEN AMEN ASANTE SAAANAAA YESU CHRISTO!!
@abbygaelsharon497
@abbygaelsharon497 Жыл бұрын
Oh God help me & bless me with discerning spirit🙏
@dadaz4653
@dadaz4653 Жыл бұрын
BWANA YESU atusaidie sana
@saramss7262
@saramss7262 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi BWANA wa majeshi Akuinuwe SANA Mtumishi UBARIKIWE UBARIKIWE
@flm1530
@flm1530 Жыл бұрын
Ameeeenn
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 Жыл бұрын
MUNGU wambinguni atusaidiye sana
@sallymumia8425
@sallymumia8425 Жыл бұрын
Glory to Jesus Christ
@emmanulmbembati
@emmanulmbembati Жыл бұрын
kazi yenu bwana atawalipa songa mbele msiludi nyuma
@enocklazaro6794
@enocklazaro6794 Жыл бұрын
ikiwa unafuatilia shuhuda hizi kwa makini , wewe humbali na ufalume wa Mungu
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Na ngono ndio kila kitu chini ya jua, yani watu hawasikiii
@reginarkasyoka6914
@reginarkasyoka6914 Жыл бұрын
Dancan from promover tv nisidie kupata vitabu vya mch Amiel katekela ,niko Mombassa
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 Жыл бұрын
Jamani sasa tunafanyaje hapo kuwaombea wengine
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 6 ай бұрын
😭😭😭😭
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Жыл бұрын
Mbona Kama ushuhuda unajirudia Au nimelelewa vibaya samahani
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Kivipi fafanua tafadhali
@oscardosantos4202
@oscardosantos4202 Жыл бұрын
Barikiwa sana mt jacktan kwa hii huduma
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen
SEND ME LORD / BWANA NITUME MIMI
1:21:58
PROMOVER TV
Рет қаралды 257
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 35 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 26 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН