Wamayo ametuteka. Utuwekee namba zake tumchangiamo
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Mimi #1
@ANITHASTEPHEN-bs1ee Жыл бұрын
Wamayo Leo umekutana n mkono w mungu Dadeki
@farusaimon3490 Жыл бұрын
Sikurudigiko tenaaaa!
@chinaboyzanzibar5328 Жыл бұрын
ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHER I HARD UR STORIES ITS TOO SAD BELIEVED IN ALLAH EVERYTHING WILL GOOD INSHALLAH MY DUA ALWAYS WITH YOU U ARE ISLAM ☪️ I KNOW PRAYES SALAH 5 TIMES A DAY ALLAH WILL HELP U INSHALLAH 😢😢😢😢😢 I WILL PRAY FOR U INSHALLAH REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER CHINA-BOY FROM LONDON 🇬🇧 WS. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@martoo539 Жыл бұрын
Ingekua n nyinyi mungemuuwa
@martoo539 Жыл бұрын
Bonaa shetaniii huwa hatumani kweye misikitiii🙂🙂🙂🙂🙂ama anawapeda🙂😂😂
@rebeccajames4412 Жыл бұрын
Twendeleemo kutoka kenya..tunakupendamo wamayo wetu...
Assallam aleikum wamayo mambo vp towa namba yako tukuchangiamo chochote umetoka mbali kutafu
@rehemaabinelynyagawa2878 Жыл бұрын
Halafu utasikia kuna watu wanasema majini wazuri 😢 yanauwa watu na kuharibu makanisa Mungu atuhurumie 😢
@winniemuchai280 Жыл бұрын
Karibu sana wamayo❤❤❤❤
@timohthemaster3507 Жыл бұрын
Wa kwanza pia leo kutoka Thika kenya
@florences8087 Жыл бұрын
Wewe unakuanga chonjo 👏👏Hata mimi nimefikako kutoka Eldoret,Kenya 🇰🇪🇰🇪
@Patience.67 Жыл бұрын
Wamayo nakuombea kila siku yaani aise mungu amenipa hiyo burden ya kukuombea
@rerisamba Жыл бұрын
Amen
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Like zangu jamanii nimekuwa wa 34👌👌👌
@martoo539 Жыл бұрын
DAAH!! MBONA SIJAWAI SIKIA MMOJA AMEAGIZWAA KWENDA MSIKITINIII😂😂😂😂😂😂SATAN DEALS WITH CHRISTIANITY ONLY😭😭THIS MEANS THAT CHRISTIANITY IS THE WAY😂😂AM HAPPY CHRISTIANS LETS GATHER HEAR 🔥🔥
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
facts
@lucymeck-ev2zh Жыл бұрын
Aagizwe kwawenzie? Majin Na Msikiti ni Damdam
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Kweli mwanangu na huko ndo huwa wanasaligi wotee na majiniii kama wotemoooo😂😂😂😂😂😅
@munaahkiogakioga7330 Жыл бұрын
Me me me 😂😂😂😂
@ZamZam-mk4xu Жыл бұрын
Wamayo ulikuwa unawangiaapo
@ezekiaandrew3336 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 hiki kipande kinachekesha
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🙏👊✌️.
@mwami_the_don_ Жыл бұрын
Oyoooo
@rerisamba Жыл бұрын
Mimi nionavyo mwisho walikua wakuue lakini ile maombi uliombewa ndio ilikusaidia mimi nionavyo urudi kwa mchungaji hapo ulinasa kwa paa
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Wamayo akataka kupumzikapo ,lakini SHETANI akasema no ,SHETANI Hana huruma lo!
@Teacher_01 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔋
@hildpaul7823 Жыл бұрын
kwani watu wanalalamo huku duh na helewamo kila siku😂😂
@JaneDoe-hf3zy Жыл бұрын
😂😂 wamayo mpaka una mchanganya davistar Kwa raia
@GLORIAHAROYAL Жыл бұрын
Ule jini 😀
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Mbona sijasikiamoo wamayoo ametumwapooo msikitini au huko ndo nyumbani kwamooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👎💯
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Kilamara shetani anatumia binadamu kwa maovu yote haji mwenyewe na pembe zake lakini anatumia binadamu tuu
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Mimi hapa wa kwanza leo 😅
@mundhirsalum21 Жыл бұрын
Mi nauliza kitu kimoja tu , kwanini Akisha ondika sehemu lakin yeye anajua kinacho endelea sehem alio ondoka ? 😢
@al.hajrii15 Жыл бұрын
Mtihani 🤔
@ndelexanderson3379 Жыл бұрын
Ukazindukapo
@JaneNdunge-x5d Жыл бұрын
Hebu tuambia hio kanisa jina lake tuende tukaombewe
@lamechologi8319 Жыл бұрын
Mbona tu anaendapo makanisani kurogapo tu? Kwani hamnako misikiti?
@mwitamalwa2773 Жыл бұрын
Mpaka mwisho tupo ote
@imagepower3641 Жыл бұрын
Wamayo 🔥
@bakarikayugwa3295 Жыл бұрын
Wakwanzamo haya tuendamo
@Teacher_01 Жыл бұрын
Hongeramo
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Mecheka balaa ungedondoka ukavunjika kiuno waumi wakukute kiuno hakina kazi
@Teacher_01 Жыл бұрын
Kama kanyerere
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
@@Teacher_01 😅😅😅😅 ndio nilimkumbuka nae
@thomaskengwa6646 Жыл бұрын
Eti hata Mia mbovu sinamo
@saidmbarukumusa4001 Жыл бұрын
Bonge la story like plz
@EsromJohn Жыл бұрын
Kwa mteso aliyoyapitia wamayo nabaki kuxhangaa watu wanao jinyonga kama uyu amekutana na mtatizo ayo yote na bado ajachukua mamuz ya kujinyonga
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Niko makini ,Naulizia wamayo kasema alikuwa amepigika mpaka anakula majalalani kumbe ulikuwa na cm kwa mazingira hayo si ungekuwa umeiiuza?
@trendifysmm Жыл бұрын
😊😊😊
@GLORIAHAROYAL Жыл бұрын
Wamayo aliacha kupiga show😅
@dale7975 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
mbona sijasikia kuwa wamayo ameenda msikitini au ameenda kwa shekhe nasikia tu anaenda kanisani na sio msikitini kwanini au kuna mtu amesikia kuwa WAMAYO AMEENDA MSIKITINI///////////
@mshammazengo6272 Жыл бұрын
Xaxa ataendaje kwa majini tena akat Hataki hiyo hali